🔴
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 29 ธ.ค. 2023
- 🔴#LIVE: FREESH WEEKEND NDANI YA WASAFI FM - 29 DEC 2023
www.youtube.com/@Wasafi_Media...
WATCH WASAFI TV📺
AZAM - 411 | DSTV - 296 | ZUKU - 028 | STAR TIMES - 444 & 333 | COCONUT TV - 20 | DODOMA CABLE - 113
LISTEN WASAFI FM 📻
88.9 DAR/ZNZ/PWANI 📻 | 104.1 DODOMA 📻 | 94.5 ARUSHA 📻 | 97.3 MBEYA 📻 | 94.9 MWANZA 📻 | SHINYANGA 106.3 📻 | KIGOMA 101.7 📻
Follow Us On:
INSTAGRAM: / wasafitv || / wasafifm
TWITTER: / wasafitv || / wasafifm
FACEBOOK: / wasafitv
𝑪𝒐𝒑𝒚𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕 ©2021 𝑾𝒂𝒔𝒂𝒇𝒊 𝑴𝒆𝒅𝒊𝒂. 𝑨𝒍𝒍 𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕𝒔 𝒓𝒆𝒔𝒆𝒓𝒗𝒆𝒅.
#wasafi #wasafitv #wasafifm - บันเทิง
Big up sana clam vevo kwa kumuamini huyu jamaa ,wwe ndio chanzo cha kujulikana mwakatobe
Pole mwakatobe kupoteza wazazi wote pia pambana usikate tamaa tupo tunaekukubali sana❤❤❤❤
😮😮
MWAKATOBE ni mnoma sana , mpeni interview nyingine na nyingine
❤much love mwakatobe from kenya❤🎉🎉🎉🎉
Muulizeni mwaka tobe anamchumba ❤❤mi mwenziwe nishapenda hapoo
Nan kasema wanawake wanapenda 😂😂😂
Yani bado hujasema mpaka useme
Mwenzio ndio anajitafuta wewe unataka kumfelisha.
😂😂😂😂
Mganga WATAIFA nakubali sana interview @mwakatobe❤❤❤❤❤
Pole sana mwakatobe kwa uliopitia hakuna kazi
Rahis utatoboa broo
Mwakatobe🥰 moto uyo🔥🔥🔥🔥
Much love from Zimbabwe 🇿🇼
HAKUNAGA KAMA MWAKATOBE.! HUYU MKUU KASHINDIKANA.. MUNGU AMUWEKE SANA KUNA MENGI YANAKUJA MWAKA USHAANZA NA MGANGA WA TAIFA TUNAESANA BIG UP SANA MPAKA USIKU WA MANANE😂😢😮😅
Nakumkubali sana mwakaotobe anajini mmoja anatoka marekani 😂😂😂 ...nampenda sana mwakaotobe kwa kazi zake
Jamaa anajua sana big up❤❤
Mwakatobe nakukubali kuliko ❤❤❤❤❤❤❤❤
Niko Lubumbashi Congo 🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩 nampendaga sana MWAKATOBE vraiment il me marque beaucoup
Namkubali Sana huyu Jamaa haijawahi kutokea
Hakuna mganga,mwigizaji kama ,Mwakatobe.big up sana.
Irmão makatobe estás de parabéns continua assim a nos dar burudani
Huyu mwamba ndiyo the best katika movie yote NTIBA maua yako
Mwakatobe n nomaaaaa anaanza bi mwenda anafata yy hawa watu ogopaaaa n hatariii
Live king mwakatobe
Fundi sana katisha kote sio snake boy wala best friends big bos 😅😅😅
Much love from green city
Ila kusema kweriiiiiii jamaa anajua sanaaaaa kupita maelezo
Hongera mwakatobe.i Love your acting.Mungu akuzidishe
Mimi nipo single mwakatope 😢 nakupenda mwenzio😅
❤❤❤
Mwakatobe nakukubali mana unajuwa kujiongeza
Mwakatobe ni zaidi ya msanii
Wale wa Mbeya tuweke Maua kwa Homeboy
Yes
Camera zote kwa sanya kwan ndo mgeni
Sema wasafi wameishiwa content
Uyu namukubali saaaaaaaana kutoka Congo... zuchu tuuu wewe
Mwakatobe big up for good job
Wasafi mnafeli wapi atupati sauti vizuli
Dj kapoa sana... Bahati yake nimeachaga udj aisee
Mwamba huyu apa mwakatobe Nakubali sn chukua mauwa yako
Mwakatobe hata mimi namkubali kim🎉🎉🎉🎉🎉
Mwakatobe noma sanaaaaaaaaa
yupo vizuri sana
Mwakatobe❤❤❤🎉🎉🎉
@wafula the village boy from Kenya napenda kazi yako saana
Village boy from bungoma,or something
I luv u Mwakatobe..
Mwakatobe umetisha Sana
Nipo DRC congo Fizi namkubali sana
Mwakatobe❤❤ big up sanaaaa
Hi
Mumeaza kuchoka nyie watu mana sikuizi munakatakata tu
Asa kama wamechoka siukasikilize ile ya Bamako mbona iko pw kumaaaaa
@@davidmwasa😂😂😂😂😂
nampenda sana jama duuuh
❤❤❤❤
Big up sn mwakatobe 100% fun of yours
Watumie moto...usiku wa manane,usiku wa manane😂😂😂😂
Mwakatobe nakubali sana sema nn m nataman ata nikuone kaka fanya jambo
You won mwakatobe
Hahahaa mwakatobe 🎉🎉🎉🎉🎉
Angelikua Hayati Magufuli yupo wale Mbwa wangepijwa Risasi huko huko porini zingelikutikana Maiti zao tu washenzi wakubwa
Nakusapoti unaweja shank boy
Mwakatob km mwakatob....
Napenda character ya huyu jamaa...nlidhani talanta iliisha tanzania na kanumba ila tangu nione snake boy na nyama ya mwanangu nlirudia movie za tanzania kabisaa
Mnakatakata sana yani
Mwakatobe na zuchu niwapenzi
Mtiba au mwakatobe
😮😮mwaka tobe😮😮
Kwenye Big Bos mwakatobe amekutanacho mpaka amekimbiya 😂😂😂😂😂
Maneno ya kuambiwa Mganga Chili
Kazi yako Yani inatisha mno upo vizuri na hapo ulivyosema mbaya wako ni ukae mbali nae nimekubarii maana yashanitokea katika historia ya maisha yangu hakika nimewaepuka na maombi Kwa sana abadaan 😅
Kupanda mnazi na mkono mmoja kama una d moja uwezi kuelewa
Credit kwake Clam vevo
Mwinyi mkuu
Leo mbele kbs
Bado hajafkia uwezo wa mwinyi mkuu ..🔥🔥🔥
Mwakatobe atabaki kuwa yeye na mwinyi mkuu atabaki kuwa mwinyi mkuu kila mtu ana radha yake
Humjui vizuri mwakatobe
😂😂😂😂😂😂😂😂😂Familia inakukemea kwa jina la yesu 😂😂😂😂😂
Saf pambana kaka
Mwakatobe😂😂😂
Robe boi
Aise umeokoka au
Mganga wa taifa.....🎉.....🙌
Kicheche
Mganga wa taifa
Jamaa anaitwa chili
We zuchu tu
Makini sana kina part nilimkubar sna huyu mwamba
😮😮
Bnafs sikukubali kabisa na sioni talent yako zaid yakutaja watu majina na kutkana etii mplekee motooo sjui chino wanaman
😂😂😂huyu jamaa ni zaidi ya mganga
Mwakatobe zuchuuu tyu wewe hahhhaahh
Sumo TU umo tu
Anaitwa mwinyi mkuu
😂😂😂sheriamkononii
Ntiba😅😅
Mwakatobe 😂😂😂😂😂😂😂🎉🎉🎉
Mwakatobe 😂😂😂😂😂
😅😅😢
anaitwa chiri sosi
Mujihoji mtu punguzeni mziki ...mnaboo juu ya mziki upo juu kuliko sauti yawaohoji
Jamaa ni humble sana,if mme notice😢
😂mganga ana mbwembwe uyu jmn
We mchumba we zuchu tu
😂😂😂😂😂😂😂
Bila wewe kaka snake boy itapooza sana
mwakatobe ndo uingie na nguo za kiganga studio😂😂😂
😅😅😅😅😅😅hata mimi nmeshangaa
Wale wa Mbeya tuweke Maua kwa Homeboy
Naitwa MENEJA BILLY nipo Mwandege chogo kama mwiko😂