SIMBA DAY 2023: Rais Samia akisalimiana na Wachezaji, Viongozi wa Simba SC.

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 17 ต.ค. 2024
  • Mgeni Rasmi tamasha la Simba SC, Rais Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Wachezaji, Viongozi wa Simba SC hapa Uwanja wa Benjamin Mkapa.

ความคิดเห็น • 26

  • @nasibuahmedy2438
    @nasibuahmedy2438 ปีที่แล้ว +4

    Chilunda umepewa baraka zote na Mama Samia kwahyo kazi inabaki kwako kutuletea magoli msimbazi #Chilunda

  • @JosephinaLyimo
    @JosephinaLyimo ปีที่แล้ว

    Mimikweli nilikuwa simpendi raisi ilakwaalucho kifanya kwatimu yangu nimejikuta nampenda ❤❤❤❤

  • @JpviaDeogratius
    @JpviaDeogratius ปีที่แล้ว

    Oyooooo I love you simba

  • @saudashani5981
    @saudashani5981 ปีที่แล้ว

    Wenye nchi ❤❤❤❤

  • @JpviaDeogratius
    @JpviaDeogratius ปีที่แล้ว

    Kiukweli jezi za simba zinamwonekano mzuri lazima wapinzani wawe n wivu

  • @rudiaeliakim2172
    @rudiaeliakim2172 ปีที่แล้ว

    mama mimi nakupenda sana

  • @JeannetteManirambona-o6m
    @JeannetteManirambona-o6m ปีที่แล้ว

    Simba oyooooo

  • @swariotibi6134
    @swariotibi6134 ปีที่แล้ว

    Mashaallah tabarika allah😂😂😂

  • @leonardaugustino4072
    @leonardaugustino4072 ปีที่แล้ว +1

    Lazima ujue kutofautisha kati ya wananchi na wenyenchi.

  • @muhsinikoki4060
    @muhsinikoki4060 ปีที่แล้ว

    rais gan mnaomongelea endeleeni namengine

    • @williammollel89
      @williammollel89 ปีที่แล้ว

      Tunamwongelea rais wa jamuhuri ya muungno wa Tanzania daktari Samia Suluhu Hasan

  • @John-vn4pp
    @John-vn4pp ปีที่แล้ว

    O:55 Bora mmemtoa huyo mzee. Jukumu la kutambulisha wachezaji ni la Captain.

  • @JpviaDeogratius
    @JpviaDeogratius ปีที่แล้ว

    Tunajiskia raha tup

  • @emmapaul1766
    @emmapaul1766 ปีที่แล้ว +1

    badala ya kushughulika na janga la dpworld mnaenda kwenye mambo ya kipuuzpuuzi .

    • @DrswalehOmarry
      @DrswalehOmarry ปีที่แล้ว

      Asa nani aliekuuliza hebu fanya tathmin vzr na upime kati ya hlo jambo aliloenda Rais samia na akili yako kipi ni kipuuzi

  • @daudkhatib-qn5tr
    @daudkhatib-qn5tr ปีที่แล้ว

    Hao. Ni. Vibonde. Tuu. Ndiomaana. Wamewaleta. Tena. Simba. Gani. Anaalika. Vibonde. Tuu.

    • @DrswalehOmarry
      @DrswalehOmarry ปีที่แล้ว

      Nawe pia ni kibonde maana ulipigwa mbili na simba

  • @maliammussitafa4175
    @maliammussitafa4175 ปีที่แล้ว

    ALL

  • @Andrea-hw8bh
    @Andrea-hw8bh ปีที่แล้ว

    Mnajisikiaje.kusalimiana.na.rais.wa.nchi.wangekuwa.yanga.msemaji.wenu.angelponda

  • @ndukulusudikucho_
    @ndukulusudikucho_ ปีที่แล้ว

    Watu na Nchi yao sasa kama una wivu kimbilia uhamishoni tu Nchi hahahahhaha

  • @chacha-255
    @chacha-255 ปีที่แล้ว

    Inapendeza watani wanafata nyayo za wakubwa, Kwa Yanga tulianza kwa kualikwa ikulu na Rais, Kisha nao kikosi cha tatu wakampa kampani Rais kule Malawi .. 🤣🤣🤣🤣

    • @kemmyabdallah353
      @kemmyabdallah353 ปีที่แล้ว

      Unaumia Chula weweeeeeeww

    • @chacha-255
      @chacha-255 ปีที่แล้ว

      @@kemmyabdallah353 Niumie kitu gani, Sisi tunaalikwa na kumpa kampani Rais, Nyie hadi mumtumie mwaliko na kumbembeleza 🤣🤣

    • @SalamaAmeir-d4e
      @SalamaAmeir-d4e ปีที่แล้ว

      Sijakuelewa ujue

    • @SalamaAmeir-d4e
      @SalamaAmeir-d4e ปีที่แล้ว

      Ahaa kumbe mkanywe chai hahahaha