Anguko la Umoja wa Kisovieti (USSR): Jinsi Dola ya Kisovieti Ilivyoporomoka

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 21 ต.ค. 2024
  • Bonyeza link hii kujiunga kwenye channel ya Telegram ya SnS - t.me/+uYTdRVvi...

ความคิดเห็น • 74

  • @Chettymlambalipsi-lb9km
    @Chettymlambalipsi-lb9km 12 ชั่วโมงที่ผ่านมา +7

    Wooo hoooo ombi langu limekubaliwa asante sana SNS 🎉❤❤

    • @allahisone6386
      @allahisone6386 7 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

      @SNS🎉

  • @emmanuelmwandu.3126
    @emmanuelmwandu.3126 10 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Ahsante kwa Makala nzuri.
    Binadamu akichoshwa na unyonyaji, hofu hutoweka, badala yake huchukua maamuzi ya kujinasua alipo nasa.

  • @lucasalbertomseti1578
    @lucasalbertomseti1578 10 ชั่วโมงที่ผ่านมา +2

    Moja ya makala niliyo kuwa naisubiri kwa hamu sana asante sana Sky

  • @MAHAN-SMART
    @MAHAN-SMART 14 ชั่วโมงที่ผ่านมา +5

    Makala 360 🔥🔥🔥💯💯💯

  • @MathewNathan-yb2bz
    @MathewNathan-yb2bz 14 ชั่วโมงที่ผ่านมา +2

    Habari nzuri sana

  • @aminaali792
    @aminaali792 9 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Makalaya 360 is the best i never missed it big up Bro Sky ❤😍

  • @abdullahmapesa
    @abdullahmapesa 13 ชั่วโมงที่ผ่านมา +2

    Asante kwa story nzito na kutuelewesha nini kilicho tokea

  • @EustaKimoshi
    @EustaKimoshi 11 ชั่วโมงที่ผ่านมา +4

    Walimu wa kirusi waliokuwa wakifundisha baadhi ya sekondari za Tanzania walifunga virago. Walikuwa walimu wazuri sana wa advanced maths na physics

  • @AFRICA_D669
    @AFRICA_D669 13 ชั่วโมงที่ผ่านมา +5

    Umoja Wa kisoviet ulianguka haikuwa sababu na urusi kuanguka ilibaki imara💪
    U soviet ulianguka brics inainukia
    🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏

    • @christinewomanoffaith5479
      @christinewomanoffaith5479 11 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Nayo itaanguka tu

    • @shabanimaeda5008
      @shabanimaeda5008 10 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Hapana itakuwa ngumu maana mataifa yaliyopo BRIC na yanayotaka ingia yapo na umuhimu mkubwa na nguvu kubwa.na unajitegenezea uhitaji wake..sasa hivi dunia ina elekeaa jua linapochomoza"Mugabe"​@@christinewomanoffaith5479

    • @AFRICA_D669
      @AFRICA_D669 9 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      @@christinewomanoffaith5479 we kama nan

    • @kassimrajabu7805
      @kassimrajabu7805 8 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      ​@@christinewomanoffaith5479Chawa wa mashoga ww

  • @IceCube-o6s
    @IceCube-o6s 14 ชั่วโมงที่ผ่านมา +3

    Baaaaaas hapo nimefurahia ombi langu limekubaliwa😂😂😂❤❤❤

    • @AFRICA_D669
      @AFRICA_D669 13 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Hyo hata usipo kula ukisha pata food ya brain huwa na furaha 😊😊all the time

  • @hajisalimmhina3983
    @hajisalimmhina3983 13 ชั่วโมงที่ผ่านมา +4

    Sio kweli ,

  • @AnjelMwaluka
    @AnjelMwaluka 14 ชั่วโมงที่ผ่านมา +4

    Nilkuwa naisubili saana hii pia naomba ufafanuzi kwanini urusi haikuwa na makoroni africa

  • @Sidrasidra636
    @Sidrasidra636 13 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Ahsante

  • @albertmallya4192
    @albertmallya4192 8 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Imekaa kimkakati zaidi😅

  • @SomaliWeyn-c1h
    @SomaliWeyn-c1h 13 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    makaka nzuri mzee safi

  • @Timothymchomi
    @Timothymchomi 6 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    tanzania na ccm

  • @hajisalimmhina3983
    @hajisalimmhina3983 9 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Fanya research mwenyewe

  • @alikhamis633
    @alikhamis633 10 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Makala 360 iko poa sana

  • @danieljoseph7120
    @danieljoseph7120 7 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Ccm lini na nyie 😢😢😢

  • @KarimShabaniNAHIMANA
    @KarimShabaniNAHIMANA 9 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Ans mnajuwa kutupatia gabarit nyeti

  • @RichWise671
    @RichWise671 8 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Already remade it 🔥👽🪐

  • @King_Of_Everything
    @King_Of_Everything 10 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    👍👊✌️.

  • @anny19988
    @anny19988 11 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Na mimi ombi langu fanyeni SNS kuhusu uwepo wa ofisi ya NATO kwenge ofisi za AU Ethiopia.Pleaseeee

  • @NeversMutega
    @NeversMutega 13 ชั่วโมงที่ผ่านมา +4

    Kama unakubal i SNS gonga like

  • @raydanfrenk
    @raydanfrenk 10 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Kumbe urus ni nchi ya kishetan tangu zaman 😢😢😢

    • @lusajomwaipopo5042
      @lusajomwaipopo5042 5 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Kwa ukatili ni sehemu ya tabia kuu

  • @lusajomwaipopo5042
    @lusajomwaipopo5042 5 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Warus wa buza hawapendi kabisa habari hizi

  • @AnjelMwaluka
    @AnjelMwaluka 14 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Mnazid kunifurasha

  • @MohamedRashid-py7ro
    @MohamedRashid-py7ro 6 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Mbona unarusha picha za vita ya piki ya Dunia sio za 1980

  • @jacksonmsendo3478
    @jacksonmsendo3478 7 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Ivi czech slovakia Yugoslavia nazo zilikuwepo kwenye umoja huu?

    • @Pedeshee01
      @Pedeshee01 6 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Hapana,Yugoslavia ya Tito ilikua na nchi kama serbia,slovenia,montenegro,croatia,kosovo,bosnia&herzogovina

  • @Timothymchomi
    @Timothymchomi 6 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    kwa mara nyingine urusi inapigwa na ukraine tena😅😅😅

  • @salminijumasalminijuma6213
    @salminijumasalminijuma6213 14 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Bado na dj smaa atuletee ile makala ambayo ametuahidi asijifanye anajisahaulisha

  • @nasororashidi7051
    @nasororashidi7051 9 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Makala ya kimagharibi hii, ingawa kunabaadhi ya vitu vinaukweli.

    • @rumdeesonsoa1811
      @rumdeesonsoa1811 8 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Ambavyo sio vya ukweli ni kama vipi?

  • @hajisalimmhina3983
    @hajisalimmhina3983 9 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Hizi ni story za magharibi

    • @raydanfrenk
      @raydanfrenk 9 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Tupe zako mkuu itapendeza😅😅😅

    • @rumdeesonsoa1811
      @rumdeesonsoa1811 8 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Wewe tuambie kilichosababisha kuvunjika kwa umoja wa kisoviet

  • @HamzaMbasha-xs2ky
    @HamzaMbasha-xs2ky 14 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Mwambie Sma hatujasahau

  • @Brunotarimo10
    @Brunotarimo10 14 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    SNS HAWANA JAMBO DOGO.
    KAMA UNAIKUBALI SNS USIPITE BILA KULIKE

  • @joeboa3139
    @joeboa3139 13 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Leta makala ya bomu la tsar

  • @raymrash
    @raymrash 11 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Dola ya Iran inakwenda kuanguka soon

  • @AFRICA_D669
    @AFRICA_D669 13 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Sky ,kremea ni nchi gani mbona siiyoni hapo?

    • @lusajomwaipopo5042
      @lusajomwaipopo5042 5 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Cremea ni sehemu ya jimbo ndani ya ukrein

    • @Stillrunlikeaball
      @Stillrunlikeaball 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      ​@@lusajomwaipopo5042 Kihistoria walipewa na Urusi Ndiomaana Urusi amelichukua hilo eneo Mwenyewe😷

  • @MsAggie5
    @MsAggie5 13 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Ndo tunayopitia Tanzania, maumivu ya ujamaa tunayaona, chama kimoja, ufisadi wa viongozi, hao wasiojulikana wanavyoendelea kutumaliza na hatuna tunachoweza kufanya, viongozi wamekuwa watawala kama ufalme, wakiongoza wao na familia zao. Badala ya kuongoza wao wanatawala

    • @anny19988
      @anny19988 11 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

      Shida Sio chama Kimoja, shida ni tabia za watu. Mbona China imeendelea kwa huohuo Ujamaa na Chama Kimoja??. Tabia za raia ambao baadae wanakuwa viongozi, watumishi etc Ndio zitaamua nchi iweje. Kama tabia zenu ni mbovu hata muwe na vyama 100 ni Sawa na bure. What matters is PEOPLE .

    • @MsAggie5
      @MsAggie5 11 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      @@anny19988 Chama kimoja ni mfumo WA ujamaa na ndiko tulikotoka. China kweli Wana chama kimoja lakini sio wajamaa tena ila wao hawalindani, waziri akifanya ujinga anapelekwa mahakamani na sheria inatendeka na viongozi wanalijua hilo. Ona alivyoanza Magufuli kuwaadhibu viongozi au kuwafukuza kazi walifanya upuuzi ilikuwa Jambo zuli labda nasi tungefika mbali, lakini nae akawa anatawala zaidi ya kuongoza, wasiojulikana kama wote na wananchi tunaogopa hata kujitetea. Ujamaa si Jambo rahisi

    • @christinewomanoffaith5479
      @christinewomanoffaith5479 11 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      ​@@anny19988well said
      Tatizo watu ,mfumo unaowaweka shida tupu
      Halafu tunawalaumu wazungu as if wanatulazimisha wakati Kuna watu wasomi na akili zao wanawaz familia zao na sio nchi zao

    • @SaneMwezi
      @SaneMwezi 10 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Lima mvua zinanyesha

    • @lusajomwaipopo5042
      @lusajomwaipopo5042 10 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      China imebaki na ujamaaa wa kisiasa ktk uchumi ni beberu na bepari mkubwa tuu​@@anny19988

  • @emanuelidamiani2943
    @emanuelidamiani2943 9 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Sasa niwaulize swali wana sns, huwa mnatuambia hawa warusi hawana historia ya kushindwa vita, mbona leo unatuambia afghanistan(taliban) waliwashinda????.

    • @anny19988
      @anny19988 6 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Afghanistan kugumu weweee😂😂😂. Hamna aliepamudu. Ila pia Marekani walisapoti makundi ya waasi ili kuzuia wasovieti. Hayo makundi ndo baadae yaligeuka Taliban na Al Qaeda. Yaani magaidi wote wa dunia unaowajua ni Made by US . Marekani inawatengeneza kwa manufaa yao halafu wakishindwana wanawaumiza wao

  • @zawadimpayo3839
    @zawadimpayo3839 13 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Putin atauludisha akishinda vita ya ukreani

  • @christinewomanoffaith5479
    @christinewomanoffaith5479 11 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Nchi zote zinazoishia na '...stan'😅
    Aisee zilikuwa nchi nyingi