Nilipo sikia huu wimbonunanifanya ni kumbuke siku najifungua nilipata changamoto nyingi tangu wakatj wa mimba ila nililia wakati mtoto hakulia wala kujitingisha nililia ila baada ya nusu saa akaamka kwaio nashukuru kwa kumrudishia uhai mtoto wangu na afya njema

Hakika Mungu amekuwa mwema sana. Nimejikuta namshukuru Mungu hata kupitia wakati mgumu ulioupitia. Tuzidi kumtegemea yeye tu
Thanks LORD FOR ALL
Sifa na Utukufu ni kwa Bwana 🙏🏽
Amen
Nyimbo nzuri saana, barikiwa
Amen, ubarikiwe zaidi
God bless you
🎉