PartiaLyrics
PartiaLyrics
  • 57
  • 649 122
DADDY DADDY LYRICS | Neema Gospel Choir
Song: DADDY DADDY
ARTIST: NEEM GOSPEL CHOIR
LYRICS VIDEO: PARTIALYRICS
LYRICS
Nimerudishiwa furaha na Yesu (Jesus has restored my joy)
Iliyotekwa na shida za dunia (The joy stolen by the troubles of this world)
Mungu si mtu aseme uongo (God is not man to lie)
Si mwanadamu ( nor a son of man)
Oooh ahadi zake ni za kweli (Oh, His promises are faithful and true!)
Katika malisho
Ya majani mabichi (In lush green pastures)
Bwana hunilaza (The Lord makes me lie down)
Kando ya maji ya utulivu (Beside peaceful water)
Bwana huniongoza (The Lord leads me)
Huuhisha nafsi yangu (He refreshes my soul)
Nijapopita kati ya bonde la uvuli (Even though I walk through the valley of)
wa mauti sitaogopa mabaya ( the shadow of death, I will fear no evil)
Gongo lako na fimbo yako (Your rod and Your staff)
vyanifariji Bwana (They comfort me, Lord)
Siogopi (and I am unshaken)
watesi wangu hata waweje siogopi (Though my enemies rise against me, I will not fear)
Maana uko nami (For You are with me)
Ukiwa na Yesu Daddy ooh (When you have Jesus, Daddy Oh)
Ukiwa na Yesu Mammy oh (When you have Jesus, Mommy Oh)
Furaha yako ni toshelevu (Your Joy, is sufficient)
Daddy, (Daddy)
Daddy oh (Daddy oh)
Furaha yako ni toshelevu (Your Joy, is sufficient)
Mammy, (Mommy)
Mammy oh (Mommy oh)
Furaha yako ni toshelevu (Your Joy, is sufficient)
มุมมอง: 92

วีดีโอ

REHOBOTH (NAFASI) LYRICS - PAUL CLEMENT
มุมมอง 6144 หลายเดือนก่อน
#paulclement #partialyrics #nafasi #rehoboth_nafasi LYRICS You have never fail me Lord You have been good to me all the time Wakati wa kupanda na wa kushuka pia Umekuwa pamoja nami Umenifanyia nafasi Umenipa nafasi Ambayo sikustahili Sio kwa zangu akili Ila ni neema tu Umenipa kibali Umenipa nimiliki Vyote umenipa Vyote umenipa Vyote umenipa Vyote umenipa Mungu amenifanyia nafasi Mahali ambapo ...
NAFASI LYRICS --Paul Clement ft Bella Kombo
มุมมอง 9K4 หลายเดือนก่อน
#paulclement #bellakombo #partialyrics #nafasi #gospelmusic #liverecording LIKE SHARE COMMENT SUBSCRIBE PARTIALYRICS
NAKUAMINI YESU LYRICS -- TAFES ARDHI
มุมมอง 1844 หลายเดือนก่อน
#Partialyrics #tafesardhi #lpuS11 #nakuaminiyesu ...................................................................... LYRICS Nakuamini ewe Yesu Roho yangu taiponya U Bwana wangu Ewe Yesu Naomba usikawie Utende na kwangu Ewe Yesu Ufanye na kwangu Ewe Yesu Utende na kwangu Ewe Yesu Naomba usikawie Naomba usikawie.... ............................................................................ L...
AMENIPIGANIA LYRICS - TAFES ARDHI
มุมมอง 5635 หลายเดือนก่อน
@tafesaru @partialyrics @Partial-Instru #gospelmusic #musiclyrics #lyrics #lpu #inchristibehold #ardhiuniversity LYRICS Amenipigania Huyu Yesu ameshinda Kapigana upande wangu Mimi nami nimeshinda Nimeshinda naye Yesu wangu Ni nguzo yangu Na mwamba wangu Mwanadamu anitende nini Ni Jenerali tena Jemedari Nimeshinda naye Yesu Nimeshinda naye Baba Adui anitende nini Nimeshinda naye Yesu Nimeshinda ...
Amenijibu Lyrics - Zion ft Walter Chilambo
มุมมอง 63K6 หลายเดือนก่อน
#zion #walterchilambo “HIVI MNAKAJUA KALE KAFEELING KA KUJIBIWA MAOMBI NAONA RAHA🥰😇” SUBSCRIBE 📌 @partialyrics @Partial-Instru
There is more LYRICS - Essence Of Worship ft Henrick Mruma
มุมมอง 7616 หลายเดือนก่อน
@essenceofworshipministries @henrickmruma #thereismore Lyrics by: PartiaLyrics Tiktok: PartiaLyrics SUBSCRIBE SHARE LIKE COMMENT
JOEL LWAGA - HAPA NI WAPI LYRICS
มุมมอง 7K6 หลายเดือนก่อน
@joellwaga @partialyrics #wapilyrics LYRICS Je ni nani Aliyesema hatutafika mbali Je ni nani Aliyesema hatutafika popote Hapa ni wapi Hapa ni wapi Si kwa nguvu zetu Ni kwa nguvu za Mungu Hapa ni wapi Hapa ni wapi Si kwa uweza wetu Ni kwa uweza wa Mungu Wako wapi Wale waliotukatisha tamaa Wako wapi Wale waliosema haitakuwa Hapa ni wapi Hapa ni wapi Si kwa nguvu zetu Ni kwa nguvu za Mungu Hapa ni...
Bado ninakuamini Lyrics - Neema Gospel Choir
มุมมอง 11K7 หลายเดือนก่อน
@NeemaGospelChoir @partialyrics #badoNinakuamini Lyrics video by @partialyrics LYRICS Nianze na wewe Nimalize nawe Safari yangu Iongozwe Ukiniacha Nitapotea Bwana Ukiniacha Nitaangamia Ukiniacha Nitapotea Bwana Usiruhusu Yatokee haya Kimbilio langu Umebaki mwenyewe Msaada wangu Umebaki mwenyewe Kimbilio langu Umebaki mwenyewe Wewe tu Wewe tu Bado ninakuamini🙌
PERMANENT LYRICS (WITH ENG SUBTITLE) - Neema Gospel Choir
มุมมอง 6607 หลายเดือนก่อน
#permanent #neemagospelchoir #temporary Tulianza na Temporary th-cam.com/video/dxVWZgo1Ovg/w-d-xo.html now tumefunga mkataba wa baraka ambao ni PERMANENT💥💥💥💥 Please SUBSCRIBE: PartiaLyrics Like Comment Share "Tumefunga nae mkataba Baraka sisi Mungu anatupaga Ulinzi wake tu unatoshaga Haki zetu anapiganiaga.. Oooh Oooooh HATUTANYANG'ANYWA TENA....."
TUBARIKI LEO LYRICS -- Neema Gospel Choir
มุมมอง 5338 หลายเดือนก่อน
#neemagospelchoir #tubarikileo #partialyrics Maombolezo 3:31 “Kwa kuwa Bwana hatamtupa mtu Hata milele.” SUBSCRIBE LIKE COMMENT SHARE LYRICS Ulisema hautaniacha kamwe Ulisema hautaniacha kamwe Hadi mwisho wa dahari Hautatuacha kamwe Ulisema hautatutupa nje Ulisema hautatutupa nje Kila ajaye kwako wee Hautamtupa nje Baba tunaomba Utubariki leo Tumeng'ang'ana nawe Utubariki leo Hatuna mashaka na ...
KANISA LYRICS -- Paul Clement (WITH ENGLISH SUBTITLE)
มุมมอง 3879 หลายเดือนก่อน
LYRICS Kanisa ni lipi Kati ya hivi viwili Jengo na sisi Kanisa ni lipi Maana tunayemwabudu Haishi kwenye jengo hili Anaishi ndani yetu Si mwingine ni Mungu Kwahiyo kanisa ni lipi Kati ya hivi viwili Jengo na sisi Kanisa ni lipi Je Mungu anaishi kwenye jengo Ama jengo limembeba Mungu Ila sisi tumembeba Mungu Kwani jengo linamuhubiri Mungu Ama linamtangaza Mungu Ila sisi tunamtangaza Mungu Kanisa...
NIKUREJESHEE LYRICS - NEEMA GOSPEL CHOIR
มุมมอง 196K11 หลายเดือนก่อน
NIKUREJESHEE LYRICS - NEEMA GOSPEL CHOIR
Wasamehe lyrics -- Joel Lwaga X Walter Chilambo
มุมมอง 4.6Kปีที่แล้ว
Wasamehe lyrics Joel Lwaga X Walter Chilambo
Umenishangaza Lyrics - Joel Lwaga
มุมมอง 3.6Kปีที่แล้ว
Umenishangaza Lyrics - Joel Lwaga
Nimebaki nawe Lyrics - Joel Lwaga
มุมมอง 3.1Kปีที่แล้ว
Nimebaki nawe Lyrics - Joel Lwaga
Hatima Lyrics - Joel Lwaga FT Paul Clement
มุมมอง 6Kปีที่แล้ว
Hatima Lyrics - Joel Lwaga FT Paul Clement
MERE MAN LYRICS - PAUL CLEMENT
มุมมอง 803ปีที่แล้ว
MERE MAN LYRICS - PAUL CLEMENT
TUNATEGEMEANA REMIX Lyrics - GODFREY STEVEN ft IRENE UWOYA
มุมมอง 9Kปีที่แล้ว
TUNATEGEMEANA REMIX Lyrics - GODFREY STEVEN ft IRENE UWOYA
Uko single Lyrics - Zabron Singers
มุมมอง 14Kปีที่แล้ว
Uko single Lyrics - Zabron Singers
HEBREWS 12:22 LYRICS- Jaque Gachiri
มุมมอง 433ปีที่แล้ว
HEBREWS 12:22 LYRICS- Jaque Gachiri
SISI NDO WALE LYRICS (with ENG SUB) - Tafes Aru P&W Team
มุมมอง 840ปีที่แล้ว
SISI NDO WALE LYRICS (with ENG SUB) - Tafes Aru P&W Team
KARURA VOICES - NENA LYRICS
มุมมอง 22Kปีที่แล้ว
KARURA VOICES - NENA LYRICS
AHSANTE LYRICS - MERCY MASIKA & PAUL CLEMENT
มุมมอง 19Kปีที่แล้ว
AHSANTE LYRICS - MERCY MASIKA & PAUL CLEMENT
AHSANTE LYRICS - NEEMA GOSPEL CHOIR
มุมมอง 191ปีที่แล้ว
AHSANTE LYRICS - NEEMA GOSPEL CHOIR
UKUU WAKE MUNGU (with ENG SUB) - TAFES ARU P&W TEAM
มุมมอง 472ปีที่แล้ว
UKUU WAKE MUNGU (with ENG SUB) - TAFES ARU P&W TEAM
UKIRI LYRICS - JOHN KAVISHE
มุมมอง 500ปีที่แล้ว
UKIRI LYRICS - JOHN KAVISHE
ZAWADI (with ENG SUBTITLE) - PAUL CLEMENT
มุมมอง 8Kปีที่แล้ว
ZAWADI (with ENG SUBTITLE) - PAUL CLEMENT
MASERAFI WANAIMBA LYRICS (with ENG SUB) - HENRICK MRUMA ft NICKSON KANYELELE
มุมมอง 1Kปีที่แล้ว
MASERAFI WANAIMBA LYRICS (with ENG SUB) - HENRICK MRUMA ft NICKSON KANYELELE