Shukulu mungu kwa ulichonacho mungu mwema hiii dunia usizarau mtu na usijizarau kwa ulichonacho sote tunazikwa chini ilimladi mkono uende kinywani mungu akuongezee kijana🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🇹🇿
Nafikiri Mh. Mkuu wa Mkoa atajifunza ni nini mahangaiko ya wannanchi katika uhalisia wake anayowajibika kukabiliana nayo, na si hayo anayoyavalia njuga. Nimejisikia uchungu sana!
@@isayaambose219 Nikweli hakuna km mama kukubeba tumboni miezi tisa mpaka unazaliwa ni kujitolea maisha tosha, ni mama wangapi wanapoteza maisha katika harakati za kuleta watoto duniani? Je? Unaweza kulipa huo uchungu anaopitia mama? Km hauwezi basi itoshe kusema kila mzazi anamchango mkubwa sana kwa nafasi yake.
Kg ni sh 300 sio 500 sasa km kila ck unapata kg 20 x 300=6000 je elf kwa dar mke na watoto 2 kila mtoto asubuh 600 za shulen ni sawa sh 1200 kwenye 600 imebaki sh 4800 ebu ipige maesabu ya matumizi ya nyumban adi ibaki ili kesho vua ikinyesha uyu baba abaki kwa sababu akiba ipo jaman cc maskin ndio tunapata tabu mno
imagine nchi ina madini mengi ila wanaofaidi wachache hayo madini ni ya nchi nzima maana hawakuzalisha wao wamekuta madini ardhini mtu anakuja kudai shimo la kwake how😮??africa hatukupaswa kua umaskini hata chembe
Afu unakuta mtt mzazi anapambana mpaka mzazi kuhatarisha yake kisha mtoto akiambiwa asome kwa bidii ili apate maisha bora ya baadae kisha mtt anapuuza 😢😢😢
Pamoja na mvua au jua,cha msingi anafanya kazi japo katika mazingira magumu na hatarishi lakini,natumaini angepata fursa nyingine labda anger hana na hiyo ya makopo.Sasa,tunatakiwa tumsaidie yeye na wengine kama yeye ili wapunguziwe mizigo hiyo mizito.Tukiendelea kuwaangalia na kutoa comments bila kuchukua hatua haisaidii.Serikali iangalie swala hili kwa umakini.Ni wapiga kura wao.
Yakujitakia hayana majuto mtu anaona maji yamezidi kufurika yy anaingia akisombw na maji atasema ni bahati mbaya? Kwa sasa tulieni majumban mvua zimechachamaa acheni kwanza ipite jamani😮😮
Watulie majumbani utawapelekea kilo ya unga Kwa ajili ya watoto wake? Vipato vinatofautiana kuna watu wasipotoa mguu nyumbani hata siku moja familia inalala njaa
Wewe Unauwezo wakulala ndani ata mwez na ukala ww na familia yako. Usidhan kila mtu ako na financial status kama yako. Kwan ni wewe tu ndo unaogopa kufa?
Yani ungeuliza simu namba yake halafu Nitumie Kama laki 2/3 halafu umwambie akatulie kwanza mvua zipunguwe maneno yako yangekuwa na afya. Lakini unavyomuona kama hana akili unakosea sana, angalia maisha hayatabiriki lakini
Mungu akusaidie James,najua unapambana familia ipate chakula,basi akuzidishie upate Kwa urahisi.
Aamin
Amina
Ameen
Nimeishafika @@issashekh4726
Ameen
subhanallah mwenyezi Mungu atufanyiye wepesi katika utafutaji wa riziki zetu inshallah
Mungu akulinde Kaka na akuepushe na majanga yote kwa jitihada unazozionyesha kupambania familia yako ili isonge mbele barikiwa Sana🙏🏽
Shukulu mungu kwa ulichonacho mungu mwema hiii dunia usizarau mtu na usijizarau kwa ulichonacho sote tunazikwa chini ilimladi mkono uende kinywani mungu akuongezee kijana🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🇹🇿
Hongera wanaume wote mnao jua majukumu yenu
Ki ukweli kabsa nasema wanaume sisi ndio kichwa cha FAMILIA mungu atupe maisha MAREFU tu
Sasa hawa ndio tuwachange wapate mitaji sio wanaofanya sherehe.
Umenenaaa kaka
😂(sio kwa ubaya) kwahyo nawewe ukiwa na sherehe auitishi michango?
@@nancyg8664mungu hatambui izo sherehe ila ukimpa kama huyu wema wako ni mkubwa sana kwa mungu
Mungu akufanyie wepesi wa maisha lnshaallah
Daah tanzania yetu mungu atusaidie hali inazidi kua mbaya
Nafikiri Mh. Mkuu wa Mkoa atajifunza ni nini mahangaiko ya wannanchi katika uhalisia wake anayowajibika kukabiliana nayo, na si hayo anayoyavalia njuga. Nimejisikia uchungu sana!
Aliye shiba hamtambui mwenye njaa !!
Kweli inauma
Nimejickia vibaya kwakweli mungu akuinulie mtu atakaye kushika mkono upate kitu cha kufanya ili uweze kutunza familia Yako🙏
Mungu ni mwema atatusaidia kwenye utafutaji wetu
duh maisha haya jamani.Mungu tusaidie
Mungu akusaidie sana ndugu yangu mtanzania mwenzangu
Mungu wabariki wanaume zetu wapate riziki kirahisi wanteseka Sana
Mungu awe upande wako daima na ukafanikiwe
Kazi ni kazi
Mtagute huyu baba atuambiee ana taka biashara gani tumchangiee msingi naaza mm elfu 10 najuwa hata kosa
Kweli kabisa
Duuh maisha haya mungu atusaidie
Safi mwamba pambana.
Dah! Kweli umaskini mbaya imagine mtu anahatarisha maisha yake ili familia wale, Mungu amsaidie apate kipato kingine zaidi ya hapo
Halafu utaskia nani kama Mama...
@@isayaambose219 Nikweli hakuna km mama kukubeba tumboni miezi tisa mpaka unazaliwa ni kujitolea maisha tosha, ni mama wangapi wanapoteza maisha katika harakati za kuleta watoto duniani? Je? Unaweza kulipa huo uchungu anaopitia mama? Km hauwezi basi itoshe kusema kila mzazi anamchango mkubwa sana kwa nafasi yake.
Amiin Amiin Amiin
Sahihi@@bernadlydia296sahihi
Sio wababa wote wanatimiza majukumu hata huyo james labda kwa sababu anahojiwa ndio anasema hayo si ajabu wala sio kwa ajili ya familia yake
Natamani namba yake nimtumie angalau kidogo jamani imenigusa sana😢😢😢
Inaumiza kiukweli maisha yetu ya baadhi ya watu yalivyo magumu
😢khaaaa mskini maisha haya utafutaji wawanaume umekuwa mgumu ,ukisikia wanaume tumeumbwa mateso kuhangaika ndo huku
Halafu akirudi,mwanamke analeta mdomo na dharau
Si vizuri 😏😊
Bora umpate mwanaume kam huyu Mara elfu kuliko mariooo
ili umchiti na wenye pesa
Alafu mwanamke ukirudi home anakuambia ulikuwa haupokei simu upo kea malaya zako daa!! Sisi wanaume tuna kivumbi asee😢
Mshapata kivuli
@@ZainabuMteti hahahahah 😂 ila mnatuonea sana muamgalie mwamba anayo yapitia
Eee Mwenyezi Mungu msaidie baba huyo.
Yani ningekuwa na hela ningekupa uanze biashara ila daa pole kaka ila hebu acha kwa kipindi hiki hatari
Mkubwa Mungu🙏🙏
Watanzania wachafu sana
Maisha Magumu Apend Ivo
500x 15kg =Tsh 7500, hapa ni uwezo wako muda na upatikanaji. Unaweza kupata pesa zaidi. Kizuri haulipii gharama yoyote kuokota Kopo
Kg ni sh 300 sio 500 sasa km kila ck unapata kg 20 x 300=6000 je elf kwa dar mke na watoto 2 kila mtoto asubuh 600 za shulen ni sawa sh 1200 kwenye 600 imebaki sh 4800 ebu ipige maesabu ya matumizi ya nyumban adi ibaki ili kesho vua ikinyesha uyu baba abaki kwa sababu akiba ipo jaman cc maskin ndio tunapata tabu mno
matangazo mengi millard adi kero
Kwanza uchafu wote huo unawekwq pembeni daah aisee
Mngetusaidia namba yake angalia apate mtaji
Alafu huyu Brooke alipiga kura na akachagua viongozi eti .wanamsaidia Nini kwenye maisha yake?
Nchi za wezetu awanashida ya makopo maskin npo Oman muscat makopo tunatpa tu
Nchi za watu hzo
@@emnanuelimtui1805 yaa ni kweli kabisa
Mm nauza siso nipohukuhuku oman😂😂
Mbona South Africa ninchi Imeendelea sio kama Oman Wanaiita af America Nawanamaisha mazuri lakini makopo Yanauzwa
siku akija kuvimba na lambogini..ataonekana bishooo tu kumbe alipotoka noma
imagine nchi ina madini mengi ila wanaofaidi wachache hayo madini ni ya nchi nzima maana hawakuzalisha wao wamekuta madini ardhini mtu anakuja kudai shimo la kwake how😮??africa hatukupaswa kua umaskini hata chembe
Napataje no zake
Naomba namba ya james angalau hata nikimpatia chochote nahisi nitabarikiwa
Ayo tv tunaomba msaada makurunge kiluvya secondary msaada wa daraja tuna watoto wanavuka pale
milard ayo unakatisha sauti . mwache jamaa aongee tuyaskie. uhuru wa kuongea kwa mwanadamu ni lazima uwepo usiogope tunakulinda
Kama uko kwenye nafasi unakula unashiba mshukuru MUNGU, kuna mtu kula yake ni ya damu na jasho, MUNGU akutie nguvu Mr
Afu unakuta mtt mzazi anapambana mpaka mzazi kuhatarisha yake kisha mtoto akiambiwa asome kwa bidii ili apate maisha bora ya baadae kisha mtt anapuuza 😢😢😢
Hivi kusoma inakupa uhakika wa maisha Bora ?
@@alexchungu6263 mwenye elimu sio sawa na asiye na elimu! tena hao ni watu wawili wenye utaofauti mkubwa sana
Kama kweli uchukuagi kitu Cha mtu bac
Mungu ajisaidie,
Ila wengi wenu munachukuaga viatu vya watu,
Mimi walinichukulia betri ya gari
Si aende kijijini tu sasa maisha gani haya
Nani kama baba,ila wasanii hamjawahi kufikiria kuwaimbia baba wote wapambanaji aisee mm nitawaimbia
Tujifunze kupitia humu HAWA NDIO wakusaidiwa na sio wanao saidiwa niwale wenye kujiweza au kwenye maswala ya upuuzi
Sasa wekeni hata number yake...ili watu walioguswa wasaidie kidogo..please weka contact zake
😢😢😢😢
Tabat darrajan maji ya apo yanakas sana
Nani kama mama ila dah,wababa wanateseka saaana
MUNGU TUSAIDIE UMASKINI NI KITU KIBAYA SANA. MUNGU MPE UJASRI WA UVUMILIVU AENDELEE KUPAMBANIA MAISHA YAKO NA FAMILIA YAKO.
Mathayo 24 alisema mkuona hayo yote mjue ni dalili za kuludi kwakw mwana wa adamu
Hapa ujerumani chupa ni dili hata wazungu wanafanya
Angalau anapunguza taka.
Kexho watoto wamefan8kiwa mama ety amtaki mwenzio
Nani kama Mama? Watoto wake wakikua wataimba hivi believe me guys.
Pamoja na mvua au jua,cha msingi anafanya kazi japo katika mazingira magumu na hatarishi lakini,natumaini angepata fursa nyingine labda anger hana na hiyo ya makopo.Sasa,tunatakiwa tumsaidie yeye na wengine kama yeye ili wapunguziwe mizigo hiyo mizito.Tukiendelea kuwaangalia na kutoa comments bila kuchukua hatua haisaidii.Serikali iangalie swala hili kwa umakini.Ni wapiga kura wao.
Tukutane tarehe 24/1, kwenye maandamano ,
MAISHA YAMEKUA MAGUMU MNOO
Nchi nyingine hawa jamaa wangelipwa kwa kusafisha jiji
This is Africa, right?
Hata km niziki Ni hatari sana acheni familia utawaliza
Mung atuone watanzania hali ngum
😢😢😢😭😭😭emungu
Jamani😢
Sub-hannallah!!!
VIONGOZI WETU HAPO MMEJIFUNZA NINI? WANANCHI TUNATESEKA SANA HAO MAFISADI WANAO TUIBIA KODI ZETU WAKIBAINIKA WANYONGWE,
Millard saiv hampo serious yan hii ni stor mmetupandishia dag!
l
Yakujitakia hayana majuto mtu anaona maji yamezidi kufurika yy anaingia akisombw na maji atasema ni bahati mbaya? Kwa sasa tulieni majumban mvua zimechachamaa acheni kwanza ipite jamani😮😮
Watulie majumbani utawapelekea kilo ya unga Kwa ajili ya watoto wake? Vipato vinatofautiana kuna watu wasipotoa mguu nyumbani hata siku moja familia inalala njaa
@@selemanmaganga-le4zg😢😢 kwa kweli
Wewe Unauwezo wakulala ndani ata mwez na ukala ww na familia yako. Usidhan kila mtu ako na financial status kama yako. Kwan ni wewe tu ndo unaogopa kufa?
Yani ungeuliza simu namba yake halafu Nitumie Kama laki 2/3 halafu umwambie akatulie kwanza mvua zipunguwe maneno yako yangekuwa na afya.
Lakini unavyomuona kama hana akili unakosea sana, angalia maisha hayatabiriki lakini
Umtumie sio unitumie