Mafuriko Kigogo Dar! Waathirika wawaka "Tumechoka kuishi kama Ndege ..."

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 25 เม.ย. 2024
  • Mvua zinazoendelea kunyesha maeneo mbalimbali nchini, baadhi ya wananchi wamejikuta wakishindwa kuendelea na shughuli zao kutokana na nyumba zao kuzingirwa na maji.
    Baadhi ya wananchi wamelazimika kuzikimbia nyumba zao . Wakati huo hali inakuwa mbaya kwa watoto, wagonjwa na wazee ambao hutafutiwa hifadhi kwenye nyumba za jirani na za ibada.
    Mkazi wa Kigogo Mbuyuni jijini Dar es Salaam, Samwel Julius akizungumza na Mwananchi Digital leo Aprili 26, 2024 amesema mvua inaponyesha wanajikuta wanakuwa wakiishi kama ndege hivyo wameiomba Serikali iwaondoe eneo hilo lakini kwa kuwalipa fidia.
    #samiasuluhuhassan #simbasc #yangasc #mashabiki #nbcpremeireleague #cafchampionsleague #cafconfiderationcup #ikulumawasiliano #entertainment #music #news #yangasc #simbasc #cafchampionsleague #mayele #highlights #cafconfiderationcup #riversunited #mashabiki #yangaleo #yanga #timuyawananchi #daimambelenyumamwiko #entertainment #music #news #magoliyasimba #magoliyayanga #magoliyote #magoliyamayele #mayele #aziziki #manara #manaraleo #ikulumawasiliano #magufuli #kikwete #mayele #singidabigstars #magoliyamayele #magoliyasimba #magoliyayanga #highlights #azamsportsfederationcup #chama #Shot #mamelodisundowns #alahlytv #alahlysc #miraj

ความคิดเห็น • 45

  • @JajiZakayo-fw9mk
    @JajiZakayo-fw9mk หลายเดือนก่อน +1

    Mlionywa na nabii wa Mungu mapema mkamdhiaki .

  • @frankmwinuka6298
    @frankmwinuka6298 หลายเดือนก่อน +1

    Poleni sana

  • @christinacharles6852
    @christinacharles6852 หลายเดือนก่อน +1

    Poleeen San tutubu kwa maana ufalme wa mbingun umekaribia

  • @khaliduhadi2336
    @khaliduhadi2336 หลายเดือนก่อน +1

    Nani aliwaambiwa mkae uko mabondeni na hali mnajuwa maji huwa yanakuja wakati ni eneo la maji,yakitokea mnalaumu serikali especially mpangaji anapanga vip uko bondeni hali akijuwa maji yanakuja.mjitafakali njie watanzania ndugu zeetu.

  • @danfordchristian-fz6km
    @danfordchristian-fz6km หลายเดือนก่อน +4

    Mmechoka kwani hamkujua huo mkondo wa maji ivi ninyi mnataka serikali ifanyaje

  • @wazirihamisi6484
    @wazirihamisi6484 หลายเดือนก่อน

    Subhanallah huu mtihani

  • @CNsiaMaletnlema-pr9ri
    @CNsiaMaletnlema-pr9ri หลายเดือนก่อน +1

    Mapaa mengi hayana "gutters" na hifadhi za maji ya mvua hamna.

  • @user-uj8lh8fj4j
    @user-uj8lh8fj4j หลายเดือนก่อน +1

    Serikali inatakiwa watu wa kigogo msimbazi, bugurun kwa mnyamani Nk inatakiwa serikali itafute wawekezaji wapanunue maana ni karibu na mji hivyo hapafai kuwa na majengo kama ya yale

  • @saidimmambe
    @saidimmambe หลายเดือนก่อน

    Pole ba
    Bu

  • @stevenfumbi9566
    @stevenfumbi9566 หลายเดือนก่อน +1

    Mkuu wetu wa mkoa alisema maji yanatusaidia kuhamisha watu mabondeni sasa mhame mtakufa serikali yetu ina mambo kibao yakufanya sio kuwapa nyie hela mlioamua kuishi bondeni mtakufa shauri yenu

  • @halimakihame1744
    @halimakihame1744 หลายเดือนก่อน

    Kila mwaka mnalijuwa hilo kwa nn hamjionhezi kila mwaka mna lala mika.mmekaa bondeni sana

  • @israelkisaila8401
    @israelkisaila8401 หลายเดือนก่อน +3

    Muhame huko

  • @thomasmarutu7834
    @thomasmarutu7834 หลายเดือนก่อน

    Bahari ya kigogo kumbe kubwa pole sana

  • @verantarimo4042
    @verantarimo4042 หลายเดือนก่อน

    mungu asimame pamoja nasi

  • @christinacharles6852
    @christinacharles6852 หลายเดือนก่อน +1

    Hapo serikali au Mama Samia hausiki mwisho wa Mambo yote umekaribia bibilia inasema, sikuzsmwisho kutatokea njaa Vita n.k.

    • @JamesJastin-bg1rx
      @JamesJastin-bg1rx หลายเดือนก่อน

      Nawew unaongea nin domo kama vilimbi

  • @mikemnyamwezi7856
    @mikemnyamwezi7856 หลายเดือนก่อน

    Duh

  • @rasnchimbi
    @rasnchimbi หลายเดือนก่อน +2

    Watu wahamishwe hilo eneo halifai.😢

    • @israelkisaila8401
      @israelkisaila8401 หลายเดือนก่อน +2

      Huwa hawataki,tangu kipindi cha kikwete, walikataa kwenda mwagwepande,wanasema wao hawatoki mjini

  • @dorothmsuya1686
    @dorothmsuya1686 หลายเดือนก่อน +1

    Tatizo hamtaki kutoka mjini! Mmeng'ang'ania mjuni mnajiona wajanja! Tokeni njooni huku pembezoni make kwa amani. Serikali haijawapa viwanja huko! WABISHIII!😂😂😂

  • @user-pp7ug2bc1y
    @user-pp7ug2bc1y หลายเดือนก่อน

    Khaaaa

  • @BrunoNamanga
    @BrunoNamanga หลายเดือนก่อน

    Huyo nae ana ufagio anafagia maji
    😢😢😢😢

  • @dorothmsuya1686
    @dorothmsuya1686 หลายเดือนก่อน

    Angalieni huko Kenya mafuriko kama yote! Mungu wetu amekasirika na maasi yetu wanadamu!

    • @Everline398
      @Everline398 หลายเดือนก่อน

      Wewe ni mkristo wa wapi Mungu alishasema hatoangamiza tenaaa kwa maji. Haya ni matokeo yetu sisi wenyewe ya kushindwa kutunza mazingira

    • @dorothmsuya1686
      @dorothmsuya1686 หลายเดือนก่อน

      @@Everline398 Yawezekana pia!

    • @MiriamAbdallah
      @MiriamAbdallah หลายเดือนก่อน

      ​@@dorothmsuya1686MUNGU sio mwongo ndio yajirudie

  • @HildaPaul-hm4jk
    @HildaPaul-hm4jk หลายเดือนก่อน +1

    Si walihamishiwa mabwe pande hawa

  • @user-mx8dr6zt2g
    @user-mx8dr6zt2g หลายเดือนก่อน

    Viwanja mulipewa na serikali basi mudai fidia kama ni Mashamba mulinunua kwa kukatiana basi haho ni ydnu

  • @msafirimfilinge8222
    @msafirimfilinge8222 หลายเดือนก่อน

    Kwani mlijenga mabondeni???????😂😂😂😂😂😂

  • @user-uj8lh8fj4j
    @user-uj8lh8fj4j หลายเดือนก่อน

    Wapeni wawekezaji maeneo kama hayo serikali

  • @subiralema
    @subiralema หลายเดือนก่อน +3

    Jamani rudini kijijini

    • @mariamdullazy8166
      @mariamdullazy8166 หลายเดือนก่อน +1

      Dar ndio ulaya hiyo mtu hataki sikia kijijini 😅

    • @BrunoNamanga
      @BrunoNamanga หลายเดือนก่อน

      Wewe uko wapi

    • @user-od2mc4mj4e
      @user-od2mc4mj4e หลายเดือนก่อน

      Kijijin Raha sana lait wangejua

    • @FerdinandCharles-ko7de
      @FerdinandCharles-ko7de หลายเดือนก่อน

      Jaman cc uku dar atutaki mvua mungu tusikilize tupe tu jua siku zote kwanz atuna mashamba

    • @aishafrancis7714
      @aishafrancis7714 หลายเดือนก่อน

      Kijijini hakuna mvua?😅

  • @user-cg6iy2et7q
    @user-cg6iy2et7q หลายเดือนก่อน

    Acheni zambi. Mludieni mungu. Amechukia. Ushoga. Kusagana

    • @mtolela12
      @mtolela12 หลายเดือนก่อน

      True maovu mengi hili jiji limeshaingiliwa na waovu

  • @susanslife123
    @susanslife123 หลายเดือนก่อน

    Kumbe mafuriko iko kila nchi

    • @drookiemaik8393
      @drookiemaik8393 หลายเดือนก่อน

      Yh. Nimenotice iyo pattern pia. Noma sana

  • @annapeter6065
    @annapeter6065 หลายเดือนก่อน

    Acha kulaumu serikali baba! Si uhame huko?

  • @user-bs2nr7gz5p
    @user-bs2nr7gz5p หลายเดือนก่อน +1

    Sasa unalalamikia serekali kwani ndio wsliokwambia ujenge kwenye huo mto mwisho Unasema usipunjwe sasa unataka uhamishwe halafu unaweka mkwara usipunjwe

    • @carolinemariki4029
      @carolinemariki4029 หลายเดือนก่อน

      Kabisa halafu anatoa na condition 😮

  • @user-yc4gk5ph6x
    @user-yc4gk5ph6x หลายเดือนก่อน

    Nabii kasema token