Ameen. Niliangalia nyimbo hizi miaka ya 2000 nikiwa kijana mdogo sana, lkn hadi leo kila ninapoangalia na kuzisikiliza nafeel uwepo wa Mungu ktk hizi nyimbo. Mbarikiwe sana watumishi wa Mungu
Kweli Mungu ni wa kuabudiwa milele na hajawahi kuacha kusema tangu zamani hizo. Tunashukuru kwa nyimbo hizi zenye nguvu nyingi ya MUNGU . Zinagusa sana.
Jamani nawasalimu nyote waliyo kpmbolewa kwa damu yake mwana kwondo Yesu Kristo tafadhari mimi natafuta full Album ya Nyimbo hizi SISI NI BARUA ALBUM kama unzo zote nitumie (+27659161227) Mungu alakulipeni pls
Ameen. Niliangalia nyimbo hizi miaka ya 2000 nikiwa kijana mdogo sana, lkn hadi leo kila ninapoangalia na kuzisikiliza nafeel uwepo wa Mungu ktk hizi nyimbo. Mbarikiwe sana watumishi wa Mungu
2024 bado tuko tunapata ujumbee
hakika kweli, now since 1994 i am fan of these songs , kbs Mungu ni mwema. Asante for sharing ndugu
Ameen. Niliangalia nyimbo hizi miaka ya 2000 nikiwa kijana mdogo sana, lkn hadi leo kila ninapoangalia na kuzisikiliza nafeel uwepo wa Mungu ktk hizi nyimbo. Mbarikiwe sana watumishi wa Mungu
Jamani nawakumbuka sana mlikuwa mkiniletea kaseti za nyimbo hizi miaka ya 1990 nikiwa Mang, ula Benki ya NBC. Mbarikkiwe sana tena sana❤❤❤❤
Duh, hizi nyimbo ni very spiritual, Mungu awabariki Sana waimbaji popote mlipo, nyimbo za heshima mno mbele za Mungu
Nimeupensa❤
Mungu awabariki Mapigano Ulyankulu Kwaya,nakumbuka mwanzoni mwa miaka ya tisini,mpaka sasa nyimbo hizi huwa zinanibariki sana
Kweli Mungu ni wa kuabudiwa milele na hajawahi kuacha kusema tangu zamani hizo. Tunashukuru kwa nyimbo hizi zenye nguvu nyingi ya MUNGU . Zinagusa sana.
Ndugu Elphaza nakupenda hisii. Ubarikiwe sana kwa sauti yako nono. Inatupasa sote kuoka ili Mungu azindi kutupa baraka rohoni.
Tumebarikiwa sana na nyimbo hizi kabisa. Tafadhala natamani kupata "wanafunzi wa yesu baharini"
Muogopeni Mungu jamani
OGOPA maana WOKOVU ni lazima2024/08/15🎉
Nawashukuru watungaji wa nyimbo hizi Mungu awabariki Sana waimbaji popote mlipo, nyimbo za heshima mno mbele za Mungu na zina upako mbele za Mungu.
2
Mungu awabariki saana Injili mliieneza kwa haki
Mungu awabariki sana sana
Wanafunzi wa yesu mmepeleka injili ya kristo alipo watuma nasi tumeipokea zaidi sana tukutane mbinguni tukaimbe wimbo wa musa na mwanakondoo barikia
nyimbo zenu zina ufunuo wa kumfanya mtu amjue mungu hata kama alimsahau. mbarikiwe sana
WOKOVU hudhihirishwa ktk tabia ya mtu
Mungu awabariki yaani mliimbe vizuri sana wapendwa
1998 mara yangu ya kwanza kuitizama hii album ya hawa watu leo ndo nagundua waimbaji wengi walikuwa waha.
nitaipataje CD ya hizi nyimbo nawapenda sana wananibariki sana
Mungu awabariki kwa uimbaji mzuri
watu Hawa Mungu aliwatumia sana
vyombo vimeimba na sauti ndio kabisa cjui hii kwaya iko wapi kwa sasa mungu awabariki sana
Mbarikiwe sana,asante sana.
Jaman Mbalikiwe Nimezipata Izi Wimbo Hapa.
hakika htuwezi kupona bila kujali wokovu ndio kila kitu
kweli mliweza Mungu yu mwema
Nabalikiwa sana nikisiki wimbo uu munalikiwe sana
Barikiwa sana
Blessings amen
nyimbo hizi ni nzuri sana ukizingatia ni za muda mrefu bado zipo juu jamani hii kwaya ilipotelea wapi?
Nuru Elius Ipo ulyankulu Tabora mpendwa. binafsi nawapenda sana uimbaji wa namna hii ni adimu siku hizi
jonathan KIZINDO mbona sasa hawa imbi ? Wako wapii?
ina patikana mukoa wa tabora
Wapo mpaka Leo na wanaimba bado Bwana amewatunza kumtumikia Mungu kuna faida uhai pia anazidisha
Nimefurah sana kupata hiz nyimbo
Hawa watu wangalipo kweli
??
inapendezaaa....unabarikiwa kwa neno
Hiv jamani hi kwaya bad ipo??
Eunice Mshomi that’s my question too.
Nawapenda sana
sisi tutapataje kupona tusipojali wokovu mkuu namna hii. baraka tele tele
Vêtements 🙏
amen