Tumuombee kwa Mwenyezi Mungu amlinde Sana,amkinge na mipango yote ya waovu wale "Mbwa Mwitu" wasije kumrarua Mwabukusi! Hongera Mh.Rais wa TLS kwa kazi nzuri, Wananchi Watanganyika tuna Imani na wewe. Mwabukusi nimekuelewa na nakuelewa Sana,Mungu awe pamoja na wewe katika kila hatua,Ameni.
Mh.Rais wa TLS Boniphace Mwabukusi, Wewe ni sauti ya Wanyonge Sauti ya HAKI, natoa ushauri wangu kwako,Hebu pigania haki ya TLS kuwa na uwakilishi Bungeni,yaani Bunge linapokaa na kuendelea na vikao vyake mbalimbali tunahitaji TLS iwe na uwakilishi wake Bungeni, kutoa maoni,kuchangia hoja mbalimbali pia hata wakati wa kupitisha mikataba mbalimbali Bungeni TLS ihusishwe kutoa maoni na kupitisha mikataba na Bajeti ya Taifa pia! Hebu fuatilia hiyo ikiwezekana yawekwe kwenye Katiba! Pia TLS ifuatilie kwa utaratibu kwanini Serikali haitaki kuleta mchakato wa Katiba mpya mapema ili tupate Katiba mpya!!!???
TLS,mlipata nafasi ya kutembelewa na JM siku kadhaa zilizopita,Je,mlikumbuka kuuliza swali kwamba maamuzi ya Mahakama yanaingiliwa na Siasa.mf. Kesi ya DPW Mbeya?
Niko Na Matumaini Makubwa Sana Kuona Mwanzo Mzuri Wa Kuwa Na Mazungumzo Kwa Nyie Watanzania Wenye Uwezo Mkubwa Wa Uelewa Wa Sheria Zinazoiongoza Nchi Yetu Kwamba Mumefikia Mlikofikia.Mazungumzo Ya Wananchi Kwa Wananchi Ni Tofauti Ya Mazungumzo Kati Ya Wananchi Wanasiasa Na Wananchi .Ninaamini Mtaleta Mabadiliko Chanya Ktk Taifa.
Sheria zitungwe kuzingatia ulinzi wa rasilimali za umma, uhuru ,haki na maendeleo Ya watu....tusiishie tu kutunga sheria ya kukandamiza kikundi flani Cha jamii...na kujifunza kuishi tulichotunga...sio hapa paseme uhuru wa kuandamana, then mahali flani jamii inahisi inaonewa then wakitaka kuandamana kutoa kilio chao mnawazuia...
N9 vyrna kutumia soko la tanzania kwa watanzania lakini msisahau kuwa ushkndani si.kitu kubaya bali ni kuifunza, kujiimarisha na kutokubweteka katika soko la kidunia.
Wewe ume-compromise hadhi na maslahi ya Mhimili wa Mahakama kuwa mtumwa wa Mhimili wa Utawala. Haijawahi kutokea Jaji Mkuu kuhudhuria hata viji-function/activities za Rais. Ni aibu na fedheha kwa nchi n taaluma ya sheria.
Watanganyika piganieeni nchi yenu ya Tanganyika Mh mwabukusi anafaa kua Rais wenu Ssi wazanzibari tunahisi hamuwezi kujiendesh bila Zanzibar Baada wazanzibari kuliona hilo ndio maan tumewapa Rais mwanamke ten mzanzibari Ssi wazanzibari soon muungano tunavunja.....
Hawa jirani zetu wanajua Wao ndio wanao faidika na muungano kuliko Watanganyika ndi sababu ya kiburi anachoonyesha huyo jamaa, haya jitahidini muuvunje tena haraka Sana tuone Nani ataathirika na Nani atafaidika maana hata Dhahabu yetu tunaibiwa na si mara ya Kwanza mmejawa na gubu ndugu zetu mnachosha.loh!
Si mnadai nyie Mwinyi ni mtu wa bara au umesahau,? Hivi unguja kuna asiye na asili na bara au penginepo, kina makame si wamakonde hao hata Mzee Karume si ana asili ya Malawi unacho jivuna nacho nini, Eddington Kisasi hakuwa mchaga, Mwakanjuki hakuwa mnyakyusa wenye visiwa vyao Wakojani, Watumbatu na Wahadimu wengine wote wakuja, wacha kiburi.
LOVE LOVE LOVE MWABUKUSI ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
Mwabukusi hoyeeeeee namkubari sana mwabukusi bonge Moja la zawadi kutoka Kwa Mungu hakika Kila kitu ni safi
Tumuombee kwa Mwenyezi Mungu amlinde Sana,amkinge na mipango yote ya waovu wale "Mbwa Mwitu" wasije kumrarua Mwabukusi!
Hongera Mh.Rais wa TLS kwa kazi nzuri, Wananchi Watanganyika tuna Imani na wewe.
Mwabukusi nimekuelewa na nakuelewa Sana,Mungu awe pamoja na wewe katika kila hatua,Ameni.
Asante jaji mkuu,tunahitaji sheria zitakazolenga kumnufaisha mwananchi wa kawaida pia, siyo maslahi kwa Mawakili tu!
Mh.Rais wa TLS Boniphace Mwabukusi, Wewe ni sauti ya Wanyonge Sauti ya HAKI, natoa ushauri wangu kwako,Hebu pigania haki ya TLS kuwa na uwakilishi Bungeni,yaani Bunge linapokaa na kuendelea na vikao vyake mbalimbali tunahitaji TLS iwe na uwakilishi wake Bungeni, kutoa maoni,kuchangia hoja mbalimbali pia hata wakati wa kupitisha mikataba mbalimbali Bungeni TLS ihusishwe kutoa maoni na kupitisha mikataba na Bajeti ya Taifa pia!
Hebu fuatilia hiyo ikiwezekana yawekwe kwenye Katiba!
Pia TLS ifuatilie kwa utaratibu kwanini Serikali haitaki kuleta mchakato wa Katiba mpya mapema ili tupate Katiba mpya!!!???
Hongera rais wa TLS wakili Mwabukusi
Mungu aendelee kukuinuwa kwenye viwango vya juu zaidi na zaidi akulinde na kila jicho hasidi Mh Mwabukusi ubarikiwe sana
❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
👍👊✌️.
Namukubali sana mwabukus ameanza kutekeleza Yale aliyo yaahidi
TLS,mlipata nafasi ya kutembelewa na JM siku kadhaa zilizopita,Je,mlikumbuka kuuliza swali kwamba maamuzi ya Mahakama yanaingiliwa na Siasa.mf. Kesi ya DPW Mbeya?
Safi sana Rais mwambukusi
Start now working for the national interest
Yes,wakae pamoja mezani
Mahakama za Tanganyika zipo chini ya serikali haziko HURU.
Niko Na Matumaini Makubwa Sana Kuona Mwanzo Mzuri Wa Kuwa Na Mazungumzo Kwa Nyie Watanzania Wenye Uwezo Mkubwa Wa Uelewa Wa Sheria Zinazoiongoza Nchi Yetu Kwamba Mumefikia Mlikofikia.Mazungumzo Ya Wananchi Kwa Wananchi Ni Tofauti Ya Mazungumzo Kati Ya Wananchi Wanasiasa Na Wananchi .Ninaamini Mtaleta Mabadiliko Chanya Ktk Taifa.
TLS hongereni kwa jinsi mnavyokwenda. Kweli lazima kuangalia vision ya nchi. Sambaeni hadi vijijini kuleta utawala wa haki na sheria.
Sheria zitungwe kuzingatia ulinzi wa rasilimali za umma, uhuru ,haki na maendeleo Ya watu....tusiishie tu kutunga sheria ya kukandamiza kikundi flani Cha jamii...na kujifunza kuishi tulichotunga...sio hapa paseme uhuru wa kuandamana, then mahali flani jamii inahisi inaonewa then wakitaka kuandamana kutoa kilio chao mnawazuia...
Jaji mkuu mushauli mama atupe katiba mpya na uhalalaka wa kesi mahakamani makalani lushwa mahakamani tusaidie mawakili njaa wapigwe musumali
Hawezi kwasababu kamteua yeye
Katiba mpya hawezi kukubali Rais maana inampa mamlaka na nguvu kuwa madarakani na kuamua chochote atakavyo
Mmemuelewa?
Dreft za Sheria ziandikwe na TLS.
N9 vyrna kutumia soko la tanzania kwa watanzania lakini msisahau kuwa ushkndani si.kitu kubaya bali ni kuifunza, kujiimarisha na kutokubweteka katika soko la kidunia.
Wewe ume-compromise hadhi na maslahi ya Mhimili wa Mahakama kuwa mtumwa wa Mhimili wa Utawala. Haijawahi kutokea Jaji Mkuu kuhudhuria hata viji-function/activities za Rais. Ni aibu na fedheha kwa nchi n taaluma ya sheria.
Kama unayo yaongea ungekuwa unayasimamia pamoja na mabadiliko tungekuwa mbali. Tatizo mahakama imejaa uccm tu
Wameona TLS itawazidi kete
Mimi mwenyew siwajui mawakil wa serikali yani ni kama hawapo yani
Kuwa jaji mkuu lazima uwe kada wa mboga mboga
@@salumntulo1589 wee kweli ee
Hapa 00 ( yaani mda huu ndio anaongelea ?)kama wakati mengi ya shatokea nyuma
Hiyo ni changamoto kama taaluma yetu haifikii kiwango cha kimataifa
Mwabikusi😂😂😂😂
1:10
Dira ya 2050 questionnaire is limited and predictable. Kindly review the method of data collection. Dira inatakiwa iwe ni warranted concussion
Mawakili hawatowi lisiti hawalupi Kodi office wengine kuwapata oficini
Wananchi hawalipi Hela inayotakiwa kisheria. Lipa hela stahiki na vilevile risiti ni haki Yako.
Maongezi mazuuuuuri,lakini utekelezaji je? 👇🏿
#katibampyanisasa #TUSIKUBALIKUSHIRIKICHAGUZIBILAKATIBAMPYA !Hiyo ni kushiriki Dhambi(kujikabidhi kwa shetani) !✍️🏿
Watanganyika piganieeni nchi yenu ya Tanganyika Mh mwabukusi anafaa kua Rais wenu
Ssi wazanzibari tunahisi hamuwezi kujiendesh bila Zanzibar
Baada wazanzibari kuliona hilo ndio maan tumewapa Rais mwanamke ten mzanzibari
Ssi wazanzibari soon muungano tunavunja.....
Nimecheka sana ndugu yangu 😂😂😂😂
Hamjatupa Rais ila Tanganyika tulimwandaa wenyewe kikatiba na tukampa heshima kututawala kikatiba. Watanganyika tunaiheshimu katiba iliyopo.
Usiongee kimihemko au bora umesema, rais wa Tanzania ni wa JMT na anapatikana kwa mujibu wa Katiba na sio kupewa na watanganyika wala wazanzibar.
Hawa jirani zetu wanajua Wao ndio wanao faidika na muungano kuliko Watanganyika ndi sababu ya kiburi anachoonyesha huyo jamaa, haya jitahidini muuvunje tena haraka Sana tuone Nani ataathirika na Nani atafaidika maana hata Dhahabu yetu tunaibiwa na si mara ya Kwanza mmejawa na gubu ndugu zetu mnachosha.loh!
Si mnadai nyie Mwinyi ni mtu wa bara au umesahau,? Hivi unguja kuna asiye na asili na bara au penginepo, kina makame si wamakonde hao hata Mzee Karume si ana asili ya Malawi unacho jivuna nacho nini, Eddington Kisasi hakuwa mchaga, Mwakanjuki hakuwa mnyakyusa wenye visiwa vyao Wakojani, Watumbatu na Wahadimu wengine wote wakuja, wacha kiburi.
Sheria Tanzania is a Joke. Kama majaji wanakula rushwa kuna maana gani ya sheria