Ata diva uwezi KUKA Nae tutaona maana kwenye hii Dunia inabidi tuwaogope sana wanaume wa acha acha kwaajili ya mwanamke mwengine utapata mwengine n'a utamuacha diva
muonge mungu we inshallh mola atakuoneshaaa lini we ulimbebaa mama yakee loo mnafaki san kwani chupa kimoja siyo chumbaa achaa mungu atakuhukumu we na we ndio uliaza kumsemaa kwenye mitandao
Pole sana kaka kwamaumivu unayo yapata yalinikuta namimi kisu kuvunjika na chongo ikanirukia mujicho nimesha pasuliwa mara 2 lakini bado alijawa sawa ila najipa moyo Mungu atanisaidia tu nakupa pole sana maana maumivu niliyokua nayasikia ayakuawa yakawaida ni Mungu ndoana jua
Acha kuzalilisha watu kila mara unapohojiwa unasema umewakuta kwenye chumba kimoja wamelundikana na ukawasaidia hiyo sio kweli huo ni uzalilishaji na bado ungepasuka huo mjicho ndio ungejua malipo ni hapa hapa duniani
Hakuna ndoa ya huruma mapenzi ni mapenzi ahkama lengo alkuwa nikupita nae Sawa ushafanikisha lakini kuusu huruma umuowe MTU sababu ana maisha magumu I say I ho niungo
Mwanaume muongo we mkubwa urisema ni mfanya kazi wako leo hi umekubar umetoa taraka 3 mbwa mkubwa we mke mzur umemuacha na hapo Allah amekuripa na bado
Mke wa kwanza ulipiga hadi kumtowa meno wewe kijana ukaachana naye na wala huudumii wanao muongo mke pili naye ulipiga mke wa 3 naye ulimpiga mke wa 4 Sabrina ulumtesa mtoto mdogo uyo zeze diva kawa msukule ni mke wa 4
Kwasheria ya Dini ya kiislam mwanamke akiolewa hatakiwi kubadilisha jina la baba ake na kuchukua jina la mume . Mwanamke unabakia na ubini wa baba ako. Mkizaa watoto ndio watatumia ubini wa wako wewe mume.
Mungu atakulipa kwanini ulimtumia mwili wake ulimuona mzuri ukamtamani na ukakubali kumuoa akiwa na mimba lengo utembee nae ata kama alikua kwenye chumba kimoja ni majaaliwa yao hujui walipotoka na m mungu anapowapeleka wala wewe hujui kesho yako, umefanya kosa kubwa na utalipwa kwa ilo malipo ni apa apa duniani utaadhirika na watu wote wakushuhudie tena bora ungekaa kimya ukajutia na nafsi yako kuliko ivi unavyoongea
Abdurazaq tamaa tapeli tuu alipomuona diva anayo gari na nyumba anayokaa alipiwa nawasafi akaona hapa ndio penyewe!! akamlaghai vizuri akamuingia haraka kw speed kamuoa!! na kawatelekeza wke zake!! c kapata pa kustarehe tena buree!!
Wamroga kwa sababu ya umaarufu wake na pesa zake. Tamaa na tapeli mkubwa sana. Sai unafurahia cheti Cha harusi kimegeuzwa kwa jina lako ukidhani utampora Mali zake Diva. Siku yako yakuumbuliwa itafika
Unaandaliwaje maji na kuogeshwa nyau wee hilo jicho ndo linashika maji kwani huna bomba la mvua kwe bafu lako ama waishi uswahilini kule kijiwenongwa😏😏😏
Kama mapenzi ndo uchawi pekee na wewe unaamini katika quran na hadithi za mitume, why unaruhusu mke wako wa halali kidini kuvaa mawigi.? Kuna sehemu unakengeuka Abdulrazak na ALLAH hapendi mchezo katika dini yake. Unaweza ukapata mitihani katika maisha yako kutokana na yale unayoyakengeuka katika maisha yako. Mwisho wa siku ukasema au kudhani unarogwa.
Yaaan ulivyo na laaana unajisifia kabisa eti sijadumu nae hata moezi 6 mwisho kupiganae stor km hivi haizid mara tatu😭 nyie nyie wanaume wakuoa walishaishanga hawa walobaki ni shomboooooo🤮 meno km trekta ya kilimo🤨
Hiki kijamaa kiongo kiongo ila nimekipendea kitu kimoja: muda mrefu nilitamani atokee muhuni kama huyu asiye na maana ampopoe huyu mwanamke anaejiita Diva. Anajionaga bonge la demu kumbe hana lolote mdwanzi tu na English yake mbovumbovu anayo waongeleaga akina Dulvan na bongo movie kama akina Shilole na uchebe. Huyu jamaa amewasaidia wanaume wenye akili zetu njema kuwatambua wanawake wa mjini ambao sisi hupoteza muda kuwapa hadhi ambayo hawana... Thamani yao ndogo tu na wanasafiri kwa usafiri wowote hata guta. Nonsense!
Kwanza uwongo wako wa kwanza sabrina mama yake hajawahi kaa kwako uliwakuta kwenye nyumba yao Sabrina aliachika ulimuowa na kukaa naye kwa mataso na kupiga wanawake your women abusers
Bora sabrina mungu kamuepusha ..yy na diva pipa na mfuniko acha tuu wawe pamoja🤣🤣🤣 sabrina wa watu ataajaliwa wa kufanana nae lakini sio kwa huyu kalumazira😁
Mtihani wallahy tumuogope Allah...Mungu mkali
Mmmh mtapeli huyoooo.... Anajuana na cousin wangu na anamjua Sana kua ni mtapeli fantastic
Mrembo kweli ati
Hapo diva a ajiona hakuna mwanamke mrembo duniani ka yy.wanawake🤗
Ata diva uwezi KUKA Nae tutaona maana kwenye hii Dunia inabidi tuwaogope sana wanaume wa acha acha kwaajili ya mwanamke mwengine utapata mwengine n'a utamuacha diva
Pole sana utapoa kaka abduli allah atakuwafu utapoa kwa uwezo wake allah🙏🙏🙏
Ajawahi kuoa dah kama ni kweli inshallah kama siyo kweli utapata mitihan mpka kufa machozi yetu hayaend bure
Polee snaa Sheikh Abdl Love from Burundi 🇧🇮🇧🇮💥
Nimekutharau Sana we Kaka
Pole sn kaka ayo mengine wacha tukuachie mwenyewe kila mwanadam anayake ila kwahili lajali dah pole sn Allah atakufanyia wepes inn shaallah utapona
Pole Kaka mungu akujalie upone mapema innshaala,,pole ndugu yangu ,,ningumu lakin ndo mitihani pole kaka
Pole Sana . Allah akuponye kwa haraka na wepesi.🤲🏾
Hukmu zake Allah izo wwe unamkana mkeo kwa sababu umepata mwanamke mwenye pesa
Njia ya muongo nifupi iko siku mwenyezi mungu atakuumbua
Kabisa
Hakika huyu kaka muongo sana na mungu anamuona
Mwsho utafikaa we ngoja tu
muonge mungu we inshallh mola atakuoneshaaa lini we ulimbebaa mama yakee loo mnafaki san kwani chupa kimoja siyo chumbaa achaa mungu atakuhukumu we na we ndio uliaza kumsemaa kwenye mitandao
Daaaah pole sanaaa brooh mungu atakujaliaa
Mashaa Allah hongera
Polee sana ishaAllah
Wishing you a very quickly recovering Abdul
Pole sana mungu atakusaidia
Mwanaume alo jionecha mganda wanakuwa ni matapeli na kusema sana ogopa ni hatari watu kama hao yeye na diva shani moja mmh .
Mungu anakuonya mzee.umewatesa wanawake.be carefull
sana my sister alikua moja wa wahanga wa uyu jamaa dah jau sana
Pole sana mungu akuguse
Pole sana kaka kwamaumivu unayo yapata yalinikuta namimi kisu kuvunjika na chongo ikanirukia mujicho nimesha pasuliwa mara 2 lakini bado alijawa sawa ila najipa moyo Mungu atanisaidia tu nakupa pole sana maana maumivu niliyokua nayasikia ayakuawa yakawaida ni Mungu ndoana jua
Pole sana
Asante
Asante
Pole sana
Daaaah pole sanaaaaaaaaaa Mungu akutangulie
Pole Kaka mungu akuponye
Huyo tapeli umoja umemzhulumu sabrina mchenzi from oman
Acha kuzalilisha watu kila mara unapohojiwa unasema umewakuta kwenye chumba kimoja wamelundikana na ukawasaidia hiyo sio kweli huo ni uzalilishaji na bado ungepasuka huo mjicho ndio ungejua malipo ni hapa hapa duniani
Kabisa bado ajisifu anayajua mapenzi??
He is sooo fool of him self I dont really Appreciate him how he handle himself
Huyu Diva anajifanya kama ni msichana bikra ni nn hiyo kuji nyenyua ,mume mwenyewe Bora hamorapa
Pole sana.
huyu kaka ni msenge mungu aje akulipe
Dahhhh pole aisee
Pole sana kaka angu mungu atakuafuu
Hakuna ndoa ya huruma mapenzi ni mapenzi ahkama lengo alkuwa nikupita nae Sawa ushafanikisha lakini kuusu huruma umuowe MTU sababu ana maisha magumu I say I ho niungo
Mawadda warhma huruma n mapenz vimeendna ila mpnz huisha ikbki hrma
Mwanaume muongo we mkubwa urisema ni mfanya kazi wako leo hi umekubar umetoa taraka 3 mbwa mkubwa we mke mzur umemuacha na hapo Allah amekuripa na bado
Uyu kaka namchukia sana sana na ayo ndio malipo yako
Cndo hapo jmn, nlikuwa nawaza pia...
Pole Sana ndugu yangu mungu akuponye akupe afueni ya haraka
Yaani miaka 34 ushaoa mara tatu Una tofauti gani na wanaume wanaotembea hovyo
Pole saana brother
pole sana utapoa inshaallah
Mke wa kwanza ulipiga hadi kumtowa meno wewe kijana ukaachana naye na wala huudumii wanao muongo mke pili naye ulipiga mke wa 3 naye ulimpiga mke wa 4 Sabrina ulumtesa mtoto mdogo uyo zeze diva kawa msukule ni mke wa 4
Hukum hiyo uliyo watendea wanawake ulotembea nao ukawatelekezana majivuno mengi
Pole sana abduli
Noma sana
Pole sana sana mungu ni mwema afadhali unapumua
Kwani Ungekufa Si..Ingekuwa Njema Sana🤗😏😏
Kwahyo we sheikh unakubali mke ajiite jina lako unajielewa kweli ww
Nyooo!!!!
Mungu anakuona ww
Hiyo ni laana ya ngu na bado Allah atazi kukulani insha'Allah 🙏🏻
🙄🙄🙄 Mungu hapean laana tu bure ztakurudia tu 🙏
Dini ya kiislamu hairuhusu mke kubadilisha jina la baba na kutumia jina la mume, halafu unajifanya unajuwa dini kumbe haujui.
Muongo Uyo allah will show ukweli 😅 Mganga tapeli
😀😀😀😀
Pole kaka
Daaah mungu akusamehe aisee naon unaifanya dini kama umeilet wewe
Mungu kakuonya
Kwasheria ya Dini ya kiislam mwanamke akiolewa hatakiwi kubadilisha jina la baba ake na kuchukua jina la mume . Mwanamke unabakia na ubini wa baba ako. Mkizaa watoto ndio watatumia ubini wa wako wewe mume.
Kabisa
Tapeli muongo mtesa wanawake wewe Kijana unatapeli watu alafu ni muongo mkubwa wewe Allah atakulipa
Mbingu ataickiaaa we ngoja tu
Mungu anamlipia yule mwanamke na bado atamlipia
@@haifaahoussain7787 we ngoja tu malpo yanaendleaa ye aendlee kuomba MUNGU asikate tamaaa
Kubadilisha majina kwa mpita njia na mtu mpigaji wa matukio kwa wanawake Ni mtihani,,,,
Mungu atakulipa kwanini ulimtumia mwili wake ulimuona mzuri ukamtamani na ukakubali kumuoa akiwa na mimba lengo utembee nae ata kama alikua kwenye chumba kimoja ni majaaliwa yao hujui walipotoka na m mungu anapowapeleka wala wewe hujui kesho yako, umefanya kosa kubwa na utalipwa kwa ilo malipo ni apa apa duniani utaadhirika na watu wote wakushuhudie tena bora ungekaa kimya ukajutia na nafsi yako kuliko ivi unavyoongea
Kabsaaa ngoja tu at hzo dawa zake zinamwisho tu ngoja
Pole san 😥😥😥
mungu atakuonesha bro just wait and see maana utapeli unamwisho
Ukome mbwa wew
Pole sana kaka Allah akupe afueni,Lakini fanyiwa kisomo kaka kwa sababu husuda pia
Abdurazaq tamaa tapeli tuu alipomuona diva anayo gari na nyumba anayokaa alipiwa nawasafi akaona hapa ndio penyewe!! akamlaghai vizuri akamuingia haraka kw speed kamuoa!! na kawatelekeza wke zake!! c kapata pa kustarehe tena buree!!
Wamroga kwa sababu ya umaarufu wake na pesa zake. Tamaa na tapeli mkubwa sana. Sai unafurahia cheti Cha harusi kimegeuzwa kwa jina lako ukidhani utampora Mali zake Diva. Siku yako yakuumbuliwa itafika
So amazing mashaallah
Pole shekh
Wewe ndio uling'ang'ania tu kumuoa Sabrina wakati ana mimba ukatoa ahadi kumlea na mtt wake? saivi wamsema yeye na mamaake hauoni hta haya?
Unaandaliwaje maji na kuogeshwa nyau wee hilo jicho ndo linashika maji kwani huna bomba la mvua kwe bafu lako ama waishi uswahilini kule kijiwenongwa😏😏😏
🤣🤣🤣dah
Yaani hii ndoa ni zaidi ya tamthilia ya juakali 😂😂
Achatu tuendelea kuangalia episode shogaangu 🤣🤣🤣🤣
🤣🤣🤣🤣
kwamba hiki kiooo kimekuja gonga jicho tu kwanini ht kimoja kisije usoni au sehemu nyengine🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Picha la kihindi ili diva na mganga wake
🤣🤣🤣
Kama mapenzi ndo uchawi pekee na wewe unaamini katika quran na hadithi za mitume, why unaruhusu mke wako wa halali kidini kuvaa mawigi.? Kuna sehemu unakengeuka Abdulrazak na ALLAH hapendi mchezo katika dini yake. Unaweza ukapata mitihani katika maisha yako kutokana na yale unayoyakengeuka katika maisha yako. Mwisho wa siku ukasema au kudhani unarogwa.
Huyu Kaka ni mtu wa hovyo
Kabisa tena hana maana ni jitu tapel
Kijana wa hovyo🤣🤣
😂😂😂 diva atajua hajui
Pole shemeji
❤️❤️❤️❤️❤️❤️
Talaka ni mara mbili, mara ya tatu ni kuachana kwa wema. Sheikh mzima unasema umetoa talaka tatu haiwezekan talaka tatu zitoke kwa pamoja.
Jamani wapumnzisheni kuwasakama mimi naona mnawazidishia tu mapenzi wanaume wengi ty ni waongo kwenye mapenz mnamsakama kaka wawatu
Ili umesema kweli
Rahana izo za wanawake zako hauwezi kumterekeza mke na mtto arafu unasema arikuwa mfanya kaz wako maripo ni hapa hapa dunian
Yaaan ulivyo na laaana unajisifia kabisa eti sijadumu nae hata moezi 6 mwisho kupiganae stor km hivi haizid mara tatu😭 nyie nyie wanaume wakuoa walishaishanga hawa walobaki ni shomboooooo🤮 meno km trekta ya kilimo🤨
Atari
🤣🤣🙌
Yani wanaume wasikuizi hamna waliokua waume walikufa na mv bukoba
Trekta😆😆😆👐
Nawaza tu Abdul wangu nae naona ananipenda bas aje weka nadhili afe nimzike nife nimzike 🤣🤣
Hapo tu kwenye kuogeshwa mm hoyiiiii jmn Kwan si jicho tu ndo ilipata shida au na mikono jmn,Ila pole na uponywe
Polesana mpendwa mitihani
❤
Pambana na hali yako.
K.A.R.M.A. is real
🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Hii, mambo ya p3,inachelewesha wagojwa kutibiwa, serikali inabidi mufute mambo hayo,kwani watu wengi wana poteza maisha kwa ajili hiyo.
Kuna baadhi ya watu wamepoteza maisha kwa style hizi p3 yaniii 💔💔💔
Wallah tena ata Kenya niujinga sana watu wanakufa kwa ujinga wao
Malipo hapa hapa duniani ahela kuhesabiwa kilio cha Sabrina kina kutafuna eti naogeswa 🤣🤣
Huyu alitaka kulala nae tu.sio kumsitiri Wala ndowa..hiyo ndowa ni sababu tu Ili ambiwe hakuzi..munazini kutumia dini.malipo na hapa hapa
mwanamke alimkazia sex nje ya ndoa ndio maana kajifanya ataka kumuoa. wala sidhani kama anajali kuzini huyo
Allah atakusaidia In Shaa Allah
Hiki kijamaa kiongo kiongo ila nimekipendea kitu kimoja: muda mrefu nilitamani atokee muhuni kama huyu asiye na maana ampopoe huyu mwanamke anaejiita Diva.
Anajionaga bonge la demu kumbe hana lolote mdwanzi tu na English yake mbovumbovu anayo waongeleaga akina Dulvan na bongo movie kama akina Shilole na uchebe.
Huyu jamaa amewasaidia wanaume wenye akili zetu njema kuwatambua wanawake wa mjini ambao sisi hupoteza muda kuwapa hadhi ambayo hawana... Thamani yao ndogo tu na wanasafiri kwa usafiri wowote hata guta. Nonsense!
Poleni sana. Dhu hayo maumivu ya chupa?🫣Pole
Duu pole sana
Asituharibie dini kwa kujiita ustadhi kumbe hata alif hawezi
🤣🤣🤣😂😂😂
🤣🤣🤣😂😂😂
Watanzania ni watu rahisi kuwadanganya.Mtu huyu watu wanasmini kuwa ni mgangs nà wanamwita shekhe. Muhuni tu.
Mwanaume mzuri uyu🙌🏻
Kwanza uwongo wako wa kwanza sabrina mama yake hajawahi kaa kwako uliwakuta kwenye nyumba yao Sabrina aliachika ulimuowa na kukaa naye kwa mataso na kupiga wanawake your women abusers
yaan huyu kaka n muongo jamn kaah sijawahi ona hata nafsi hainsutu
Lakini bora kuwa ni ukweli kwa hana mtoto naye
Talaka hazitolewi zote kwa wakat mmoja. Huyu jamaa ni muongo dini anatumia kama kigezo
Jamani fiksi tuu munamuoneya choyo muwacheni na mumewe
Ila huyu abdurazak hamuogopi mungu, jua hakuna lisilomfika mtu chini ya jua, Sai waeza sema mengi lkn Allah ndio ajuae ya siri.....
True
Sabrina bint mzur sana uyoo diva umempendea umaaruf tu
Bora sabrina mungu kamuepusha ..yy na diva pipa na mfuniko acha tuu wawe pamoja🤣🤣🤣 sabrina wa watu ataajaliwa wa kufanana nae lakini sio kwa huyu kalumazira😁
Ww ustadhy kuma haswa
Mmmhh! Ngoja niishie kuguna tu
Pole
Pole sna