HALELUYA/ELIUD/NDARO/LEONARDO

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 20 ม.ค. 2025

ความคิดเห็น • 62

  • @simonfortunatus2859
    @simonfortunatus2859 2 ปีที่แล้ว +2

    Eliudi mbona nomaa sana

  • @mohammedhalfan
    @mohammedhalfan 2 ปีที่แล้ว +3

    Ebhnaaaaeeeh..haleluya next level daaaah...unajua sana mzee

  • @salmasalum-1414
    @salmasalum-1414 ปีที่แล้ว +1

    Nawapend san Leonardo na ndaro

  • @simulizitanzania2571
    @simulizitanzania2571 2 ปีที่แล้ว +15

    Ila Leonardo anajua sana, sema wengi hawamuelewi

  • @allymsangi931
    @allymsangi931 2 ปีที่แล้ว +1

    Naomba kujua muda wa hichi kipindii kinaonyeshwa lini na Saa ngapi

  • @brayanjames9953
    @brayanjames9953 2 ปีที่แล้ว +5

    No 3 leo kwa Leonard

  • @diamond_killertz
    @diamond_killertz 2 ปีที่แล้ว +3

    Huyo hallelujah anazngua kila sku mama wa kinyakyusa mama wa kinyakyusa abadilike

    • @meshack3266
      @meshack3266 2 ปีที่แล้ว

      acha aproud kwao kwani uonag wasukuma wanavyo chekesha kupitia vya kwao

    • @betronbernado7221
      @betronbernado7221 2 ปีที่แล้ว

      Kausha ww

    • @sephania8085
      @sephania8085 2 ปีที่แล้ว

      Najua ww mnyakiusa

  • @AnnaEfrahim-qz4bu
    @AnnaEfrahim-qz4bu ปีที่แล้ว +1

    leonardo is very genius 💪

  • @kennywilliam2466
    @kennywilliam2466 2 ปีที่แล้ว +1

    Bila shaka mama yenu sio mmbabe ila nikukumbushe tu kwamba hata silence killer hiyo ndio aina ya SUMU pekee inayo ongoza kuuwa wengi bila shuruti Guy's msimchukulie poa huyo mama yenu kwa kuwa ni mchongo.

  • @abduljuma4330
    @abduljuma4330 2 ปีที่แล้ว +2

    ii ni loyo tour tisha sana jamali apri

  • @KalvinInnocent
    @KalvinInnocent 10 หลายเดือนก่อน

    Ndaroo noma

  • @mariasixmund7964
    @mariasixmund7964 2 ปีที่แล้ว +5

    😀😀😀Leonardo unaakili nyingi sn bro

  • @raphaelkaswahili323
    @raphaelkaswahili323 2 ปีที่แล้ว +1

    Cheka tu ilikua ni Akina chalii ya R madevu na wengine wa kipind hicho ila kwa sasa kawaida saana

  • @fransisigulu9761
    @fransisigulu9761 2 ปีที่แล้ว +2

    Leonardo 😂😂😂🔥🔥🔥

  • @mizerochrispin7114
    @mizerochrispin7114 2 ปีที่แล้ว +4

    BigTime

  • @bamizertv1822
    @bamizertv1822 2 ปีที่แล้ว +4

    Eliud anaweza

  • @rehemaothman2200
    @rehemaothman2200 2 ปีที่แล้ว +4

    😅😅😅😅😅😅mmeweza

  • @nardinmohamed226
    @nardinmohamed226 2 ปีที่แล้ว +2

    Aahaha naona wa kwanza kukoment azaboi

  • @muddytv1513
    @muddytv1513 2 ปีที่แล้ว +3

    Leonardo chiziiiii 😂😂😂😂😂😂

  • @officialdinaize
    @officialdinaize 2 ปีที่แล้ว +4

    Haleluya eliud Leonardo ,, genius

  • @maitatz3205
    @maitatz3205 2 ปีที่แล้ว +2

    Ndaroooo

  • @jacksonkalolo3089
    @jacksonkalolo3089 2 ปีที่แล้ว +2

    Ndalo pamoja

  • @NEWFISII
    @NEWFISII ปีที่แล้ว

    😂😂😂😂Ndarooo

  • @carlosleonard6050
    @carlosleonard6050 2 ปีที่แล้ว +4

    Leonardo is in another level

  • @kondoatown8765
    @kondoatown8765 2 ปีที่แล้ว +4

    Nikiwaga naangalia hii kitu nikikuta Jina la Sele, mc eliudi, Ndalo, na Leonardo.
    Napelekaga mbele chap mpk nikute sehemu ya niliowataja , niwambie ukweli hawa wengine siwaangaliagi , sijui Jol , Haleluya sijui nani nani ? Labda yule mdada Jina lake Asmaa sijui! na namuangaliaga kwa sababu moja tu za kibianfsi sio kwny uchekeshaji , coy jipange mzee Kuna baadhi hapo wapo tu kipaji hamna sijui ni bongo ndo hatujui ama vipi ? Kama yule Jol master ndo hamna kitu kbsa bora umchukue hta spider 🕷man wa bongo tu kuliko jol master . Ila king ni Leonardo tu. Atakubeba Leo.

    • @avitymwamba
      @avitymwamba ปีที่แล้ว

      Namkubal sana Leonardo kuliko wote

  • @saidmadizi9152
    @saidmadizi9152 2 ปีที่แล้ว +2

    Mnafanya comedy za kilocal kweli hii ya tz pekee haiendi ata east Africa munachezea platform kubwa mnasisahau kueni wabunifu ..

    • @vanemmy6043
      @vanemmy6043 2 ปีที่แล้ว +3

      acha kuwa funja moyo, stand up comedy niivo ivo, apa South Africa Trevor Noel anaigiza ivo ivo, anaongeya lolote ili mradi WAtu wacheke, Thank you

    • @josephmanyama9012
      @josephmanyama9012 2 ปีที่แล้ว

      Sio lazima ucoment mzeee baba pita wacha sie tucheke 🤣🤣🤣

  • @ZainaboSalmoSuale
    @ZainaboSalmoSuale ปีที่แล้ว

    Leonardo 🤣🤣

  • @Balogetv
    @Balogetv 2 ปีที่แล้ว +1

    Ndaro big up sana Brother

  • @fralex_1276
    @fralex_1276 2 ปีที่แล้ว +2

    Leornado 👐

  • @simonfortunatus2859
    @simonfortunatus2859 2 ปีที่แล้ว +1

    Ndarooo🤣🤣🤣

  • @draye3357
    @draye3357 2 ปีที่แล้ว

    Kigoma ipi hiyo ww

  • @nelsonmatiko8619
    @nelsonmatiko8619 2 ปีที่แล้ว +1

    Leonardo sijui unakaaga nakutoa idea zako maabara gani?😂😂

  • @imatheboy4797
    @imatheboy4797 2 ปีที่แล้ว +1

    Haha

  • @azaboicomedy
    @azaboicomedy 2 ปีที่แล้ว +5

    🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥

  • @ahmedkhatibu5387
    @ahmedkhatibu5387 2 ปีที่แล้ว +1

    Hahaaaa

  • @deboraezekiel784
    @deboraezekiel784 2 ปีที่แล้ว +1

    Ndaloo

  • @daproomdangu5953
    @daproomdangu5953 2 ปีที่แล้ว +3

    haleluyaaaa🖐️🖐️🖐️🖐️🖐️

  • @bensonmushy6460
    @bensonmushy6460 2 ปีที่แล้ว

    mbona hawaoneashi mashabiki au kuna mapengo ya kutosha

  • @ndetodosnine
    @ndetodosnine 2 ปีที่แล้ว

    Kali sana wanangu ila naomba muziwezeshe kudownload sabu inakuwa ngumu kuzitizama

    • @Mzawa12
      @Mzawa12 2 ปีที่แล้ว

      Usitumie TH-cam hii download snaptube ipo kama TH-cam, kule unaweza kudownload🙏🙏

    • @ndetodosnine
      @ndetodosnine 2 ปีที่แล้ว

      @@Mzawa12freshi braza nashukuru kwa kunipasha,,,,
      Afu kwenye Cheka Tu; kunafanyagwa auditions, na kama zipo huwa zafantiwa sehemu gani?

  • @nellyofficial2225
    @nellyofficial2225 2 ปีที่แล้ว +1

    Where is head master

  • @تاتوجمعه
    @تاتوجمعه 2 ปีที่แล้ว +1

    Asante kidogo leo nimefurai😂😂

  • @allishot9897
    @allishot9897 2 ปีที่แล้ว +5

    Wheres Mc Eliud,,?

  • @manchesterunitenhag5451
    @manchesterunitenhag5451 2 ปีที่แล้ว +3

    eliud??????

  • @nuruyusuf3237
    @nuruyusuf3237 2 ปีที่แล้ว +1

    Mawese ni nini

  • @travodavie9518
    @travodavie9518 2 ปีที่แล้ว

    Kwahiy wote content ni moja royal tour

    • @saidmadizi9152
      @saidmadizi9152 2 ปีที่แล้ว

      Yan Hawana ubunifu kabisa wanafanya comedy za kibongo bongo tu hawajui hii ni platform kubwa watu wa nje wanatazama pia

    • @vanemmy6043
      @vanemmy6043 2 ปีที่แล้ว

      Wamewambiya wachekeshe kupitiya royal tour, it like kuitangaza iyo documentary ya Mama,,

  • @jofreymfugale4752
    @jofreymfugale4752 2 ปีที่แล้ว +1

    Mmeshaanza uongo wa kijinga, where is eliud?

  • @annasaitoti3706
    @annasaitoti3706 2 ปีที่แล้ว

    to

  • @JustArkon
    @JustArkon 2 ปีที่แล้ว +1

    Wheres Mc Eliud,,?