Khaaa.... Haki ya mungu hii ngoma kali kuliko ngoma zoote Bongo na EA.. Kama umejifunza kitu toka kwa wahenga wetu gonga LIKE Hapaaaaa....(AY AF KUBANDA)
Inashangaza sana watu kushabikia wasanii(Wa muziki), Wakati ukweli halisi ni kwamba Mpenzi wa kweli wa Muziki anapenda Muziki kutokana na Muziki(nyimbo/tungo)Unavyoweza kuteka hisia za msikilizaji/mchezaji. NA WALA SIYO MUZIKI HUO NI WA NANI. Kuna watu wanapenda Nyimbo fulani' wakati Hata hawajui Kaimba nani.
Nafahamu sana uswahiba mkubwa uliopo kati ya FA , AY na FID Q na nimekuwa nasubiri kwa hamu kubwa sana kuona hii combination ikidondosha kitu...hatimaye imekuwa.....!! HAMJAWAH KUNIANGUSHA KATIKA MAISHA YANGU YA KUWASHABIKIA
Hii ngoma bila verse ni Hit tayari, wasanii jueni kuchagua hata midundo...yaaani dundo la kudanja mtu!moja kati ya kazi bora za mwaka huu.. video mpaka audio!!
ngoma kali sana,, fram ke nangoja remix ikuwe na mtoto wa faridi na yule kijana hana swaga kabisa mchanganye legends watatu na current watatu.. imetisha sana.. kutoka enzi za habari ndo hiyo
Ebwana ndio!!! Kinda of a next level flani hivi... why should i not be proud of u guys!!! Big up saana!!! Ombi langu kwenu: “plzz maintain this pace and quality” & thou shalt break the ceiling....
asee hii combination ya hatareee bonge la idea, line karee beat shida chupa balaaaa bongo on next level asanten nyie watu kwa good music mumezidi kudhihirisha ukaree wenu dah aseee....
I DONT EVEN KNOW WHAT TO SAY.... I am less experienced and qualified even to comment on this masterpiece. UTANI PEMBENI... These are TZ Legendaries. APA DIAMOND NA KIBA wanawaomba collabo.. just quality raw stuff.
Yassin Mohamed #HassanovorJr kasema #Alikiba haja post hii ngoma kwakutaka kumtetea #Mondi.. watu wengine wanafki sana... Big up bro kwakusema ukweli...
Kwel hii ni movie hongereni @mwana fa @fid q @ay hii ndo maana ya legend
Milady ayo kuzaliwa Tanzania tu nmtaji hii imekuwa proved
it's true brother
Milady ayo mambo vipi supar staa
You calling this a movie wakati huu ndo mtindo wa video za siku hizi.
POA SANA #AYO, HII KAMA STYLE YA #SEDUCE_ME YA #ALIKIBA.. Au unasemaj?
AY AMETISHA KINOMA KAMA UMEKUBALI GONGA LIKE
ngoma kali sanaaa🔥🔥🔥🔥🔥, nashangaa kwann ina views chache ivi, gonga like kama unakubalina na mm
Van Cgga
KunaKijana alihiba hii video aka post kwake, ikapelekea kupoteza viewers kibao... ilatayari ameishusha...
Fa punguza sifa bhana anajua had unakera sana Sema ww ndio Rapa Namba moja bongo kwang mm God bless you
Hapo angekuwepo na mnyamwezi #JAY MOE ndyo mngeipata habari yake
Au young killer
Khaaa.... Haki ya mungu hii ngoma kali kuliko ngoma zoote Bongo na EA..
Kama umejifunza kitu toka kwa wahenga wetu gonga LIKE Hapaaaaa....(AY AF KUBANDA)
nice
2024💯💯
Nomaaaaaaaaaaa #AY kwanguuuuu kauaaaaaaaa....#qaliiiiiiiiiiii
nyimbo iko mbele ya muda may be 2040 tutaelewana.
Daaaaa......ni pale mafundi wanapokaa pamoja na kufanya kazi.Duuuuu.....kweli nyie ni noma zaidi ya njaa.Mmetishaaaaaaa
Inashangaza sana watu kushabikia wasanii(Wa muziki), Wakati ukweli halisi ni kwamba Mpenzi wa kweli wa Muziki anapenda Muziki kutokana na Muziki(nyimbo/tungo)Unavyoweza kuteka hisia za msikilizaji/mchezaji. NA WALA SIYO MUZIKI HUO NI WA NANI. Kuna watu wanapenda Nyimbo fulani' wakati Hata hawajui Kaimba nani.
Nafahamu sana uswahiba mkubwa uliopo kati ya FA , AY na FID Q na nimekuwa nasubiri kwa hamu kubwa sana kuona hii combination ikidondosha kitu...hatimaye imekuwa.....!! HAMJAWAH KUNIANGUSHA KATIKA MAISHA YANGU YA KUWASHABIKIA
"Najua corner zote kama ufagio wa zamani
vichaka na chocho zote macho tu bila ramani" - MwanaFA
Umetisha Choirmaster
Wanamuitaga master mind
Upo hapo
Tishaaaaaaaaaaaaa!!!!!!!!!!
Wakubwaaa
My best hip hop in EAST AFRICA UPO HAPO? FA unajua mpka unkera i still heard in 2024🎉🎉🎉❤
A Million Dollar Video, Wazee Mmetisha,. Kama #UpoHapo Nyoosha Kidole Juu...
🙋🙋👍
A lethal Combination of the most dangerous rap legends. Salute
Hii ngoma bila verse ni Hit tayari, wasanii jueni kuchagua hata midundo...yaaani dundo la kudanja mtu!moja kati ya kazi bora za mwaka huu.. video mpaka audio!!
wagumu tumeelewa sana,wenye mziki wao wameludi.
AY katisha sana sio kwa michano hiyo mzee mzima, all in all ngoma kali sana asee vichwa vitatu hatari sana
Daaaah hiii ngoma ni wayaaa kwa wapenda hip hop kama mimi,,,,Ay nikumis sana mzee baba,,,FA &Fid shotout
AY king of versatility 🙌
Jamani waheshimiwa tunawaomba mludishe heshima ya muziki wa hip hop ndani ya nnchi ya tz.
KAZI NI NZURI-japo narudi rudia mara nyingi na si elewi
Nanukia vizur kama duka la perfume ♨️♨️♨️🕺🕺🕺🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇩🇪🇩🇪🇩🇪🇩🇪Sunday yangu inaniendea vizur sana bila sterss hapa Ujerumani,nice song,big up guys 👍👍🕺🕺🕺
Hawa watu kiukweli wameniweza ninomaA sana away fd hatare sana
Aisee nyie wahenga mna sifa sana hadi mnabore!Kwa mara ya kwanza nimeona na kusikia muziki!Perfect
Bonge moko la dude la kikubwa sàana......kiutuuzima zaidi.....💯💯💯💯
najua kona xote kama ufagio wa Zamani #falsafa umeimadda
It's lit ....production iko Excellent...Lyrics ziko Excellent... wajomba mmeua hii track iko moto balaa ....
Fireeeeee
The beginning of the new era on hip hop and commercial scene!
bonge LA ngoma mmetisha wakongwe acha waitwe wakongwe
Sio uwongo babu. Wamelikamia balaa!
Absolutely
i think they are using mafia mob concept on this
3 kings ,3 legends Eiiiiish hatwariii 🔥 🔥 🔥 mwana fa 's verse is my favorite 💃
Bonge la ngoma namkubali sana NGOSHA,Siku zote huwaga hakosei huyu jamaaa dah,Fid upo vzr
kwa macho na masikio yangu Fa amewakimbiza kuanzia kwene video adi audio FA mutu mubaya✌
This is the top hip hop of TZ in 2017 hivi ndo vitu tunavitaka sio kuimba nyimbo za mapenzi tu
from Kenya..ngoma ni naree,Motooo,hip hop bado ipo..tz,bongo mko juu..
".....Najua kona zote kama fagio wa zamani...." noma
booooonge moja la ngoma, booonge moja la video. Ninarudia kuitazama kwa mara ya kumi sasa.
....
Hawa jamaa hawawezekani
Bongo legend
Hii ngoma ni kali adi inatisha nafkir kweny upande wa hip hop bongo hii ni ngoma ya karne nashindwa ata kumtaja aliye funika na aliye funikwa💪💪👍
Safii sana wakubwa bonge la chupa, wonderful #Upohapo
Ngoma kali ila tatizo.. imechezwa kwenye account za watu wengi TH-cam.. sijui kwanini ma legendary mnashindwa kusimamia kazi zenu..
Wakubwa wa kazi!!! Basi sawaaaaaa sisi wacha tuendelee kusupport mziki mzuri. UPO hapoooo 🔥🔥🔥
fid q aisee unajua mpka unaboa.............wazeeeee baba mupo apo
Kwangu FA kanimaliza...
Gudaaah mzeaa fa unanukia kama....... LA perfume Fa mmeua wazee this great song
Ngoma Kali wazito wangu watatu ngosha wana
Kwangu Naona Bonge La Evolution Sana sema Naona Watoto Bado awajaelewa NgumU ...3kings in One truck that's lucky to here Salute BROTHER Kwa Video Kali
hongereni mtu tatu ndani ya track moja, daah so international
Nimeipenda.
welcome all to TOP TEN KALI CHANNEL
I ssa 350000
ngoma kali sana,, fram ke nangoja remix ikuwe na mtoto wa faridi na yule kijana hana swaga kabisa mchanganye legends watatu na current watatu.. imetisha sana.. kutoka enzi za habari ndo hiyo
mwana fa na Ay are legends👑 straight outta kenya
ssa cgtyi
nice music wakali wa hii game...kali mnoo,beat,verses mpak vid...kakosekana Juma Mchopanga tuu apo #salute
izi ndizo ngoma kali tunazo taka . ongela sana mabigwa wangu . piga comment au like kama unaamini
Hawa jamaa hatari sana!! bonge la Hit!
Upo hapo? ! viwango vya kimataifa ,safi sana
Mziki wa kiutu uzima,watoto wakae kuleeeee!!!
Kumanina bonge la ngoma ay kamaliza !
Ay katishaa
ngoma kali toka kwa wakongwe big up guys bonge la hip hop
Hujawai kuniangusha kwenye industry ya music 🙋🙋nakuelewa xana Binamu
FDQ Mwana FA Na AY Bonge la Nyimbo Nawakubali sana Pigeni kazi ma Broo
High creativity, hawa jamaa ni nomaaàaaaaaaaaaa saaaaaanaaaaaa.Mult tallended
Kuona fidQ kwa verse ya commercial kweli true hiphop imefifia
Dammit AY verse yako ni moto 🔥🔥
Vichwa 3 ndan ya hiphop...Hakuna makosa ila n utamu tuu...Fantastic
fid hawa ndiyo wasanii ambao unastahiri kushirikiano ktk ngoma co wasenge wabana puwa wanakufanya mpaka unatukanwa siyo fresh
mmetisha mazee nimewabless
Nomaa sanaaaaaaaaaaaaaa mipango baba sitaki shida na wana
Wakubwa ni wakubwa tu hajatumia nguvu nyiiingiiiiii...............
Duh manina fid fafanya ufuska humu ndani jama
Mmetisha sana Wazee
Hii ni ngoma yetu wakubwa. Asanteni sana jamani
Wahenga wameuwa balaaaaaa mipango Baba sihitaji shida na wana
Ebwana ndio!!! Kinda of a next level flani hivi... why should i not be proud of u guys!!! Big up saana!!!
Ombi langu kwenu: “plzz maintain this pace and quality” & thou shalt break the ceiling....
Ngoma kali sana A.Y umetisha sana!!
Nyimbo kali Sana mpaka natamaani kujua imefanyiwa studio gani.
mmetisha sana wakubwa
Ngoma kali sana sema fan base yao bado iko nyuma siku ya tane leo viewers 500k bado
Tz has never seen this type of creativity mzee baba
asee hii combination ya hatareee bonge la idea, line karee beat shida chupa balaaaa bongo on next level asanten nyie watu kwa good music mumezidi kudhihirisha ukaree wenu dah aseee....
Sijapenda Kibwagizo chake, nafikiri mngeweza kufanya vizuri zaidi ya hiki! Hata hivyo hakuna asiyejua kama ngoma ni kali!!
Vai
Kueleweki Fanya ww au kafirwe mbele
Noma sanaaa, legends kwenye chupa moko, ubunifu wa hali ya juuuu
I DONT EVEN KNOW WHAT TO SAY.... I am less experienced and qualified even to comment on this masterpiece.
UTANI PEMBENI... These are TZ Legendaries. APA DIAMOND NA KIBA wanawaomba collabo.. just quality raw stuff.
clean lyrics every one can listen.
the 3 master minds
ATIRIRI ndo nini....kikuyu going international.
AY nimekupenda bureeee kabisa umetisha bro kwel mmefumua big up kwa FA
wamemaliza aiseee cyo poa.. like nyingi
exactly what i expected💜..
3 legends totally nailed it
video nzuri sana hii. bongo movie tumieni pesa mtengeneze movie nzuri ili ziuze mpaka nje ya afrika huko
Hii ngoma ni qwiqwi ,,, nipo hapo
nimeiangalia Ngoma kwasababu ya ay na fid q huyo mwana fa au mwanafatuma simpendi
Naiyona inavyokuja kusumbua DUNIA funika wooooooooooooooooooooote
Kaa juu upo hapo
majamaa wanajua hadi wanaboa
Ina faaa kuwa movie.
Video kali kulillko zote.ay uhalisia ni OG
kiba ndio kanifany nchek hii video bra kuipost yeye nsinge ichek bt ntaichek mala kumi kw saport ya k #kingkiba
Yassin Mohamed
#HassanovorJr kasema #Alikiba haja post hii ngoma kwakutaka kumtetea #Mondi.. watu wengine wanafki sana... Big up bro kwakusema ukweli...
nakubali
fid hii ngoma unge jua usinge weka sauti kabisa kwani nyinyi hamis ana washinda wapi fa ww ni fundi
TIGO Mpo hapooooooo
Hamjawai kuniboesha wasee.nyaani mnajua hadi mnaboa..bonge la chupa wana .nhalichuji milele
Bonge la ngoma like twende sawa
Upo hapoooo, kaa mkao wa kulaa kama umevunaaaaaaaa waooooooo
dadeq!!! this is what i call vitamin music,
Pale fagio za zaman zinapokutana mzuka unaamka inakuwa tyt zaid ya chabunene ndan ya skin jeans.....Unyonge mwisho mwaka janaaaa!!
Nilitegemea kukuta 6 k lakini Tanzania wabinafisi kinoma
nimeipenda video is unique huu ndo u creativity tunaouhitaji ,guys u made it congaturation