Bonge moja la goma ila fid q ww noma sana nandomana kuna laini moja unasema nibora ungeumbwa nyoka ungeyavua magamba milele usengezeeka hip hop ingendelea kutamba..huzeeki mzee sema nyandu naww umeuwa ileile
Fid Q ulichofanya sio sawa! Huku sasa kukomoana... Khaa! Sio kwa michano hiyo... cha cha cha... Ningekuwa mimi ndo mwenye wimbo huu baada ya kusikliza verse yako ningebadili yangu angalau ikaribiane na wewe! Duuuh!
Ati mboso anajaribu chorus za hiphop very funny hakuna kitu....endelea na nyimbo zako za pwani...ww mboso...@nikkimbishi.....belle 9,pindaboy...ndio ...salute
Round hii ningeambiwa nichague kazi ningekua soja like baba naua mmoja mmjoja,sikuizi atunywi tunywi bar tena cz hm kuna gs bar tenda,mwanangu gigy mpe henness vitu vikimkolea atuoneshe masebeneee
Mijusi wakae kushoto, wakae wakijua misoto ndo hinafanya si tuna kua,wanaisi joto alafu wakaa chini ya jua haa aa 26 we are life for real Nyandu Tozz Poor Millionea
Ngoma Kama hizi haziendi coz wako busy kusupport ngoma za kawaida 26 🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Tekash wannabees you tubu busy seeking views
Good music my bro
Tam song 26°
Sure
Kama umegundua hiyo koras angepewa mr blue ngma ingeenda mbali zaid weka like
Kabisa mzee
Kweli au harmoniz
Ata angesimama Gnako ingekua poa sana yani
Hahaha naam
Wangempa Deddy ama GNako
Bonge moja la goma ila fid q ww noma sana nandomana kuna laini moja unasema nibora ungeumbwa nyoka ungeyavua magamba milele usengezeeka hip hop ingendelea kutamba..huzeeki mzee sema nyandu naww umeuwa ileile
Ngoma nzur ila kaka mkubwa naona kawapoteza wadogo zake heshima kwako fid q king of hip hop tz 26 fo life
Fid Q ulichofanya sio sawa! Huku sasa kukomoana... Khaa! Sio kwa michano hiyo... cha cha cha... Ningekuwa mimi ndo mwenye wimbo huu baada ya kusikliza verse yako ningebadili yangu angalau ikaribiane na wewe! Duuuh!
Kuma la mamake nyimbo ya mwaka 🔥🔥🔥🔥🔥
much love from comoros 🇰🇲🇰🇲🇰🇲🇰🇲
Umejua kunichekeaha broooo🤣🤣🤣
Vifua vikubwa kumbe mambo ikoo hukuu 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Ukipotea ukaonekana hukuikosea Ile njia, mwenye njaa Hana miiko, hakuna msafi hata mnafki anafaa wito fidi 🔥🔥🔥🔥🔥🔥 sana
King of hipap Ngosha 🙌
Hawezi fika kwa hashim dogo...kama ni hiphop mjombaa sio kwa ubaya....facts...@nikkimbishi
@@suhailsodeh5063 hujui hip hop kas kmy
Ati mboso anajaribu chorus za hiphop very funny hakuna kitu....endelea na nyimbo zako za pwani...ww mboso...@nikkimbishi.....belle 9,pindaboy...ndio ...salute
Fid na Nusu mamae fid ame funika wote
moja kali wanangu nyandu, mbosso, fidq moto #26life
Ngoooosha🤪🤪🤪
Hili ndo tatizo la fid ukimuachia zaidi ya sekunde moja ndo nyimbo yote anaimeza2️⃣6️⃣
😂😂😂😂🙆🙆🙆🙆🙆🤸🤸🤸 Fid q anapenda sifa ukimshirikisha jipange
Usiningate sikio mm co holyfield 💪💪
Nakemea macimema kwa mmea holyweed
Round hii ningeambiwa nichague kazi ningekua soja like baba naua mmoja mmjoja,sikuizi atunywi tunywi bar tena cz hm kuna gs bar tenda,mwanangu gigy mpe henness vitu vikimkolea atuoneshe masebeneee
Mjomba fid mkorofi kweli
Kaka chumaaa hatareeee heshimaa nyanduuuuuuu
Tokea una itwa dogo hamidu bro nakukubar Sana nyandu
Sema Ngosha mchafu humo ndani mhh
Ebu mwacheni Kwanza Nyandu atupe ladha All ze way from South Africa Cape town wynbebrg 🇿🇦
Mbosso kauwaaa hatariiii kumbeee nahuku yupooo Nika juaaa mambooo ya Zanzibar tuuuu
Daah Fid fanya mdogo mdogo hii ngoma umeshirikishwa mwanangu sio yako daah
Mimi niljua tuu mwanangu mbosso kwenye hili goma amefanya mauajii🔥🔥
Noma kwajili ya mbosso nimeipenda
Noma sana
Mziki mzuri hauna views daah yani hii ngoma inastahili 20 millions view
Niwazii mwenye njaa hana mwiko....
Uwiiiiiii😮😮😮😮 mbongo noma sana kweli eseee 26
Kalii kinoma mbosoo kabadili miondoko katisha
Angekaa baiser kwenye chorus naona ingekuwa 🔥🔥🔥 sana ila ngoma kali sana wazee
Ebwana nyandu Hii ndo Hit ya mwez may solute ninja sharp Kwa mbosso na fid q hawajaalibu ngoma yako yako Hii view 10ml...
Nakubali zombie
Anga zetu izi Kenya
Lebo ni 26 life
Poor milionea
Yandu mm nilikujua unajitambulisha kumbe ngoma ndo isha fika Kati hatari sana
Nakubali mwanangu hamidu
Fareeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeed KUBANDA 🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌
Mbona kama ngoma Niyangosha tu
Kawaida ya Ngosha kukinukisha
Kuna watu na mauwezo yao kwenye hip-hop wametulia tuu dadek
Ngoshaaaa umeuwa brooo
This Guy's are in another level, I wish khaligraph Jones angekua kwa hii ngoma
Ila fidQ we endelea tu💚💛💚💛
Ngoma Kali sana mwanangu nyandu 26 umetishaaa
Fid hujawahi niangusha🙌
Fid q hii style ndio inafaa mwananguko ujue nakkumbua ile kinyamwez yaan kinyaamwez
Ni hatari kinoma 26 life like zake apo chini kama unawakubali
Mbosso amewakilisha WCB kwa hii hippop.
Fid Q rapstyle never get old big up 26 NUMBER 🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿👏👏👏💰💰💰🤣🤣
Mbosso kanishangaza sana aisee, kafanya chrous kali sana.
Saa ya mabadilko...26....🦁
Ngosha ngosha ngosha nimeita ma x3 umetisha watoto wajifunze hapo alafu waelewe mziki nini
Ebana mmmmmmh!!! Shughuli!!! Sio mchezo!! Hii sio mchezo aise
I thot Bar was for soap till I met Bars after Bars❤️fid Q 🇰🇪 🇰🇪
Ukiskia fid q pisha bwana🔥🔥
Naitangaza nambaaaaaa #26
Ckuiz hatunywi bar tena, tunakunywa nyumban n guess who is bar tender
Mbosso kaua, Fid kasafirisha af Nyandu kazika 🔥
😂😂
Wambiye. in. hawana. adabu. chamarawo.
Sasa mjombaa mboso haua nn...mbona mrongo ww....hakuna kitu....
Ningefurahi sana kama katika verse ya Nhandu,S2Keyz angemwekea kick and snare kama kwa Fid Q
Nyanduu anaongeaa Mbosso fid q wameua sanaa
I wish nngekuwa mwanafunzi wa ngosha coz he will be the best forever
Namba ni ileile 26
Mbosso kapita vizuri beat la mauaji
Mijusi wakae kushoto, wakae wakijua misoto ndo hinafanya si tuna kua,wanaisi joto alafu wakaa chini ya jua haa aa 26 we are life for real Nyandu Tozz Poor Millionea
Naitangaza nambaaaaaaaaaaaaaa #26
Fid q wamoto sana hamna anae kufiki brother saluti
nyanduu mnyama...i respect you....u know wat am saying...kakosekana nwanao blue hapo basi....
Hii ngomaaa kalii sana mamaeee
Meeeen tozy vs ngosha ni balaaa kubwaaaa
Ngomaa kali sanaa mwambaa
Round hii ningeambiwa nichague kaz ningechagua Soldier' Like Pah' Pah' nauwa mmoja mmoja 26 FOR LIFE🌍
Fid unapumulia mipla ama!😯 Maan xo kwapumzi hio
Kaka umeuaaaaaa NGOMA KALEEEEEEEEE####26
Acha na f Q ni mtu mwinginee🔥🔥🔥🔥
WCB4LIFE 🔥🔥
26LIFE✊✊
NGOSHA ZE DON💎
Naona kabisa Mondi alikua na nafasi yake humu,Ngoma kali balaa
Life imekua doja mpaka wanaume wamejiunga vikoba Kama umesikia huu mstari gonga like
vifua vikubwa wanaenda gym kumbe mambo Iko huku😁😁
26 LIFE 🔥🔥🔥
Ngoma Kali sanaaa 👊
Hakuna rapper zaidi ya Fid Q
Ngosha ni ngosha tu SUKUMA TWENDE. Watakujua tu bro Fid Q.
nakubali kwani ni ujio mwingine tupo chimbo limpopo hatuna tagi tupo mtu be me and my blood jr26mafia tuna furahi .
Fd katia unyama wakutosha sana🏁
Goma Kali SSanaana na kuku Bali Sana Fid Q 🇨🇩🇨🇩🇨🇩
Ngoma tamu ngoma Kali
fiq 💥💥💥💥mikono juu kwel hii no 26
Mwanza mwanza ngosha ze don
Beat kali mmeitendea haki sana salute kwa priducer
OG angepewa amalizie verse wuehh🔥
Ngosha mtu mbaya umeua kinoma
Nmeelewa sana mbosso khan
kuna siri hatuezi share n dunia...I lyk the vybe #FaridKubanda26
Big up sana mbosso & fid Q
Hii Beat na Alivyoanza Nyandu ni nomaaa... Verse kali sana.. #kabisaaa
Huku ni 🙌🙌🙌💥💥💥
De King ov hip hop FD Q umemfunika Sana dogo.
Bado sn kwa FDQ
Kali Sana 💪🔥🔥🔥
FID Q balaaaa tisha sana, Mboso nae kauwa sana,
Kubanda kama kubanda mwacheni huyo jamaa jmn ni nomaaaa
Fid q umefunika kinyama💪💪
Wambie wao chekechea si ndio chuo kikuu 💪💪💪💪💪
Wayaaa hujawah kukoseaaa
MZE #nyandutozzy una wakera awa watoto wa juzi wambie mambo ipo UKU
Good music.hiphope chakula Cha ubongo
Hiyo chorus imemkosa Mr blue,kabyser angeitendea haki zaidi