Fid Q feat Yvonne Mwale - Sihitaji Marafiki official video

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 2 ก.พ. 2025

ความคิดเห็น • 397

  • @jumaedward7110
    @jumaedward7110 ปีที่แล้ว +50

    Wanaosikiliza 2024 gonga likes!

  • @musafrancis3584
    @musafrancis3584 10 หลายเดือนก่อน +21

    Wanaisikiliza hii ngoma 2024 ngoga like hpa

  • @GabrielAmede-h8d
    @GabrielAmede-h8d 15 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Wanaoisikiliza. hii Ngoma 2025 tujuane...

  • @tonykipash7855
    @tonykipash7855 3 ปีที่แล้ว +24

    Wangapi tunaendela kusikia hii ngoma

  • @IDPressLimited
    @IDPressLimited 7 หลายเดือนก่อน +9

    enyi vijana wa mwaka 2050, mjue kabisa huyu ndo alikuwa mfalme wa hiphop kwenye miaka yetu sisi.

  • @ntirukengwacamson186
    @ntirukengwacamson186 12 วันที่ผ่านมา +2

    Aiseee anaye sikia ngomaa hiii 2025

  • @marialucian9304
    @marialucian9304 ปีที่แล้ว +10

    Na leo ni 2/5/2023 the beat is musical, the content is the best.. Appreciate you blaza.
    Aje mmoja wakuongea naye na mwingine wa kumuongelea ….

  • @mikidadiibrahimlikenji6562
    @mikidadiibrahimlikenji6562 ปีที่แล้ว +3

    Unakulanao happy Leo kesho wa nakata mkeo, Leo ndo nmeielewa maana ya hii nyimbo siaitaji marafiki😂😂😂

  • @juvenalymnyama735
    @juvenalymnyama735 7 ปีที่แล้ว +14

    Kuna marafiki wasenge sana Siitaji marafiki Ngosha nakubali sana mzazi

  • @aminatamsumbiji9091
    @aminatamsumbiji9091 2 ปีที่แล้ว +1

    July 2022 ... Yuda alikuwa rafiki wa yesu .... Delila alikuwa rafiki wa Samson Kama waliexist ....lulu alikuwa rafiki wa kanumba ... Eukrane alikuwa rafiki wa Russia ( tangia 1922-1990) ....

  • @jerrymukali7552
    @jerrymukali7552 7 ปีที่แล้ว +28

    ngumu sana kuishi na watu, rahisi sana kuishi na watu, lakini itabidi tuishi na watu

  • @babanajibsuleiman1643
    @babanajibsuleiman1643 3 หลายเดือนก่อน +4

    Wanaoaikiliza hii Hadi Leo 2024 gonga like tujuane.....

  • @NorbertOG-fh2mw
    @NorbertOG-fh2mw 2 หลายเดือนก่อน +2

    Kama unasikiliz ngoma hiii had leo 2024 gonga likes

  • @eliasrwechungura7503
    @eliasrwechungura7503 4 ปีที่แล้ว +15

    Leo ndo nimeelewa maana ya hii nyimbo aisee! Thanks fid Q

  • @wasajo
    @wasajo 6 ปีที่แล้ว +143

    Wanaoisikiliza hii hadi Leo 2018 gonga likes tujuane

    • @kiokomutua3209
      @kiokomutua3209 6 ปีที่แล้ว +2

      Nipe like pia #playkemusic
      #pendatzmusic

    • @zebedayojonathan2257
      @zebedayojonathan2257 5 ปีที่แล้ว +2

      Ngoma hii huwa siichoki.........ni hatari

    • @HarunaGeorge-bp6hv
      @HarunaGeorge-bp6hv ปีที่แล้ว +3

      Sio 2018 tu hii ni nyimbo ya milele leo 2023 lakin naikubali kinyama

    • @bosscastro418
      @bosscastro418 ปีที่แล้ว +2

      2024❤

    • @ibrahimuKidevu
      @ibrahimuKidevu ปีที่แล้ว

      Nakubalii ​@@bosscastro418

  • @AmanHaonga-c7u
    @AmanHaonga-c7u 5 หลายเดือนก่อน +1

    Hisia za mziki wako chindo ulipenya masikio yang tangu naskia Right here ft g.nako real Rasta hip-hop straight from kijenge....hi to jcb yooo

  • @frankChipeta-h2o
    @frankChipeta-h2o ปีที่แล้ว +3

    Hi ngoma imetoka wakati nnamiaka 11 nambie nnamiaka mingapi kama naww unafuatilia weka like

  • @amoskyegeko8446
    @amoskyegeko8446 6 ปีที่แล้ว +7

    Hahaha naweza nkakata ringi kias cha kutopay attention lakn co tajir wa kuafford kua true friendship / the rap genius himself,stay blessed man.

  • @igayo_tv
    @igayo_tv ปีที่แล้ว +1

    kwa hiyo hao marafiki wa kipindi hiko ndio machawa wa sasa 2023😅

  • @Oboss_billharvester
    @Oboss_billharvester 7 หลายเดือนก่อน +4

    Machi wa 2024 twende zetu like maani nyie ni machizi wa ukubwani

  • @egason2591
    @egason2591 5 ปีที่แล้ว +24

    WASIOHITAJI MARAFIKI 2020 TUJUANE

  • @kennedymlay9532
    @kennedymlay9532 10 ปีที่แล้ว +20

    Fid Q the best rapper nice job and other musicians should model on this man Fid Q where as he has been in first line prolonging other rappers who are not yet become distinguished it's their first time appearing at in this music industry.

  • @MegaRumbe
    @MegaRumbe 4 ปีที่แล้ว +2

    Nilitamani niwe mjamaa niwe na genge kama Nature, wachache niliowafanya wakang’aa maisha yangu wanayafanya danger...🔥🔥🔥

  • @Chrislogus-wv7by
    @Chrislogus-wv7by ปีที่แล้ว +8

    Ten years later it's still a vibe fidq the master

  • @williamnyankongo9655
    @williamnyankongo9655 4 ปีที่แล้ว +7

    Fíd~mfalme wa hiphop bongo hana mpinzani,kama umeichek2020 gongalike

  • @speaklifeafrica
    @speaklifeafrica 2 ปีที่แล้ว +12

    2023 still rocking 10years later🔥🔥🔥

  • @winniemwasenga
    @winniemwasenga 6 ปีที่แล้ว +44

    😂😂tunaoangalia 2018 plz😍😍

    • @husseinpande5461
      @husseinpande5461 6 ปีที่แล้ว

      Nipo hapa

    • @EliudPetro
      @EliudPetro 3 ปีที่แล้ว

      Appreciate.

    • @maulidijumanne9835
      @maulidijumanne9835 7 หลายเดือนก่อน +1

      Ntakuja kuitafuta hii coment 2070,,,inshaallah

    • @winniemwasenga
      @winniemwasenga 6 หลายเดือนก่อน

      @@husseinpande5461 hahaaa jamani

  • @AndrewMalanda
    @AndrewMalanda 6 หลายเดือนก่อน

    Sichoki kusikiliza hii nyimbo 🔥💪

  • @irenekalinjuma4176
    @irenekalinjuma4176 5 ปีที่แล้ว +6

    "Walioukataa utumwa wanastuka hawana Uhuru".... This line.😍😍😍😍😍😍😘😘😘😘😘🔥🔥🔥🔥

  • @saidihamisi1501
    @saidihamisi1501 5 ปีที่แล้ว +15

    Wanaozikiliza hii ngoma 2019 gonga like apa

  • @Jabali_Media
    @Jabali_Media 2 ปีที่แล้ว +2

    Kwani washikaji wenyewe wako wapi???? 2023

  • @Kingie-l8t
    @Kingie-l8t 4 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    D I N G I M G O D I Full of M A D I N
    2025 tena🔥🏆

  • @silentmaxbln7227
    @silentmaxbln7227 9 ปีที่แล้ว +1

    Hii nyimbo hilitakiwa TUZO sema kili music award ni ya kimasabe KUMAKWELI

  • @timnoskovicg4039
    @timnoskovicg4039 4 ปีที่แล้ว +9

    post Corona in 2020 am still listening to this great jam .more likes for FID Q

  • @ricardolocha5962
    @ricardolocha5962 4 หลายเดือนก่อน

    Huu mdundo ni kitu ingie aisee dah, big up Fid

  • @ketsonempire
    @ketsonempire 2 ปีที่แล้ว +10

    Mzee mzima Fid Q. 2022 and hit is still a real vibe 🔥🎯

  • @Big-see
    @Big-see 8 ปีที่แล้ว +19

    If someone make you feel sad, keep distance and surround yourself with optimist people or friends. That is what Fid Q try to convey to us. You what, I always learn something new from fid q songs and interview. Keep it up Fid Q (poet).

  • @alphoncemassawe6334
    @alphoncemassawe6334 4 หลายเดือนก่อน

    Wanaosikiliza hii ngoma 2024 Kama mimi 🫡 appreciate fid Q

  • @tonykipash7855
    @tonykipash7855 5 ปีที่แล้ว +3

    Iko kwa my playlist siku zotee Hadi hivi leo naisikizaaaaaa

  • @freddymello3227
    @freddymello3227 5 ปีที่แล้ว +6

    who is watching in 2019?
    Fid Q all the way.......

  • @paulmboje2677
    @paulmboje2677 ปีที่แล้ว +2

    Walokataa utumwa wakastuka hawana uhuru

  • @derrickkrop7388
    @derrickkrop7388 4 หลายเดือนก่อน

    Beats like its new, we do appreciate FidQ enough for his lyrical prowess and thought delivery. long live The King

  • @davidnyassan3610
    @davidnyassan3610 8 ปีที่แล้ว +2

    kubal me mkal unataka kuijua mwanza naitangaza nikiwa safari kama habar za kwanza....kiukwel brother Q hamna wakukulinganisha nae kwenye game tisha xaaaanaaaaa

  • @bensonfrank643
    @bensonfrank643 7 ปีที่แล้ว +4

    Waliokataa utumwa wanaamka hawana uhuru - NEO COLONIALISM.. ✊

  • @jaqtonkungu3053
    @jaqtonkungu3053 2 ปีที่แล้ว +1

    fid q,your the best in e.african.currently youre the father of bongo hiphop.your game iko juu sana.mistari nayo.respect....

  • @JuliusEmanuel-p5v
    @JuliusEmanuel-p5v 2 หลายเดือนก่อน +2

    ngoma la kudumu ili

  • @AsheryKenneth-zg3tb
    @AsheryKenneth-zg3tb ปีที่แล้ว +1

    Wanaoisikiliza hii international song had leo 10/06/2023 ni nan????????

  • @achirova7109
    @achirova7109 4 ปีที่แล้ว +5

    Wangapi tupo hapa 2020 niwaonee

  • @lazarokorduni9802
    @lazarokorduni9802 7 ปีที่แล้ว +9

    we ni zaidi wengine wapambe tu

  • @barakatemba6614
    @barakatemba6614 2 ปีที่แล้ว +3

    Nilitani niwe mjamaa niwe na genge kama nature weng nliowafanya wakang'aa wameyaweka maisha yangu danger 2022 still enjoy this kind of good music

  • @tuyizereghadi1619
    @tuyizereghadi1619 4 ปีที่แล้ว +1

    nilitamaa kuwa mjamaa niwe na gang kama Nature !! 👍👍👍✌️

    • @mohamedimtojima3407
      @mohamedimtojima3407 4 ปีที่แล้ว +1

      Wachache niliofanya wakang’aa wanaweka maisha yangu danger

    • @mohamedimtojima3407
      @mohamedimtojima3407 4 ปีที่แล้ว

      Wachache niliofanya wakang’aa wanaweka maisha yangu danger

  • @BrunoBeatus-ul9or
    @BrunoBeatus-ul9or ปีที่แล้ว

    Kama umerudi kwa hii Ngoma ngonga likee tujuane

  • @evanschapailale8410
    @evanschapailale8410 2 ปีที่แล้ว

    Aminia kwo mzee mbuzi kwenye hiphop we ni king mpaka kenya chalam city yakufeel

  • @HemediYasini-w7y
    @HemediYasini-w7y 3 หลายเดือนก่อน +2

    Tunaosikiliza 28/10/2024 tujuane

  • @kingkaka275
    @kingkaka275 2 ปีที่แล้ว +1

    Brother nakukubal naomba niungane na wewe unitich

  • @FadhilJoseph
    @FadhilJoseph 8 หลายเดือนก่อน +1

    Ngoma inaish xnaa Mimi naangalia 2024

  • @dawsonndaba6607
    @dawsonndaba6607 6 วันที่ผ่านมา

    Ambaye yuko hapa leo February? Gonga like

  • @juvieboston254
    @juvieboston254 12 ปีที่แล้ว +1

    fid q ni one of my fav bongo rappers,true,real hip hop from the heart.nachapa replay mbaya mzee.25flow all day nigga.

  • @horencemtei107
    @horencemtei107 5 ปีที่แล้ว +5

    Hii n 2020 bdo n hit kwanguu

  • @joshuakayanzali5445
    @joshuakayanzali5445 6 ปีที่แล้ว +2

    1 love...... Forever ma bro.

  • @mtazamochanya6999
    @mtazamochanya6999 5 ปีที่แล้ว

    Dah huyu jamaa yupo juu balaa. Ninausikiliza wimbo mara 10 10 lakini bado sijachoka.

  • @kingjahman7905
    @kingjahman7905 5 ปีที่แล้ว +10

    I get goose bumps when I listen this realist spitter of my generation.. Respect earned period!

  • @shabhykhazinja8339
    @shabhykhazinja8339 7 ปีที่แล้ว +2

    punchlines zako zinaleta feelings true za life. u are one of a kind.

  • @youngkillermsodoki7664
    @youngkillermsodoki7664 6 ปีที่แล้ว +9

    Hii ngoma hua naiskiliza mda wote

  • @sir.dejemantatz6261
    @sir.dejemantatz6261 5 ปีที่แล้ว +1

    Inspired song with elite knowledge ,,kaka mkuu take👉👊👏

  • @KITONGATz-l4e
    @KITONGATz-l4e ปีที่แล้ว

    Nakubal kusema kitu kizur Huish milele 💐🐘🤝

  • @amoudhzahoro6145
    @amoudhzahoro6145 4 ปีที่แล้ว

    Ngosha thanks kwa kuifanya quarantine yangu iwe ya kipekee na Bongo hip hop in general

  • @didaskipe7260
    @didaskipe7260 2 ปีที่แล้ว +1

    Kali kwell naipenda

  • @mustafnicesongbringitjames1436
    @mustafnicesongbringitjames1436 8 ปีที่แล้ว +2

    fid we Mkali man hii ngoma imejaa vina

  • @justinlupa3892
    @justinlupa3892 2 ปีที่แล้ว +1

    Hata Mimi sihitaji marafiki,

  • @sir.dejemantatz6261
    @sir.dejemantatz6261 5 ปีที่แล้ว +3

    Good job big👉👊
    Where my fellow 2019"

  • @johnnkwabi7376
    @johnnkwabi7376 6 ปีที่แล้ว +2

    nice songs🔥🔥 farid unaweza sanaaa

  • @HafidhRashid-vc6qv
    @HafidhRashid-vc6qv ปีที่แล้ว

    2023 walokataa utumwa wanastuka hawana uhuru.

  • @kandumilathegreat1332
    @kandumilathegreat1332 8 ปีที่แล้ว

    Madem wanaonimiss ndo waliokua wananidiss kpnd nikiaoma nao,
    Duh noma sana

  • @michaellimu2332
    @michaellimu2332 6 ปีที่แล้ว +3

    Ubinadamu kazi.

  • @djb2kzer0
    @djb2kzer0 5 ปีที่แล้ว

    Baada ya rafiki yako kuku fanyie vitu vibaya ukaja kusikiliza hii track in 2020 February 15 let’s go
    like

  • @andegwijames3649
    @andegwijames3649 3 ปีที่แล้ว

    I am lucky to be alive in fid q time. Ngosha the don!

  • @yusuphpetro2639
    @yusuphpetro2639 5 ปีที่แล้ว

    Tuko pamoja kaza hip hop izidi kuwa gumzo nakubar sana mwnza🍎

  • @emmanuelspenas8044
    @emmanuelspenas8044 หลายเดือนก่อน

    Nibless next xmas nishushe punchlines hard bro

  • @chrissjoel7752
    @chrissjoel7752 4 ปีที่แล้ว +1

    FIF Q amesema *KUPATA RAFIKI UKIWA NA PESA NI RAHISI UKIMPATA RAFIKI BILA PELA BASI UMEFANIKIWA KICHIZI*
    🔥🔥🔥🔥 Niko APA Leo 17/06/2020 Baada ya Corona kupungua makali

  • @AmanUrio-h5y
    @AmanUrio-h5y 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Wanao sikiliza songs 2025like zang naomba

  • @rubberbandman1213
    @rubberbandman1213 4 ปีที่แล้ว +1

    Viva Fid Q, this is Legacy.

  • @musikajacob7485
    @musikajacob7485 6 ปีที่แล้ว +1

    Tunakusiya Uganda Kampala bwana

  • @fedrickwilliam1721
    @fedrickwilliam1721 3 ปีที่แล้ว +2

    Wanaosikiliza 2021 hii lyrical hip hop song tujuane

  • @bahatisollo9641
    @bahatisollo9641 6 ปีที่แล้ว +3

    Makosa ni daraja la kawaida Kati ya ujuzi na hekima

  • @japhetkawau3827
    @japhetkawau3827 6 ปีที่แล้ว +1

    Busaraa music in Zanzibar tutaoaaa ngomaaa mpy

  • @georgekanuti8247
    @georgekanuti8247 6 ปีที่แล้ว +13

    2019 still hitting🙌🏾

    • @puritykhitieyi5238
      @puritykhitieyi5238 3 ปีที่แล้ว

      True very true imeshida ngoma zote za now days

  • @sosomokobiasharamgaya3020
    @sosomokobiasharamgaya3020 ปีที่แล้ว

    🎉🎉🎉sihitajii marafiki

  • @jacksonpaul5567
    @jacksonpaul5567 2 ปีที่แล้ว +1

    Leo ndio nimeelewa maana ya huu wimbo.
    Kama unasikiliza hadi 2022 like yako hapa.

  • @erraenah
    @erraenah 3 ปีที่แล้ว

    I LIIIIIIIIIIIIIIIIKE IT SOOOOOOOOOOOOOO MUCH!!! AWESOOOOOME!!!

  • @greywolf9876
    @greywolf9876 5 ปีที่แล้ว +4

    Wangapi wanaiangalia 2020

  • @penielkilongola869
    @penielkilongola869 6 ปีที่แล้ว +11

    Ngoma inaisha 2018 wapi like zenu

  • @lwazimujuni5023
    @lwazimujuni5023 12 ปีที่แล้ว

    duuu i real like no one like ngosha namkubali sana this guy

  • @media-rs6lo
    @media-rs6lo 8 ปีที่แล้ว +5

    profesa wa chuo kikuu cha geto

  • @BONGOINMOTION
    @BONGOINMOTION 5 ปีที่แล้ว +1

    Kichwa cha fid ni smart hadi kesho

  • @mwashibenard2280
    @mwashibenard2280 4 ปีที่แล้ว

    Ukiwa na pochi nene maswahiba kibao fulia uanze kunywa kibao oune.
    Marafiki siwahitaji.

  • @sam4444
    @sam4444 8 ปีที่แล้ว +3

    Ukweli mtupu dunia ya sasa HAKUNA RAFIKI WA KWELI, BALI MOYO WAKO TU. BINAFSI SIHITAJI MARAFIKI AWALETI MAENDELEO ZAIDI YA CHUKI, WIVU, ROHO MBAYA KIFUPI NI MAOVU YOTE ................ SIHITAJI MARAFIKI AHAAAAAAA

    • @bensonfrank9578
      @bensonfrank9578 8 ปีที่แล้ว

      True broo

    • @gastosilayo4710
      @gastosilayo4710 4 ปีที่แล้ว

      fid q namkubali sana nyimbo zake xinaelimisha sichokagi kuzikiliza nyimbo zake

  • @pound_tz7248
    @pound_tz7248 2 ปีที่แล้ว +1

    Don’t tell mi ndio wa mwisho kucomment 2022

  • @givenessndosy8900
    @givenessndosy8900 6 ปีที่แล้ว +4

    17/02/2019 noma sana uyu jamaaaa

  • @bandio_jr1511
    @bandio_jr1511 ปีที่แล้ว

    2024 bado nasikiliza hii ngoma 🎉