Mungu akulinde naujilinde, usiwafiche vijanawako ujuzi ndio maendeleo usifanye ubinafsi,sababu iyo ndio inayo fanya kutoendelea,kwaiyo Mungu kakupa bure nawe towa bure
Napenda kumpongeza kwa kazi nzuri ulio ifanya hongera sana. Mimi kama mimi najiuliza hapo kuna sharft mbili za Aluminium hapo hizo tu ndio zime nipa masuali aliwezaje kuzichonga mpaka zikafikiya kiwango cha kuzifumga hapo. Itakuwa huyu mtu ana akili sana. Kuvumbuwa kitu kwa akili yangu huwa ina nambia kuwa: 1) Ufikirie Vipi una taka kiwe 2)Uweke michoro yake. 3)utafute material chuma, bati na waya uje uzi unganishe itimie kuwa mashine sikazi ndogo. Hongera sana kijana wa ki Tanzania 🇹🇿
Waziri wa viwanda unasubiri nini Kutengeneza Taasisi ya watu wabunifu kama hawa tupate kuongeza uzalishaji tuifikie ndoto ya Raisi wetu mtukufu ya kufanya TANZANIA ya VIWANDA.?
Hongera saana, naomba nikumbushe kile kiwanda cha MANG'ULA habari zake zikoje !! Haya ndo mabo ! jamani. Kile kiliandaliwa kwa ajiri ya kuchonga vipuli vya machine mbalilimbali. Tanzania kuna baadhi yetu ni VICHWA ambavyo vinahitaji kuwa supported.
Nimeguswa sana kwa kweli jamaa yupo vzr sana pia ana uzalendo ndani yake kwahyo tunaomba serikali imshike mkono na wengine watajitokeza kwa wingi yan huyu jamaa n zaidi ya dhabau endapo serikali itachukua hatua za kshika mkono
Wachaga bwana.....minikiingiaga dukani nikigundua muuzaji nimchaga tu. Naohopaga kupigwa kitu kwabei juu kitu kinauzwa elf 5 ukinwambua nipunguzie anakwambia yani hapo faida yangu nimia5 tu babangu.
Tanzania Kwanza Mengine baadae jpm nambari 1 Katiba sisi wananchi tuibadilishe rais wetu aendelee kutawala mpaka ukomo wa uhai wake kwa pamoja tunaweza Kinacho tukwamisha maishani! Sio kile kitu tusichonacho! HAPANA nikile tulichonacho hatujui namna ya kukitumia wananchi WANAHITAJI KIONGOZI BORA NA SI BORA KIONGOZI
Uyu jamaa nahis sio kizazi cha Tanzania hii bara la Giza,,. Lakin serikali zetu sijui kwanin hainaga time kuboresha vya nyumban na kuunda product zitangazwe
Napenda sana kuona watanzania wenzangu wawe kama huyu jamaa lakini je hayo matrio ya hizo machine zimetengenezwa wapi? Au ni kama ilikuwa ni machine ya kusaga mahindi ikabadilishwa mwelekeo au wametengeneza wao wenyewe chuma kimoja kimoja?
Broo angalia serikali isije ikakupoteza maana ukigundua kitu wanakuuwa, maana hata mm nnauwezo wakubuni mavitu kibaao ila sifanyi maana naogopa kupotezwa, (sema mm huwa nabuni vitu vya hatar , (silaha) kwahi nimeona bora niendee na mambo yangu kuliko kupotea
Ushauri wangu vitu vyote anavyobuni vipewe jina lake ndio wazungu wanavyofanya hivyo ili kuweka kumbukumbu ya jina lake,kama unavyosikia majina ya matreka Massey furggason ni majina ya watu hayo
UK kuna kipindi chinachoitwa "Busses Angles" yaani watu wenyepesa kukutana na watu wenye ideas za business au ufumbuzi, wanatoa maelezo ya biashara yake anayoiwaza wakiona inafaida wanajafiliana na mtu anayebuni biashara au uvunjifu wa kifaa, mashine, na jamaa wanajitosa ku finance hizo shughuli kwa makubaliani wataksuoyafikia.
Safi sana Ila please achana na story za wakurugenzi wa jiji au serikali, you have a brain brother sasa deal na bankers wakupe loan ufanye vitu vyako au watu binafsi wanaotaka kuwekeza na wewe...sahau serikali hawana msaada wote watakurudisha nyuma tuu
Pongezi kwa ubunifu na usanifu. Hakika una hadhina ya uvumbuzi mara ya kwanza kukuona ilikuwa wakati ule wa Corona, japo mataifa mengine bado wanaimba huu wimbo wa Corona. Tumshkuru Mungu kwa kutuvusha kupitia uongozi Bora wa Jpm.
Ni wazo zuri sana, kwa sababu unapobuni teknolojia moja inasababisha uwe na uwezo wa nyingine kubwa zaidi! Ila niwafahamishe tu kwamba mwishoni mwa miaka ya tisini palikuwa na car wash automatic pale Magomeni mwembe chai, kwenye sheli ya jamaa wa super doll, kwa sababu hiyo hii haitakuwa mpya kwa Tanzania. Hebu nisaidieni ninyi mnaojua, hivi COSTECH(TUME YA SAYANSI NA TEKNOLOJIA) hawanaga bajeti kwa ajili ya wabunifu wanaofanya vizuri namna hii?
huyu jama kaunganisha tu lakini siyo kagundua , kuwa tu mkweli hii mashini niliiona kwa wachina web site Aliexpress, kwa hiyo hakuna alicho gundua bali kaunganisha
@@reginautou4163 alitakiwa aonyeshe kuanzia alipoanza kuiunda hapo ndipo naweza kumuelewa, lakini hata kama kaunda bado nampongeza sana tu kwa juhudi yake
Ndugu wewe ni mtanzania mwenye akili sana na watu Kama nyinyi ni vizuri kuomba nafasi ya kukutana Na Raid JPM na kuzungumza ma swala ya maendeleo hizo ndizo akili za mtanzania na siyo ku kaa kwenye mitandao na kuongea utumbo tu eti serikali ya Magu haijafanya kitu
safi sana big up mzee usikate tamaa jina lako litaandika historia kwenye kitabu cha mama Tanzania
Big up sana kazi nzuri,.ndoto kubwa,.tuchangamkie fursa kwenye huu ulimwengu wa teknolojia👌
Huyu jamaa hodari sana.
Namkumbuka kipindi cha korona na uvumbuzi wake
Kwa sisi tunaojua mambo ya teknolojia huyu jamaa anauwezo mkubwa sana sio wa kumbeza,na tukichelewa wenzetu watambeba,hongera broo big up.
Unajitahidi Sana Mungu akuwezeshe zaidi. Kweli pengine Tanzania hamna lkn nchi nyengine zipo. Maendeleo ni mazuri sana
Hakika Mungu anataka kututumia watanzania,Mungu akujalie na vingine pia,nanikupongeza kwa uzalendo Wa kuandika kwa lugha ya kiswahili
Nakupongeza Sana kijana wangu. Tuko pamoja. Zao la Wilaya ya Mwanga. I feel proud
Mungu akulinde naujilinde, usiwafiche vijanawako ujuzi ndio maendeleo usifanye ubinafsi,sababu iyo ndio inayo fanya kutoendelea,kwaiyo Mungu kakupa bure nawe towa bure
Napenda kumpongeza kwa kazi nzuri ulio ifanya hongera sana.
Mimi kama mimi najiuliza hapo kuna sharft mbili za Aluminium hapo hizo tu ndio zime nipa masuali aliwezaje kuzichonga mpaka zikafikiya kiwango cha kuzifumga hapo.
Itakuwa huyu mtu ana akili sana.
Kuvumbuwa kitu kwa akili yangu huwa ina nambia kuwa:
1) Ufikirie Vipi una taka kiwe
2)Uweke michoro yake.
3)utafute material chuma, bati na waya uje uzi unganishe itimie kuwa mashine sikazi ndogo.
Hongera sana kijana wa ki Tanzania 🇹🇿
Hongera sana kwa ubunifu.
Ongera sana kwa ufumbuzi huu mimi naona wezetukuna mashine au jembe linasehem ukibonyeza unalima bila kutumianguvu naunawezalima kw sk ekamoja
God bless you more my brother
Hongera sana Huo ndio UBUNIFU inatakiwa Mungu akutangulie Na ufanikishe malengo yako
'Our future is a race between the growing power of technology and the wisdom with which to use it'
kiongozi nayaona mambo yako nimakubwa sana mungu azidi kukutangulia sana kwenye kipaji chako,mm nakujua ukiwezeshwa hata ndege unaweza kutengeneza.
Hongera kijana Mtanzania
Kazi zuri
Vizuri sana👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏
Nakukubali kakamkubwa hongera sana
Broh nakubari maneno yako CNC machinel ni ghali sana
Mimi Mchungaji wako. Mungu azidi kukuinua
Mashaalha kaka.mungu akusimamie
Hiyo car wash ni noma sana. Mkurugenzi wa jiji fanya haraka mpe eneo fasta
Umetisha
Kweli kijana una uwezo!
Mungu azidi kukuwezesha kwa uwezo ulio nao.
Brother ubarikiwe sana, nakukumbuka kipindi cha corona ulitengeneza mashine ya korona
Hivi hawa jamaa wa COSTECH hawanaga bajeti kwa ajili ya wabunifu wanaofanya vizuri namna hii jamani!🤔
Nimeipenda sana hiyo
Upo vizuri sana jamaa
Hiyo ndio Tanzania ya viwanda mungu akuongoze uzidikufanya vikubwa zaidi ya hivyo broo
Waziri wa viwanda unasubiri nini Kutengeneza Taasisi ya watu wabunifu kama hawa tupate kuongeza uzalishaji tuifikie ndoto ya Raisi wetu mtukufu ya kufanya TANZANIA ya VIWANDA.?
Safi sana huo ndio uzalendo tunaotaka ili nchi isonge mbele
Umetisha bro
We noma kaka
Serikali imuangalie huyu jamaa imuwezeshe kufanya mambo makubwa.
Serikali muunge mukono jitihada hizi,watanzania wameanza kuonyesha mambo.
Broh inabid siku moja tupate nafas tukamshaur raisi juu ya CNC machinel
Mungu ampe maono mengine mengi ya kibunifu,na siku moja aje na mashine za kutengeneza nguo.
Huyu jamaa ni mbunifu wa vitu vingi sana kipindi cha corona alibuni mashine ya kupima corona na sasa hivi kaibuka na chengine
Safi sana!
Hongera saana, naomba nikumbushe kile kiwanda cha MANG'ULA habari zake zikoje !! Haya ndo mabo ! jamani. Kile kiliandaliwa kwa ajiri ya kuchonga vipuli vya machine mbalilimbali. Tanzania kuna baadhi yetu ni VICHWA ambavyo vinahitaji kuwa supported.
Nenda maeneo yenye wakulima Kama mtwara itakua vizuri zaidi au vep jaman
How much for that
WATU KAMA HAWA NDO WANATAKIWA KUPEWA SUPPORT NA SERIKALI ILI AFANYE MAMBO YA UBUNIFU YASIYO YA KAWAIDA. HONGERA SANA
Am zambian nimevutiwa sana.nakuja kumuona uyu jama.
Niwaombe global tv kitu kimoja tu ,,,emu muunganisheni serilalini ili wamjue ,,inshallah huyu jamaa anaweza sana
Ukimpeleka mjanja kwa wapumbavu watamuua
Nimeguswa sana kwa kweli jamaa yupo vzr sana pia ana uzalendo ndani yake kwahyo tunaomba serikali imshike mkono na wengine watajitokeza kwa wingi yan huyu jamaa n zaidi ya dhabau endapo serikali itachukua hatua za kshika mkono
Huyu jamaa ni kipaji
Hazina ya nchi
Anastahili recognition and backup
Umefanya kazi nzuri sana.
Ila ukisema hakuna nchi yoyote ambayo ina car wash ya kujiendesha yenyewe si sahihi.
Zipo car wash za kisasa sana.
Umesikiliza kipande au hujamuelewa
Mm nahitaji mipini.ya moop.3/4
Nitapata
Wachaga bwana.....minikiingiaga dukani nikigundua muuzaji nimchaga tu. Naohopaga kupigwa kitu kwabei juu kitu kinauzwa elf 5 ukinwambua nipunguzie anakwambia yani hapo faida yangu nimia5 tu babangu.
Tanzania Kwanza Mengine baadae jpm nambari 1 Katiba sisi wananchi tuibadilishe rais wetu aendelee kutawala mpaka ukomo wa uhai wake kwa pamoja tunaweza Kinacho tukwamisha maishani! Sio kile kitu tusichonacho! HAPANA nikile tulichonacho hatujui namna ya kukitumia wananchi WANAHITAJI KIONGOZI BORA NA SI BORA KIONGOZI
Safi sana.... Kijana
Wahusika ina maana hammuoni huyo mtanzania ambae anaenda sambamba na fikra za Rais wetu mpendwa JPM ?
Uyu jamaa nahis sio kizazi cha Tanzania hii bara la Giza,,. Lakin serikali zetu sijui kwanin hainaga time kuboresha vya nyumban na kuunda product zitangazwe
Napenda sana kuona watanzania wenzangu wawe kama huyu jamaa lakini je hayo matrio ya hizo machine zimetengenezwa wapi? Au ni kama ilikuwa ni machine ya kusaga mahindi ikabadilishwa mwelekeo au wametengeneza wao wenyewe chuma kimoja kimoja?
Hapo ni chuma kimojakimoja hakuna mashine iliyobadilishwa ndugu yangu
HONGERA WATANZANIA WAZARENDO, JPM JUUU
Broo angalia serikali isije ikakupoteza maana ukigundua kitu wanakuuwa, maana hata mm nnauwezo wakubuni mavitu kibaao ila sifanyi maana naogopa kupotezwa, (sema mm huwa nabuni vitu vya hatar , (silaha) kwahi nimeona bora niendee na mambo yangu kuliko kupotea
Ushauri wangu vitu vyote anavyobuni vipewe jina lake ndio wazungu wanavyofanya hivyo ili kuweka kumbukumbu ya jina lake,kama unavyosikia majina ya matreka Massey furggason ni majina ya watu hayo
Tanzania kunawatu tunaweza ila hatuwezeshwi
Uyu jamaa ni genius kupita kiasi.. tatizo nchi hii ndio tatizo.. mzungu mweusi
Twende taratibu, kavumbua kweli au ni kitu toka nje?
Sasa hapo ndokatengeneza wapi au kaagiza toka nje
UK kuna kipindi chinachoitwa "Busses Angles" yaani watu wenyepesa kukutana na watu wenye ideas za business au ufumbuzi, wanatoa maelezo ya biashara yake anayoiwaza wakiona inafaida wanajafiliana na mtu anayebuni biashara au uvunjifu wa kifaa, mashine, na jamaa wanajitosa ku finance hizo shughuli kwa makubaliani wataksuoyafikia.
Dah naskitika yuko nchi isojali vipaji masikin
Safi sana Ila please achana na story za wakurugenzi wa jiji au serikali, you have a brain brother sasa deal na bankers wakupe loan ufanye vitu vyako au watu binafsi wanaotaka kuwekeza na wewe...sahau serikali hawana msaada wote watakurudisha nyuma tuu
Usiseme hakuna nchi iliofanya carwash kama hiyo nchi zenye uwezo wake ndio zinatumia hizo uzisemazo, mzee bb ni semetu hongera kwa mashine ya mipin
Angeangalia hata final destination kuna car wash ya ivyo...
Umefeli kumuelewa, amesema kwa Afrika, wacha kudandia vitu kwa mbele
Watanzania tunaweza sio wazungu tu
Huyu jamaa mzalendo,anahitaji kuungwa mkono.
Pongezi kwa ubunifu na usanifu. Hakika una hadhina ya uvumbuzi mara ya kwanza kukuona ilikuwa wakati ule wa Corona, japo mataifa mengine bado wanaimba huu wimbo wa Corona. Tumshkuru Mungu kwa kutuvusha kupitia uongozi Bora wa Jpm.
Huyu jamaa atanzania wasipomtatia kazi wazungu watamchukua baadaye tunakuja kujuta
Sasa mkurugenzi namba mpeni huyo Gadiosi nafasi hiyo stand mpya.
Nimeridhika na ubunifu kwanza unakisi harakati zetu za uzalishaji. Ningekuwa raisi ningekupa zawadi nono sana
Uwanga zijutiangi kumaliza bando langu kuangaliaga vitu kamaivi
Wew unaesema carwash kwenu ipo kwani mwenzetu unatokea nchi gani maana hapa tz sijaiona
Ni wazo zuri sana, kwa sababu unapobuni teknolojia moja inasababisha uwe na uwezo wa nyingine kubwa zaidi! Ila niwafahamishe tu kwamba mwishoni mwa miaka ya tisini palikuwa na car wash automatic pale Magomeni mwembe chai, kwenye sheli ya jamaa wa super doll, kwa sababu hiyo hii haitakuwa mpya kwa Tanzania.
Hebu nisaidieni ninyi mnaojua, hivi COSTECH(TUME YA SAYANSI NA TEKNOLOJIA) hawanaga bajeti kwa ajili ya wabunifu wanaofanya vizuri namna hii?
Hiyo mashine yakuosha bila mtu ipo China Africa hakuna
Mipini ya majembe!!! Kumbe jembe la mkono bado linaenziwa!!
Tanzania Bado jembe linadili maana technolojia ya matrekta Bado pia kiufupi Bado sana ko jembe Bado tunalo na lipo sana
Mashine nzuri lakini hajazingatia kuweka emergence stop 🛑 switch na ku cover rotating parties
Wewe huna cha kukosoa hapo
Kila kitu ni taratibu bro hata ndege ya kwanza kuruka ilikua hovyo sio kama za leo
@@denismassawe9255 its true bro.
Jamaaa ni ginius wa hatari duniani sio Africa tu duniani ni watu wachache serikari mpeni nafasi jamaaa afanye maajabu
Serikali isiwabanie watu kama hawa ndio uchumi wetu unavyokuwa hivyo
🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿 safi Sana
Ubunifu kama uhu ndiyo unatakiwa
Mimi naona wangebuni kitu cha maana
Buni bas na wew icho cha maana
Kuna mtu anauliza eti huyo ni kijana kweli? 😅😅
Wahusika ina maana hammuoni huyo mtanzania ambae anaenda sambamba na fikra za rais wetu mpendwa JPM?
huyu jama kaunganisha tu lakini siyo kagundua , kuwa tu mkweli hii mashini niliiona kwa wachina web site Aliexpress, kwa hiyo hakuna alicho gundua bali kaunganisha
Hivi unamjua huyu jamaa au ni marayako ya Kwanza kumuona kwenye mtandao?
@@reginautou4163 alitakiwa aonyeshe kuanzia alipoanza kuiunda hapo ndipo naweza kumuelewa, lakini hata kama kaunda bado nampongeza sana tu kwa juhudi yake
Ndugu wewe ni mtanzania mwenye akili sana na watu Kama nyinyi ni vizuri kuomba nafasi ya kukutana Na Raid JPM na kuzungumza ma swala ya maendeleo hizo ndizo akili za mtanzania na siyo ku kaa kwenye mitandao na kuongea utumbo tu eti serikali ya Magu haijafanya kitu
Hiyo carwash unayo Sema huku kwetu ni vitu vya kawaida brooo
Kwenu wapi ?
Kakojoe ulale
@@clifordmsongole1134 Dubai
Huyu atakuwa Mkenya mmjaa wivu
sizani kama analala huyu mwamba