MBOSSO ALICHO MFANYIA MDOGO WAKE ITAKUTOA MACHOZI MDOGO WAKE MBOSSO AKISIMULIA

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 15 ก.พ. 2022
  • #BongoTouch #JsTvShow

ความคิดเห็น • 163

  • @BongoTouchTv
    @BongoTouchTv  2 ปีที่แล้ว +9

    Anaitwa Omary ni mdogo wake na Mbosso una nini cha kumwambia

    • @secsal464_m
      @secsal464_m 2 ปีที่แล้ว

      Akafagnee test ya DNA

    • @mbwanakiting7180
      @mbwanakiting7180 2 ปีที่แล้ว

      Tatizo sio mboso wala huyo kijana tatizo ni baba yake mboso na wewe mtangazaji.
      Kwani baba yake mboso haoni huyo mtoto anavyoangaika kumtafuta mboso.? Na wewe mtangazaji kwa nini humtafuti baba yao na kumuoji ujue sababu

    • @saeedboost2613
      @saeedboost2613 2 ปีที่แล้ว +1

      @@yvonnealusa5300 duh ongea kiswahili tu unachoma msee

    • @yvonnealusa5300
      @yvonnealusa5300 2 ปีที่แล้ว

      @@saeedboost2613 Kwan nimeongeza kispanish

    • @abubakarmpole4000
      @abubakarmpole4000 2 ปีที่แล้ว

      Mwambie anywe sumu ya Mende.

  • @christophermwatendela9500
    @christophermwatendela9500 2 ปีที่แล้ว +11

    Kaza buti kivyako dogo ,nyota yako iko pale pale na nyota yake iko vile vile , maishani usimtegemee ndugu hata Kama Ni tajiri , kukusaidia Ni hadi awe na moyo wa kusaidia .

    • @Bredahkim
      @Bredahkim 2 ปีที่แล้ว +1

      Ndo hyo maana hta mbosso mwenyewe ameng'ang'ania maisha yake,,, sana kufikia alipo Sasa hivi

  • @epicp9485
    @epicp9485 2 ปีที่แล้ว +1

    Mbosso Kenya tunakuamini sana meet na bro wako me kwanza nimemlike sana yeah🌹🌹💖💖

  • @ribanimak.4819
    @ribanimak.4819 2 ปีที่แล้ว +5

    Ndio maana Mondi ataendelea kuwa bosi wao. Anatembea na familia yake yote kila hatua anayopiga. Mbosso am your fan from 254 but hapa unanilet down. Family should come first.

  • @mohammedsaeedsaeed7365
    @mohammedsaeedsaeed7365 2 ปีที่แล้ว +5

    Kwan huyo mbosso hawajui nduguzake, au life inamchanganya

  • @ianmasiba1155
    @ianmasiba1155 2 ปีที่แล้ว +4

    Weee mbosso wacha kumkana nduguye

  • @alexiswafula5232
    @alexiswafula5232 2 ปีที่แล้ว +4

    Bro keep going on you will make it...ushafika usipoteze tamaa

  • @bentaakoth4274
    @bentaakoth4274 ปีที่แล้ว

    Wangapi tuliwaona wakiimba leo wako wapi..fakari ya babu😏😏😏kuna leo na kesho..woching from mombasa kenya 🇰🇪

  • @Bredahkim
    @Bredahkim 2 ปีที่แล้ว +2

    Si kama Kuna uwezekano,,, Mbosso afanyiwe interview mwenyewe tusikie atasema vipi,,, 😎😎

  • @djyondergigi1027
    @djyondergigi1027 2 ปีที่แล้ว +3

    Mbosso Mwanzo unasaidia family mwanzo ndiyo mungu Ana akubariki.

  • @azizachristophe7937
    @azizachristophe7937 2 ปีที่แล้ว

    Bongo touch vizuri sana dah

  • @martinwekesa3998
    @martinwekesa3998 2 ปีที่แล้ว

    Mbosso hivo si vizuri

  • @jiazaliazizi2886
    @jiazaliazizi2886 2 ปีที่แล้ว +2

    Mboso huyo mdogo wake mbona wamefanana sana

  • @ianmasiba1155
    @ianmasiba1155 2 ปีที่แล้ว +6

    Inasemekana kuwa ukiingia freemason haufai kumsaidia familia yako Sasa hivi naona kwa mbosso ila c makosa yake adi familia yake ijiunge na freemason pis

  • @justingeorge6959
    @justingeorge6959 2 ปีที่แล้ว +4

    Alikuwaga wapi mwanzo ....mboso alivokuwa yamoto mbona hajaonekana 😅😅

    • @totooz5853
      @totooz5853 2 ปีที่แล้ว +1

      Swali hilo najiuliza mmi hku😂😂😂

    • @justingeorge6959
      @justingeorge6959 2 ปีที่แล้ว +1

      Najiuliza ye mboso amekuwa binadam gan wakusahau had mdogowake wadam kabsa ,,mbona inachekesh hii 🤣🤣🤣🤣

    • @totooz5853
      @totooz5853 2 ปีที่แล้ว +1

      @@justingeorge6959 😆😆😆😆😆😆😆😆😆hakojoe alale huyoo

  • @husnaabiero8477
    @husnaabiero8477 2 ปีที่แล้ว +3

    mungu awachi waja wake ninaimani mungu atafungua njiaa inshaaallah yarab👃👃

  • @silasteven9892
    @silasteven9892 2 ปีที่แล้ว +4

    Dogo achana na mambo yakutegemea watu pambana kivyako na umtegemee mungu miaka hiii tuliyonana hakuna ndg hawajali ushauli wako tafuta pesa

    • @salmaseif2131
      @salmaseif2131 2 ปีที่แล้ว

      Kbs bora kujiweka kivyako ndugu mtihani sanaa

  • @aishambondo8923
    @aishambondo8923 2 ปีที่แล้ว +1

    Izo rasta sh ngapi si Bola ungemuna karangaa uuzee shauliako

  • @yahyaally6378
    @yahyaally6378 2 ปีที่แล้ว +1

    Jipe moyo utashinda kaka maisha nisafari ndefu

  • @tingbatuuka7278
    @tingbatuuka7278 2 ปีที่แล้ว +1

    Sihukumu mtu bila kujua why mbosso hajamjali. Ipo sababu ukizingatia ni kaka wa kambo tena anafuga dreads. AFANYE KAZI ATATOBOA NA MUNGU ATAMUONGOZA

  • @mugishagerard8241
    @mugishagerard8241 2 ปีที่แล้ว +4

    Asipotez muda, apambane kivyake, amesha kuwa mtu wa masharti hawezi kukusogelea eti utapata chochote.

  • @cashhommy91
    @cashhommy91 2 ปีที่แล้ว

    Ndugu gani huyu mwenye hana ata contact ya ndugu yake uyuu 😂😂😂😂 wabongo banaa

  • @mugishagerard8241
    @mugishagerard8241 2 ปีที่แล้ว +2

    Mtu akiingia freemason malanyingi, banakataza usisaidie family yakwako, roho yake amesha itowa juu ya conditions zao😂😂💀

  • @zaiabu6595
    @zaiabu6595 2 ปีที่แล้ว +1

    Kwan haji nyumban auinakuaje pole pambana kaka illa na hayo manywele nyoa2 vizur acha ushoga wanaume wote wanao suka hawana akili

  • @levocatuspaul1994
    @levocatuspaul1994 2 ปีที่แล้ว +1

    Dogo kuja kumtafuta mboso ndo ukuje umesukwa

  • @saidali9010
    @saidali9010 2 ปีที่แล้ว +2

    Ndio yeye kaja sahiviyeye Haina haja yakuuliza

  • @forziyacarrenmaina7665
    @forziyacarrenmaina7665 2 ปีที่แล้ว +1

    Ni heri afate mambo mwengine kakangu mana yaonekana mbosso mwenyewe hataki kuku ona

  • @austinejosphat9753
    @austinejosphat9753 2 ปีที่แล้ว +1

    Mwambieni mbosso kuwa damu ni nzito kuliko mvinyo

  • @ezekielimeitalam4112
    @ezekielimeitalam4112 2 ปีที่แล้ว +1

    Mboss aache kumteng ndug damu nzito kuliko maji

  • @bentaakoth4274
    @bentaakoth4274 ปีที่แล้ว

    Mbosso..akona tharau sana kakake anagonga gari Eti akuona😒😒pesa zita isha ipo siku..

  • @rehemavictor481
    @rehemavictor481 2 ปีที่แล้ว +1

    Marasta kichwani ya nn

  • @hamzamose8508
    @hamzamose8508 2 ปีที่แล้ว

    Mungu amusaidie apate kukutana na ndugu yake

  • @mwanaidihussein6887
    @mwanaidihussein6887 2 ปีที่แล้ว

    Mmmh ila wanafanana sana jamn kama mapacha mbosso mshike mkono mdogo ako jamn ana hurumisha sana

  • @couragetv3314
    @couragetv3314 2 ปีที่แล้ว +1

    Sijui imekaaje mtu kumkataa mdogo wake

  • @zaiabu6595
    @zaiabu6595 2 ปีที่แล้ว +1

    Asa nyie wanaume kwann mnasuka mnataka kuolewa au

  • @rizikiwangare9164
    @rizikiwangare9164 2 ปีที่แล้ว +3

    Mbosso mbosso I have called you how many times I like songs I'm sorry that what you're doing is not quite cool, and you've got a little bit of God who has blessed you and help your family please. 🙏

  • @nancygathonigathoni4578
    @nancygathonigathoni4578 2 ปีที่แล้ว

    Omari keep fighting u gonna win jajah yuko tu n ww and ur strong keep up the same spirit

  • @mohamedelzobery7194
    @mohamedelzobery7194 2 ปีที่แล้ว +1

    Copywrite ad sauti kwani wasanii wanafikisha ujumbe kwa hadhira na kwanini ni shida kuonana nao ebu lifikirieni hilo uongozi wa sanaa

  • @laemoha_005
    @laemoha_005 2 ปีที่แล้ว

    Atakama ana roho mbaya sio kiasi hicho kwani huyo mbosso hamjui ndugu yake au ndo kiki huyo mdogo anaitafuta maana vijana wa mji hao ye ashaona ana fanana na mbosso basi ndo anataka kuwa kimelea Kama vipi apambane tu na maisha mtegemea Cha ndugu hufa masikini sasa we acha aendelee kutegemea atabaki Ivo tu

  • @user-tq4uk9hu9b
    @user-tq4uk9hu9b 6 หลายเดือนก่อน

    Pole,sana
    🙏😳
    5:56 5:58 ,dogo

  • @lebonzhang7235
    @lebonzhang7235 2 ปีที่แล้ว

    Mbosso sisi n'a mashabiki zako kwa Nini usitafute mda uongeye n'a mdogo wako usikiye kama nitapeli wala ni mdogo wako halali wanasema kama damuninzito kuliko maji minajuwa kama ule nimdogowako utamjuwathu kwa sababu mukowandugu mpenafasi kama alikufanyiziya makosa umusame

  • @JosephMkoyongi-hh1rv
    @JosephMkoyongi-hh1rv ปีที่แล้ว

    Mungu atakutimizia malengo yako hata ucjal

  • @mmtexo3989
    @mmtexo3989 2 ปีที่แล้ว +1

    Mbosso afanye juhudi coz SS huku Kenya tunamuaminia sana

    • @linahjohn5911
      @linahjohn5911 2 ปีที่แล้ว

      Yani me nimeguswa San nailo jamb limenium San nakunitoa machoz but mungu nimkubwa atamfungulia njia

  • @niyosengadidas3905
    @niyosengadidas3905 2 ปีที่แล้ว

    Mbosso mbona Hana huruma kajiona boss ndomana lakini usikate tama mungu anatenda mema nae mbosso ndani pamwoto acana nae

  • @madamsossi7411
    @madamsossi7411 2 ปีที่แล้ว +1

    Don't go back home struggle in town until u get work

  • @laizakimalokileli8560
    @laizakimalokileli8560 2 ปีที่แล้ว +1

    Mimi namuoneya huruma uyo dogo😭

  • @dereva0
    @dereva0 2 ปีที่แล้ว +1

    unachokomalia nn kwan ndo babako alokuzaa au kwamba kakukataa au

  • @mrishohashimujumajuma8539
    @mrishohashimujumajuma8539 2 ปีที่แล้ว

    Mh mxada wako ni mungu xo mboso mana nae kapewa na mungu pambana ndugu

  • @suleimanbadru819
    @suleimanbadru819 2 ปีที่แล้ว

    Ingekua mboso hana kitu ungempapatikia kama ni ndugu atakutafuta achana nae

  • @frankke6687
    @frankke6687 2 ปีที่แล้ว

    wewe kenye unafanya nikutengeneza hela na huyo kijana mdogo kwa social media badala kumsaidia afikie ndugu yake.

  • @user-uk7uu7om7z
    @user-uk7uu7om7z ปีที่แล้ว

    Kama nimandugu kwanini asimtafute baba yake kwanza sikweli natoka som🇸🇴🇸🇴🇸🇴

  • @michaelthobias9967
    @michaelthobias9967 2 ปีที่แล้ว

    Sikieni ndugu Hawa ndugu zetu wenye umarufu huwa wanajisahau pambana kijana achana na huyo ndugu yko liziki hutowa mungu

  • @beccaally5625
    @beccaally5625 2 ปีที่แล้ว

    Sasa huu nao pia Ni ufala sana mbona umfatefate mtu kienyeji ivo Ni kama alikuibia hauna mawasiliano nae au Nini ?

  • @selemanmsafiri2504
    @selemanmsafiri2504 2 ปีที่แล้ว +2

    Muulzen huyo jamaa Kwan alishamfanya Nini mbosso? Mbona kama hatak kumpokea mda woote huo au walishamfanyia mbosso kitu gan maana sio kawaida tu mtu asimsaidie mtu kwa jitihada zoote hizo

    • @aishachamumi516
      @aishachamumi516 2 ปีที่แล้ว

      Undugu waku share baba huwa unashida kiasi flani kutokana na kinamama waliowazaa watoto,,Yawezekana kuna kitu hata alifanyiwa na mamaake hy kijana hawezi mkataa hvhv..Msimlaumu

    • @davidtom1069
      @davidtom1069 ปีที่แล้ว

      mbosso ako sawa kila mtu hawe ni ndugu mwaje angangane namaisha yake. Huyo nindugu wanashea baba.lakini mama tofauti

  • @hamicsmpalule2535
    @hamicsmpalule2535 2 ปีที่แล้ว

    Jaman Acha Pessa iitwe pessa Kama ndg yako unamkataa kisa umaarufu Duuuuuuuh!!!!!!!

  • @davidmutinda952
    @davidmutinda952 2 ปีที่แล้ว

    mbosooo,mpaka kukutana na kakako Omari nadra kabsa,dah kaka ukaingia wasafi,ukawa msafi tu kupindukia???

  • @samsonbulati5364
    @samsonbulati5364 ปีที่แล้ว

    Mboso amesahau adi ndugu yake..aki pesa ww

  • @florahsiah9318
    @florahsiah9318 2 ปีที่แล้ว

    Alivyovaa hyo nguo ya blue nikajua Ray kigos kumbe mdgo wake mboso,,

  • @mwanakhamis1153
    @mwanakhamis1153 2 ปีที่แล้ว

    Inamana wakitoka kwao awafanyi mawsliano na ndugu zao ,ni shida kwelkweli

  • @yusufjoseph6094
    @yusufjoseph6094 2 ปีที่แล้ว

    Mtegemea cha nduguye hufa maskini

  • @ashuramohamed557
    @ashuramohamed557 2 ปีที่แล้ว

    Inshaallah, awek iman kuw ipo cku atakutna n kak yake.

  • @nassoroabed5466
    @nassoroabed5466 2 ปีที่แล้ว +1

    nashangaa mtoto wakiume kama wewe unamsujudia mtukama huyo wanini sasa au kwavle anaviji sendi hata akiwa nduguyako sio janja fanya yako hv angekua hajiwezi mkulima hana lolote ungehangaika hv kumtafuta hadi usiku wamanane nawala tusingekujua unaambiwa mfatilie anae kufatilia asiekufatilia achana nae fanya yako kama ipo ipotu janja usionyeshe uzaifu wako hata akiwa nduguyako

  • @everiusvedasto4909
    @everiusvedasto4909 2 ปีที่แล้ว

    Mbosso afunguke kama ni mdogo ake au la

  • @husnamohamed9245
    @husnamohamed9245 2 ปีที่แล้ว

    Tumemlaumu sana mbosso lakini huyu omari afungue bendi yake sauti yake nzuri

  • @fjgdh3075
    @fjgdh3075 2 ปีที่แล้ว

    Hèehee mtu ukatae kuinua ndugu zako mboso kumbe u are good for nothing tu hivi waàaaà na kumbuka kuwa Malipo ni hapa duniani broo.style up Saudia ndugu zako na wacha umama wako

  • @nasimuyuchristine7991
    @nasimuyuchristine7991 2 ปีที่แล้ว

    Plis Mbosso, meet your brother and talk to him

  • @ramadhankazungu3195
    @ramadhankazungu3195 2 ปีที่แล้ว

    Inauma sana

  • @onedaymandando5225
    @onedaymandando5225 2 ปีที่แล้ว

    Ila kwel ni ndugu mana wamefanana

  • @ebbyoboe5232
    @ebbyoboe5232 2 ปีที่แล้ว

    Baya

  • @delphinmurhula6331
    @delphinmurhula6331 ปีที่แล้ว

    Don't worry bro, God is on control

  • @kiporindehamadi1047
    @kiporindehamadi1047 2 ปีที่แล้ว

    Dah hata kumsalimia nduguyo ni ngmu dah

  • @siwemasevelini5848
    @siwemasevelini5848 2 ปีที่แล้ว

    Kaka acha kubemberez ndug shida zako pamban kivyako kaka achananae shida zako ipo kivyako

  • @frankilinmuchui2923
    @frankilinmuchui2923 2 ปีที่แล้ว

    agagane.mungu.ata muyalia

  • @faredamobilo3678
    @faredamobilo3678 2 ปีที่แล้ว +1

    MACHO,mdomo,nk Yeah COPY ✅

  • @EgidiMuando-mq3sn
    @EgidiMuando-mq3sn 5 หลายเดือนก่อน

    Mbosso mwamba

  • @joshuanissi1033
    @joshuanissi1033 2 ปีที่แล้ว

    Aibu sana kwa mbosso,ndugu yake mpaka aende media ndio waonane,shame on him

    • @tingbatuuka7278
      @tingbatuuka7278 2 ปีที่แล้ว

      No shame. There is a problem. Just wait for mboso interview. We have no proof. Alikuwa wapi wakati mboso analala gheto kabla ya Kutoka ki music?

  • @emmnuelishija5483
    @emmnuelishija5483 2 ปีที่แล้ว

    Amukubalie tu

  • @merryjames3176
    @merryjames3176 2 ปีที่แล้ว +1

    Aende kwa baba yake yupo temeke

  • @isabelamtewele1008
    @isabelamtewele1008 ปีที่แล้ว

    Usikate Tama utamupata tu

  • @sallehabdallahadam5047
    @sallehabdallahadam5047 2 ปีที่แล้ว

    We achana nahuyo mwenzako kaolewa huyo utamvujia NDOA piga kazi utapata unalazimisha ukoo we v0

  • @abdillahialiy2091
    @abdillahialiy2091 2 ปีที่แล้ว

    kwani huyo mbosso anasemaje

  • @fredyvincent2429
    @fredyvincent2429 2 ปีที่แล้ว

    Jamani mbos msaidy

  • @edwinkarani5593
    @edwinkarani5593 2 ปีที่แล้ว

    Familia muhimu sana.

  • @nguthombuma591
    @nguthombuma591 2 ปีที่แล้ว

    Mbosso kwann anakua ivo mbona hafananii

  • @giftkayombo5895
    @giftkayombo5895 2 ปีที่แล้ว

    Pambana brother ndugu cyo wa2 ndy maana unaambiwa mtumia chandugu ufa masikini unajua wakings umeona saaaaaaaa????

  • @yusofyousuf9553
    @yusofyousuf9553 2 ปีที่แล้ว

    Mbosso atalipa mdogoye hapahapa duniani Mungu ana ona

    • @tingbatuuka7278
      @tingbatuuka7278 2 ปีที่แล้ว

      Mboso alikuwa na hali mbaya kuliko huyu ka fight katoboa so na Huyu a fight KIVYAKE atoboe. Kama anaweza kufuga dreads a nashindwa ku fight LIFE KIVYAKE? Anamtafuta Mboso kwani anaimba? Kusema amtafutie connection ya music?

  • @maikoeramu9946
    @maikoeramu9946 2 ปีที่แล้ว

    Anaferi mboss

  • @neviloundo1070
    @neviloundo1070 2 ปีที่แล้ว

    Fresh mdogo.

  • @aminamarie2387
    @aminamarie2387 2 ปีที่แล้ว

    Omarinaongee na MAmake ambaye ni mama ya OMAri na mboso

  • @swahiliplaylistofficial8975
    @swahiliplaylistofficial8975 2 ปีที่แล้ว

    kazana kijana utazanikiwa

  • @papinyofernando3653
    @papinyofernando3653 2 ปีที่แล้ว

    Picha na chet vya nini wakat kafanan nae

  • @rehemamgongwe300
    @rehemamgongwe300 2 ปีที่แล้ว

    Mboso jaribu Kuwa naimani

  • @husnamohamed9245
    @husnamohamed9245 2 ปีที่แล้ว

    Lakini kwanini msimpigie simu mukaongea nae

  • @nassoroabed5466
    @nassoroabed5466 2 ปีที่แล้ว +1

    alicho kupangia mungu kutoka tumboni mwa mama yako shukulu mungu ndochako janja ckulikon kuwasujudia wajinga kama hao hao wameshakua masheitwani hao usionyeshe Uzaifu wako janja jitambue

  • @maghanighanichali9519
    @maghanighanichali9519 2 ปีที่แล้ว

    Nyie watu wa Media vitu vingine muwe na akili.Msidharirishe watu mbona ndugu wanaokataana mbona ni wengi halafu hamfuatilii.?Mna bif na mbosso

  • @chrispinbahati6059
    @chrispinbahati6059 2 ปีที่แล้ว

    Gai naza nacongo asungaye kaka

  • @abdulmalenga7438
    @abdulmalenga7438 2 ปีที่แล้ว

    Tuseme hapajui dar

  • @ernestkarigi745
    @ernestkarigi745 2 ปีที่แล้ว

    God's times is the best time don't give amari

  • @mzembemakini3532
    @mzembemakini3532 2 ปีที่แล้ว

    Dua

  • @mussayasini4130
    @mussayasini4130 2 ปีที่แล้ว

    Nenda studio za wasafi utapata au kwa mkubwa fella kilunguye