Huyu mtoto ana kipaji,taasisi zinazohusika na sanaa muandaeni huyu mtoto akaoneshe kipaji chake huko Marekani maana watoto wengi wanaenda na wanapata mafanikio,musimuache akapoteza kipaji chake,yuko vizuri, hongera sana,👌👌👌👌👌♥️💜♥️💚💯
Dogo anasauti nzuri sana kipaji kipo ndani yake,, kwa sasa aendelee na masomo yake huku anajiendeleza na talanta yake,. Kwako Daa Zuchu mushikilieni huyu mtoto na kumpa support 😘,, from 🇰🇪 to 🇹🇿
Mashallah, mtoto yuko vizuri sana,napenda asome,kisha aje atimize ndoto yake, Ila kina Mondi na Zuchu mwangalieni huyo mtoto msimpoteze ni almasi baadae ktk kundi lenu Ila mtoto usijiingize kwenye matendo mabaya mungu akulinde uwe na mwisho mwema
Huyu dogo yuko vizuri sanaaa tena sana...asie mkubali huyu kijana basi hajui mziki nimemkubali sanaaa..daah..kipaji kipo hata kuongea kwake utajua yuko vizur...keep it up.am ammir from kenya
Maashallah mtoto kabarikiwa na kipaji cha sauti na tune yake mungu ampe umri na amtimizie anacho taka rohoni mwake woooow👌👌👌👌👍voice of africa live long life kid n inshallah may allah make your dreams come true
Thank you baby you single great nawapenda wote nawumwambiye Zucu nawasaniwote wa bala la Africa kote tuko wote musiwe nawasiwasi Mungu yuko anayatengeneza kutumiya watuwake ulimwenguni kote wamakabira yote so nachowawomba kwasasa ni kufanya mawombi ya mkesha bala la Africa na doniyani kote ambampo unandugu awo rafiki hayijalishi nimwewusi awo muzungu namuendeleye kumsapoti Bishop Gwajima kama alivyofanya baba raici Magufuri wakatiwa colona uliwona alivyotimiza maneno ya unabi, kwahiyo nawawombeeni sana nduguzangu namuendeleye kumsapot Diamond sitaki akawuwawa nawa freemason naninatuma salamuzangu kwa Wema Sepetu
Big up!😊 boy child,nmemkubali sana...more love from kenya
Anafaa kwa kwer nimempa big up
Congratulations, he is talented workhard and work smart boyie
Wooow keep up the good work
May God fulfill your dreams
This boy is talented ,,,may God favour him in his talent,,,zuchu dont fail to do something,,,I love this😍
Like mother like son
Wow sauti nzuri Sana mpe mdgo like
Wau😍😍😍 this boy is talented. Adi amepita zuchu😂😂😂
Jamani jamani mtoto katisha
Dogo ana saito safi sana..such tanya wimbo wa kolabo ba huyo dogo
Wow awesome love it ZUCHU wake up and help youths please???
Huyu mtoto ana kipaji,taasisi zinazohusika na sanaa muandaeni huyu mtoto akaoneshe kipaji chake huko Marekani maana watoto wengi wanaenda na wanapata mafanikio,musimuache akapoteza kipaji chake,yuko vizuri, hongera sana,👌👌👌👌👌♥️💜♥️💚💯
Hongera sana dogo unajua inshaallah kwa uwezo wa mungu atakusaidia utafika mbali
Nimependa jamani....eti mapenzi ni Kama kiatu...tafuta kinachokufaa Kaka/dada..hongera mdogo wetu💞
😜😜
Mwaya mungu akusaidieee una kipaji
Ako vizuri sana
Dogo anasauti nzuri sana kipaji kipo ndani yake,, kwa sasa aendelee na masomo yake huku anajiendeleza na talanta yake,. Kwako Daa Zuchu mushikilieni huyu mtoto na kumpa support 😘,, from 🇰🇪 to 🇹🇿
🇹🇿
Bravoo dogo umeuwaaa👊, alafu u are most brilliant
He has a marvelous sound....congrants ..blessings
Really good boy keep it up
Wooooow the boy has a good talent ☺️ you have a good voice keep it up boy 😘
Ahaa!!! Hii talanta i say
Very talented congrats to him I pray to God to be with him forever
kumbe zuchu ana mwana mkubwa mashallah MUNGU AMLINDE alfu pia kabarikiwa sauti nyororo mashallah 😂😂😂😂😂
Hongera sana mtoto mungu akukuzie kipaji chako
Wow Kumbe Kijana katunga nyimbo n Kumpa zuchuu.... Daaah kabarikiwa kweli
From kenya but nipo saudi Arabia sasa kama wapenda umbea kama mimi npe like mimi nmefungwa harak ati mtoto wa zuchu ooh nkufa mimi j
Hahaha
Umbea😁😁
@@robertmwenda7725 hahahahaha This Tz people they gone killed us n vichwa za habari
@@khadijasayyed5820 hahahahaha mwezangu did u see this people aki
@@mariamwaabdul773 juzi nimepata ingine noma, , eti chuzu alivyo mpea deamond sukari kitandani😂😂
❤kweli kabisa mtoto huyu anajua kuimba hati anatamka maneno yakisikika vizuri sana I love it
Wow!Am proud of the boy he is talented🔥🔥🔥🔥😍😍😍❤❤❤
Inapendez Sana💓💞💕💔❣️🤲👐
Yes dogo yupo good
Mungu ampiganie katika ndoto zake 💪
Wow daaamn nice voice 😘❣️keep up boy you sooo talented
Wow...I like your talent
Huyu ni noma...akiwa kenya tayari ni Star
Kwel🙏🏻
Ongela sana
Waow,,, 🙏🙆🙆🙆👏👏👏👏👏Zuchu I begg help the Angel to get wat he is upto
Kijana unakipaji kweli,tia bidii na mungu akupe nguvu zaidi
Thanks to zuchu mungu akubariki 👏👏👏
Watanzania mnavyo vipaji, mungu awazidishie neema zake, aki mtoto enyewe, anayo talenti
He is talented boy,may GOD bless you so much
Super keep that spirit
Yupo smart kweli ❤️❤️❤️💜💜💜huwez kufeli ishaallah
Dogo atr xn
Wow ana sauti nzuri ,,,nimependa ,,,hongera
I like his voice he has talent
Maashallah big up bt school fast small boy.... Make sure zuchu you look after this young boy ........
i thought he was crying when i forwarded 😂😂
Haha
Uko Saw kijan mungu akujaze nguvu hishi maisha malefu
This boy is super talented.. I wish someone would nurture him
just nature him
😍😍😍 mashallah sauti nzuri
Dogo yupo vzur 😍 en upo na Confident yakutosha big up
Uko vizuri
Very wonderful keep it up
Nimfurahi kua unasoma soma mtto wa mwanadamu mwenzangu soma na mziki baadae ila asley nae alianza km huyu mtto jameni
Wow that's awesome
Young boy ur so perfect watching u from kenya mambo moto
🔥🔥🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@@jasinkai6326 moto kabisa
Nice voice kip it up
Mashallah mashallah Allah akupe kipaji zaidi pia uwe mtoto mwema Inshaallah 🙏❤️💕
Ako sawa...talent ziko damuni...ikiwezekana asaidiwe na aendelezewe kipaji chase..😘
Safi sana 100 % tunakusapoti sababu nr ndio muhim darasa muhim kwanza upo na mda wa kutosha.
Very nice job 👌
Janja anajua,,,pia nature ajibu vizuri so nice
Mashallah, mtoto yuko vizuri sana,napenda asome,kisha aje atimize ndoto yake,
Ila kina Mondi na Zuchu mwangalieni huyo mtoto msimpoteze ni almasi baadae ktk kundi lenu
Ila mtoto usijiingize kwenye matendo mabaya mungu akulinde uwe na mwisho mwema
Wow the voice is attractive congrats young boy and keep it up
He's just amazing😍❤love it 👌👍
Wow the boy is talented 👏👏👏may the almighty God bless him to achieve his dream. Zuchu msaidie huyo mtoto please 🙏 God bless you all.
All the best my son
Keep it up such a talented boy,wow i like the voice
Wowooooo ,,good tarent
Nice and a lovely voice ❤
yuko vizuri sana zuchu amsaidie atimize ndoto zake
Hongera but ana bana sana sauti. 😌Ataja kunya kiwanjani😁 dogo😁😁😁😁👆😁
Waooo!!!!! Hongera dogo, n nzur sana
Mtoto huku ameweza nimependa vile anaimba hongera sana pia mm nampenda sana zuchu
Huyu dogo yuko vizuri sanaaa tena sana...asie mkubali huyu kijana basi hajui mziki nimemkubali sanaaa..daah..kipaji kipo hata kuongea kwake utajua yuko vizur...keep it up.am ammir from kenya
Big love from Kenya my son abdul razak ,,, congrats 👏
Yuko good sana dogo
💕
Talented boy keep it
Eeerh jaman kumbe zuchu kajikuzia Kitt kikubwa hb mashaallah
Kutoka Kenya big up braza Allah t.b.w.t atakulinda
Wow so Amazing
Sauti nzuri ikiwa atakuwa ikiitumia kwa kusoma qur'an
Yes
Kbs
Nikweli ila mzaz apo anaomba mungu aimbe awe msanii apate pesa atasahau kama kuna Akhera.
Kesho ni siku nzito sana kwa anaefahamu
@@habbibty3274 kabisa kabisa Allah atufanyie wepec.
💪💪💪 anaweza kijana uyo
Daah, good lucky 🍀 😘 😋 ♥️ mtoto mzuri, una kipaji mungu akusimamie viva Tz 🇹🇿
Mungu amuweke mbali na jicho la usuda
Anajibu maswali kuliko hata wakubwa he is very smart
❤❤ umenosha mungu akaubariki
Maashallah mtoto kabarikiwa na kipaji cha sauti na tune yake mungu ampe umri na amtimizie anacho taka rohoni mwake woooow👌👌👌👌👍voice of africa live long life kid n inshallah may allah make your dreams come true
Samahani dada dini tumeashau mpaka wampa MashALLAH sio sawa waislamu wenzangu
Mtoto yuko vizuri sana ushaweza boy
Salute kwa dogo japo bado mdogo,Ila kipaji kipo,Allah akupe heki na busara ufanikishe malingo yako.
MashaAllah dogo kipji chipo
#noom san
Kipaji 👌👌🔥🔥wamshughulikie,duuuuh,🇹🇿🙏
Allah, ulijuaje mtoto ni wa Zuchu am surprised nothing like that I have heard
Wow I really appreciate her voice zuchu plz take your son
Nakubali kazi
The boy is so talented 😍😍😍
Kijanaa umeweza sana yaani Mimi nmekupenda sana
Zuchu mwana usimuache huyo!😭🇰🇪
😂😂😂😂😂
Zuchu nae kabebwa
Ndio asimwache
dat nyc
Kabisa
Waaaw nice baby boy
Keep up the good work young boy...congratulations you have a very nice voice...I'm so happy for you dear and may God bless you in whatever you do
Keep up boychild u are perfect
Allah amuongoze amtoe kwenye ushwettwan huo mtoto mdogo mzuri anaakili nzuri wazee tuamkeni hii dunia ziara
Thank you baby you single great nawapenda wote nawumwambiye Zucu nawasaniwote wa bala la Africa kote tuko wote musiwe nawasiwasi Mungu yuko anayatengeneza kutumiya watuwake ulimwenguni kote wamakabira yote so nachowawomba kwasasa ni kufanya mawombi ya mkesha bala la Africa na doniyani kote ambampo unandugu awo rafiki hayijalishi nimwewusi awo muzungu namuendeleye kumsapoti Bishop Gwajima kama alivyofanya baba raici Magufuri wakatiwa colona uliwona alivyotimiza maneno ya unabi, kwahiyo nawawombeeni sana nduguzangu namuendeleye kumsapot Diamond sitaki akawuwawa nawa freemason naninatuma salamuzangu kwa Wema Sepetu
Congratulations kjanah
May God bless this young soul
aendelee ivyoivyo mungu amuzidishie awe hatari zaidi ya diamond
Mashallah huyo kijana anakipaji cha uimbaji
Aaah!dogo mkali kwl!wimb nimeupenda
Big up young man. But remember education is the key
Why do u say so
I’m agree with you
@@simeo7486 education is the key everywhere. .knowledge is power remember
@@alexyhard5257 thanks my brother
But God is everything
Pelekeni huyu kijana WCB..he is a superstar
Huyu yukopoasana tumpeleke kwa Simba, huyu ni konde ajae🔥