dullah ktk zote ulizofanya hii hukutumia mda vzur kufikiria ..huyo mzee ni mgen na mi mshamba hawezi fika nyumbani kirahisi hivo wakati hiyo ni dar..ilitakiw mkeo awe maarufu maeneo hayo..alipopat matatizo ya kuibiwa labda aletwe na msamalia mwema ingekaa vzuri
dullah ktk zote ulizofanya hii hukutumia mda vzur kufikiria ..huyo mzee ni mgen na mi mshamba hawezi fika nyumbani kirahisi hivo wakati hiyo ni dar..ilitakiw mkeo awe maarufu maeneo hayo..alipopat matatizo ya kuibiwa labda aletwe na msamalia mwema ingekaa vzuri
Sio km hakuwahi fika dar Mzee born town
Tx dulla hakosei ww 🫵🫵
Uko sahih akuna asiekosea nadhan atajifunza
Hivi ni vitu vya kuondoa Stress tu. Ukitaka kua ticha itakuumiza kichwa. Wewe burudika, Acha kutafuta kasoro
Nimewaela nitafanyia kazi😂😂😂😂😂 😂
Iam from kenya tx dullah is my favorite comedian
Sana blood umetisha, trust the process
Nampendaga huyu mdadaaa🎉🎉🥰
Dodoma lini kaka ❤❤❤ nasisi tusapoti ❤❤❤🎉🎉
Wa kwanza Mimi 😢😢😢😢😢
😂😂😂😂😂 tisha saaana mzeee wangu Azabwaiiii
Nafas ya baba angeigiza madirisha ingefaa zaid
Tx Subaru mnyamaaaa🎉🎉🎉🎉
Mzee wa mpwimbwiiiiii😂😂😂😂
Tx mnyama nakukubali. 💪🏼💪🏼
Kihuni huni dulla umegeuza flana
Noma sana 😂😂
Aza boy kwanini kilimo Cha Tombako 😂😂😂
Ila babamkwe😂😂😂😂😂😂😂 kaingia na vest 😂
Hii hakuna kaz for sure 😂
Yotee misemoo yangu😂😂😂
Goat 🐐 TX
Nakubali sana 🔥🔥💯💯💪💪
Alafu rasta kama anafanana na dulla
Baba kwemu🎉🎉🎉🎉
Nakubali clasmet komaaa💪💪
kumbe ba-mke
Leo mmefeli mbona saa mumeachia 😂😅
Huyo aza sjawah kumkubar kabisa jmn
From ulaya ❤❤
Kikulacho kinguoni mwako😂😂😂
From mpibwe to dar 😂
Sumbawangaaaaa
uliwesweee😂😂😂
Ulusweeee😂😂😂
Hamna mfipa fara. Ila hiyo siyo lafudhi ya kifipa jaribu next time
mbn wamesahau saa
Vizuri sana
😂😂😂😂umeupiga mwingi man
Wameiba vyote.. wameacha smart watch, uhalisiabhakuna. Alafu mtu katoka kijijini mshamba alafu anavaa smart watch
Cjaweka DOLA
Uliweswe 😂😂😂
Uliwewesweeeeeeeew😅😅😅😅😅😅😅
Ila dullah 😂😂😂
Nice
Durah mmeiba mkaacha saa
Dulla umezngua mbona Mzee alikuwa anapangika
Ila mfipa😅
Madierisha hayuko serius kabs YAN MASK INAMTELA KWELI😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Tombako hii ya kuvuta😂
Sjaweka dollar 😂😂😂
Safi san
Yani hawa wez hatari wanaacha saa wanachukua shart 😂😂😂
N hatar mwaixa,,, Mbn unyama n mwng
🎉🎉
Ulimwesweeeeeeeeeeee
Mpe vitu
MPIMBWE 😂😂😂😂 TUWAKILISHE
Katoka Kijiji gan uyu
@@Matimila_Boy Usevya
@@albertmalenge-cs6zy daah safi sanaaa
Vitu rafiki machoni pangu
NI MDIPUU SIJAWEKA DOLA
Cjapenda
Smartwatch mmeacha
😂😂😂😂😂
baba mkwe ametoka kijiji amevaa suti na smartwatch
😅😅😅😅
Tx mwizi
Wezi wanaachaa saa hawapo seriously?😂
Wamenikwaza sana😂😂😂😂
😅😅😅😅
😂😂😂
😂😂😂😂