Nakubaaaaali kak tx dullah weweeeee ndo muigizajiii wa kwanza wa kipeekeee ambayeee unampa kijana wakoooo uhusika mkuuu kweli kaka wewe niwakitofauti sana ila Hawa waigizajiii wengine Kila movie yeye anakuwa anajipendelea kaka weeeeeeee ubarikiweeeeeeeeee please nisaport na mimi
Dulla huyu dogo anajua nikija hapo nitampa maua yake yuko fresh na madada wamecheza kweli🔥🔥
Nakubaaaaali kak tx dullah weweeeee ndo muigizajiii wa kwanza wa kipeekeee ambayeee unampa kijana wakoooo uhusika mkuuu kweli kaka wewe niwakitofauti sana ila Hawa waigizajiii wengine Kila movie yeye anakuwa anajipendelea kaka weeeeeeee ubarikiweeeeeeeeee please nisaport na mimi
Leo me ndo wakwanza jaman 😁😁😁😁ku coment nipen like jamn❤🎉😢
Huyo dada anajua kuigiza sana😂😂 haka kamdada kadogo dogo
good sana wakuu
Ama kweli kikulacho ki nguoni mwako 😂😂😂😂😂
Nakukubal Ila Mimi Mwenyewe Ukiniomba Ushauli Kuhusu Mademu Siwezi Kukushauli Chochote
watu wote wako on point kazi nzuri hila, Huyo mdada mwembamba ni pure talent!!
😂😂😂😂 Eti iimitumbwi ya nani
Ila nilichogundua mwamba chard talent kalogwa😂😂
Dullah nakukubali sana😂😂😂
Hawa wadada walivyokitendea haki kipande cha kukutana mara ya kwanza ni perfect 10000%
Eti hii mitumbwi ya nani😂😂
Tx dullah unanifanya nakufatilia sana an bintie anashawish jamaa dharau😮😢
Hii mitumbwi ya nani🤣🤣🤣
Mitumbwi daah hata mimi huwa nayaita mitumbwi hayo 😅😅
Mwendelezo vp asee jaman 😂😂😂
Hamjaimaliza vzr,, wife angejua kuwa rfk ake analiwa na bwana ake
From pastor to Dalal duuh ataree oby mnyalu
Sema nini Sauti aiko sawaa
Kazi nzur 💪
Upande wa sauti kuna mda inazinguw inakuwa chin sana
Hamjabadilisha nguo mbn 😢
Wanawake wamevaa utupu kabisa. 😢
Hii kitu imekaa poa mtu unapewa ide unatiririka kuongea siyo unakariri skripti 😅😅
Uwiiiii mbafuuu zang
All the way to Nairobi Kenya I like the content from Tanzania ❤❤❤
😂😂😂😂😂😂😂 mnyau chumba hapa na mdaula😂watoto wanacheza humohumo
sauti ni changamoto,,, tafta soundman dullah
😂😂 eti natembea hata nauli uchukui kaka
kali big up brothers 👍
Yani mpaka mshauri mkuu anakwambia sikushauri.. af usikii🤣
😂😂 KWENYE KODI APO ATA MM UWA NAKUWA BUBU😂😂😂😂😂😂😂
Naww sikuizi umeachwa kupigwa
Upo liveeeee
Upo mpk huku live😂
Unyama sana 😂😂😂tuuze kitanda
Kwenye vitu vya serious hamtoi mwendelezo haya sasa na hii iwe kimya 😮😮😮dulla mwendelezo wa ghetto la mwana vp ??
Aaah obama kachange character na kauaa😂😂
Huyu siyo mtumishi obama huyu,😂😂😂 duuuuh
Yaani uyo mm kabisa
Eti sababu mimi natembea itabidi nianze kuondoka saivi 😂😂😂😂
Munyau kaacha uchungaji😂😂😂
Kimeumanaaaa😂😂😂😂
😂😂😂😂😂 Dullah mnyamaaaaa 🏆🔥
Jamn viatu vya mwezio ni mtumbwii 😅😅😅😅😅😅
🤣🤣🤣 ila Kodi imefanyaje
Dulla mbona picha linaishia kati mwisho imeishia pabaya.
Nakubali tx dullah 🔥🔥
Mnyau majumba😂😂
Daa kweri huu mcheko 😅😅😅😅😅😢😢😂😂😂😂
Dulla jitaidi wadada wavae mavazi mazuri
🤣🤣🤣Sema kimeumana
Hivi hawa watatu origin yao ni wapi
Kazi nzuri
Kaka Mkubwa 🤝
Good work
Tx dullar we n nguruweeeeeeee
Kwasababu mi natembea acha niondoke saivi
Hii Mitumbwi ya nani?😂😂😂
😂😂😂😂😊
Ila mitumbwi 😆🤣🤣🤣🤣✋🏿
Ila dulla bana 😂😂😂 chard ma nigga chukua maua yako
Eti nitembee 😅😅😅
Yanii hapo bado
Cameraman atuliii akiwa ana shuti yani naisi kwenye kuedit video itakua ajui ebu awatizame wakina Clam vevo video zao chengine sauti ziko chini saaana
Me wakwanza like zenu please 😂
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂dalali kiboko
txdullah mnyama
Talents❤
Kipi kikusikitishachooooo
Chard talent anazid kuwa wamoto
Mchepuko mbaya 😂
Oi Dullah
Nicee
Kimeumana 😂😂😂😂
❤❤❤❤
Oyaaa😂😂SAWA UNANIDAI UMENIKUTA BAR NA BIA MBIRI SASA BIA MBILI KWENYE LAKI TANO ITATOSHA NINI WE KAUSHA😂😂😂😂😂😂😂 UMETISHA KIJANA WA MAKANISANI
SEBULE APA NA MDAULA KUDADEKI🤣🤣
ka jingaaaaaa
Dogo kitanda changu usibebe😂😂😂
Tunataka no mblii
Ndio maana wanaume tuwahi kufa
mitumbwi ya nani?😮
🔥🔥
Nzuri
Tulizeni cameras jamani.
Hiyo ya kukutana marafiki baada ya muda flani wameitendea haki sana
😂😂😂😂😂😂😂😂🙌
😅😅😅😅
Abudala umeshindkana 😂😂😂😂
😂😂😂
Daaaah
Kumekucha 🎉🎉🎉
Nice sana
Safi
😊😊
😁😁
😂😂😂😂
❤
Naam😊
😁😁😁😁
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Hahaha 🤣🤣🤣🤣
Itaendelea