MKE ALIYEUWAWA NA MUME ALIMUACHIA KOVU LA MAISHA ,MTOTO AKATAA KUSHIRIKI MAZISHI YA BABA YAKE

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 15 ก.ย. 2024

ความคิดเห็น • 73

  • @ScopionScopion-zj9cd
    @ScopionScopion-zj9cd 6 หลายเดือนก่อน +6

    kwanza huyu mwanaume kama hayo yanayosemwa kwamba alikua akimuibia mkewe vitu zikiwemo kanga bx nimtu wahovyo sana hafai kuish na mwanamke kbx nimshenzi yy ndio chanzo cha matatizo yote nanyinyi wana wake mkishaona mtu yuko hivo kimbieni mapema2

  • @Jamila-cz5ge
    @Jamila-cz5ge 6 หลายเดือนก่อน +6

    Subhana ALLAH sikuhizi mauwaji yamekithirii mno tunaomba mwisho mwema

  • @AmaniRashidi-i9b
    @AmaniRashidi-i9b 6 หลายเดือนก่อน +14

    Ndugu zangu tafutane msaada wa matatizo yenu kwa watu wazima msi kae na mambo moyoni sisi vijana hatuwezi vumilia ndoa na kama hujajua kuvumilia ndoa acha kwanza😢😢😢

    • @G.r.e.a.t.I.Q
      @G.r.e.a.t.I.Q 6 หลายเดือนก่อน +5

      Kiburi ndo chanzo cha mabalaa!
      Kujifanya “sipangiwi.” “Siambiwi,” “nimeamua, “ n.k.
      Hata wazee washauri vipi, mtu ata itikia kisha anaenda kufanya tofauti na alivyo shauriwa, kwa kujidanganya eti “amekua.”
      Hivyo, hakuna wa kumuamulia wala kumpangia maisha!

    • @vi3ayo1622
      @vi3ayo1622 6 หลายเดือนก่อน +1

      Apo umeongea point dear

    • @pazomc3393
      @pazomc3393 6 หลายเดือนก่อน

      Asante🤝

    • @frenkfarm1139
      @frenkfarm1139 6 หลายเดือนก่อน

      kitu cha msingi niwatu kufundishwa kumjua mungu hata waseme waende kwawanzee mjue tu watu wengi hujikita kutatua matokeo ndo maan tunapata madhara mtu msaidie kutuliza fahamu zake akae sawa kiroho naapatiwe jawabu kabra madhara hayo hayajatokea

    • @liberatusjackson5045
      @liberatusjackson5045 6 หลายเดือนก่อน

      Mimi shangaiii ukiipenda sanA au ukipendwa sana ongopa sana kufaa nikugusa kingine zarau za wanawake zinakera afu unakuta umewekeza nguvu100.unazanii kinafuata

  • @johnmalembo6464
    @johnmalembo6464 6 หลายเดือนก่อน +1

    Rasi uko vizuri kwa uwasilishaji...poleni sana

  • @roswitaexavery3378
    @roswitaexavery3378 6 หลายเดือนก่อน +4

    Ukitafakari vizuri kumbe mwanaume angesha kufaga sikunyingi nakisu akawa anamlia taimingi lakini mwanamke anakuwa mjinga wewe umemkata mwanaume napanga halafu unaendelea kubaki ujishtukii au huwezi kuwa nahofu kama mimi siku ileile natoroka maana mwanaume anapozidi kukuona namaugovi yanaendelea ujue anajihami atakuwahi wewe kabla wewe kumuwahi yeye

  • @liberatusjackson5045
    @liberatusjackson5045 6 หลายเดือนก่อน +2

    Wanawake pnguzenu vibuli mtakufa sana kalieniii mtandao umzalau mmeo alie kutoa mavumbini utarudii mavumbiniii mazima umakinii kwawamama unatakiwa.. zarau zimewajaa sana nakutowaheshimu waumezao tutakuwa tunaswekana unakufa najinonga namm tuone mbinguniii kama utareta zarau mbele ya mungu baba😢😢😢😢😢

    • @Ayuminchasi
      @Ayuminchasi 6 หลายเดือนก่อน

      Mbona na yy kajiua waambie na wanaume

    • @trecygohy7847
      @trecygohy7847 6 หลายเดือนก่อน

      Ukiona mwanamke ana kudharau. Jifanyie utafiti kwanza, na ukiona kuna kitu hakipo sawa, jielekebishe au ufanye mabadiliko yalio positive

  • @najmasalim-rg6ow
    @najmasalim-rg6ow 6 หลายเดือนก่อน +7

    Mi bora tachane lakin kuvumilia magomvi hapan

    • @eveliynejoseph7944
      @eveliynejoseph7944 6 หลายเดือนก่อน

      Ata mm siwez especially mtu wa kunipiga nasepa,sivimilii ngoo

    • @SiahShayo-mx5gt
      @SiahShayo-mx5gt 6 หลายเดือนก่อน

      @@eveliynejoseph7944 cheating nadhani ndio sababu kubwa

  • @yasminoluoch169
    @yasminoluoch169 6 หลายเดือนก่อน +1

    Somo wangu Yasmin Innalilah rajiun Allah akujalie kauli tabithi

  • @yukundapeter8200
    @yukundapeter8200 6 หลายเดือนก่อน +1

    Pole kaka! Hao wanaotafsiri ni ugonjwa,kwanxa wao ni wamepekeshwa na Scania wameoxa halafu wananyosha vidole kwa wa2.

  • @ekkymumba8566
    @ekkymumba8566 6 หลายเดือนก่อน +3

    Ila nahisi tu hizi ni siku za mwisho jamani tuombe sana,

  • @AmaniRashidi-i9b
    @AmaniRashidi-i9b 6 หลายเดือนก่อน +9

    Mna muacha mtoto yatima kisa mapenzi yapo yatakuwepo na tuta yaacha

    • @maryamudunga1094
      @maryamudunga1094 6 หลายเดือนก่อน +3

      Kunawatu hawafikirii watoto wanajiangalia wao tu

    • @yukundapeter8200
      @yukundapeter8200 6 หลายเดือนก่อน

      Kuna lipaka halikuckiliza story toka mwanxo,eti mapenxi,wanagombanaga kwa sababu mume huwa anauxaga mahindi na vitu vingine.

    • @Ayuminchasi
      @Ayuminchasi 6 หลายเดือนก่อน +1

      Kabisaaaa

  • @neemamgesi3752
    @neemamgesi3752 6 หลายเดือนก่อน +2

    Watoto watakuwa na kusikia,baba alimuua mama na akijinyoga😢😢

  • @TatuHusseni-hs7mu
    @TatuHusseni-hs7mu 6 หลายเดือนก่อน +3

    Ndoa za ivo mim siziwez

  • @chimamilion
    @chimamilion 6 หลายเดือนก่อน +3

    Apokwenye kovu lamaisha mi nilijua alikatwa chin ikatoka😮

  • @SuleimanKhdija
    @SuleimanKhdija 6 หลายเดือนก่อน +2

    Tani Tz Mungu aisaidie mauwaji ni mengi saana 😢

  • @faudhiasalum7279
    @faudhiasalum7279 6 หลายเดือนก่อน +2

    Walikuwa wazuri sana 😢😢

  • @smarty1064
    @smarty1064 6 หลายเดือนก่อน +1

    watu wanaoana ili wakamilishane, kila mmoja ana madhaifu yake, ila mtu wake peke yake ndiye anayeweza kuyabeba madhaifu yale na kumkamilisha mwenza wake, ndoa sio kitu kilichokamilika ila ni hatua/process za kukamilishana, kubebeana madhaifu na kusaidiana, watu hawaoani ili wawe na sifa kuwa tumeoana, hapana, ila ili wapate ukamilifu katika madhaifu yao, inapofikia hatua hasira zinakuwa kubwa kuliko upendo ujue ugonjwa wa akili (stress) umeingia na maafa hufuatia - ni kujikumbusha kufanya ibada na kuomba moyo wa kuwa na subra

  • @user-fy9pw2zr8l
    @user-fy9pw2zr8l 6 หลายเดือนก่อน +1

    Jamani

  • @roswitaexavery3378
    @roswitaexavery3378 6 หลายเดือนก่อน +2

    Tafuta mwanamke au mwanaume waubavu wako ukilazimisha ukatafuta ubavu wamtu mwingine mazara ndo haya

  • @olivajoseph1697
    @olivajoseph1697 6 หลายเดือนก่อน +1

    Kwahiyo hawavita havijaazia leo walianza kupigana kitambo . Kilakazi inamshahara wake wameshavuna. Nakwann hawakuwaachanisha zamani

  • @Leylah-pz5sc
    @Leylah-pz5sc 6 หลายเดือนก่อน +1

    Kumbe wote mashujaa kupigana ilikuwa ndo style yao ya maisha

  • @fatmamrihani6828
    @fatmamrihani6828 6 หลายเดือนก่อน +2

    Kuhusu kovu la maisha ukweli wanaujua wenyewe mke na mume

  • @roswitaexavery3378
    @roswitaexavery3378 6 หลายเดือนก่อน +2

    Mbona Kama kuchanwa mwilini nikawaida mbona wapo waliovunjwa miguu mokono namaisha yanaendelea hawaseminikovu Kama Isha Ila mtu akiambukizwa ukimwi ndohuwa wanalalamia nakusema mwenzangu kamuua kamuua Nini aaa mwenzangu kamuua mtu anakwambia kaniua wakati nimzima unaanza kushangaa au anakwambia kaniachia kovu lamaisha ukimwi tuuuu ndo kuvu lamaisha usidanganye watu kwakujisafisha

    • @yasminoluoch169
      @yasminoluoch169 6 หลายเดือนก่อน

      Usipende kuhukumu kama hujui anything sasa hii ni Dhana na utapata dhambi bureee

  • @فاطمهفاطمه-ش2ز9ج
    @فاطمهفاطمه-ش2ز9ج 6 หลายเดือนก่อน +1

    Kumbe kupigana ndio Ilikua life style yao😢😢😢aiseee.

  • @timotheosumba4293
    @timotheosumba4293 6 หลายเดือนก่อน +2

    😢😢😢

  • @janifajani8875
    @janifajani8875 6 หลายเดือนก่อน +1

    Kumbeee hawa wote mke na mume walikuwa naroho ngumu sanandomaana wameuwa

  • @trophywilson7211
    @trophywilson7211 6 หลายเดือนก่อน +1

    Yaani wamekufa wote??

  • @aminatanzanya7475
    @aminatanzanya7475 6 หลายเดือนก่อน +1

    Hii ndoa ndoano
    wapumzke kw aman

  • @MashaMbwana
    @MashaMbwana 6 หลายเดือนก่อน

    Mbona ni mkiristo anazikwa kiislam 😮

  • @sofitanzanian955
    @sofitanzanian955 6 หลายเดือนก่อน +2

    Magomvi hii ndio madhara yake

  • @sofitanzanian955
    @sofitanzanian955 6 หลายเดือนก่อน +3

    Kumbe wameanza zamani magomvi

  • @roswitaexavery3378
    @roswitaexavery3378 6 หลายเดือนก่อน +3

    Itakuwa ukimwi
    Hakuna kovu lamaisha zaidi yahilo

  • @najmasalim-rg6ow
    @najmasalim-rg6ow 6 หลายเดือนก่อน +1

    Kumbe kupigana ndo tabia yk

  • @trophywilson7211
    @trophywilson7211 6 หลายเดือนก่อน +1

    Mapepo yanataka Kuingia Motoni na wemgi

  • @sofitanzanian955
    @sofitanzanian955 6 หลายเดือนก่อน +1

    Tatizo matatizo huwa yapo chini chini zamani

  • @RashidAbbas-zy6xx
    @RashidAbbas-zy6xx 6 หลายเดือนก่อน +2

    Mbona majina ya kikristo mazishi ya kiislamu Hawa ni WA dini GANI

    • @joycekalago532
      @joycekalago532 6 หลายเดือนก่อน

      Muwe mnasikiliza sio mnakurupuka kucomment bila kujua mmeambiwa alibadili din akaitwa Jasmine

    • @petermanala6138
      @petermanala6138 6 หลายเดือนก่อน

      😂😂😂kwahyo umeumia kuzikwa kiislamu?

  • @kamarhelo
    @kamarhelo 6 หลายเดือนก่อน +3

    Mmetimiza ahad ya kufa na kuzikana

    • @melanialeonard4031
      @melanialeonard4031 6 หลายเดือนก่อน

      Kabisa umewaza vizuri hakuna kitakacho tutenganisha mpk kifo

    • @edsonnelson4464
      @edsonnelson4464 6 หลายเดือนก่อน +1

      Kumbuka wamemuacha mtoto ambaye hayo waliyoyafanya yatamtesa maisha yake yote mpaka na vitukuu vitakuwa vinauliza maswali

    • @nancysalehe8326
      @nancysalehe8326 6 หลายเดือนก่อน

      Wallah

  • @sofitanzanian955
    @sofitanzanian955 6 หลายเดือนก่อน +2

    Tatizo watu hujilazimisha mandoandoa yakukurupuka

    • @abdulkarimabdallah9536
      @abdulkarimabdallah9536 6 หลายเดือนก่อน

      Mjaa laaana
      Wewe unapuuza ndoa badala uzungumzie k2 kilichopo
      Mbwa koko ww

    • @sofitanzanian955
      @sofitanzanian955 6 หลายเดือนก่อน

      @@abdulkarimabdallah9536 wewe pamoja naukoo wako

    • @sofitanzanian955
      @sofitanzanian955 6 หลายเดือนก่อน

      Kwenda huko

    • @sofitanzanian955
      @sofitanzanian955 6 หลายเดือนก่อน

      @@abdulkarimabdallah9536 mama ako ndio mbwa mwitu

    • @sofitanzanian955
      @sofitanzanian955 6 หลายเดือนก่อน

      @@abdulkarimabdallah9536 mama ako nguruwe pori

  • @G.r.e.a.t.I.Q
    @G.r.e.a.t.I.Q 6 หลายเดือนก่อน +10

    Ishi kwa Amri za Mola.
    Epuka “kwanini” itakeapo umeudhika.
    Usiamue ukiwa na hasira. Tulia.
    Jali maisha yako kuliko machungu na hasira juu ya aliye kukera.
    Fikiria wakupendao kweli(baba, mama, watoto, nduguzo) wanastahili kurudishiwa machungu badala ya faraja?
    Je, wewe hujawahi kumkosea binaadam mwenzio? Je, hujawahi kumkosea Mungu?
    Uliye mchukulia hatua ya hasira ana thamani kuliko Amri za Mungu wako, maisha yako, wazazi na familia yako?
    Ukizingatia yote hayo. Huto hata waza kufanya upuuzi alio ufanya huyo aliye uwa na ujiuwa!

  • @winnesakara6957
    @winnesakara6957 6 หลายเดือนก่อน +1

    Mbona nyie mnakinyongo

  • @asumaathuman6094
    @asumaathuman6094 6 หลายเดือนก่อน +4

    Jamni wanaume wanakera sna😮

    • @isaacmwaseba9972
      @isaacmwaseba9972 6 หลายเดือนก่อน

      Ndio umchane mwanaume na wembe kuanzia shingoni mpaka karibu na moyo ingekuwa kisu kingeingia moyoni. Angeenda jela ikaonekana maisha yaendelee ila ipo siku yake ndio imefika sasa alafu mnalaumu tena mwanaume. Huenda alitaka tena kumuua mumewe kazidiwa nguvu mauti yakamkuta.

    • @frankcryk3241
      @frankcryk3241 6 หลายเดือนก่อน

      mpunguze umalaya

    • @petermanala6138
      @petermanala6138 6 หลายเดือนก่อน

      Kuna mtu asiye kuwa mlaya😂😂😂😂

    • @trecygohy7847
      @trecygohy7847 6 หลายเดือนก่อน

      ​@@frankcryk3241hata wanaume pia n Malaya tena wanaongoza kuliko wanawake

  • @annamussa185
    @annamussa185 6 หลายเดือนก่อน +1

    Huyu mke naye alikuwa mkorofi

    • @SaumuSaidi-z2v
      @SaumuSaidi-z2v 6 หลายเดือนก่อน +2

      Hapana wanaume washezi,hawariziki tena hapo huenda alikuwa anamtesa mke wake kimada anamtukuza