All the way from United Arab Emirates... I watch one episode 3 times nikingoja next one .. woh. Si aki mueke ya next Haraka...but kulingana na maono yangu... yule mwanafunzi aliyemuua haezi mwacha afike kueka dawa kwa Mwalimu mgeni... atamwangaisha vbya kwa njia 😂😂😂😂😂. Me Ronnie nishanena. Namtuma Sasa yule mwanadada aangaishe hili Bonge lisimwekee Mwalimu dawa.
For sure i was missing something special from this channel I saw number 5 the i had to subscribe then stert a fresh from episode one. Im Kenyan living in dusaldouf GERMANY ❤❤
Wangapi mumemuona clam wa mchongo 😂😂😂😂gonga love twende sawa
🖐️🖐️🖐️
😂et clam wa mchongo ila bongo Rahaa Sana...nkuigana tu
Wakiiga hvnog
Ha ha ha
😂😂😂
Mwalimu mgeni ba best friend you guyz your just doing great am watch from kenya❤❤ wapi likes za wakenya❤❤❤❤
I'm watch from Kenya
Proud of you mwalimu mgeni,, likes Kwa mwalimu mgeni guys
Ndiyo
Kibonge cheusi kipara ako kwa misikulee mganga....sema saut yako.. na uyu mwalim WA mapenz nae hamumuoni
Kazi nzuri, Msalimie mwalimu mgeni mwambie G Effects anamsabahi kitambo hatujaonana.
Naipenda saaaaaana Tangu RD Congo 🇨🇩❤️
Nimemwona clam😂😂😂 wa mchongo
Vibonge wana wivu san jamani ❤❤❤❤❤😅
Big Up Baba Joan washing you Zambia Lusaka ila nimemupenda uyo dada mwenye matako makubwa
Kazi nzuri Baba Joan🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
lete part 6 😅😅😅😅 naham kuona kibonge anakuwa mwembamba😅😅😅
Waliomuona clam wa mchongo gonga like hapaa😂😂😂
Yan nimecheka ujue
😂😂😂😂😂clam wa mchongo eb nipeni likes zake😂😂😂❤
Nikajua labda nimemchek pekeyang,
Clam
Clam
😂😂😂😂 leo hii juma jicho n mgaga mahajabu haya 😳,,, nipeni likes zangu bana
Baba Joah nataka like yako plz mm ni shabiki wako kutoka Kenya
Sawa
Nimeipenda maana yalikuta kama yanayomkuta MWALIM mgeni
All the way from United Arab Emirates... I watch one episode 3 times nikingoja next one .. woh. Si aki mueke ya next Haraka...but kulingana na maono yangu... yule mwanafunzi aliyemuua haezi mwacha afike kueka dawa kwa Mwalimu mgeni... atamwangaisha vbya kwa njia 😂😂😂😂😂. Me Ronnie nishanena. Namtuma Sasa yule mwanadada aangaishe hili Bonge lisimwekee Mwalimu dawa.
Nimeipenda part ya mganga. Mtejaa aache shobo
Nakubali Clam Vevo salute kwako umecheza kama ww dogo...😂😂😂
Mwalimu mgeni mungu akubaliki sana hongera kwa ujasili kweli upaswi kukimbia tatizo mwalimu mgeni ipo siku yatakwisha ukweli utabainika tu ❤❤❤
Maskini mwalimu mgeni anahuzunisha jmni😭
Juma jicho😂😂😂sema aki ya Mungu hapo ameweza
baba Joan katika movie zote hapa umenibambaaaaaa
mm pia
Hahahaha❤❤❤weee clam vevo tumeona photocopy yako huku
Ule munganga wa murembo nyoka Ali endaka wapi ule ni excellent
Clam wa mchongo naogopa 😅😅😊😊😅
Congole kwa mwalimu mgen nimeipenda sana hi wooow good job
Hahahaha😅😅😅kibonge cheusiiiii mwalimu mgeni kuwa makiniii😅😅😢🎉
🤣🤣🤣🤣
Napenda huyo clam vevo ❤❤😂😂😂
Wangapi mumeona claim wa mchongo 😂😂😂😂ebu gonga like hapo
Shida Demu kajaa sana hadi wanafunz kusoma atuwezi
Mm siangalii movie naangalia mpodo wa mwalimu
Tuliokutana na mambo kama hayo tukiwa shuleni.nipeni likes hapa..❤❤
Bireke bigende big up sana
Nakupenda kutoka burundi 🇧🇮🇧🇮🇧🇮 walimu wazuli kama bireke bigende mnipe likes tuendelee na episode 6
Ntunsubire kandimbele bireke bigende ibindi biloza😂😂❤❤❤ 🇧🇮 kigoma
@@EmmyNassor885 kweri wa kigoma anafanya kazi nzuri
❤❤❤❤❤❤fast one today i need more like form America
Wee mganga muongeze na maharage 😂😂😂😂pia uyo kibonge maan mmmmmh c kw hali io
Mganga wa kulaa Nina🤣🤣🤣🤣
Jamn mwalimu mgeni anapitiaaa changamotooo nyng jamnn😂😂😂😂😂😂😂😂
Mpaka naogopa
Kazi nzuri lkn mwalimu mgeni nampenda sana ....
Ongera series nzuri 🎉Next episode 😢please
Nice work we want part 6 fast plzzzz ...
Mwalim viki mzuri dhuu!!❤❤❤
mganga kaweka brich noma sana😃😃😃😃
Walai 😂😂😂toeni episode 6 kesho nimetizama ya kwanza nikaenda ya pili Hadi ya 5 na Nika subscribe ❤❤I'm new member ...from 254
Nime angalia mavie nying lkn uyu mganga ana masharit magum ukikosea hahah
Nawapenda Sana kiukwel dah.. nimefurai mme waisha kuito please naombe uwaishe zaidi nazaidi ety
❤️❤️❤️❤️
uyu mwalim hakomi hayo mavazi😅😅😅
Kutoka Kenya ii leo imebambaa kushinda
Uyo clam wa mchongo sasa mie hoi😂😂😂😂😂😂
From Kenya I can't miss next episode
Chuki hanawema mwachenawivu atajikanya
😢
Kbs niko zangu🇧🇮🇧🇮🇧🇮nawapata
Nimeipenda hii part ya mganga ety sema haki ya mumgu😂😂😂
roho mbaya imemuumbua mwalimu bonge cheusi😂😂😂😂
Mganga falaa 😅😅😅😅kweliiii au kumaaaanisha nini
Nafurahia sana hii mafundisho inanitia moyo sana
naenda nyumbaaniiiii😂😂😂😂😂😂
Jaman iyo kibonge cheusi nimecheka 😂😂😂😊
😢😂 Aah huyo mganga wa mchongo........ 😅🙄🙄
Juma jicho😅.. pia niliona CLAM VEVO KUSHI😅
Juma jichoo wa stivu mweusi😂😂
😂😂😂😂😂😂😂 mganga uyo chaupwiru kulanina
fans in drc kazi nzuri
Kenya🇰🇪 watching in school keep up.
Mashaa allah move zenu zote nzuri
nimempenda Mwalimu Vick,naweza mpataje nimuoe 😂
Nasubiri kibonge awe mwembamba kushinda mm😂😂😂
big up. following every episode from kenya
Mganga anasema sema hakyamungu🤣🤣🤣 🙌🙌
Ila maadam 😂😂😂au bas me mwenyew kashanichanganyaaaa😅😅❤
mume fanya vizuri ,tuna subiri next episod na hamu. From DRC
Mpaka tujue solution tatizo na solution😂😂😂😂
😂😂😂jamani mtanitowa roho mimi
Mwalimu mgeni n'a like film zako
From Kenya. I can't miss the next episode(6)
🎉🎉❤❤❤
Clam wa mchongo😊😊😂😂😂😂😂
Sambona ukiniona una .........😂kulaanina😂😂🙌
Wakwanza kutoka kenya nipeni likes bana
Ni uyooo mganga cha upwiru😂😂
Movie tam sana mungu awabarik
hii kali sana❤❤❤
Mganga Cha Upwiru😅😅😅
From Kenya 🇰🇪 am happy following
Yan uyo mwalim aisee so kwahilo nyashi
😅😅😅jaman clam wa mchogo
For sure i was missing something special from this channel
I saw number 5 the i had to subscribe then stert a fresh from episode one. Im Kenyan living in dusaldouf GERMANY ❤❤
Thank you
Leta namba 6 Sasa, kazi Iendelee🎉
Hyo mganga jameni 😂😂😂😂😂😂 ywdaisha kulaninah hhhhhhha😅 swa swa bhana
Watu viponge mnakuanga na sauti nyororo😅😅😅😅
Tunasubiri namba 6 msikawie sana
Ipo sawa Sana itabidi iendele hadi mwisho nipo Zanzibar
Clam wa mchongo😂😂😂😂😅🤭
Baba joan unakuja juu sana an concretion
Mganga kasema Aki ya Mungu!!!😂😂😂😂😂, Balaa Hilo
Kibongee😂😂🙌
Uuh hatari bonge la movie
😀😂 Namuona Clam !
Mungu atakuumbuwa tu nahusda zako
Clam wa mchongo Ako sawa
Ni wangapi wamemuona clam VEVO wa my best friend,weka likes apa
Gonga like km unamkubali juma jichoooo
Naogopa 😂😂😂😂😂😂