UTASHANGAA! DEREVA BODABODA Mwenye MGUU MMOJA, MTEJA Akipanda SIKU MOJA Ananogewa na HUDUMA YAKE

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 16 ธ.ค. 2024

ความคิดเห็น • 27

  • @جنيتكينيا
    @جنيتكينيا 3 ปีที่แล้ว +2

    Mungu haachi mjawake Allah akuinue inshaAllah

  • @sumayahfathi9413
    @sumayahfathi9413 3 ปีที่แล้ว +2

    Angepatiwa gari yarab 👏 mungu atakusimamia tu utapata frank,

  • @nyellasuwedisanga6929
    @nyellasuwedisanga6929 2 ปีที่แล้ว

    God bless you bro

  • @valcomangapie4520
    @valcomangapie4520 3 ปีที่แล้ว

    Mungu akusaidie

  • @mariamsuma3003
    @mariamsuma3003 3 ปีที่แล้ว

    Mungu ni mwema kila saa

  • @tamaraseff.9707
    @tamaraseff.9707 3 ปีที่แล้ว +1

    Bdii io.hongera kaka

  • @husseinshabani9522
    @husseinshabani9522 3 ปีที่แล้ว

    Mungu Akusimamie kwa kila Mambo.

  • @tatuhongeranurushaus485
    @tatuhongeranurushaus485 3 ปีที่แล้ว

    Manshallah 👌👌👌👌👌👌piga kazi broo

  • @meshackkashegesho5340
    @meshackkashegesho5340 3 ปีที่แล้ว

    Nakukubali sana columba,my college mate(Tabora Teachers' College).

  • @marymichael2739
    @marymichael2739 3 ปีที่แล้ว

    Oh jmn hongera kk

  • @heyumi2340
    @heyumi2340 3 ปีที่แล้ว

    mungu hakupi kilema akakukosesha mwendo

  • @felistanelson5373
    @felistanelson5373 3 ปีที่แล้ว

    Hakika ukiwa na mungu ushindwi kitu

  • @hindisaid2413
    @hindisaid2413 3 ปีที่แล้ว

    Hata namimi wangu mmoja mwengine umepooza kwa stroke lkn kwa uwezo wa MUNGU naendesha piki piki

  • @isayayohana6341
    @isayayohana6341 3 ปีที่แล้ว +1

    Kaka hongera sana natamani tuonane siku moja kaka naomba namba zako

    • @samwelmollel3876
      @samwelmollel3876 3 ปีที่แล้ว

      Frank bodaboda aliyekatwa mguu 0762409847

  • @kadijahajali3918
    @kadijahajali3918 2 ปีที่แล้ว

    Mtihani huo

  • @credo7837
    @credo7837 3 ปีที่แล้ว +2

    Koment moja tu🤔

  • @stephanierona6592
    @stephanierona6592 3 ปีที่แล้ว

    Kweli huyo ni superman

  • @abdulaziz703
    @abdulaziz703 2 ปีที่แล้ว

    Sio salama kabisa. Maana tegemeo lake ni mguu mmoja tu uliomzima. Ni vyema akasaidiwa kupata walau bajaj ya abiria au ya mizigo ili aendelee kujitafutia rizki yake.

  • @alisenipeter4307
    @alisenipeter4307 3 ปีที่แล้ว

    Wangemsaidia kumpatia mguu wa badia

  • @faudhiasalum7279
    @faudhiasalum7279 3 ปีที่แล้ว

    💖

  • @chidjosh6056
    @chidjosh6056 3 ปีที่แล้ว

    Piga kazi kaka

  • @wivinemwamini9110
    @wivinemwamini9110 3 ปีที่แล้ว

    Unaroho zuriya kuo mbeya wegine

  • @daudpius130
    @daudpius130 3 ปีที่แล้ว

    Mungu akusaidie

  • @daudpius130
    @daudpius130 3 ปีที่แล้ว

    Mungu akusaidie