Eh ! Amakweli !!!!! Dunia hiii !!! Pole kaka kwa simlizi ya ajabu hii yeyote anaweza kupata maradhi hayo ya khofu . Juma Mungu akubariki sana kwa urafiki wako kama huo siku hiei hata ndug wa roho kama yako sidhani kama wapo wengi . Mi mwenyewe hapa kichwa chauma !!!
Shukran sana Anko j kwa burudani swafi twazidi kuelimika saaana pia bila kumsahau mtunzi wetu bomba yona fundi na wana smix media wote kwa ujumla mbarikiwe mnooo🙏🙏
Watu wa SINGIDA mkuje hapa msikilize jamani sie wa TANGA mtuache kidogo🤣🤣🤣nasikiliza halafu nitakomt tena like zenu🥰🥰🥰🥰🥰
Tanga hoyeer
Singida
@@hijamwinyi3233 Oyeeeee waja leo waondoka leo🤣🤣🤣
@@dhuhasaid636 haya sikiliza hapo singida 🤣🤣🤣
Singida hyooo raha
Haya twendeni singida warembo wetu 😊😊😊😊😊
Wowoooo!!!! Singida nd homeeee jomooooniiiii
Singida wasichana warembo sanaaa!😍
Ila wana mambo hao ukiingia ujipange
Mamb vp nimetokea kukupend xijuw UK wap et
Owky ! Pamoja sana I'm no.1 thanks Smix 👍🏻♥️
Alaaahh leo tumefikwa, nimeingia kusikiliza nilivyoona Singida ,najivunia kua mnyaturu 😁😁😁
Hatimaye singida ye2 💕💞💞
Eh ! Amakweli !!!!! Dunia hiii !!! Pole kaka kwa simlizi ya ajabu hii yeyote anaweza kupata maradhi hayo ya khofu . Juma Mungu akubariki sana kwa urafiki wako kama huo siku hiei hata ndug wa roho kama yako sidhani kama wapo wengi . Mi mwenyewe hapa kichwa chauma !!!
hongera anko jay
Mboña singida Jamani 😂😂😂😂 ngoja tuone
Polesana kwakua namrembo wasingida
Sweet home 🏡 singida 😊😊
Asant sana mtoto wasingida umetisha sanaaa😓👏🙏❤👌
Mamb
@@hollocharles8205 powa💔
Shukran sana Anko j kwa burudani swafi twazidi kuelimika saaana pia bila kumsahau mtunzi wetu bomba yona fundi na wana smix media wote kwa ujumla mbarikiwe mnooo🙏🙏
❤❤🥰🥰🥰👌👌
😍❤️❤️❤️🧡😍
Jamn tupo hapa mabinti wa singida 🙌🙌🥰🥰tupo vizur mnooo
Daaah iko p xaan asante anko j kwa simuliz nzuri🙏🙏❤️
Ahasante simulizi yako ikinipita naumwa uko👍
😊
Wash!!!twasikiza😋😋🙏
Yaani Anko,jey kongole na crew nzima ya smix media
Oioi nimefurah xan et
💓💓💕
Anko km j🔥🔥 haya nasikiliz alaf ntakoment teena😂😂
Hatimae singida tumefikiwa ngoja tusikilize
Hello akoy jay ❤
Bonge la simuliz pamoj san bro
Bonge la simulizi pamoja san bro
Ayyeeeeeee
Yenyewe wasichana wa singida ni warembo sana hata mm nimeoa msichana kutoka singida
Jamani singida kunani huko, tusikilize kwa makini wadau
Watu wenye sauti za🇦🇪
Ahsante anko jay good story
Najivunia kabisa kuwa mnyaturu singapol
Yaani ww dada wa singida matako yako
❤️❤️❤️
Singida pia tumefikiwa na mwenye sauti yake inayo penya vizur na sio mwingine ni anko Jay
❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️🥰😘
Jamani mikilasiku nachelewa kukomenti
Wanyaturu tupo😂😂😂
Jamn na leo wa mwisho ANKO JAY sitak ata stor wachaaa nisikilize comments zako baadae
Kipenzi chetu anko j
Jamani mnalalaga TH-cam au Yani ikitoka mpya nikija kwenye comment tayari watu mmeshaandika mh haya basi nimekua wa 11 leo 😂😂😂😂
😂😂😂 watu wamebofya kengele bwana😂😂
Ata Mimi nimebonyeza ila nimetaalifiwa saa 7:05 Sasa nakuja kusikiliza tayari watu wamesha comment 😂😂😂
Taenkyuu anko j
Mamb vp
@@hollocharles8205 poa tuu
Tup wat wa singida 😂😂😂😂😂😂
Nakupenda mnyaturu wangu💕😂😂😂💕
🤣🤣🤣🥰
Du hii smlizi Tam mno. Je Husna yeye yuko hai au kafa?
🇦🇪😂😂😂😂😂😂