#BREAKING

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 6 ก.ย. 2024
  • #BREAKING: RAIS SAMIA AWATUMBUA 6 kwa MPIGO - APITISHA PANGA la KUTISHA TTCL - YUMO MAHARAGE CHANDE...
    Jishindie Zawadi na Global TV
    Jaza sehemu zifuatazo hapo chini ili kuingia kwenye droo ya kujishindia zawadi mbali mbali na Global TV
    👉🔥👉forms.gle/aU9z...
    ============================================================
    ⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
    ⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 739 750910), ( +255 783453136)
    ⚫️ Email: globaltvonlinenews@gmail.com
    ⚫️ OUR PLAYLISTS:
    ⚫️ MICHEZO na BURUDANI: • Habari zote za michezo...
    ⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: bit.ly/mikasa_y...
    ⚫️ GLOBAL RADIO TV: bit.ly/255globa...
    ⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: bit.ly/exclusiv...
    ⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: ndstream.net/gl...
    ⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
    ⚫️ ANDROID:bit.ly/38Lluc8
    ⚫️ iOS:apple.co/38HjiCx

ความคิดเห็น • 26

  • @globaltv_online
    @globaltv_online  หลายเดือนก่อน +1

    Jishindie Zawadi na Global TVJaza sehemu zifuatazo hapo chini ili kuingia kwenye droo ya kujishindia zawadi mbali mbali na Global TV forms.gle/aU9zsYyXNyKWmd3f7

  • @JoelRichard-hj3bi
    @JoelRichard-hj3bi หลายเดือนก่อน +2

    Hapo bado sijampa pongezi Rais,Ikimpendeza zaidi atuondolee Mwigulu chemba ili watanzania wapumue kidogo kwa maumivu moyoni,Huyu Mwigulu ni ukoma kabisa.

  • @ndukulusudikucho_
    @ndukulusudikucho_ หลายเดือนก่อน +1

    Futa wote aanze upya TTCL wana kila kitu na shirika halifanyi vizuri shida iko wapi?

  • @user-ml5tq8hj2x
    @user-ml5tq8hj2x หลายเดือนก่อน +2

    Mama yetu tunaomba mrudishe Gerry slaah ardhi

  • @zebedayokatamaduni9676
    @zebedayokatamaduni9676 หลายเดือนก่อน +2

    Kwa hiyo kazi yake ni kuteua na kutengua tu basi .
    Hiyo ndiyo njia ya kuwa wajibisha wabadhirifu wa mali ya uma eti?
    Yaani Afrika kazi sana, alafu kesho unasikia aliye mtengua kamteua kwenda kitengo kingine, yaani.

  • @monicasimpilu6257
    @monicasimpilu6257 หลายเดือนก่อน +1

    Jeep it up mama do your work it is your time. Do nit keep thieves

  • @candidamuhanika8328
    @candidamuhanika8328 หลายเดือนก่อน +2

    Bashe anafanya kazi Nzuri Kilimo jamani !!!!

  • @MwangaPhilbert
    @MwangaPhilbert หลายเดือนก่อน

    Duu raisi wetu mpendwa pongezi nyingi sana ila bado mwiguru nchemba

  • @HannanSomaiyah-wp7ny
    @HannanSomaiyah-wp7ny หลายเดือนก่อน

    Huyo Jerry silah ameharibu kumtoa Haki hatotokea kama Jerry,Alikuwa mtetez wa watu,unampa uwaziri Nani ata cover nafasi ya muroo😭😭😭😭

  • @alphonsinamwakyembe6903
    @alphonsinamwakyembe6903 หลายเดือนก่อน +1

    i,panga pangua ya kila siku,wale unaowateua wanakuwa hawana uhakika wa kudumu katika kazi.kwa hiyo mtu akiteuliwa hafanyi kazi uliyomtuma,anatafuta kujinufaisha maana anajua wakati wowote anaweze kurumbuliwa.nakushauri sasa weka nukta,wacha wateule wako wafanye kazi

  • @wadeelegbogun3015
    @wadeelegbogun3015 หลายเดือนก่อน

    Safi sana, umewatumbua.mwigulu +bashe msomali ,tumbua pia

    • @alimuse6980
      @alimuse6980 หลายเดือนก่อน

      Tena namshanga bashe kufanya kazi na magorila pia nchi ya mashoga na kuongoza kuuza madawa ya kulevya duniani Tanzania mdomo mirefu hawajielewe kwa sababu ni maghanisi hata kwenye bunge mashezi wananuka mjasho bora ya mbwa kuliko wao

  • @loishiyesamwel1374
    @loishiyesamwel1374 หลายเดือนก่อน

    Hawa ni Wahanga wa fungate la Nape, Walikuwa wakivishwa nishani na Waziri alievuliwa Madaraka ,
    Hayo ndio matumizi ya NGUVU ya MAMLAKA, Big up Our president....🎉🎉

  • @scholarmawala1403
    @scholarmawala1403 หลายเดือนก่อน

    Shikamoo Mama

  • @RajabuMkonje
    @RajabuMkonje หลายเดือนก่อน

    Naomba tu asije kunitengua na familia yangu nawapenda sana watoto wangu😂😂😅

  • @Mkrist
    @Mkrist หลายเดือนก่อน

    Mbona hajamtumbuwa Mwigilu, Bashe…
    Hizo ni janja janja.

  • @juliusdonard933
    @juliusdonard933 หลายเดือนก่อน

    Congratulations mama

  • @Official83640
    @Official83640 หลายเดือนก่อน

    Huyu Maharage ht mwaka hajatimiza😂😂😂

  • @ashrona9884
    @ashrona9884 หลายเดือนก่อน +3

    Mama kavurgw

  • @Globalpeace123
    @Globalpeace123 หลายเดือนก่อน

    Mtumbue Mwingulu nchemba huyo ni jambazi tofauti yake hatumii bunduki anatumia kalamu hafai kabisa
    Ukitaka uwe uweke heshima angalau mwondoe mwigulu nchemba

  • @HajiKlein-so1rk
    @HajiKlein-so1rk หลายเดือนก่อน +3

    🇹🇿🇹🇿🫡

  • @erickenock3198
    @erickenock3198 หลายเดือนก่อน

    Kidogo nimeanza kkuelewa mama, ila kwambaaaali Sana!!

  • @ContentSmartphone-rq6po
    @ContentSmartphone-rq6po หลายเดือนก่อน

    Huyu maharage chande mwizi tu na mwenzie makamba

  • @samsonsimon3138
    @samsonsimon3138 หลายเดือนก่อน

    Hao ni wafuasi wa nape nauye anaona akibakiza nguvu ya nape itakuwepo

    • @joycehaule9717
      @joycehaule9717 หลายเดือนก่อน

      Mama kastuka

    • @adelinelyaruu3036
      @adelinelyaruu3036 หลายเดือนก่อน +1

      Nape kapata wasindikizaji. Kulikoni??