Uongo uko wapi mashekh wengi wa maulid ni wachawi sio wote lkn weng wao,uwez mkuta salaf anasoma albadir Wala anaandika talasim au anapiga ramli lkn masuf kawaida na hayo yote ni ushirikina
Hapo unazungumzwa uchawi ulovishwa jina la uganga na utabibu na sio utabibu Kama unavyojua wew,Sasa twende kwa akili yako mtu akijigeuza paka usiku nao ni utabibu😂@@arifali3942
Shekhe maneno yako mazuri ila tumuogope sana mungu tukizungumza tuwe makini
Yuko makini sheikh we fuatiltilia vzr jambo hilo utaona
Kabisa shekhe wetu
Baarak Allah fiyk
@sabrizamilalmendhry amiin
Kweli kabisa
Baarak Allah fiyk
Li hizbi dilele
ni kweli hawa masheikh wa kisufi ni wachawi!!
Umewaona una ushahid ?
Ila c wote ni baadhi yao
Jaman hizi daawa gani za kijinga
Huo niuzushi na kumzushia mtu ni dhambi na ukifa utakuja kuleta hayo maneno siku ya kiyama
Uongo uko wapi mashekh wengi wa maulid ni wachawi sio wote lkn weng wao,uwez mkuta salaf anasoma albadir Wala anaandika talasim au anapiga ramli lkn masuf kawaida na hayo yote ni ushirikina
@@HamisiJobuongo sheikh wenu ka ongea uongo kun uchaw na uganga kuna na watibabu sasa anachanganya hajui anachokiongea
@HamisiJob kwahiyo albadir nayo nishriki bado humjaelewa maana ya mchawi
@@YaziduIddy-u7p sheikh wen habaguw baad ya mchaw na vit vyengin achangany tu sio km kila kit useme vip vyengin watakiw unyamaze
Hapo unazungumzwa uchawi ulovishwa jina la uganga na utabibu na sio utabibu Kama unavyojua wew,Sasa twende kwa akili yako mtu akijigeuza paka usiku nao ni utabibu😂@@arifali3942