𝗧𝗨𝗡𝗔𝗪𝗔𝗝𝗨𝗔 𝗧𝗢𝗞𝗘𝗔 𝗧𝗨𝗡𝗔𝗦𝗢𝗠𝗔 𝗦𝗛𝗨𝗟𝗘 𝗧𝗔𝗛𝗔𝗗𝗛𝗔𝗥𝗜𝗡𝗜 𝗡𝗔 𝗛𝗜𝗭𝗕𝗨 𝗧𝗔𝗛𝗥𝗜𝗥 𝗪𝗔𝗡𝗔𝗧𝗨𝗠𝗜𝗪𝗔

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 20 ม.ค. 2025

ความคิดเห็น • 13

  • @AbdulhamidLila
    @AbdulhamidLila 29 วันที่ผ่านมา +1

    Huyu sheikh ni mzushi sana,hem lete basi ushahidi wa unachosema basi,sub haanallah,anguko kubwa na masheikh hili

  • @husseinnditi8032
    @husseinnditi8032 29 วันที่ผ่านมา +1

    Salafy mnanichafua nafsi. Wewe Sheikh Mzushi

    • @othmanmohd3721
      @othmanmohd3721 26 วันที่ผ่านมา

      ss ww kama nan unaesema wachafuliwa hhhhh yaaan wajiona kma ww n mtu muhimu cn ktk hii dunia kufa alaf uwe umekufa bdo upo uko ktk uzushi utaenda kuona mble yaxAllah utachafuliw vzr

  • @safarinisafari7
    @safarinisafari7 29 วันที่ผ่านมา +1

    Salafy ni mayahudi hakuna asiye jua ; nyie mmeunga mkono mayahudi kuuwa waislamu wa Gaza nyie ni mayahidi bila kificho

  • @safarinisafari7
    @safarinisafari7 29 วันที่ผ่านมา

    kumbe Humud hana akili kabisa hajui namna ya kuthibiti hadithi na namna ya kusomesha hadithi eti mtume kamtuma swahaba mmoja akasomeshe aqida ina mana hujui kinacho zungumzwa? bana ya vipi haidthi ili thubutu kwa namna gani kutoka kwa mtume na vipi ilisambaa (kufukisha) Humud nyie ndio mnatumiwa na makafiri wazi bila kificho Saud mdhamini wenu wa da,awa ana shirikiana wazi na mayahudi na sasa anateka kuweka ubalozi wa Israel

  • @MussaYange
    @MussaYange 29 วันที่ผ่านมา +2

    Wewe mzushi mkubwa Hzb inaharamisha kuwepo adhabu ya Kaburi? na hata Hilo Aahad umeelewa vibaya ila twajua mkokazini

  • @MussaYange
    @MussaYange 29 วันที่ผ่านมา

    Hawa Masalafy ni ktk Viumbe waovu kuliko kina Abujahali kwa kuwa Abujahali twamjua ila Hawa twawaona ni wetu ila Kirusi na ni hatari sana.Pia mara nyingi twawaomba mnakasha na wao mbona mnakimbia?

  • @safarinisafari7
    @safarinisafari7 29 วันที่ผ่านมา

    mfadhili wenu MBS anasema anapinga hadithi ahaad na atahakikisha anabadilisha misimamo ya uislamu na nyote mmekubali hilo

  • @safarinisafari7
    @safarinisafari7 29 วันที่ผ่านมา +1

    nyie salafy mmejificha kwenye neno tauhid lakini nyie ndio maadui wa tauhiid leo mnahalisha kuwatii makafiri wanao tawala kwa kufuru ni wazi nyie ni sehemu ya kulinda ukafiri

  • @safarinisafari7
    @safarinisafari7 29 วันที่ผ่านมา +1

    kama kweli Humud anashida na dini mwambie asikilize bosi wake MBS anavyo kataa kabaisa hadithi Aaahaad je na yeye ni mu,utazila ? na kama na yeye ni mu,tazila basi akatae misaada na posho kutoka Saud kwa kiongozi wa Mu,tazila
    th-cam.com/video/CpPOdnpLz5M/w-d-xo.html

  • @safarinisafari7
    @safarinisafari7 29 วันที่ผ่านมา

    #Saud yapinga hadithi Aaaahaad je #MASALAFY watakataa riyali zake na kumwita mutazila? ushaidi huuu th-cam.com/video/v6dnXCOyOz4/w-d-xo.html