Bakwata wenyewe ndo wanamfuga nyoka uyu kuna siku atakuja kuwauwa na awataamini ila mm ningekua ndo Mufti asingeongea tena uyu hata katika Afla ya Arusi
Huyu wanamuogopa na ndioana anajiamini sana muft alifanya lamaana sana kumuengeua ushehe wa mkoa ila anatakiwa hata ktk mahafla asipewe kuongea mjeur sana huyu
Mm nasema hawa mashekhe wa tzd wengi waao au baadhi yaao lkn ni wengi wanapenda sn dunia , ndio maana wanapigana kila siku kwasabbu ya dunia , nasikitika mufti mkuu wa tzd anazika wasani , hiyo nikama kuwapa nguvu watu waovu na watu wabaya
HAPO NDO WAISLAMU HASA BAKWATA NDO WAMEELEWA KUHUSU NENO(BAKWATA) TUSUBIRIE KUNA SIRI NZITO JAPO HUYU SHEIKH HANA HADHII NA NAHISI ALIKUWA PANDIKIZI NA ANAJIAMINI KWA SABABU ANAVIONGOZI WAKUBWA NYUMA YAKE
Ulimi nyama dhaifu yenye madhara mazito sana, binafsi naheshiku kuomba radhi kwako lkn nakushauri ikiwa utashaurika kuwa na nidhamu ktk mambo ya dini, angalia comments za watu hapa utapata taswira yako kwa jamii ya kiislam...kufanya kosa si kosa ila....
unaomba radhai na bado una justfy maelezo yako? Siti tunataka viongoz wanaotetea maslah ya waislam kwa mapana na si mamabo binafsi kama wewe ulivyo.Huko na waislam kabisa
Kwanini iwe wewe tu bingwa wa kukosea mara zote, acha kibri, hilo ni vazi la Allah, huyo unamuomba RADHI kwa kua ni Mufti, mbona hujamuomba RADHI sheikh Abuu Iddi ....!
Mashaallah
Bakwata wenyewe ndo wanamfuga nyoka uyu kuna siku atakuja kuwauwa na awataamini ila mm ningekua ndo Mufti asingeongea tena uyu hata katika Afla ya Arusi
Mwenye mamlaka!
Siasa
Huyu wanamuogopa na ndioana anajiamini sana muft alifanya lamaana sana kumuengeua ushehe wa mkoa ila anatakiwa hata ktk mahafla asipewe kuongea mjeur sana huyu
Wanasema ni mkwe wake labda kwa sababu hiyo, au ni maumbile yake. Allah amuongoze yeye na sisi.
Ameen
Hafai kabisa huyu kiburi kimentawala hana kauli nzuri jeuri imezidi
Mm nasema hawa mashekhe wa tzd wengi waao au baadhi yaao lkn ni wengi wanapenda sn dunia , ndio maana wanapigana kila siku kwasabbu ya dunia , nasikitika mufti mkuu wa tzd anazika wasani , hiyo nikama kuwapa nguvu watu waovu na watu wabaya
Wewe ALHAD. unapenda ukubwa na unapenda kujipa madaraka. Kaaa pembeni huna tena nafasi yoyote kwenye hilo tawi la ccm (bakwata )
Ulisema ukweli mahala si pake😂😂😂
HAPO NDO WAISLAMU HASA BAKWATA NDO WAMEELEWA KUHUSU NENO(BAKWATA) TUSUBIRIE KUNA SIRI NZITO JAPO HUYU SHEIKH HANA HADHII NA NAHISI ALIKUWA PANDIKIZI NA ANAJIAMINI KWA SABABU ANAVIONGOZI WAKUBWA NYUMA YAKE
Amepandikizwa na akina nani? Baadhi ya dhana ni dhambi.
Kweli bakwata jamani yaani mjinga mmoja anawachafua lakin mnamuangalia t ama ndio ile kulindana
Radhi Gani inaombwa na kuhitimisha Kwa Kijembe chenye dharau,kejeri na fedhuli?
Unaijiita shekh punguza tamaa.kuna watu wamekuzidi umri.waswahili wanasema mtu mzima utamshinda kwa mbio lkn c maarifa.
Hahhhh yani taratiiibu siri zinawekwa waziiii😂😂😂😂
Bakwata haina meno mjinga anawachafua bado mwamkumbati mm naona huyu anasiri kubwa anazijua ndani ya baraza ndio maana wanamkumbatia
Kunawatu ukiwaona nikama umeona malaika na wengine ukiwaona nikama vile umemuona ibilisi.bas tjitahid tuwe na muonekano wa malaika
Hapo hujaomba radhi sasa
Huyu ni muhuni km wahuni wengine naona kuoa mtoto wa mufti ndio inayokupa jeuri
Huyu Shekh hana hekma wala heshma, hafai hafai hafai kabisa.
Ulimi nyama dhaifu yenye madhara mazito sana, binafsi naheshiku kuomba radhi kwako lkn nakushauri ikiwa utashaurika kuwa na nidhamu ktk mambo ya dini, angalia comments za watu hapa utapata taswira yako kwa jamii ya kiislam...kufanya kosa si kosa ila....
Baraza si lani umesema?
Huyu mtu mjivuni na hana adabu! Inaonekana ni mtu mwenye hinda sana
Bora tu unyamaze maana auna hekima
Keshasema ukweli utabaki kua ukweli sasa kaomba nini hapo msamqha
Mimi naona hakuna kosa kumpigia kampeni kiongozi
Kuna sehem wamesema ni vibaya? Kama kitu bado hujalijua fuatilia kisha ndo ukimbilie kucoment….
Mwanzo ndo uliongea ukweli,,leo ndo unaongopa sasa shekh wangu.
unaomba radhai na bado una justfy maelezo yako? Siti tunataka viongoz wanaotetea maslah ya waislam kwa mapana na si mamabo binafsi kama wewe ulivyo.Huko na waislam kabisa
Sheikh usie na darasa mahala popote kazi ni madili tu mda wote upo na mabodigadi takataka
Leo ALOMUWEKA MUFTI 😂😂😂😂😅😅😅😅 HATIMAE ALOWEKWA KAMTOWA ALOMUWEKA 😅😂😅😂 ACHA TUBAKI NA QUR-ANI NA SUNNAH (BAKWATA SIJUI NI KITU GANI?)😂😂😂😂😂😂
Weye na bakwata wako nyote ni wachumia tumbo tu hampo kwa ajili ya dini
Kwanini iwe wewe tu bingwa wa kukosea mara zote, acha kibri, hilo ni vazi la Allah, huyo unamuomba RADHI kwa kua ni Mufti, mbona hujamuomba RADHI sheikh Abuu Iddi ....!
We kila siku unakosea wewe we freemason nini unatumwa baba
BAKWATA MNAVUNA MLICHOKIPANDA...
Kasema ukweli michongongo imezidi dhulma nyie na muft wenu
Je shekh iyohadithi wewe ulikua hukuizingatia kabla ujayazungumza ulioyazungumza?
Bakwata nyie ndo mnaleta balaa kwenye dini ni watu wa fitna
Hana adabu huyu