AHMED ALLY AMSHANGA MUFTI ASOMA QURAN, ATUNZWA PESA. MASHINDANO YA QURAN UWANJA WA TAIFA

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 16 ม.ค. 2025

ความคิดเห็น • 86

  • @amsiabbas3809
    @amsiabbas3809 4 หลายเดือนก่อน

    Masha'allah Masha'allah Allah ajalie yalio Mema Insha'allh

  • @hashimujumanne9570
    @hashimujumanne9570 4 หลายเดือนก่อน +4

    Maashallah wallah vijan wengi wange amua kujitolea kwa ajil ya allah uislam unge enea Tanzania nzima

  • @EmanueliWildausoni
    @EmanueliWildausoni 4 หลายเดือนก่อน

    Huyu ahamed alii ama kwel si msemaji tu ana dam flani hvi yakukubalika sana amshukuru mungu kwa hilo muislam safi so mpira tu hata kwenye dini yuko vzr waliomfundusha dini mungu awape maisha marefu yenye heri

  • @omaryjumbe14v8
    @omaryjumbe14v8 4 หลายเดือนก่อน

    Mashallah Mashallah Mashallah Allah awalipe kila la kheri

  • @muharammlawa9879
    @muharammlawa9879 4 หลายเดือนก่อน

    Maishshaaaaa

  • @Yusuphmazohany
    @Yusuphmazohany 4 หลายเดือนก่อน +3

    Ahmed ally na ally kamwe nawakubali sana safi sana vijana

  • @RahmaHamad-x9f
    @RahmaHamad-x9f 4 หลายเดือนก่อน +3

    Masha allah wallah nimecheka 😂😂😂kwa furaha nawapenda kwa ajili ya allah☝️

  • @minnahhers7437
    @minnahhers7437 4 หลายเดือนก่อน

    Ma shaa Allaah

  • @SheikhYussuf-iv6lo
    @SheikhYussuf-iv6lo 4 หลายเดือนก่อน +2

    Mashallah Tabarakallaah

  • @mohammedalishamis9405
    @mohammedalishamis9405 4 หลายเดือนก่อน

    Masha Allah Ahmed upo vizuri Mola akuzidishie Elimu ya Akhera

  • @samahakihange6421
    @samahakihange6421 4 หลายเดือนก่อน +3

    Allah akbar

  • @uchidahmaster2834
    @uchidahmaster2834 4 หลายเดือนก่อน

    MAASHALLAAH MAASHALLAAH MAASHALLAAH ❤❤❤

  • @abaaaqram685
    @abaaaqram685 4 หลายเดือนก่อน

    Mashallah

  • @makamemashi3201
    @makamemashi3201 4 หลายเดือนก่อน

    Mashallah nimefrahi sana

  • @ukhtyjabutv6368
    @ukhtyjabutv6368 4 หลายเดือนก่อน

    Takbiiiir

  • @MbegaTurubaitz
    @MbegaTurubaitz 4 หลายเดือนก่อน

    Mufti umefanya vzr sana ,usiwatenge hawa watu wa mpira kwa kuwa wapo waislamu ndani yake

  • @HalimaKinyashi-w7h
    @HalimaKinyashi-w7h 4 หลายเดือนก่อน

    Multipurpose

  • @MussaKarim-fo8uh
    @MussaKarim-fo8uh 4 หลายเดือนก่อน

    Mashaallah

  • @SheikhYussuf-iv6lo
    @SheikhYussuf-iv6lo 4 หลายเดือนก่อน +5

    Namuona Ahmed Ali mwakan kuitwa na Al hikma kwenye mashindano ya Qur an kwan ana ushawishi wa kisomi

  • @jumakapilima7295
    @jumakapilima7295 4 หลายเดือนก่อน +3

    Mnaifanyia shere dini ya Mungu Kwa kuchanganya na laghwi,,,, innalillah!

    • @rayisadesigns2646
      @rayisadesigns2646 4 หลายเดือนก่อน +2

      Hiyo ni promo kaka wala hakuna tabu yoyote hapo

    • @jumakapilima7295
      @jumakapilima7295 4 หลายเดือนก่อน

      @@rayisadesigns2646 innalillah!!

    • @BakaryOmally
      @BakaryOmally 4 หลายเดือนก่อน

      Wape taaluma pengine hawajui

    • @IsmailJuma-zb5ni
      @IsmailJuma-zb5ni 4 หลายเดือนก่อน

      Kwanza atuambie laghwi maana yake ni nini?

    • @othmanhemed6456
      @othmanhemed6456 4 หลายเดือนก่อน +1

      acheni mambo ya kizamani nyie kwani kipi kibayaa

  • @barakamkekena488
    @barakamkekena488 4 หลายเดือนก่อน

    Wanacheeka

  • @PanduAlly
    @PanduAlly 4 หลายเดือนก่อน

    Allah awalipe kher

  • @ramadhanyusuf2401
    @ramadhanyusuf2401 4 หลายเดือนก่อน +1

    Babdeo milad kampuni ya kuipiga vita dini mnaswali la kujibu mbele za Allah tangu lini kampuni za kamari zikasimamia musabaqa wa Qur'an

    • @nouraynaasheikhunkabir3749
      @nouraynaasheikhunkabir3749 4 หลายเดือนก่อน +3

      Hem tutajie hizo company za kamari zinazosimamia haya mashindano ??

    • @ElvisMulenga-j5w
      @ElvisMulenga-j5w 4 หลายเดือนก่อน +1

      Huyu jamaa anazingua inamana hao kina Ahmed na Ali kamwe wanatangaza kamari hapo au wanahamasisha watu waje kwenye mashindano ya Quran

    • @IsmailJuma-zb5ni
      @IsmailJuma-zb5ni 4 หลายเดือนก่อน

      Huyu nahisi akili hana

  • @askofkibwe6106
    @askofkibwe6106 4 หลายเดือนก่อน

    Shekhe ilunga alisema bakwata ni tawi la kanisa

  • @arafatsaid920
    @arafatsaid920 4 หลายเดือนก่อน +7

    mashindano ya ajabu kuwahi kutokea. Tungewaelewa kama hadhira ingekua ya wanawake tu. QURAN IKISOMWA NA MWANAMKE KWA SAUTI MBELE YA MTU AMBAE SIO MAHRAMU WAKE HAIFAI NA ANAPATA MADHAMBI. VIPI IKIWA UKUMBINI? MUOGOPENI ALLAH NA MUACHE UNAFIKI

    • @KHADIJANDABABISA
      @KHADIJANDABABISA 4 หลายเดือนก่อน +2

      Ww mjinga kabisa hivi fatiwa ya sheri juu ya hili unaijua au unaropoka tu maana aisha aliwafundisha maswahaba mamb ya mungu kasauti yake je ,alipata madhambi?? Mbona tahira kiasi hiki ,jambo kama hulijui kaaa kimya soma QURAN 49:6

    • @arafatsaid920
      @arafatsaid920 4 หลายเดือนก่อน

      @@KHADIJANDABABISA wewe ndio mpumbavu mkosa adabu unawarukia watu ovyo. Nafasi ya mama aisha na wake wengine wote mtume s.a.w ni MAMA kwetu waislamu hilo moja. PILI KASOMA FATWA YA KILA SHEKHE ANAPOULIZWA KUHUSU SWALA LA WANAWAKE KUSHIRIKI MASHINDANO YA QURAN WANAJIBU NINI. WOTE WAMEKUBALIANA KWA KAULI MOJA KAMA HAIFAI MWANAMKE KUSHIRIKI MASHINDANO YA QURAN. KASOME CHA MDOMO

    • @MudyNassoro-if8io
      @MudyNassoro-if8io 4 หลายเดือนก่อน

      Salafy mpuuzi uyo😂

    • @arafatsaid920
      @arafatsaid920 4 หลายเดือนก่อน

      @@MudyNassoro-if8io paka mapepe

    • @kasumunigwasa
      @kasumunigwasa 4 หลายเดือนก่อน

      Soma kwanza ndio utoe fatwa

  • @twaibutwabibu8809
    @twaibutwabibu8809 4 หลายเดือนก่อน +2

    I think kuwe na ukomo wa utani hasa ktk inapokuja jambo hili hadhimu la Dini

    • @halimamwingu4478
      @halimamwingu4478 4 หลายเดือนก่อน

      Ni kweli, wanazingua. Na hii dini inapielekea nayo dah! Qur’an sasa inahusishwa na mambo mengi km ushindan flan wa kidunia tuu! Hakuna dini hapo.

  • @sulekato4330
    @sulekato4330 4 หลายเดือนก่อน +2

    Sio Muhammad ni Ahmed

    • @Rolemodel_wa_taifa
      @Rolemodel_wa_taifa 4 หลายเดือนก่อน +2

      Wewe ndio hujui hata Ahmad, Ahmed, Mohammad ndio mtu mmoja

    • @sulekato4330
      @sulekato4330 4 หลายเดือนก่อน

      @@Rolemodel_wa_taifa Sawa mama Mzazi wa Ahmed

    • @Rolemodel_wa_taifa
      @Rolemodel_wa_taifa 4 หลายเดือนก่อน

      @@sulekato4330 Unapewa Ilimu unachukia unaonesha zaidi ujinga umekutawala

    • @mohdkhatib223
      @mohdkhatib223 4 หลายเดือนก่อน +1

      Ndio hiyo hiyo, hata mtume saw kuna sehemu katika Quran ametaja kama Ahmad

  • @MansourKabuhaya
    @MansourKabuhaya 4 หลายเดือนก่อน

    Mnayafanya mashindano ya qur'an kama mnavyofanya kwenye mambo yenu ya kamari na mipira eeh!!??? Innalillah wainna rajioun

  • @AshaMngindo
    @AshaMngindo 4 หลายเดือนก่อน

    Manara yupo wapi jamanii

  • @aishathabit3732
    @aishathabit3732 4 หลายเดือนก่อน

    Wapumbavu kama hawa wanapewa nafasi ya kufanya ist'hzaai kwenye mambo ya dini

    • @BakaryOmally
      @BakaryOmally 4 หลายเดือนก่อน

      @@aishathabit3732 nafikiri hujaelewa lengo hapo kuna mashekhe ambao wewe ata huwafikii kielimu hakuna mkamilifu lkn hao wanatumia mbinu kuvutia watu pengine ata uwanjani wewe usiende ila hapo unajikuta aliim ktk kufikisha neno kuna mbinu hutumika

  • @BizudaRajabu
    @BizudaRajabu 4 หลายเดือนก่อน

    Mh,?

  • @shaabanramadhan6770
    @shaabanramadhan6770 4 หลายเดือนก่อน

    😂😂😂😂😂😂

  • @muharammlawa9879
    @muharammlawa9879 4 หลายเดือนก่อน

    Ma shaa Allaah