"Nakuomba, mpenzi kubali Kwangu uke wenza, hilo ni muhali." Jamani nyimbo zilikuwa zamani nyinyi. Jumbe na mafundisho kama yote. Big up jamani. Mumejua kunisuuza nafsi❤❤❤
@@hammerQ954 a musician group from comoros did a cover of this song in comorian language and performed it on taarab event in their village as they became famous in their regions because of it some people think its an original song and get confused when they heard your cover or the original one
Badoo sijaiskia kwa TikTok
Jamani hii ni bonge la come back ya wimbo huu. Na sauti zenu ndugu Hammer Q na Dada Mosi Suleiman kama mulemule. Wallahi nasuuzika nafsi kwakweli. ❤💪🏾
Hili song nikali
"Nakuomba, mpenzi kubali
Kwangu uke wenza, hilo ni muhali." Jamani nyimbo zilikuwa zamani nyinyi. Jumbe na mafundisho kama yote. Big up jamani. Mumejua kunisuuza nafsi❤❤❤
Shukran sana ndugu shaaban Abdi🙏🙏🙏
❤
🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥❤🇲🇼
Like kama umesikia kwenye tiktok
Nyimbo nzuli sanaa uke wenza mgumu bwana
😁uvumilivu tu
khaswa
Na uzinifu vipi nayo
Hizi ndiyo haswaaaaaaaaa
Ukewenza kazii jmni
Hapana co kaz kukinai tu bac
Hamaq mbona wimbo unaishia kati jamani haufiki pale nenda ukaoe potelea mbali😢😢
Love this song
❤❤❤❤
Cute mashallah❤️❤️❤️❤️❤️❤️
Aziza kubali bhana 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Kama mtatulea na video pia. Aisee
❤❤❤
Aoe2 hata kumi kikubwa uduma
Beautiful song
Nzuri ukewenza lahatu
Mambo
💕💕💕💕🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Yup bro, keep me alive.
Your's bro.
Mohidin Canada
🔅❤❤
Manshallah 💃💃💃👌7/9/2021
🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Kwa wanawake wa sasahiv awawez uke wenza
Hapana rohombaya tu kwawanawake
kuna nyimbo similar ya kingadzija from comoros... ila simjui mwimbaji...
th-cam.com/video/O6McXY5jM_o/w-d-xo.html
Ni hii ama ipi?
Inaitwaje? Kaka
@@hammerQ954 a musician group from comoros did a cover of this song in comorian language and performed it on taarab event in their village as they became famous in their regions because of it some people think its an original song and get confused when they heard your cover or the original one
th-cam.com/video/kqjOd_glCS4/w-d-xo.html
The group name is hiyar nour from drouani Ngazidja
You can hear the cover at 40:02min
Jamani nyimbo hii aliimba nani kabla ya Hamer Q na Mosi kuirudia?
Aliimba samihaji dau
Sami hajji na Bi Mwapombe
Kaka rudi japo siku moja utoe vidio ya huu wimbo
Nyimbo zenye kuelimisha zilikua hizi sio za saa hivi
Kwenye audio mark unatumia jinà gan au hakuna huk
Hammer Q
Pambeee
Tunao tamani vidio tujuane
Tupo baba
Wow
❤️❤️❤️❤️