Magari ya gharama yaliyonunuliwa na vijana mwaka 2017 Mwanza.
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 31 ธ.ค. 2017
- Saa chache kabla ya kukamilika mwaka 2017, Ayo TV, millardayo.com imepita kwenye moja ya showroom ya magari Mwanza kujua ni aina gani ya gari ambayo yameuzika kwa wingi mwaka 2017, Pia wadada wameendesha magari gani, wazee pamoja na vijana wa kuime kwa mwaka 2017.
Hata mim nitanunua gari One day Yes
Mwnangu voice kma ya millard! kaza upo juu!
crown ni gari kali sana naipenda sana Queen of saloon
Matako ya Nyani... nyani wote wanaandamana wanataka ziitwe matako ya Sokwe
Mungu yupo tuu IPO SKU na mm nitanunua mgongo wa nyani
Inshaallah, Allah akuwezeshe na iwe na kheri na wewe, 🙏
Naiwe hivyo
Mungu awainue mzidi kuendelea mbele na kuzidi kutuletea vitu vyenye hadhi hapa nchini kwa faida ya jamii nzima ya kitanzania
Nawe ubarikiwe
ww hizo data unazotoa oooh tumeuza makalio ya nyani, Mara tumeuza milioni170, TRA watakufuatilia utoe kodi mara2
Toyota Vanguards mnyama
Toyota crown hatari sana wenyewe wanaiita Queen of saloon.
Mbona gari bei kubwa sana?
Ipo siku tu na mimi ntanunua matako ya nyani 😀😀😀
Matako yanyani au yako la nyani
Good, thou diamond doesn’t have an audi
Sasa na ww mtangazaj umenunua gari gani?
Hahaa team Mondi wewe sio bure mubuloo
Mandhari yanayouzwa sumbawanga
Mwanangu mwenyewe yaqub neja
Land cruiser new model 2017 ndio my dream car....Hopefully one day nitamiliki
Audi ni ya zari sio diamond
Sasa 2001 ni new model na wewe?? Na ya 2017 utasemaje sasa
+Losso Jr sasa we kiazi Una HELA ya kununua gari 2017
Ni aibu kusema gari ya mwaka 2001 ni new model,Hahaha fala we isitoshe bado unakula ugali wa shkamoo nyumbani hapo
Thubutuuuuuuuuuuuu
bei ya chini ndo ngapi xaxa?
Duh aiseeeeeee hilo audi ni hatari
makalio ya nyan mung nijalie nami niendeshe makalip ya nyan
Duh..matako ya nyani🤣🤣🤣
Naomba no za zamzam motors
Iko poa
Naomba namba ya cm
Tusisahau kuwa kuna watanzania wanahitaji msada wapo wanaoumwa sio kununua msgari
Wewe acha kuwazalilisha wachezaji mastaa wakubwa km hawo wanaendesh gari frani zaitwa bugati na hiyo gari inaweza ikafika Mpk billion 3 na hawo hawo wachezaji wana miliki Mpk helicopter na boti zao Za kula bata baada y ligi kusimama
Hivi kama hukuelewa si ungekaa tu kimya , Mara wachezaji Mara Diamond hawatumii gari hizi , wote wana magari ya bei za juu na za chini"
emily phillemon SWA
Allah anijalie na mm ja bajaji maana hata baskel ckapata mwaka ulopita
Ashmina Abdullah 😂😂😂😂😂😂😄😄😄😄😃😃👍
Nakuombea akupe gari
Bajaj new modal bei gan
daa jamaa umeshka ndoto za wtu unagawa ongera Mungu kakupa kibri cha kuuza magri ambyo wengi upiga goti kumuomba mola wao hawafanikishe duuu
Hahaha....ongea tu kiswahili. Ni consumption sio comfession ya mafuta brother.
🤣🤣🤣Uko makini kumbe umemskia
Very expenses car😂😂😂😂😂
V8 ipo
bro sio kwel 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂mondi anamiliki BMW X6 co Audi babu
Sponsored by WCB CEO
gonga like no body else
NICHANE
Kama nmezngua
Hizo ndo gari za bei ghali kweli...??
Q7 Moshi tumezichoka kitambo!!
UMEZICHOKA UNAYO
Matako ya nyani Lol!
Harrier NI WAZFA LAKINI CROWN NI BABA LAO,, rush iko makini na off road capabilities zake with luxury
Hizo gali za kuendea sokoni wakin mm japan zikij Tanzania tunaon magali ya kifahali
Kaendeshe na wewe Japan Uende nayo sokoni
haha
diamond anatumia bmw x6 acha ujinga wewe
ukinunua stalet mwaka huu usinipe lift niache nikapande daladala...
kips jr ndo maana huna ata boda boda Mungu huyu anaelewa kuwapa watu kama wewe
Agnesta Majaliwa usitake kuanzisha kubishana mitandaoni kama huna kazi ya kufanya kalale ayo ni maoni yangu kwa anaenijua atayafanyia kazi kama unijui fanya yako
BMW X6 ni ghali sana kuliko audio Q7...., for your information
Q7 gari yenye thamani
sijaona gari hapo zaidi ya rollys royce
mh eti Neymar, Ronaldo wanatumia gar zenye thamani ya million 140 shit kabsa hii
Adam Singaile hizi ni used bro usipaniki
Inategemea ya mwaka gani ingia kwenye website ya audi hiyo Q7 ya 2018 ni balaaa hiyo ni ya zamani iliyoletwa apa
Adam Singaile v
Charles Giiti huyo jamaa mwehu yaani Ronaldo na neyma atumie garii ya mbovu hiyo ya euro elfu sitini wewe kweli kiaz
yani mnavyozungumzia haya magari utafikiri kuuzwa utadhani mapeazi kumbe gari, afu mambo ya kusema vyuma vimekaza muache jisemee mwenyewe ss wenngne huku tunanunua matako ya nyani kila siku..
tawete elias hahaha daaaah unawaz kam mie apaa
anashangaza sana huyu mkaka anamtangaza diamond kama anagari diamond hana gari unayoisema wewe usipende kusema uongo.au umetumwa umfagilie diamond?
ww una ukaribu gan na diamond mpaka useme ivyo? acha upuuzi ww unadhan utampunguzia chochote?
Acheni kiki bhana! Gari ya milioni 140 wapo watu wa kawaida tu wanaendesha, ukiende visiwani Z'bar hizo gari watu wanaendea sokoni tu, afu wachezaji wakubwa wanaweza wakaendesha hata gari ya dola elfu 30 tu ikawa ni bei ya chini ya hiyo unayosema hata Bill Gates mwenyewe anapanda gari za kawaida tu za chini sana ambapo kwenye tuta lazima awe makini, gari yake kubwa ni Ferrari peke yake.
barabara za kenya hakuna magari model za zamani hivyo.. gari zenu sura mbaya za kitambo, tembeeni kenya muone model mpya mpya sio kama hizo , mnatuonyesha harrier model ya kitambo . mnaendesha meuseum
hahaahahha
Mahari yemi nawe za kulipwa kwa swami ngamia
Usiwadharau wenzako ww
We mbwa una matatizo