Mercedes Benz C200 Vs Toyota Crown Athlete ( MFANANO na UTOFAUTI ) - Mr Sabyy

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 16 ธ.ค. 2024

ความคิดเห็น • 12

  • @PascalMbwilo-vh5rn
    @PascalMbwilo-vh5rn 9 หลายเดือนก่อน

    Review nzur sana but pia ningependa mr.Sabby ungefanya review ya harrier anaconda au hybrid

    • @MrSABYY
      @MrSABYY  9 หลายเดือนก่อน

      Sawa boss tutafanya vipindi vinavyokuja🎉🎉🎉

  • @stevenmrema2348
    @stevenmrema2348 8 หลายเดือนก่อน +1

    First time nimeona hii page good review umeeshimisha gari yangu Mercedes kumbe ata mm sikuwa naijua ipasavyo

    • @MrSABYY
      @MrSABYY  8 หลายเดือนก่อน

      Welcome boss na save no yetu 0653953900

  • @kelvinlaurent4341
    @kelvinlaurent4341 9 หลายเดือนก่อน

    Camera man anafeliii kinoomaaa... kwanza hajui kucheza na auto focus, pili kitu unacho ongelea na kuonyesha yeye anarekodi tofauti au anachelewa kuonyesha. Aache uzito mana video/picha vinapishana na maneno na inakuwa inaboa tuu

    • @MrSABYY
      @MrSABYY  9 หลายเดือนก่อน

      Asante sana kwa maoni yako na tumeyapokea🎉🎉🎉 na watayafanyia kazi

  • @aliykhamisi1431
    @aliykhamisi1431 9 หลายเดือนก่อน

    Review with both price ndio haibored

    • @MrSABYY
      @MrSABYY  9 หลายเดือนก่อน

      Ukimaanisha nini boss ??😮😮

    • @SurprisedAquaticWhale-ir8go
      @SurprisedAquaticWhale-ir8go 8 หลายเดือนก่อน

      Taja bei ya magar yote mawili

  • @giressentumwa6906
    @giressentumwa6906 9 หลายเดือนก่อน

    Brother, natamani sana kupata maelezo kuhusu Toyota AQUA, pia Toyota Allion

    • @MrSABYY
      @MrSABYY  9 หลายเดือนก่อน

      Allion inakuja soon boss, usiache ku subscribe

    • @giressentumwa6906
      @giressentumwa6906 9 หลายเดือนก่อน

      @@MrSABYY asante mwanaume