On behalf of all the proud Bumbuli dwellers, and everyone from Tanga, I'd like to send out a massive congratulations for this super hit song! 🎉🎶 Not only did our boy Kusah nail the beats, but they also gave our hometown a starring role in the music video - Bumbuli, you're officially on the map!
TANZANIA Yetu Ni Nzuri Sanaa... TANZANIA Tuna Maeneo Mazuri na Bora kwa Ajili ya Video. Big Up Kusah kwa Wimbo Mzuri, Video Bora... Ahsanteni Wana-Bumbuli kwa Kijana Huyu Kusah. Heri na Fanaka ya Sikukuu ya Noel
On behalf of myself, my village people, and even my wicked landlord - we highly recommend this love, sweetly soul-grabbing tune without any matunguli fleva to all! 😂 🎶👑💯⭐
Woooozaaa bonge la ngoma tena limeshuka ,,,, daaah mashallah,, kakangu nimeipokea tena sanaa ❤❤❤❤❤naipenda tena sana ,burudani basi ishuke bila ya kupiga , Big up braza kusah tupo tupo salama sana kukusuppoti braza ,,shukurani kwa burudani ❤❤❤
I LOVE YOU GUYS 🏆❤️ ENJOY,COMMENT AND SHARE 🎶
We love you too keep up with the good job royal fun from Kenya Nairobi
mwanangu unajua sana 🎶🎶👊❤
I love this song and love you
WE LOVE YOU TOO
And make sure you send some gratitude to kenyan Dancers ..
Waouh baba weye kwenye love auja wai niangusha 🎉🎉🎉mimi naona like zangu sababu Niko wakwanza Bujumbura 🇧🇮
Sijawahi pata ata likes Moja Leo guseni basi ata kidogo wanangu 😂
sasa una taka kulia
Hujawai niangusha mdogo angu❤❤ wale watu bumbuli like zenu basi
mjamaa anaimba sanah ni vile sijuh ni nin no hazsomi youtube....buh i appreciate chenye anafanya
100%Melody
98%Audio
100%Video , I'm Proud Of You Kusah Never Dissapoint 🎉🎉🎉🎉
Mambo
Bumbuli nice place to visit
Hongera Kwa ku appreciate yr home place kusah
Wasambaa wenzangu mikono juu, naona @kusah kaamua akashutie home kabisa.
Home boy
Daaah home sweet home usambara moja Hy kk umetisha umeiheshimisha usambara home sweet home ❤❤❤❤❤❤❤
USAMBALA LOCATION EEEEH?
On behalf of all the proud Bumbuli dwellers, and everyone from Tanga, I'd like to send out a massive congratulations for this super hit song! 🎉🎶 Not only did our boy Kusah nail the beats, but they also gave our hometown a starring role in the music video - Bumbuli, you're officially on the map!
Much love from Kenya...Kenya loves your music 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Kizungu top notch.......mad love from +254🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Wapi likes first from 🇰🇪. Another banger from Kusah 🔥💯
kusah msani wangu respect ahutumi nguvu nyingi kwenye music lakin kipaji Kina jionyesha
TANZANIA Yetu Ni Nzuri Sanaa... TANZANIA Tuna Maeneo Mazuri na Bora kwa Ajili ya Video. Big Up Kusah kwa Wimbo Mzuri, Video Bora... Ahsanteni Wana-Bumbuli kwa Kijana Huyu Kusah. Heri na Fanaka ya Sikukuu ya Noel
I fill like I'm flying up on the sky when listening to this sweet melody from our King much love ❤❤❤❤❤
I love you coment
NAAACHAJE KUISAPOTI HIII BONGO KWA MAGOMA MAKALI KAMA AYA MATAMU💥💥💥💥🎯🎯🎯
Mziki Ulio Na Burudani Barida🔥🔥🔥🔥💣🙌🙌🙌
Uwa nakukubali sana mzazi
Kusah never disappoints ni ivyo wabongo hatutaki kuona vipaji halisi kama hivi
Duuh aisee hii ngoma nimeipita mara kibao. Sikujua kama ni ngoma kali kiasi hiki.
Aisee ni bonge moja la mziki.
Moi lovely song big up kwake kusah ❤
On behalf of myself, my village people, and even my wicked landlord - we highly recommend this love, sweetly soul-grabbing tune without any matunguli fleva to all! 😂 🎶👑💯⭐
Kusah🙌🙌🙌
Jamani video mmeiyona coment ziwe nyingi alafu msisahau like zangu ata kidogo #kusah tena🎉🎉🎉
Woooozaaa bonge la ngoma tena limeshuka ,,,, daaah mashallah,, kakangu nimeipokea tena sanaa ❤❤❤❤❤naipenda tena sana ,burudani basi ishuke bila ya kupiga , Big up braza kusah tupo tupo salama sana kukusuppoti braza ,,shukurani kwa burudani ❤❤❤
Mwanangu unajua mpaka unaboa 👊👊
Let's feel the vibe 🎶🎶❤
I dont understand kiswahili but hii nayo eeh nimepigwa na butua tamu ajabu🎉🎉😊
Video kali mziki mzuri appreciate @kusah Hit song
Nakubali ohme boy ❤❤❤
Kila muda naisikiliza ni 🔥🔥
Bumbuli pride ❤sweet home ❤
My Favourite Musician 👑Kusah
Who else know that Kusah never disappoint!?🙌🤤😋🎁🎄 merry Christmas love y'all famz 🙏
Mazingira ya chuo bumbuli…. Umetisha brother ✊🏿
Tamu❤
kudush..............! Bro
Wew ndy ulichelewa kuichia hii Ngoma nimeingojea sana
namkubali anajua
Kusaha doooh huu wimbo aisee
Kusah the King of melody and vibes take luv ♥️ from Kenya 🇰🇪🇰🇪
Kusaaah weeee mala kadha narudia hii Video kaliii sanaaa
Uyu jamaa kweny love nomaa aise
We weeee….Kush 🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Bien 🇨🇩💪 naomba Tano tu 🙏
Salute sana my brother Kusah kwa hili bonge🔥🔥🔥, love from 🇰🇪
kusah umeuwa san pacha✍🏼✍🏼
Gosto muito da voz de kusah. Kusah tem uma voz de ouro. Like kusah from Mozambique 🇲🇿🇲🇿🇲🇿
Niko na heart break but Napend a hii ngoma ❤❤❤ 😢😢😢
Kali sana bro 🔥🔥
🎉 tuondokeeee mzeee wng
Kusah ni 🔥 kwenye love bonge la beat😊😊
😊😊we chukua mauwa yako baba🌺🌺🌺😊😊❤❤
It's @kusah again my favorite song ❤
Kusah umetisha sana kaka
Kusa and Jay melody always confuse my heart ❤️❤️😢
Same here
❤❤broh piga moja king kiba na ray
Weeee nimesikiliza zaidi ya mala 10 huu wimbo hatar
Na wenyewe ndio sisi ✌️
Umeweza mzito I love your legitibity work ❤
Wimbo wangu wa mwaka huu kusaha
Umeua kaka, nice song, a wonderful melodies ,Big up💪
Hii ngoma du I can't even explain 😊
My biggest Artist is you my brother Kusah, congratulations 🎉 to this one
#meekjeddy
Noooma sanaa kichupa kuzuri kama wimbooo
Wa Kwanza hapa from kenya
Goma la mwakaaa🔥🔥🔥🔥
Fav I feel like tagging my man he need to know I gat him anyhow
Much respect broo soon tuu @sillo music ahead
Hatar hilo ni jingo sweet song
Baba unajua Hit song
Kusah noma sana❤❤❤❤
Video kashoot lushoto ❤❤❤❤
GOOD SONG BROTHER Hii ni Hit
Love in air❤❤.....much love from kenya 🇰🇪
Ngoma kali sana blood
This song is a Banger already falling in love🥳❤🔥
Kaka unajua🙌🙌
Baba hi balaaaa🎉🎉🎉🎉
Unyama nimeiyona bumbuli hospito hapo kaka mzingara flan unyama sana
Kusah congratulations 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Huwa nakukubali saana mwanangu
Good voice much love
Video kali wimbo Hit hongera brother
Hit song hongera brother unajua
Nice song 💯😍
Kusah baba ume uwa sanaa king
I like good music like this ❤❤❤❤❤ hii imeenda bhana💥💥💥💯💯💯💯💫😢😢😢😢😢😢😢😢😢
big up kusah am your fan
Mwanang Kaz kali unajuwa Sana an
Umanayah sanaaaaa kusah
Umeua blood
Sijahi pata like kwa hii acount
The vibe of the this song is on another note 🔥🔥🔥🔥
Chukua maua yako🎉🎉
Nyie kusa mtu anajuwa
Mwanetu umeua safisana
Nice one ❤
Ila Brow unajua sana kakangu🔥🔥🥰👌
Wow this love aki❤❤