Napitia hapa Kwa comment section naona bandari za Kenya nashuku ni Kwa wakenya wenzangu, comments zenyewe imeandikwa na kizungu.. Wakenya, jameni tukatuze kiswahili. Ni lugha kitamu sana. Salamu kutoka kijerumani
You are the best of new era. Bumbuli King of all times keep shinning .Iam your biggest fan unanifanya nizidi kupendwa na mke wangu kila nikimuimbia covers za nyimbo zako.kusah wewe ni Vitamin, wewe ni Lishe na Tiba ya ndoa yangu.hongera sana endelea nafurahia maneno mazuri unayotumia ktk nyimbo. My musical Doctor
I don't know what ❤❤❤❤l love this song to much vrmnt félicitations Kaka tu as bien chanté ta chanson de façon que quand j' écoute cette chanson je toujours envie de dance et sans bcq d' amour dans mon ❤ Kaka wewe ni nember one
I LOVE YOU GUYS 🏆❤️ ENJOY,COMMENT AND SHARE 🎶
🔥🔥🔥
👌👏
th-cam.com/video/iB8PWSnIbCg/w-d-xo.html
You killed it ❤❤❤❤
We love you moreeee baba nono❤👊 nice....❤
First Kenyan here… Kenyans tufanye vile sisi hufanya wajue sisi ndo huwapa full support hata wasiposupport mziki wetu 🇰🇪 🇰🇪
😂😂😂
Uko true broh
Usiseme hivyo mbona tunasupport sana nyimbo zenu,East Africa pamoja sana❤
Kabsaa
Mbona twasupport kaka
Love i kusah nimeomba like 100 y kusah
Hii ngoma n zaid ya ngoma tamu.. mnaokubaliana na mm naomb like za kutosha hapo
Napitia hapa Kwa comment section naona bandari za Kenya nashuku ni Kwa wakenya wenzangu, comments zenyewe imeandikwa na kizungu..
Wakenya, jameni tukatuze kiswahili. Ni lugha kitamu sana.
Salamu kutoka kijerumani
I can't explain how this song make me happy with my wife here in capetown thanks my hommie kusah...
All time is kusah playlist
It heals a soul in love and not in.......
Nipeeni like pia kaa unakubali
😘😘😘🤙🏻🤙🏻🤙🏻🤙🏻🤙🏻
All love ❤️❤️ from Burundi 🇧🇮🇧🇮🇧🇮
Kusah namkubali sana
This song is so touching, I have been playing it repeatedly.. I'm your top fan from ZAMBIA 🇿🇲.
JUST IMAGINE THIS SONG ISIPEWE TUZO YA HESHIMA BONGE LA GOMA LIKE ZOTE ZA KUSAH FUNDI WA MUZIKI NI HAPA❤
th-cam.com/video/6yYXHj4cYaw/w-d-xo.html
Mahaba ya alikiba na hii ndo nyimbo bora 2023
Kusa and Jay Melody are the guys to watch out in the Bongo space. Forget Diamond, Alikiba and Wasafi. These guys are SELF MADE. Good song Kusah!
😂😂😂😂 relax bro leave Diamond and Wasafi
TRUE BRO🔥🔥😎🇰🇪💯
From 254 ya
@@rachaelmungai5194 pp
Acha ushamba
Mfalme wa mapenzi in east Africa dude kali nipe likes wadau💥💥
Jamani muvikishieni ata kama 1m huu wimbo ni mtamu watu plz nawaomba❤
Letintig
My. Denno
Bro kusah,, nitamake sure ii ngoma nimewatch kila dei juu naamini nikipata doh niingie mzikini tutatoa collabo juu sauti zafanana all the best broh
One🔥 ngoma nzuri mashairi mazuri Sauti maashaallah So sweet tunaenjoy kwakweli🔥❤️❤️🥰
Twakupenda pia wimbo mkali😊😊😊😊❤❤❤❤❤❤
Kusah to the world❤❤much love from Kenya 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
❤❤❤
The song is on a REPEAT nonstop hapa kwa beach DIANI KENYA...FUNUA FUNIKA🤗🤗🤗🇰🇪🇰🇪🇰🇪😍😍😍
pmj mjomba hii kali
😂😂😂😂😂fraud
Kusah and Jay melody are the best songs forget diamond Alikiba and other kusah take my salute
You are the best of new era. Bumbuli King of all times keep shinning .Iam your biggest fan unanifanya nizidi kupendwa na mke wangu kila nikimuimbia covers za nyimbo zako.kusah wewe ni Vitamin, wewe ni Lishe na Tiba ya ndoa yangu.hongera sana endelea nafurahia maneno mazuri unayotumia ktk nyimbo. My musical Doctor
Nampenda kushaaa ukija mwanza nitafute ILoV❤
Ngom iko 🔥🔥 wapi like Kama unamukubal kushh
I really love Tanzania songs.much love🇰🇪
Hongera kwa kupendwa..ng'ang"ania apo apo
hi ngoma ilinibaba sato kwa matatu nikieda nairobi,iko fiti sana
Kusah the Love Doctor,You Never Dissapoint much support from+254
Mwenye kipaji ni maarufu siku zote👏
First to comment,, representing 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪,,the video is on another level,,big up kusah
This is amazing much love Mr. Romantic. ❤from kenya 🇰🇪
You will olways be my favourite singer....your the best kusah ....keep it up brooh your on fire
🙏🙏❤️
Aise nimevalia earpods. Nipo Dunia yangu bana. Much love from 254
Mziki mzuri hauhitaji kelele unajieleza tu🔥🔥👏
Great song...awwww, I love the beats,flow of the music..
Si choki na hii ngoma 🇺🇬🎶🇺🇬🇺🇬, mashallah 🙏🏾🙏🏾
'Mwenzeenu niwaambie- napendwa mimi kushinda nyinyi'' such a vibe...
Ukitombana na hii nyimbo....kabao kake kanatokeaga CUBA.....Kusah umeweza....
Best hit bro....love this song madzeh
KAZI Safi man Kushal...nataka mapenzi
Mwenzenu niwambie napendwa mimi kushinda nyinyi 😁
Diaspora represented 🎉
🔥🔥🔥
ASA KUSA MTANGA USIVYOPENDA MAPENZI UTAPENDA NINI.BIG BOY NEVER LIE .I APPRECIATE you Master🤴🤴🤴🤴🤴
Niaje
Always doing a great job well done kusah
I Told Them last month, it will be a Hit Song, Wameshakubali sasa!!
Kusah we ni balaa nikisikiliza nyimbo zako zinanihamisha balaa nahis niko sehem tulivu sana keep it up
Kweli unajuwa imba ndugu ungekuwa karibu yangu ningekuwa sw
such a massive hit. was here before 1 million view. kenyan love
Kusah unajuwa kuimba penzi Kaka thes song Melody for live 🇨🇩🔥🔥🔥
Kusah & Melody have a unique talent n a way of expressing love much ♥️ to them....
Kusah isn't pregnant but he always delivers ❤️💥🔥🎼 Banger!!!💯
Mwanangu unaachia ngoma kali wewe ni mwamba katika miamba endela kuachia hot kama hii na sweet umetisha sana
Iyo ngoma njo habari ya mjini apa kwetu kalemie from drc
Tanzania music imetuliaaa🇹🇿❣️
Magai auma Ku!!!! Ogopa ❤❤❤❤ Straight out a Kenya Kiambu Kawaida massive with love❤ lipua Java gombotori sambatana
huu wimbo nimeusikia hii mara sijui ya ngapi nipo hapa ukiisha naurudisha
One of the best vocalists in Kenya. Writing from SA. 🎉🎉🔥🔥🔥🔥🔥
Kusah mungu akulinde ujawai kosea
Kusah is the best in Love songs...The video is amazing; very scenic .
The bits and lyrics jamani...Wow!!❤👏🏽 👏🏽 👏🏽
Big up brother allways hardwork pays nice song nice melody.....goma kali sanaa
Kusah the favorite 🎉.. east Africa represented well , all the way from Nairobi Kenya 🇰🇪 🇰🇪🇰🇪
Daah nimeielewa hii nyimbo
🔥🔥🔥 more love from 🇰🇪 kenya
Unajua bahati Ngoma kari yakwenda 🔥🔥🔥🔥
🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Wooow aki mapenzi wewe ❤❤
Niceeeee,ww ushatoka level ya Tz uko mambele saiv❤️♥️❤️
Oya bro nakukubal kinoma endlea kutupa laza bro
I really love Tanzania songs. My second homeland.
Nice boy
Tamuuu...........kudos!!!!!...sitaki kitu lingine nataka mapenzi❤❤❤❤❤
Always u kill it, hujawah niangusha good music, cool melody
Tujuane tulio rudia kuangalia video mara mbili mbili kwa like
A
Nlikaaa nkatfta Nani amepiga iii gitaaa umu ndani Kumbe ni Fundi #lema 🎸 aseee nyimbo kali
Music ✅
Nice song walahi 💕 love from uganda
Kenyans let's appreciate this song
Dah yaan kusah anajua kuimba jaman❤❤
This guy and beka are so talented but so slept on for they are so underrated
Sijui nikipita tu hapa nimepatana na hiki chombo......❤❤
A song is like art we don't judge it by its appearance but by how it makes us feel......This is A MASTERPIECE🔥🔥🔥
Mwenzenu napendwa mimi kushinda nyinyi❤
My gee nakukubaligi shabiki yako namba moja from Kenya love your sound
Kusah to the world. Good music always
My favourite artist from Tanzania ❤️❤️
Love 💕 from Kenya...usingizi wa Aunty Ezekiel
Kusah on the beat,
Thanks for this song it's carrying a reality about me currently 🥰I'm in love🤞,sauti tamu ajabuuuu💖Your all time Kenyan fan 🤞
even dont understanding da language ......the sound look so sweet
Sincerely
This is my favorite bongo song.
Congratulations Kusah for the good job menh.
Looking forward for more good songs.❤
I don't know what ❤❤❤❤l love this song to much vrmnt félicitations Kaka tu as bien chanté ta chanson de façon que quand j' écoute cette chanson je toujours envie de dance et sans bcq d' amour dans mon ❤ Kaka wewe ni nember one
Kuna wasanii alafu Kuna kusah🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
I love the guy pamoja na nyimbo zake
Waking up thz morning and fndng thz🎉❤❤, sooooooo dope🥰🥰
The song is another level love from 🔥🤩🥰😍
Big up Mr valentine big tunes never disappoints
Chukua nyota tano 😅 kazi nzuri tu kusah
Daaah noma sana kaka angu umetisha sana nakukubali sana
Nice music loved from❤Timor leste🇹🇱
Wa Kwanza Leo 🔥🔥goma la kwenda💪💪
Nyimbo nzuri sana, keep the good music alive
Kusah hii ngoma umeweza baba chukua maua yako bro🎉🎉
Good music quality video 100% good job kusah
Nimeanza kukuelewa Jamaal tangu! Big up
Since the very first day I listened to the song you can't imgn what happened to me much love kusah
This is more than amazing , it's always on repeat on my play list🇿🇲🙏🙏🙏💯🎺🎺📯🥂
Ili jamaa mbona lina juwa ivii🎉🎉🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤❤❤