Watu wa Maulidi endeleeni tu na USHIRIKINA WENU vijana tumeshaelewa vizuri tu Alhamdulillah. Sheikh Kassim Mafuta ameshatutoa Tongo kitambo mno. Kwasasa mtashuhudia namna Maulidi ynavyokufa kijiji kw kijiji, mtaa kwa mtaa, Kata kwa kata, Wilaya kwa Wilaya, Mkoa kwa Mkoa, nchi kwa nchi,. Hamtudanganyi tena vijana tuko Macho tunamuomba Allah awahifadhi Masheikh wetu, wote wanaoitetea Sunna na kupng Bidaa akiwemo Mdogo wetu Muhammad Bachu. Maulidi hadi POLICE hahaaaaa na Uniform zao, waalikeni na Majeshi pia. Leo nimeeamini Haramu ikiwa inakufa hutumika Nguvu kuihami Lakin itakufa tuuu. Taratibu
YANI MIJITU MIJINGA MNAMTUKUZA MTUME KUPTILIZA ADI KUMUOMBA UUKOZI YEYE WAKTI HYO NI SIRKI MUNA TOFAUT GAN NA WAKRSTO KATKA KUMTKUZA YESU NA KUMUOMB UOKOZI
Sasa kuzaliwa kwa mtume alifundisha nini na yeye hawezi kuongea ni mtoto baado nani huyo alimfuata mtume siku alipozaliwa mbona wazidi kusema urongo na ww
Hawa mawahabi ni washenzi tu ati lijitu linasemama mnaosoma maulid mnakwenda motoni utafikir linamawasiliano na allah kuwa mwerevu wew hujielewi jinga wew Kaa kimya waache wakaingie huo moto cjui ni wa babaako
Subhaanallah, Ndugu yangu hivi unajua uzito wa maneno unayouatoa? Kwa faida tu ni kwamba sisi sote tumeirithi hii dini hakuna aliyekuwepo wakati wa Mtume (saw) sasa unadhani tutawezaje kuitekeleza hii dini kwa usahihi? Jibu ni kwamba si kila tunacholetewa tunakiwa kufuata tu ni lazima tutafute ushahidi ktk Quran, Sunna kwa kufuata ufahamu wa wema waliotangulia na si kila mtu kujifanyia anachotaka na kama ingekuwa hivyo basi isingekuwa ni dini ya Allah ingekuwa ni dini ya watu tu. Allah atuongoze ktk njia sahihi
Tulio wengi tutaponzwa na ushabiki usio na manufaa yoyote kwetu mbele ya Allh, Mtume ametutahadhalisha na uzushi ktk hadithi nyingi tu sasa kama kweli tumampenda Mtume na tunarajia pepo ya Allah, sikuambii ufuate upande gani ila nakushauri ndugu yangu achana kabisa kuegemea upande amboa haukutoshelezi kwa dalili utakupotezea muda wako na akhera yako pia, hizi ni zama kisomi mwerevu huwa hakubalikubali tu jambo bila ushahidi wakutosha, hata watoto wadogo siku hizi hawapigiwi tena hadithi za vibwengo na mazimwi kama zamani maana ukweli wazi
Dini na porojo na ujanjaujanja wapi na wapi. Hamna mtu mjinga wa kumshikia akili zake sasa hv, wasomi ni wengi kwa hyo ukweli uko waziwazi cku hzi. Wababaishaji kama nyinyi mutafedheheka sana karne hii vinginevyo muache kuipeleka dini kwa uwongo na matamanio ya nafsi zenu!
Sema Lia maulidi aka birthday hakuna ktk uislam kutukana Saudi hakutasaidia ww late Dalili. wema wote waliopita hawakuona hiyo maulidi isipokuwa wandengereko
@@saidisaidi4502 Unatakiwa ukasome kwanza kabla hujazungumza . Kuzungumza bila ya elimu ni majanga .. Unaweza ukajiona unafanya wema lakin kwa7b huna elimu na unachokifanya ukapata madhambi . Kauli yako kuwa : Maulid hawakuyaona wema waliopita ila wandengereko " hii inaonesha kiasi chako cha elimu " Au unataka kusema kuwa ... ابن حجر العسقلاني أبو شامۃ شيخ الإمام النووي . الحافظ العراقي صاحب الفيۃ الحديث ـ الحافظ السيوطي . Jee hawa nao ni wandengereko .. Tena apo nimekutajia wachache tu ltk weeengi waliofikia daraja la "Uhaafidh "
Kwani shida iko wapi ktk kufuata Sunna hivi watu wa bidaa mna matatizo gani mumeifanya dini yenu kua ni mchezo soma katika surat Al araaf aya inayo sema ( watawaita watu wa motoni kuwaita wapeponi tupeni maji au alivyo waruzuku Allah watajibiwa kuwa Allah ameviharamisha hvyo Kwa makafiri Ambao wameifanya dini yao kuwa nimchezo na upuuzi) na Kwa upuuzi na mchezo mnaofanya kwenye zahfa! Wallahi ziwatangulie rehma za Allah murudi kwenye sunna
Shkh Muhammad - anakemea kwa AYA na HADITHI ( MIJITU ya Mauled - Ni propaganda tu) na inafatwa na MIJITU ya Matamanio sio Sisi tunayo ipenda HAKKI - Mimi sisomi tena MAULED Hatuja AGIZWA
@@thefoodshaikh811 ..haya ongeza tu speed ya maneno yako haya ya kuwatukana Masufu kuwa wana mbweka na nk.! Kwakuwa maneno haya kadiri unavyoongeza kuyatoa ndio yatakupeleka peponi pengine ndio mafundisho yako ya huo upande usiokuwa masufi ndio yanavyosema.!! Haya ongeza speed ya kutukana hutaki Pepo kwa kutukanana.!?
Huyu na yule mwenzio ni mashehena wa alelula hawajui chochote ktk dini al hatimiy kaingia mitini kamkimbia m bacho sasa mnataka kuficha aibu,, mnataka msionekane mmeshindwa nyie uzeni dawa tu huku kwenye dini pagumu sana hampawez..
Nenda kwenye pointi wacha kuzunguuka sheikh , mbn usemi papa wa Saudi walikuja wapa habari papa wa zanzibaa , na ng'ombe wakaongea na ngamia wakaongea na ngamia wa misri wacheni uongo masheikh
Allah atuongoze ktk haki na atuwezeshe kuifuata, tucsemane vibya, tusitoane akili ,tusikufurishane Wala tusitiane Motoni, tuishini kwa upendo waislam sote ni ndugu. Tumekhitilafiana ktk mambo machache sn kuliko mengi tuliokubaliana, kwa nini tucpendane?
Me bado nasmama na Muhammad bachu na sihangaiki, alhamdulilah haqqi nishaijua,amenitosheleza kwa dalili,huyu kaongelea kimtaani mtaani Yani sio kielimu
Ni bora kukaa kimya kuliko kuzungumza jambo usilo na uhakika nalo, watu hawatoi maneno yao wanaongea kwa dalili za Quran na suna sunnah wewe unasema ni project ya Mayahudi, kama wewe ni Muislam kweli unataka dalili gani zaidi ya Quran na Sunnah? Najua wewe unazungumza kwa ushabiki tu na unaona ni jambo dogo sana ila tambua kwamba hayo yamedhibitiwa na malaika na kwa hakika jiandae majibu kwa Allah
@@badrudinsalum3139 Mawahabi na uwahabi ni project ya mayahdi na wazungu akatengenezwa Sh.Mohd Abdulwahab na Ahli suudi ndio ukazaliwa uwahabi nawakuwawa watu wengi kwajina la bidaa na shirki.
@@badrudinsalum3139 Na haya yanafanyika kupingwa kizazi cha Mtumi na wanazouni wenye asili ya kizazi cha Mtumi wakatolewa Makka wakashika wasuudi na kuanza kusomesha fikra potofu ya M Abdulwahab nakufanya waislamu wafanya shirki hiyo fikra ya mayahudi.
Kama ni hivyo, je, Barzanji alisha sifia Mitume walio mtangulia Mtume Muhammad (S.A.W) kwa namna hiyo hiyo? Au kamsifia yeye tu? Quran imeandika kila kitu kwa ufasaha na uwazi ili tuelewe juu ya Allah(S.W.) na ayatakayo. Mtume (S.A.W.) amefundisha aliyo juu ya Allah na Uislam bila hata nukta ya fumbo. Vipi mumtetee huyo Barzanji kuwa eti hakukusudia kuvuka mipaka juu ya sifa za Mtume (S.A.W.)?
Hahahahahahahaha naona shekh unaungaunga ili kuleta mfanano wa kitu unachokitetea lakn wapi umechemka pakubwa, unatakiwa kurudi kwa Mwalimu wako akufunze upya dini
Mtoto Bachu ni mjinga hana uelewa wala hajui lugha za kishairi na falsafa.na huo ndo uchache wake wa elimu na hikma.msimjibu muacheni na upumbavu wake.
Kweli kwa sababu hata maswahaba pamoja na Mtume hawakuyajua maulid na ndo mana hawakufanya. Lkn Barzanj aliifahamu lugha zaidi ya kishairi kuliko mtume na maswahaba na tabii tabiina. Kwa iyo hii ni kweli kwa Barzanj kuwa na elimu kuliko Mtume na maswahaba zake
Nimeamin kweli wahabi elimu yenu ndogo kuna mtu amecoment anasema eti shekh nimwongo wapi qu ran inasema kuna udugu wa utaifa hiyo ni siasa dah nimesktka san somen kwanza jaman acheni kusomea hoja tu
Kijana mdogo elimu haijatulia kichwani KAZI kutukanana ,na babake hakuwai watukana watu wengine.ikiwa waalimu hawana furaha wewe ni mwanafunzi wake basi umefeliii.
Wanatukanwa au wanaelimishwa na bado mtu anatoa dalili na nyie hao mashekh zenu si waje na dalili yakinifu Ashasema Bhachu wekeni mjadala ana kwa ana ila hakuna mwanaume aliyejitokeza
Ukwel BACHU MDOGO mzee wa kukurupuka Elim anayo ila Aache majigambo na Riyaa DINI siyo dharau na kukosea wengine Adabu "Utamsikia" anamuita sheikh fulan "hiki kijamaa kisa anamkosoa Innalillah
Jameni tangazeni dini ya allah msilete uwanachama katika dini from mozambique mocimboa da praia.
Muhamed Bachu yuko vizuri sana kwenye Masomo haya, amefahamika vya kutosha.
Namuomba Allah. Aufahamishe Umma wetu juuu y Sunna na kunifuata, na Bidaaa ukiwacha.
Hamuna kitu hata mukajikusanya nyote kumuangusha shekh Mohamed nasor bachu madamu yupo Kwa hakki yupo tuuuh Kwa hakki na mungu atasimama na yy
endelea ku kuzingatia sunna ya kutokunyoa ndevu mana d mnatia aibu kama hamuwez kusif nyamazeni
We nae umechoka kweli hatuna haja na bachu sisi
@@nassorothabiti7237 we nae umeona ndevu tu kwan suna nindevu tu we vip je makafr wenye ndev nao wan mfwata mtume tumia akili bs
@@jumaajambiamusa8214 sema mm jumaa Sina haja na bachu sio Kila mtu wengine Wanamuhitaji ww vp
AMKA WE UMELALA UTAJINYEA
Watu wa Maulidi endeleeni tu na USHIRIKINA WENU vijana tumeshaelewa vizuri tu Alhamdulillah. Sheikh Kassim Mafuta ameshatutoa Tongo kitambo mno. Kwasasa mtashuhudia namna Maulidi ynavyokufa kijiji kw kijiji, mtaa kwa mtaa, Kata kwa kata, Wilaya kwa Wilaya, Mkoa kwa Mkoa, nchi kwa nchi,.
Hamtudanganyi tena vijana tuko Macho tunamuomba Allah awahifadhi Masheikh wetu, wote wanaoitetea Sunna na kupng Bidaa akiwemo Mdogo wetu Muhammad Bachu. Maulidi hadi POLICE hahaaaaa na Uniform zao, waalikeni na Majeshi pia. Leo nimeeamini Haramu ikiwa inakufa hutumika Nguvu kuihami Lakin itakufa tuuu. Taratibu
Shekh kasimu mafuta ni mtu wa kawaida tu
Na ww soma kwanza usifuate mkumbo
Shída iliopo wahabi hawana elimu wanajazwa misimamo tu.
Upo sahihi
Subir tuone kama hutaisha maulid yakabaki mpaka qiyama
Jipeni moyo na uzushi wenu, ila ilivyo hamna aya wala hadithi bado hayafai.
Hufai weye sio maulid
Vijana tume shituka sasa bakini na wazee wa biriani bachu Allah akuifadhi tufaamishe
Swahaba gani kafahamu ivyooo
YANI MIJITU MIJINGA MNAMTUKUZA MTUME KUPTILIZA ADI KUMUOMBA UUKOZI YEYE WAKTI HYO NI SIRKI MUNA TOFAUT GAN NA WAKRSTO KATKA KUMTKUZA YESU NA KUMUOMB UOKOZI
Haya aliyasema Muhammad bachu kuwa kuna watu wamepewa pesa ili wamachafue ndio haya sasa!
Sasa kuzaliwa kwa mtume alifundisha nini na yeye hawezi kuongea ni mtoto baado nani huyo alimfuata mtume siku alipozaliwa mbona wazidi kusema urongo na ww
Alianzishwa sh. lao Muhammad bin Abdulwahab kuwa project ya mayahudi na mweengereza.
Hawa mawahabi ni washenzi tu ati lijitu linasemama mnaosoma maulid mnakwenda motoni utafikir linamawasiliano na allah kuwa mwerevu wew hujielewi jinga wew
Kaa kimya waache wakaingie huo moto cjui ni wa babaako
Ukumbusho utamfaa mwenye kuamin ndio allah kasema huu ndio umma bora
Subhaanallah, Ndugu yangu hivi unajua uzito wa maneno unayouatoa? Kwa faida tu ni kwamba sisi sote tumeirithi hii dini hakuna aliyekuwepo wakati wa Mtume (saw) sasa unadhani tutawezaje kuitekeleza hii dini kwa usahihi? Jibu ni kwamba si kila tunacholetewa tunakiwa kufuata tu ni lazima tutafute ushahidi ktk Quran, Sunna kwa kufuata ufahamu wa wema waliotangulia na si kila mtu kujifanyia anachotaka na kama ingekuwa hivyo basi isingekuwa ni dini ya Allah ingekuwa ni dini ya watu tu. Allah atuongoze ktk njia sahihi
Tulio wengi tutaponzwa na ushabiki usio na manufaa yoyote kwetu mbele ya Allh, Mtume ametutahadhalisha na uzushi ktk hadithi nyingi tu sasa kama kweli tumampenda Mtume na tunarajia pepo ya Allah, sikuambii ufuate upande gani ila nakushauri ndugu yangu achana kabisa kuegemea upande amboa haukutoshelezi kwa dalili utakupotezea muda wako na akhera yako pia, hizi ni zama kisomi mwerevu huwa hakubalikubali tu jambo bila ushahidi wakutosha, hata watoto wadogo siku hizi hawapigiwi tena hadithi za vibwengo na mazimwi kama zamani maana ukweli wazi
Dini na porojo na ujanjaujanja wapi na wapi. Hamna mtu mjinga wa kumshikia akili zake sasa hv, wasomi ni wengi kwa hyo ukweli uko waziwazi cku hzi. Wababaishaji kama nyinyi mutafedheheka sana karne hii vinginevyo muache kuipeleka dini kwa uwongo na matamanio ya nafsi zenu!
Hamuzi kuacha watu wasisome maulid lkn nyinyi mayahudi wa saudia
Sema Lia maulidi aka birthday hakuna ktk uislam kutukana Saudi hakutasaidia ww late Dalili. wema wote waliopita hawakuona hiyo maulidi isipokuwa wandengereko
Zinapo tajwa fani za kielimu kwa kuwa wengi hawaja soma wanaona ni porojo da kazi kwel kwel
@@saidisaidi4502
Unatakiwa ukasome kwanza kabla hujazungumza .
Kuzungumza bila ya elimu ni majanga ..
Unaweza ukajiona unafanya wema lakin kwa7b huna elimu na unachokifanya ukapata madhambi .
Kauli yako kuwa : Maulid hawakuyaona wema waliopita ila wandengereko " hii inaonesha kiasi chako cha elimu "
Au unataka kusema kuwa ...
ابن حجر العسقلاني
أبو شامۃ شيخ الإمام النووي .
الحافظ العراقي صاحب الفيۃ الحديث ـ
الحافظ السيوطي .
Jee hawa nao ni wandengereko .. Tena apo nimekutajia wachache tu ltk weeengi waliofikia daraja la "Uhaafidh "
Kwani shida iko wapi ktk kufuata Sunna hivi watu wa bidaa mna matatizo gani mumeifanya dini yenu kua ni mchezo soma katika surat Al araaf aya inayo sema ( watawaita watu wa motoni kuwaita wapeponi tupeni maji au alivyo waruzuku Allah watajibiwa kuwa Allah ameviharamisha hvyo Kwa makafiri
Ambao wameifanya dini yao kuwa nimchezo na upuuzi) na Kwa upuuzi na mchezo mnaofanya kwenye zahfa! Wallahi ziwatangulie rehma za Allah murudi kwenye sunna
Shkh Muhammad - anakemea kwa AYA na HADITHI ( MIJITU ya Mauled - Ni propaganda tu) na inafatwa na MIJITU ya Matamanio sio Sisi tunayo ipenda HAKKI - Mimi sisomi tena MAULED Hatuja AGIZWA
Allah amewadhalilisha masufi ubwabwa sasa mnabweka ovyo tu na upuuzi mtupu.
Wewe unamzulia Allah so haraka rudi umuombe Allaah msamaha.
@thefoodshaikh811...nawewe kakuingiza peponi kwa kumzuulia.! na kwakuwatukana Masufi au siyoo.!!
Hebu jitazameni vile mnabweka ovyo .
@@thefoodshaikh811 ..haya ongeza tu speed ya maneno yako haya ya kuwatukana Masufu kuwa wana mbweka na nk.! Kwakuwa maneno haya kadiri unavyoongeza kuyatoa ndio yatakupeleka peponi pengine ndio mafundisho yako ya huo upande usiokuwa masufi ndio yanavyosema.!! Haya ongeza speed ya kutukana hutaki Pepo kwa kutukanana.!?
Basi kupigana vita tu. Tuache mambo haya tuwasomeshe watu dini.
Ninyi si ndo wale mulio itetea Haleluya kuwa ni Laaa ilaaha illa Llaah?, sasa mulipotelea wapi?, Kwenu hamna kitu hapo
Huyu na yule mwenzio ni mashehena wa alelula hawajui chochote ktk dini al hatimiy kaingia mitini kamkimbia m bacho sasa mnataka kuficha aibu,, mnataka msionekane mmeshindwa nyie uzeni dawa tu huku kwenye dini pagumu sana hampawez..
Hahaha
Umesama kwl kijana
Bora umenisemea
Acha waendelee kuuza pipi za maajabu 😃😃😃😃 mahanithi wakubwa hawa
Pole sana dada yangu
Hahahaha
Porojo tupu hamuna hoja (urongo)
Kwani watu wa SUNNAH na watu wa BIDH'AA Kuna vitu , na kama hakuna vita mbona masheikh wa twariqa mulinde na polisi MAULIDINI ,
Maneno yako mazur yanapatikana kitabu gani
Mwambie atupe kitabu nasie tustafiid huyo mzandiq anaona haqi na baatwil alafu anataka alete usawa
Nenda kwenye pointi wacha kuzunguuka sheikh , mbn usemi papa wa Saudi walikuja wapa habari papa wa zanzibaa , na ng'ombe wakaongea na ngamia wakaongea na ngamia wa misri wacheni uongo masheikh
Nyie masufi njaaaaa
Msipo aacha maulidi mnaenda motoni
Kwakuwa huo moto ni WA mjomba wakoo unamuungiza unae mtaka kwa matamanio yako au siyoo.!
@@swalehemrombo9301 achana nae huyo hao walishaona pepo ni yao peke yao,kila mtu kwao ni kafiri subhaanallah,ALLAH atawalipa juu ya haya.
Yaani ww ndo umefahamu zaidi kuliko maswahaba
Kitabu cha barzanji cha maulidi kimeandikwa kishairi kama huna akili kama mtoto wa bachu utahangaika sana kukufurisha watu.
@@ramadhanimbulu4941 hivi ni kweli kwamba waasisi wa mawlid ni mashia??
Kabisa
Allah atuongoze ktk haki na atuwezeshe kuifuata, tucsemane vibya, tusitoane akili ,tusikufurishane Wala tusitiane Motoni, tuishini kwa upendo waislam sote ni ndugu. Tumekhitilafiana ktk mambo machache sn kuliko mengi tuliokubaliana, kwa nini tucpendane?
Kadhalilika wapi sasa?
Me bado nasmama na Muhammad bachu na sihangaiki, alhamdulilah haqqi nishaijua,amenitosheleza kwa dalili,huyu kaongelea kimtaani mtaani Yani sio kielimu
Maulid ni haramu na kila herufi moja ukisoma unaangamiaaa
Kwakuwa wewe umeshushiwa wahiy ukaambiwa hayoo.!!
Mawahabi ni project ya mayahudi hata jamia ya madina ni project ya mayahudi ndio ukaona kula anaetoka huko anakuja kufarakisha watu.
Ni bora kukaa kimya kuliko kuzungumza jambo usilo na uhakika nalo, watu hawatoi maneno yao wanaongea kwa dalili za Quran na suna sunnah wewe unasema ni project ya Mayahudi, kama wewe ni Muislam kweli unataka dalili gani zaidi ya Quran na Sunnah? Najua wewe unazungumza kwa ushabiki tu na unaona ni jambo dogo sana ila tambua kwamba hayo yamedhibitiwa na malaika na kwa hakika jiandae majibu kwa Allah
@@badrudinsalum3139 Mawahabi na uwahabi ni project ya mayahdi na wazungu akatengenezwa Sh.Mohd Abdulwahab na Ahli suudi ndio ukazaliwa uwahabi nawakuwawa watu wengi kwajina la bidaa na shirki.
@@rushu1232Kwani uwahabi ni nini?
@@badrudinsalum3139 Na haya yanafanyika kupingwa kizazi cha Mtumi na wanazouni wenye asili ya kizazi cha Mtumi wakatolewa Makka wakashika wasuudi na kuanza kusomesha fikra potofu ya M Abdulwahab nakufanya waislamu wafanya shirki hiyo fikra ya mayahudi.
@@rushu1232 mimi huwa napenda sana kuelewa naomba nifahamishe vizuri maana ya Uwahabi
hiii mbinu aloanzisha alhad ya kualika mapolisi kuna sk mtaletewa mapolisi.wa kike Kwenye hadhara ya maulidi mumpe maik mbele ya wanaume
Ulitaka aalikwe nani? Baba yako au mama yako?
@@ahmadbadawi9664 ualikwe wewe mbwa nguruwe wewe, unamtaja mamangu na babangu kakuhusu nini? mbwa wewe
SHETANI OYEÈ👺👺👺
Mnapiga kelele tuu nyinyi watu bidaa amna jipya kale bacho amuzi kumjibu ata muungane TANZANIA nzima kaeni na shiriki zenu izo za barazanji
Bachu elimu yake ndogo hawezi elewa mambo makubwa kama hayo
Subuhanallah unakijua unachokizungumza kwanza
Cha ajabu hao mashekh wako wenye elimu kubwa wanaogopa kufanya debate na huyohuyo mwenye elimu ndogo wanaishia kusema pembeni tu
Kumbe na ww upo
Kama ni hivyo, je, Barzanji alisha sifia Mitume walio mtangulia Mtume Muhammad (S.A.W) kwa namna hiyo hiyo? Au kamsifia yeye tu?
Quran imeandika kila kitu kwa ufasaha na uwazi ili tuelewe juu ya Allah(S.W.) na ayatakayo. Mtume (S.A.W.) amefundisha aliyo juu ya Allah na Uislam bila hata nukta ya fumbo.
Vipi mumtetee huyo Barzanji kuwa eti hakukusudia kuvuka mipaka juu ya sifa za Mtume (S.A.W.)?
Wewe ni mhuni tu!! Unaleta siasa kwenye dini..udugu wa kitaifa umetajwa wapi kwenye Qur'an
Hahahahahahahaha naona shekh unaungaunga ili kuleta mfanano wa kitu unachokitetea lakn wapi umechemka pakubwa, unatakiwa kurudi kwa Mwalimu wako akufunze upya dini
Maulidi ni bidaaa,yaani leo mkona serikari police kutetea maulid
Mtoto Bachu ni mjinga hana uelewa wala hajui lugha za kishairi na falsafa.na huo ndo uchache wake wa elimu na hikma.msimjibu muacheni na upumbavu wake.
Kweli kwa sababu hata maswahaba pamoja na Mtume hawakuyajua maulid na ndo mana hawakufanya. Lkn Barzanj aliifahamu lugha zaidi ya kishairi kuliko mtume na maswahaba na tabii tabiina. Kwa iyo hii ni kweli kwa Barzanj kuwa na elimu kuliko Mtume na maswahaba zake
mashekhe zenu wa halyluya mbona washindwa kutoa hoja ?
Nimeamin kweli wahabi elimu yenu ndogo kuna mtu amecoment anasema eti shekh nimwongo wapi qu ran inasema kuna udugu wa utaifa hiyo ni siasa dah nimesktka san somen kwanza jaman acheni kusomea hoja tu
mna ujinga kujibizana mitandaoni kama wasanii.wa bongo
Kazi kuwapa makafiri mdomo.
Muhammad bacho na wenzake wote hawana hekma ya kulingania anatukana kabixa na kutupa kitabu cha baraza nnje wahabi ni wachache kuliko sisi sunny
Uislamu sio kama mfumo wa democracy wengi wape na wachache wakose.
Kwan baranz kuraani mpaka isitupwe
Kwanza kutamka kwenyewe hauwez
salaf mkasome tanbihil ghaafilina ili mujue salaf nd nn na salaf ni nani sw sababu nyinyi hamn heshima at kdg kusom hamtk vichw furu
Kijana mdogo elimu haijatulia kichwani KAZI kutukanana ,na babake hakuwai watukana watu wengine.ikiwa waalimu hawana furaha wewe ni mwanafunzi wake basi umefeliii.
Wanatukanwa au wanaelimishwa na bado mtu anatoa dalili na nyie hao mashekh zenu si waje na dalili yakinifu
Ashasema Bhachu wekeni mjadala ana kwa ana ila hakuna mwanaume aliyejitokeza
Ukweli utabaki kuwa ukweli
Uongo hata untethered hauwezi kuwa ukweli
Maulid ni uzushi
Hilo litoto labachu halina akili. Linatafuta umaarufu kama wababayake. Litukutu mnohilo.
Wanatetea Shirk hali wanajuaa,,,,wametumwa hao kumchafua eti ,,,,km hayuko kwny haki atawashinda tu
Wewe ni mtu mkubwa lakini ubongo wako akili mbumbumbu, mtoto wa bachu ni mdogo ki umri lakini anatowa dawa safi .
Nashangaa sn Kuna watu Hadi leo hawajui Sunnah za mtume daaaah subhanaalaah ,,,mnapend bidaa jmn
Haya aliyasema Muhammad bachu kuwa kuna watu wamepewa pesa ili wamachafue ndio haya sasa!
Hilo litoto labachu halina akili. Linatafuta umaarufu kama wababayake. Litukutu mnohilo.
Unaonekana kuwa mkubwa lakn akili ndo ndogo sijui ni ushabiki au ni kibri au ndo hujui???
nilivyoona unakichwa kikubwa nikadhan unaakil kumbe bogas sijui ni ushabik au ni chuki allah akuponye
Ukwel BACHU MDOGO mzee wa kukurupuka Elim anayo ila Aache majigambo na Riyaa
DINI siyo dharau na kukosea wengine Adabu "Utamsikia" anamuita sheikh fulan "hiki kijamaa kisa anamkosoa
Innalillah
@@abuukauthar525 kitabu kimeandikwa kishairi,kama huna akili kama bachu utahangaika kutafsiri ndivyo sivyo!!
Hiyi siy dini munatak umaarufu tuh