Allah amjaalie maisha marefu yenye afya tele barka Alhbib Sheikh Walid amzidishie hekima na busara katika uongozi wake hakika ya uongozi n amana Allah amstil sna atujaalie tupate viongozi wa hivi mikoa yote Tz
Nakuombeya Allah akuwezeshe hayo majukumu uliyo pewa yawe mepesi kwako. Akuonyeshe njiya za sawa katika kila challenge utakayo kujiya, ufurahi wewe na hao wenye ku tatuliwa. Allah akuoneshe haki usi ipite njiya ambayo hata ridhiya, . Ameen.
Assalamu Aleykum warahmatullah wabarakatu ALLAAHUMMA SALII WA SALIIM ALA SAYYIDINA MUHAMMAD WALA ALIHI WA ASS HABIHI WA JIMAIN jazak Allaahu kheri yaa sheikh nakupenda kwa ajili ya Allaah
Allah amjaalie maisha marefu yenye afya tele barka Alhbib Sheikh Walid amzidishie hekima na busara katika uongozi wake hakika ya uongozi n amana Allah amstil sna atujaalie tupate viongozi wa hivi mikoa yote Tz
ALHAMDULLILAH M MUNGU AKUPE MWISHO MWEMA NA AKUZIDISHIE IMAN AMIIIN
Allah akupe kila lakheri sheikh letu tupate kufaidika na wewe pia akupe umri mrefu
Nakuombeya Allah akuwezeshe hayo majukumu uliyo pewa yawe mepesi kwako. Akuonyeshe njiya za sawa katika kila challenge utakayo kujiya, ufurahi wewe na hao wenye ku tatuliwa. Allah akuoneshe haki usi ipite njiya ambayo hata ridhiya, . Ameen.
Assalamu Aleykum warahmatullah wabarakatu
ALLAAHUMMA SALII WA SALIIM ALA SAYYIDINA MUHAMMAD WALA ALIHI WA ASS HABIHI WA JIMAIN
jazak Allaahu kheri yaa sheikh nakupenda kwa ajili ya Allaah
Mashaallah