Azam FC msimu 'boli itatembe' mwendo wa nyoka

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 22 ส.ค. 2024
  • AZAM FC MSIMU HUU NI MWENDO WA NYOKA TU: “Msimu huu ni msimu wa kuiweka mali chini zaidi” maneno ya Afisa Habari wa Azam FC, Hasheem Ibwe, akielezea mipango ya timu yao msimu ujao ambapo wamedhamiria ‘boli kutambaa’ tu.
    Azam FC ipo Zanzibar, ikiwa ni sehemu ya kambi yao na baadae itakwenda Morocco kukita kambi zaidi.
    #AzamFC #Preseason #Azam

ความคิดเห็น • 2

  • @farajamfaume7545
    @farajamfaume7545 หลายเดือนก่อน

    Hao mechi na yanga tu

  • @rashidhemed1444
    @rashidhemed1444 หลายเดือนก่อน

    Mchukueni kanuti mzoefu na anajua mashindano ya kimataifa na pia muongeze straker