Barikiwa sanaa watu wa mungu kazi ni njema. Ujumbe ni mzuri Ila I could suggest next time mtu wa mixing na aliye recold the song aweke mambo fresh now Tag forest praise team ni big identity hapa tanzania kwa lugha rahisi ni kwamba ni moja ya praise team inayofanya vizur sanaa na kubwa mno Tz Mic kuwa na some mikwaluzo ivi I think we could maintain the quality As we did in Mikel twakusifu Barikiwa watu wa Mungu me ni shabiki wenu mkubwaa nawapenda all the way from Tanzania morogoro
Nyimbo Nzuri Sana Mungu awabariki nyote mliojitoaa Kuandika, kuandaa na Kuimba ❤️
Pamoja Na Watu wa Vyombo God bless You Mnafanya Kazi Kubwa Pia😊🙏🏾
Mnatubariki mno nyie watu wa Mungu. Kutoka Tanga
We Dr. Ben and I his presence Band we feel blessed with your song.. Thanks to God you are important vessels..
Kazi nzuri. God bless you
Nadhani sound engineer alizingua kidogo kwenye vyombo hasa mic wakati wa kurekodi huu wimbo
I'm like good job
I'm watch for dodoma-Tanzania❤
Mzidii kufanya vzr zaidii ya hapa
Barikiwa sanaa watu wa mungu kazi ni njema. Ujumbe ni mzuri Ila I could suggest next time mtu wa mixing na aliye recold the song aweke mambo fresh now Tag forest praise team ni big identity hapa tanzania kwa lugha rahisi ni kwamba ni moja ya praise team inayofanya vizur sanaa na kubwa mno Tz
Mic kuwa na some mikwaluzo ivi
I think we could maintain the quality
As we did in Mikel twakusifu
Barikiwa watu wa Mungu me ni shabiki wenu mkubwaa nawapenda all the way from Tanzania morogoro
Amen amen
🎉gooood sana
Its great work💥💥
Mbarikiwe sana
God bless you....I am blessed
Nyimbo nzuri idea ni nzuri be blessed
mungu awaongezee nguvu mara saba zaidi yakufanya zaidi ya hapo mbarikiwe sana
🎉🎉🎉
Amen Mungu awabariki
For God's glory
Godbless you guys
God Bless 🎉🎉🎉
Mna patikana wp?
Bwana atukuzwa
It❤❤❤❤
Naomba location mlipo
Wapo mbeya mjini mtaa wa forest ya zamani(kwanza)
🙌🙏