Na kule RUWANDA, nearly 1.2 Million WAKRISTO, wali Katana na PANGA, kama Wanyama. Hawa WaFrika ni WajingaKweli. WaXungu wana spread propaganda, na Hawa WaFrika, wanai REPEAT kama MaKASUKU, bila ku fikiria mwanzo.
Assalam aleikum warahmatullahi wabarakatuh Watu wa Quran 4:79 Quran 2:97 na Quran 46:9 wamefika mapemaa Leo 😂😂 Maswali za 1999 Kitamboooo Maashallah Ust. Salim
Kitabu pekeyake kinakubali kukaa kwenye nyoyo safi, hata watoto wadogo wanahifadhi kitabu kizima Subhannah'Allah, kitabu ambacho ukikisoma kinalainisha moyo na kukupa uwoga wa kumwogopa Allah pekee, Allahu'Akbar
Jamaa anatafuta makosa kwa kulinganisha tafsiri kwani hajui kama hao waliofanya hivyo ni watu tofauti na lazima watofautiane kwa maneno? Ingekua ni kiarabu na umeona tofauti hapo ungehoji.
Sheikh Salim kijana wakwanza ungeenda nae taratibu sababu anaonekana anasoma Quran ni vile hajaelewa tu. Nakuomba usiwache jazba zikuvae, kijana alikuwa mtulivu tu pengine ulikosa kumuelewa.
*FROM GAZA: AN IMPORTANT AND URGENT MESSAGE TO THE HYPOCRITICAL SCHOLARS OF THE UMMAH.* *"What do you talk in the Mosques about? Wudu? Tauba?"* *"Some of us have been burnt (alive), some of us have died, some of us are starving."* *"O' Hypocrites, fear Allah...Allah has exposed hypocrites like you...your silence has slaughtered us more than our hardships."* *"You have betrayed the Prophet...on the Day of Judgement you will need us, but we will tell Allah, O' Allah, they abandoned us. O' Allah, increase their punishment upon punishment."* *"We call upon the Prophet, O' Messenger of Allah, these people betrayed your covenant. O' Messenger of Allah, don't intercede for them."*
Asalam aleikum warahmatullahi wabarakatuh Allah awabariki sana nimefurahi kuwaona tena mashekhe wetu
Waaleykum salaam warahmatullahi wabarakatu. Aamin ya Rabb
Walykum msalam warahmatullah wabarakatuh
Jazakallah Sh Salim . You’re doing great work Mashallah ❤️
Masha Allah
Waaalequm salam warhmatullahi wabaraqatuh tunawapenda walimu wetu Allah awatie nguvu katika kuupambania uislam ameen
Naona uko rada. Allahumma Aamin
Aamin
walykum salamu warahmatullah wabarakatuh nawomba kuwuliza lakitisa yakenyaa nikama dollar ngapi
4651.16 dollars
@@254trends 🙄🤭
ilaah ha idin garab galo insha allah wad heleysan xaga alle ayad kaheleysan insha allah idinkana ajir iyo xasanaat insha allah
Aamin ya Rabb bro
@@omarmohamedabukar7740 apo sijaelewa ameongea lugha gn apo😅🤭 kibombay
@@MohdJuma-w6l kisonjo bro😀😄
مشأ الله تبارك الله
Huyu Msabato asking the same questions Wasabato wanaulizaga every day
Yeah hawananga swali
Asalamu aleikum
Allah subhana wataala
Awalipe kwa bindii
Yenu . team Salim
Waaleykum salaam warahmatullahi wabarakatu. Aamin ya Rabb
Walykum msalam warahmatullah wabarakatuh ameen ameen sote
Masha Allah Masheikh
Wakristo bhana hawajiwiwanasho kiabudu sanashekesha sana. Ustadh unafanya kazi kubwa sana uwaelimisha watu
Wataelewa tu inn shaa Allah
Mabruk Salim Dawaah Team ❤
Hii video ilkua so special, yaani zile ayah zimesoma hapo ni nzito sanaaa.
Mpaka kieleweke inn shaa Allah
Waaleykum salaam warahmatullahi wabarakatu ayyuhal ikhwanil qiram
Huyo wa kwanza anafuatilia mafunzo ya ndacha maswali anauliza ni ya ndacha ataelewa tu mpeleke Pole pole
Kabisa ni yale yale tu
Walaikum salam warhmatillah wabarakat
Waalaykum Salaam Warhamatullah Wabarakatuh
Mansha ALLAH
Kevo amekopi maswali ya ndacha tell him atapoteya sana
Tena sana na hataki kuelewa
Pole pole Salim babaa usifanye hamaki
Inn shaa Allah
جزاكم الله خير الجزاء وبارك الله فيكم جميعا
الحمد لله على نعمة الإسلام ❤❤❤🎉🎉
ALLAHU AKBAR ♥️ ♥️ ♥️
Wa Alaykum Salaam Warahmatullahi Wabatakatuhu ndani ya field
Mpaka kieleweke inn shaa Allah
Allahamdhulla
Mashaalah
Hakuna Quran ya baruani ni tafsir tuu hata nchi za kiarabu hawasomi baruani ni eastafrica tuu wasabato wanapenda kutumia sana kutafuta makosa
Yeah ndio ukweli Qur'an ni Moja
Salim I love you for the sake of Allah ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
Na kule RUWANDA, nearly 1.2 Million WAKRISTO, wali Katana na PANGA, kama Wanyama.
Hawa WaFrika ni WajingaKweli.
WaXungu wana spread propaganda, na Hawa WaFrika, wanai REPEAT kama MaKASUKU, bila ku fikiria mwanzo.
Kabisa Allah awaongoze
Assalam aleikum warahmatullahi wabarakatuh Watu wa Quran 4:79 Quran 2:97 na Quran 46:9 wamefika mapemaa Leo 😂😂 Maswali za 1999 Kitamboooo
Maashallah Ust. Salim
Walykum msalam warahmatullah wabarakatuh yeah hawana jipya
Fukuzaaa watu kama hao wanapoteza wakati
Inn shaa Allah
Kitabu pekeyake kinakubali kukaa kwenye nyoyo safi, hata watoto wadogo wanahifadhi kitabu kizima Subhannah'Allah, kitabu ambacho ukikisoma kinalainisha moyo na kukupa uwoga wa kumwogopa Allah pekee, Allahu'Akbar
Kabisa Allah awaongoze waione haki na waifuate watoke katika giza
Jamaa anatafuta makosa kwa kulinganisha tafsiri kwani hajui kama hao waliofanya hivyo ni watu tofauti na lazima watofautiane kwa maneno? Ingekua ni kiarabu na umeona tofauti hapo ungehoji.
Wasabato hawa ndio huwa wanafanya hivi kutafuta makosa lakini hawatapata
Huyo anae tatizika na mbili 97 Qur'an mwambie asome Qur'an kwa kiarabu kwenye Al barwani na Al Farsy aone kama iko tofauti
Aya iko the same haina tofauti
Sheikh Salim kijana wakwanza ungeenda nae taratibu sababu anaonekana anasoma Quran ni vile hajaelewa tu. Nakuomba usiwache jazba zikuvae, kijana alikuwa mtulivu tu pengine ulikosa kumuelewa.
Huwa wabishi wasabato ni mdaa hupoteza wanajua ukweli ila ubishi hata wakipewa jisaa moja bado watapoteza mdaa na ubishi
Nimekuelewa ila wasabato wengi huwa wabishi
Copyright which you can change anything u need
*FROM GAZA: AN IMPORTANT AND URGENT MESSAGE TO THE HYPOCRITICAL SCHOLARS OF THE UMMAH.*
*"What do you talk in the Mosques about? Wudu? Tauba?"*
*"Some of us have been burnt (alive), some of us have died, some of us are starving."*
*"O' Hypocrites, fear Allah...Allah has exposed hypocrites like you...your silence has slaughtered us more than our hardships."*
*"You have betrayed the Prophet...on the Day of Judgement you will need us, but we will tell Allah, O' Allah, they abandoned us. O' Allah, increase their punishment upon punishment."*
*"We call upon the Prophet, O' Messenger of Allah, these people betrayed your covenant. O' Messenger of Allah, don't intercede for them."*
AllahuAkbar.
May Allahswt bring Justice and Victory to Palestine.
Ya Allah, end OUR suffering.
Ameen