A.alaikum namshukuru Allah kwa neema yakubwa alizonipa na kuona mawaidha haya kwa leo ila tujuane hapa tunao angalia marudio tukikosa kipindi cha siku hiyo.
ASALMAU ALEYKUM. Wa dugu yetu Kenyan wakiristo Kiswahili indho ugumu na ku elewa bible. Kama wange elewa . Kuna ukuweli yingi vile inaji gonga. Kenya wa lete luga yingine la taifa bora Swahili
Yaani huyu jmaa ha oni Contradictions katika Biblia. moja ina sema Cross ni Laana, na huyu jamaa anatoa Bible verse lingine kui PINGA verse yasemao 'Cross' ni Laana! Yaani, kila siku, Ustad aki toa Bible verse fulani, Mkristo naye yeye ana toa Bible Verse nyengine, yaku Contradict Verse alio toa Ustad! Hawa WaKristo, Wako Kurutu vipi?? Wana toa Contradiction after Contradiction WITHOUT realising BIBLIA ime Jaa Contradictions THUNGU Mzima! Ai Wakristo! Nusim ruhusu huyu Mu Injilisti a ongeye POROJO nyingi sana, badila yaku JIbu SWALI!! Musi ruhusu hawa Watu wa ongeye POROJO zao, BADILA yaku Jibu Swali! Na HAKUNA 'Injeel' ya JOHANA katika bilblia! Kuna GOSPEL ya John ambao SIO the ARAMAIC INJEEL. Tabarak Allah team
Sheikh salim. Wenye wanasema mungu ni moja kwa utatu, waulize hii swali. Juu wakisema hivo either option ni mbili pekee. Option ya kwanza ni kua mungu ni mmoja lakini anajigeuza kama kigeugeu, mara yeye ndio baba, mara yeye ndiyo amejiza na ni mwana wa yeye mwenywe, ambaye ni huyo huyo mungu na mara ni roho, ni huyo mungu moja lakini anajigeuza geuza. Option ya pili ni kua kuna mungu watatu ambaye wana fanya kazi kwa umoja. So waulize kati ya hiyo option ni gani wanamanisha iliwatu wapate kuelewa, their is no third option. Ukiwauliza wengi wao wana sema, yesu si baba, baba si roho lakini wote ni mungu na ni moja. How?. Waji explain vizuri tuwaelewa. Most of the time hawa explain kwa mandiko mbali ni kwa kitchwa, na waki explain kwa kitcha pia wanaji contradict juu haiwezi make sense. Mweyenzi mungu sio kigeugeu, habadilishi personality, mara leo ni huyu mara kesho ni hiyo. Laa
Salim . Huyo wa biblia ni yawakristo kwanza anasema YESU ANAJIZUNGUMZIA KUWA MIMI ULIYENITUMA NI MUONGO NDIOMANA HATAKI KUSOMEWA .... IMEANDIKWA " NA YESU KRISTO ULIYEMTUMA " sio " NA MIMI YESU KRISTO ULIYENITUMA " that means hii ni habari aliyoongea mtu mwingine si yesu anazungumza .
Shukran kwakwe Allah kutupatia neema ya Uislamu ❤
Alhamdulillaah..
Masha Allah
Sheikh Hassan haonekanwi siku hizi
Sheikh Salum kwa.hisani yako tujuilishe haliya ndugu yetu Sheikh Hasan ilivokua hatumuoni
Walimu wetu Salim na wengine... mwenyezi Mungu awapee muda mrefu muwafunze zaidi wasiojua
Hawa watu nawahurunia wallahi waah! wamedanganywa na wazungu mpaka wamechanganyiwa Allah awaongoze
Waalaykum Salaam Warhamatullah Wabarakatuh
Shekhe hassani karioki yuko wapi ?? Shekhe
A.alaikum namshukuru Allah kwa neema yakubwa alizonipa na kuona mawaidha haya kwa leo ila tujuane hapa tunao angalia marudio tukikosa kipindi cha siku hiyo.
MashaAllah Tabarak Allah. Asanteni kwa kazi kubwa mnayoifanya. Taabu ya wakristo ni kusoma biblia upside down.
Niliwamis sana...❤❤Mashallah Allah Awape shifaa
I can’t speak much
May Allah bless you
Walahi jana nilisubiri sana
Umeonaeee...daah!!! Hata mm pia hua nakosa usingizi nikikosa hiki kipindi kwa kweli
Walai nilingoja Hadi sasita😂😂@@YussuphKansela-l4j
@@bashirmahero7021
Na tafadalini, musi sahau ku support hii team, kila End of Month, if you can.
BarikAllah feekum.
Mashaa Allah mafundisho mazur
Wasema muinjilisti anaweza kukupa dhambi za mwezi, Sheikh Salim mchokozi.😅😅
Mashallah
Masha Allah.
Unanishekesha sana sheikh wetu. Huyokijana anauzunisana
Asalam aleikum warahmatullahi wabarakatuh Allah awabariki sana nimefurahi kuwaona tena dawaa iendelee❤❤
Mafunzo bora mwalimu wetu salim
Waalykum salaam warahmatullah wabarakatuh. Mashaallah jazzakalau Khairan ❤
Waleikum salaam
Allah subhana wataala
Awape ulinzi na awape siku nyingi zakuishi
Allahamdhulla
Assalam aleikum warahmatullahi wabarakatuh
Ati Sasa mumerudi Kwa Garden of Eden ? 😂😂🤣🤣
Hii kiwanja Raha Sana kuongea na wagalatia..
Barakallahu feek
Wa sio nahatia 😊😊😊 ivi nani kawa roga lkn🙌🏽
@JamilaJumanne-u7q Wanafurahisha... Shetani kawachezea sheree
@@faridbashuu vbya mnoooo
Walahykum Salahm warahmatullah Wabarakatuh.. Masha allahy Sheikh Salim
ASALMAU ALEYKUM. Wa dugu yetu Kenyan wakiristo Kiswahili indho ugumu na ku elewa bible. Kama wange elewa . Kuna ukuweli yingi vile inaji gonga. Kenya wa lete luga yingine la taifa bora Swahili
Walykum msalam warahmatullah wabarakatuh inn shaa Allah
Umefanya vizuri sana kumuondoa huyo jamaa na propaganda zake za chuki na kutaka kutenganisha watu.
Muinjilisti MTULIVU sana
Yaani Wakristo wenyewe wanaona RAHA sindano inavyoingia
Takbir 📢
Allahu Akbar❤
ALLAH AQBAR
ALLAHU AKBAR ♥️
Walaikum salam warhmatillah wabarakat
Yani wakristo ni hasara tupu 😢 maandiko yanajieleza lakini ubishi tu
Yaani huyu jmaa ha oni Contradictions katika Biblia.
moja ina sema Cross ni Laana, na huyu jamaa anatoa Bible verse lingine kui PINGA verse yasemao 'Cross' ni Laana!
Yaani, kila siku, Ustad aki toa Bible verse fulani, Mkristo naye yeye ana toa Bible Verse nyengine, yaku Contradict Verse alio toa Ustad!
Hawa WaKristo, Wako Kurutu vipi??
Wana toa Contradiction after Contradiction WITHOUT realising BIBLIA ime Jaa Contradictions THUNGU Mzima!
Ai Wakristo!
Nusim ruhusu huyu Mu Injilisti a ongeye POROJO nyingi sana, badila yaku JIbu SWALI!!
Musi ruhusu hawa Watu wa ongeye POROJO zao, BADILA yaku Jibu Swali!
Na HAKUNA 'Injeel' ya JOHANA katika bilblia!
Kuna GOSPEL ya John ambao SIO the ARAMAIC INJEEL.
Tabarak Allah team
@@Sal.0 hawa wakristo hawajiulizi maswali wenyewe kwanza wao ni kubisha tu hamna lolote apo
@YusufOsman-ej3ic
Kweli kabisa!
❤
HII INJILI YA YOHANA ITAKUWA NI ILE ILE YA WASIO TAHIRIWA😅😅😅😅
Sheikh salim. Wenye wanasema mungu ni moja kwa utatu, waulize hii swali. Juu wakisema hivo either option ni mbili pekee.
Option ya kwanza ni kua mungu ni mmoja lakini anajigeuza kama kigeugeu, mara yeye ndio baba, mara yeye ndiyo amejiza na ni mwana wa yeye mwenywe, ambaye ni huyo huyo mungu na mara ni roho, ni huyo mungu moja lakini anajigeuza geuza.
Option ya pili ni kua kuna mungu watatu ambaye wana fanya kazi kwa umoja. So waulize kati ya hiyo option ni gani wanamanisha iliwatu wapate kuelewa, their is no third option.
Ukiwauliza wengi wao wana sema, yesu si baba, baba si roho lakini wote ni mungu na ni moja. How?. Waji explain vizuri tuwaelewa. Most of the time hawa explain kwa mandiko mbali ni kwa kitchwa, na waki explain kwa kitcha pia wanaji contradict juu haiwezi make sense.
Mweyenzi mungu sio kigeugeu, habadilishi personality, mara leo ni huyu mara kesho ni hiyo. Laa
Uleinituma ama uleimtuma, msemaji nani?
Salim . Huyo wa biblia ni yawakristo kwanza anasema YESU ANAJIZUNGUMZIA KUWA MIMI ULIYENITUMA NI MUONGO NDIOMANA HATAKI KUSOMEWA .... IMEANDIKWA " NA YESU KRISTO ULIYEMTUMA " sio " NA MIMI YESU KRISTO ULIYENITUMA " that means hii ni habari aliyoongea mtu mwingine si yesu anazungumza .