MRADI WA UJENZI WA BWAWA LA KIDUNDA WAFIKIA 22%, TSH BIL 335 KUTUMIKA
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 31 ม.ค. 2025
- Mradi wa bwawa la Kidunda lililopo mkoani Morogoro unatekelezwa kwa gharama ya shilingi bilioni 335, hadi sasa kazi imefikia 22%.
Mradi huu ulianza kutekelezwa mwaka 2022 na unatarajiwa kukamilika 2025.