Salum + Maryam

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 4 ธ.ค. 2024

ความคิดเห็น • 4

  • @asmaafamau8307
    @asmaafamau8307 22 วันที่ผ่านมา

    Mashaallah tabarakallah mabrouq alfu mabrouq mngu awape maskizano kwenye ndoa yenu

  • @nairafatir1896
    @nairafatir1896 20 วันที่ผ่านมา +2

    Ndugu Waislamu, kama shekhe wa mkoa muislamu wa kawaida ni kuudhalilisha uislamu, kwani dini yetu ya Kiislamu inatukataza kutangamana waume na wanawake tena hasa kwa hali hiyo wanawake ajnabii tena vichwa wazi twaelekea wapi naashekhe wako ndani kama sheikh wa Mkoa Walid sio sawa hivyo

    • @salimsuleiman4480
      @salimsuleiman4480 19 วันที่ผ่านมา

      Imeeleweka Sheikh ila skuizi maharusi hawana mamlaka yoyote kwenye matukio ya harusi.Sana sana,ndugu,jamaa na marafiki ndo huamua harusi itakavofanyika.

    • @nairafatir1896
      @nairafatir1896 19 วันที่ผ่านมา

      @salimsuleiman4480 ninalomaanisha kwani yeye sheikh kalazimishwa kuhudhuria munkar huo? Hata kamaa kaalikwa lakini baada yakuona munkar kama huo siwakuendelea kukaa mahali hapo alikua na khiyari yake kukaa ama kuondoka