Simba hongereni kwa kujiongeza kwenye kutengeneza mfumo wa kuonyesha touches zote za mchezaji fulani kuanzia mwanzo wa mechi hadi mwisho. Hakika ninyi ni wa kwanza Afrika Mashatiki na Kati. Fanyeni hivyo kwa wachezaji wote kuwe na tekodi za touches zao kwenye kila mechi hata wale wanaoanzia benchi.
Mpanz na kibu ❤nyie mnajua kuchez kwenye boksi bhna ..nasubir dabi kwa hamu tar8 alafu refa awe arajiga
Kinachovutia ni anazidi imarika mechi baada ya mechi cant wait io March 8 refa akiwa Arajiga😅
Mpanzu Mpanzu
Siku ukifunga Itakuwa Siku kuu kwangu
Simba hongereni kwa kujiongeza kwenye kutengeneza mfumo wa kuonyesha touches zote za mchezaji fulani kuanzia mwanzo wa mechi hadi mwisho. Hakika ninyi ni wa kwanza Afrika Mashatiki na Kati. Fanyeni hivyo kwa wachezaji wote kuwe na tekodi za touches zao kwenye kila mechi hata wale wanaoanzia benchi.
Elie mpanzu kahusika magoli yote 🔥
❤❤❤❤
Nyie huyu mpanzuuuu.
👏👏👏👏👏👏👏👏👏
🦁♥️♥️❤️❤️💪💪🙏🙏
Noma tu😂😂
Mpanzu ni Pacome buku, huyu mtu hatar na noma
Mpanzu ni habari nyingine!!
Mpanzu huyu nihabali nyingine kabisa mjini apa😂😂😂😂😂
Timu zote zitanyolewa mno na chap
Huyu mwanba sipidi yake hatari wakielewana itakuwa bala tupu hapo
Hii somba ya 5% mbona ya moto hivi?! Ikifika 100% cjui itakuwaje.
Tarehe nane sio mbali watatueleza kwann wametufunga mzunguko wa kwanza
Alie mleta mpanzu dhambi zake achukue ali kamwe
Jamaa ana mbio 😅😅😅
😂😂😂
Ally kamwe na mchome
th-cam.com/video/s-Io7YBTdTg/w-d-xo.htmlsi=52oxndlhiYGNyMXQ❤❤❤❤❤❤❤