Jamani tumekubaliana kwamba hatutaki Sky King aajiriwe na mtu yoyote bali hadi tufungue station yetu wenyewe wana SNS inshallah. Sky unaweza hadi unakera Big up
Wataalam wanasema inasemekana angekuwa mwanaume yeye ndo angerithi kiti cha kim jong il, huyu dada ni moto wa kuotea mbele kama anvyoelezwa, wengine wanaenda mbali kwa kusema yupo behind the scenes lakini ana nguvu kuliko hata kaka yake 😆.
Mwanamke hawez kumzidi mwanaume. Wanaume wanajua mianya mingi ya wanjanja wa nchi,, hata wakisemaje,, huyo dada ataonekana kakopi tu. Huyu Kim Jong Un hamumjui vizur,, mtu hataki hata umri wake waujue US,, akisafiri anatembea na choo chake,, huyo jamaa usimfananishe na watu wote duniani.
Nchi ndivyo inavyotakiwa iongozwe hivyo, adabu, nidhamu na heshima, huwezi ona mass shooting in North Korea au panya road, korea mbali saana ushawahi sikia panya road Rwanda?? kwa Mzee Kagame, bora uishe nchi ya Dicteka lakini kuwe na amani, sio leo wazazi huko Marekani wana hofu ya watoto wao wanapo enda shule maana anaweza tokea chizi akaanza kuwafyatulia risasi, kwanini huwezi ona mtu anafyatua risasi hovyo Urusi, singapore,china, Saud arabia, Cuba, au korea kaskazini??
Ushasema dada. Huyo ndo mwanamke sasa. Wataalamu wanasema ukitaka kujua kma baba wa familia mkali au la ww mtizame binti yake wa pili kuzaliwa kma ana dada ake au kma ni wa pekee mtizame mwenendo wake utajua
Jamani tumekubaliana kwamba hatutaki Sky King aajiriwe na mtu yoyote bali hadi tufungue station yetu wenyewe wana SNS inshallah.
Sky unaweza hadi unakera Big up
Yes Yes yes yes yes
Exactly
Watu tuna mkubali sana SKY 💪
Mungu wangu! Wapande wajichushe wavimbe wavimbuke hii ndunia ina mwenye nayo
Kabisa
Ahsante kaka Sky. hii habari ndo naisikia leo 🙌
Asante Sana kwa Habari hii yaani yupo vizuri uyo Dada hataree kabisa
Thank you Fredrick for this channel , I can't do without simulizi for edutainment🇰🇪🇰🇪
Punch inatoka vizur sana mzee SKY
Wataalam wanasema inasemekana angekuwa mwanaume yeye ndo angerithi kiti cha kim jong il, huyu dada ni moto wa kuotea mbele kama anvyoelezwa, wengine wanaenda mbali kwa kusema yupo behind the scenes lakini ana nguvu kuliko hata kaka yake 😆.
Asante sana sky kwa makala hii nzuri
big up sanaa sky..tokea upo kule sahara media nakufuatilia sana
Yani hizi nchi zinatakiwa ziwe kama 10 ivi dunia itakuwa na heshima
Bondaala uko vizuri Sana 👌👌👌,, tatizo tumesha kuzoweya kwenye Maambo ya entertainment 😂😂😂........ Njooo basi kwenye politic karibu tena
Tunashukuru sana kk
Thanks sns
Naskia pia kasema Ata ipa zawadi pia sns
Thank you you Sky,,,,#SNS❤️❤️❤️❤️
Wow safi nimependa kumfam asante
Unasimulia vizuri mimi napenda sana
That way will said.bravo.very interesting
Noma sana KIM YO JONG
Kikubwa Kam anabwana atabaki mzaifu tyuu ilaa sky walker. Am on the way napitaa kwenye nyayo izo
You are the best sky
Mari safi
#Sky hakika unaweza sana sijapatapo kuona aise nitaendelea kuwa wenu
Asante Sky walker🙏🙏
Haya ya Duniani tu akhera hayapo.
Lakin nimrembo anapendeza akicheka
Sky jamani🙏❤️
Fredrick Bundala sky walker mtaalamu
Mama samia mama
Dah imagine unamkabidhi nchi last born si n hatari hyo
🤔🤔🤔 mwanamke mwenzangu huyu
Ukoo wa majembe tu mmh
Mumeelewa majina ayo
The King of story,the narrator himself.wewe nimtu na nusu umetisha sana brother
Duuh 🔥
naombo munisaidia níkatume posa kwa huyu dada
Mtt mzuri kabisa oya pic iyo kwa anaetaka kua shemeji wa kiduku mi simo
Mze Baba apo ukiingia ni malakulmauti tu anakuja live
🤣😂😂🤣😂😂🤣🤣😂🤣😂🤣🤣😂😆😆😆😆😆😆😆😆😆😆😆😆😁🤣🤣🤣😂🤣😂
Uyo ukimuacha tuuuu ama kumuchiti unakufa kabisa 🤣😂🤣😂🤣😂🤣😂🤣😂🤣😆
Hahahahaha Hahahahaha
Sns❤❤❤❤❤❤
Ukute huko walivyomfucha walikuwa wanamfundisha kuchicha watu shingo Kwa msumeno😰
𝕧𝕖𝕣 𝕟𝕚𝕔𝕖
daa 🇹🇿hatuna kesi na nyie au Siyo🙏 usitupe zawadi dada coz izo zawadi mhmh unazopatian🈴🉐㊙️🈸🈚🈺🈲🈵㊗️🈚🉐㊙️🈴🇰🇷🇹🇿🤝
SNS 🔥🔥🔥🔥🔥🇲🇿🇲🇿🇲🇿
Mwanamke hawez kumzidi mwanaume. Wanaume wanajua mianya mingi ya wanjanja wa nchi,, hata wakisemaje,, huyo dada ataonekana kakopi tu. Huyu Kim Jong Un hamumjui vizur,, mtu hataki hata umri wake waujue US,, akisafiri anatembea na choo chake,, huyo jamaa usimfananishe na watu wote duniani.
Sky walker 🙌🏾
Alinifurahisha kitu kimoja tu,,kumuua yule fisadi kumtia kwenye samaki wakamla,,,aje Tz awaingize kwenye bwawa la samaki wana sisiemu wote
Hayo majina ata sielewi majina yote yafanana
😀😀😀😀
Nchi ndivyo inavyotakiwa iongozwe hivyo, adabu, nidhamu na heshima, huwezi ona mass shooting in North Korea au panya road, korea mbali saana ushawahi sikia panya road Rwanda?? kwa Mzee Kagame, bora uishe nchi ya Dicteka lakini kuwe na amani, sio leo wazazi huko Marekani wana hofu ya watoto wao wanapo enda shule maana anaweza tokea chizi akaanza kuwafyatulia risasi, kwanini huwezi ona mtu anafyatua risasi hovyo Urusi, singapore,china, Saud arabia, Cuba, au korea kaskazini??
❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
Akili mbovu zao tu za kutesa watu
Kateswa nani
Christer cheru: Africa nzima watu wanateseka saana duniani,na sio wao wanatawala Africa
Ukiwa jeuri utateseka
To be continued
Ushasema dada. Huyo ndo mwanamke sasa. Wataalamu wanasema ukitaka kujua kma baba wa familia mkali au la ww mtizame binti yake wa pili kuzaliwa kma ana dada ake au kma ni wa pekee mtizame mwenendo wake utajua
Sky Walker,
Mwamba huyu hapa Sky walker
Kosea ukaoe hapo🤣🤣
Watu wanachezea mabomu kama manati
🇹🇿🇹🇿🇹🇿👍✌️.
Tubadilishane viongoz japo kwa miez 4
Kabisaa kiongozi itabidi tubadilishane viongozi
We unawajua vizur hawa wajomba hawana mchezo 😆.
@@jumahamis227 YAANI UNAAMBIWA PUTIN CHAMTOTO
@@jumahamis227 🤣😂🤣😂🤣😂😂🤣😂🤣😂😂🤣
@@mondladenikharam2724 mnaweza?
🇺🇸🇺🇸
Hawana makamu wa raisi
Inakuaje kila mtu analazimisha kuwa km millard ayo kisauti,nadhani kila mtu abakie njia yake mradi ujumbe unafika
nani unamuongelea sasa
@@MtuSafi wewe apo
@@faridhassan6834 ndo najifunzia kutangaza baadae nitakuwa mm.
Dada unaifahamu Victoria fm? kama unaifahamu hautaongea ulicho kiandika, huyu jamaa ni mkali kutangaza hana longolongo
Ungemjua huyu n wa muda sana kuliko hata huyo millard wako hata usnge sema hvo
Saf tyuu
Ukiona hivyo ujuwe amepinga kutumika na mabepari maana mabepari ukikataa kuwa mtumwa wao wanakuharibia kwenye vyombo vya habari
Propaganda,,,,,yule dada wa kim ni mpole sana ,,anahuruma,,,,sana.
Familia ya vichaa😂🙌 okay tuliskia hii 👇
th-cam.com/video/VzZFSs4qqi4/w-d-xo.html
Ol
Ĺp5