SIFA ZA MAKABILA YA TANGA:WADIGO,WASAMBAA,WABONDEI NA WAZIGUA/KITANDANI NI WABONDEI/WASAMBAA NI KAZI

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 4 ต.ค. 2021
  • Follow us on instagram : / thinkers_tv
    : / utamu_wa_pwan
    Kwa Matangazo / Habari Tupigie/ Tuma ujumbe kwa namba 06 87 42 92 33
    #WADIGO
    #WASAMBAA
    #WABONDEI
    #WAZIGUA
    #UTAMUWAPWANI
    #TANGARAHA
    #TANGANAMAENDELEO
    #TANGAYETUSOTE
    #KARIBUTANGA
    #yanga #simba #wasafi #wcb #thinkerstv #milladayo #pwani#azamtv

ความคิดเห็น • 60

  • @user-du8qx9bs1b
    @user-du8qx9bs1b 7 หลายเดือนก่อน +4

    Wziguwa oyeeeeeee❤❤❤ karibu handen

  • @user-sm6yx1wc7f
    @user-sm6yx1wc7f 10 วันที่ผ่านมา

    Mashallah bafurahi kuwa mzigua

  • @hanagango6922
    @hanagango6922 3 หลายเดือนก่อน +1

    Wazigua tupo vzr

  • @fadhilarashidi5184
    @fadhilarashidi5184 2 ปีที่แล้ว +5

    Asante kwa kusifia wasambaa

  • @omikiss1868
    @omikiss1868 2 ปีที่แล้ว +3

    Waoh mashallah
    Ukiachana na point ulizoongea Vazi pekee limekupa heshma kwa watu wa Tanga 👏👌🔥@the family twins Pongwa!!!

    • @MariamMoudy
      @MariamMoudy 7 หลายเดือนก่อน

      ❤❤❤

  • @margarethpolepole7438
    @margarethpolepole7438 ปีที่แล้ว +2

    Wasambaa wanajua kutunza pesa na wapambanaji sanaaaa kwa biashara na kilimo hawachezei pesa hovyo na ni rahisi kuwa tajiri haraka wavumilivuwa ndoa kama wazigua

  • @munirakatua3909
    @munirakatua3909 ปีที่แล้ว +3

    Wasambaaa wapiiii

  • @margarethpolepole7438
    @margarethpolepole7438 ปีที่แล้ว +1

    Wazigua ni wanawake wazuri sanaaaa wavumilivu wa ndoa na ni wachapa kazi haswa

  • @jogoolajiji2499
    @jogoolajiji2499 ปีที่แล้ว

    Mashalla mtoto uko vizuri saana hebu niambie kama unamdogo wako

  • @petermuganda7322
    @petermuganda7322 3 หลายเดือนก่อน

    Swasawa wazigua

  • @zuberimkuba2324
    @zuberimkuba2324 2 ปีที่แล้ว +2

    Wazigua

  • @johncharles5173
    @johncharles5173 9 หลายเดือนก่อน +1

    Wabondei oyeee tujuane hapa

  • @fhnchjk5195
    @fhnchjk5195 10 หลายเดือนก่อน

    ❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️Mm mziguwa

  • @zaiiomary8970
    @zaiiomary8970 2 ปีที่แล้ว +2

    Umeonaa eeh dadaangu ila inategemeana na mwanamke mwenyew ila kwa dunia ya sasa imepofoka macho

  • @haidhabushiri9558
    @haidhabushiri9558 หลายเดือนก่อน +2

    Kwenye makabila yaliyotajwa nimependa wasambaa

    • @HamisiBatyli
      @HamisiBatyli 3 วันที่ผ่านมา

      Kaka mm mwenyewe wasambaa

    • @haidhabushiri9558
      @haidhabushiri9558 2 วันที่ผ่านมา

      @@HamisiBatyli natamani hata nipate mke wa kisambaa nawapenda sana😍😘

  • @margarethpolepole7438
    @margarethpolepole7438 ปีที่แล้ว

    Wabondei ni kabila la wasomi sana mkoa wa tanga lakini ukitaka kuoa chunguza kwanza kuna wa mlango wa nane hao wana mikosi kibao kama ni kiongozi au ni mfanyakazi tu unaweza ukafukuzwa na asili yao kama chuma ulete lakini ni waaminifu sana hata maofisini waoga kuiba kwao hapana sijui iwe bahati mbaya sana tena kwa kushawishiwa hao ni waangilikana maana kusoma kwao kuliingia dhehebu hilo sana waingereza

  • @margarethpolepole7438
    @margarethpolepole7438 ปีที่แล้ว

    Na hao wabondei mlango wa nane nu wazuri sana wa maumbile upende usipende utaoa hata ukuambiwa vipi muingize ndani kila siku lile mara hili ni mikosi mitupu inaelekea kuna laana fulani hamuwi na mafanikio hata siku moja na kazi unaweza ukafukuzwa au kama una cheo ukashushwa

  • @almurajjabuaswabbu250
    @almurajjabuaswabbu250 ปีที่แล้ว

    Wabondei jaman

  • @ummukhadija1551
    @ummukhadija1551 ปีที่แล้ว

    Oyooooooo

  • @evermoris2794
    @evermoris2794 2 ปีที่แล้ว

    Asant

  • @margarethpolepole7438
    @margarethpolepole7438 ปีที่แล้ว +3

    Wadigo wasegeju hao ni mabomu hawafai kabisa kuoa na kama huna pesa hiyo kiboko wanakwenda hovyo sana na wapayukaji sana hawana siri kwa starehe ya kitandani kiboko lakini ni wavivu kazi wanapenda kuletewa wapike kujishughulisha na biashara pengine awe mchanganyiko wa kabila

    • @nelsonmwaipaja3727
      @nelsonmwaipaja3727 ปีที่แล้ว

      🔥🔥🔥🔥💯💯💯💯💯💯

    • @mkasiali6956
      @mkasiali6956 ปีที่แล้ว

      Waogea..kamaumelala

    • @MariamMoudy
      @MariamMoudy 7 หลายเดือนก่อน

      Dada mchele mmoja mapishi tofaut, mie mdigo na nina mume si tajiri wala si masikini ila now nina miaka 8 ya ndo na nina miaka 25

  • @user-of1st9bh7h
    @user-of1st9bh7h ปีที่แล้ว

    Santa dada Mimi pia nimzigua da tatu zigua da kwanza wamo tanzania zigua da pili wamo somalia zigua da tatu wapo ulaya ulaya

  • @abdullahzakaria2936
    @abdullahzakaria2936 2 ปีที่แล้ว +1

    Teeee ambiwa

  • @mnolamanyendi4956
    @mnolamanyendi4956 2 ปีที่แล้ว

    Umeongea kwel

  • @sofina157
    @sofina157 ปีที่แล้ว

    Muongo vyengine waziguwa mmmm

  • @amirymbilimo448
    @amirymbilimo448 ปีที่แล้ว

    Mzigua ana kitu acha uwongo

  • @sofina157
    @sofina157 ปีที่แล้ว

    Sio kwer mwenyewe mtanga najuwa mambo huko tanga mziguwa mbondei mmmmmm

  • @user-sm6yx1wc7f
    @user-sm6yx1wc7f 10 วันที่ผ่านมา

    Kama una ndugu yako naomba niambie

  • @margarethpolepole7438
    @margarethpolepole7438 ปีที่แล้ว

    Makabila ya hovyo kabisa mkoa wa tanga ni wadigo na wasegeju ushirikina ndiyo ehhhhhhhh kiboko hao ndiyo mufilisi kabisa kuliko hata hao wabondei mlango wa nane

  • @ankaliankali2113
    @ankaliankali2113 2 ปีที่แล้ว +1

    Wazigua Miti shamba tu,ndio inayowasaidia katika Ndoa zao

    • @saidbakari2408
      @saidbakari2408 ปีที่แล้ว

      konyoooooooo mitishamba iyo vepe ahahahhaaaa waache watot kizigua wavimbe

    • @sofina157
      @sofina157 ปีที่แล้ว

      Kabisa kaongea kwa ebb yeye mziguwa

    • @haidhabushiri9558
      @haidhabushiri9558 หลายเดือนก่อน

      Dawa sana

  • @rajaburamadhani9421
    @rajaburamadhani9421 2 ปีที่แล้ว +1

    Wazigua oyoooo

  • @ashazuber9620
    @ashazuber9620 ปีที่แล้ว

    Wazigua mmmmwaaaaa

  • @batulimohamed6088
    @batulimohamed6088 ปีที่แล้ว +1

    Wasambaa na niwachumii ukiowa mwanamke wakisambaa utajiri fasta

  • @hadija_makange
    @hadija_makange ปีที่แล้ว

    Kwahy wasambaa kwenye mapenzi hatupo zai wewe nakuja chukuwa nguo alafu clipi

  • @husnaameen9309
    @husnaameen9309 2 ปีที่แล้ว

    Wazigua umechemka waongo Sana na niwahuni