CASSIAN AZIDI KUMWASHIA MOTO NABII MTALEMWA MUNGU SIMBA? EV PASCHAL

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 30 ม.ค. 2025

ความคิดเห็น • 24

  • @MGALILAYABillionaire
    @MGALILAYABillionaire 16 วันที่ผ่านมา

    Eeh Mungu tusaidie, manabii wa kuzimu hawabagui wanatabiri uongo wa kila aina. Lakini watakaoelewa ni wana wa Mungu waliochaguliwa tokea tumboni mwa mamazao.
    Ubarikiwe sana mtumishi 🙏

  • @MichaelAbel-m5y
    @MichaelAbel-m5y 17 วันที่ผ่านมา +2

    Siyo Nabii ni wakala wa kuzimu ,uko sawa Hana Mungu.Amen

    • @marybugengo7357
      @marybugengo7357 17 วันที่ผ่านมา

      Watu mnaona wivu hadi mnaonea vitu watumishi

    • @marybugengo7357
      @marybugengo7357 17 วันที่ผ่านมา

      Yani nimesoma comment yako nimegundua una mentality ya kipepo. Yani wewe huoni ukuu wa Mungu kitu kizuri kikitoka huwezi Mpa Mungu utukufu unaona ni shetani kafanya haya endelea kumpa utukufu shetani Ndio mentality yako

    • @DeonisBihopho
      @DeonisBihopho 16 วันที่ผ่านมา

      Ni nabii WA kuzimu huyu mungu na mpira wapi mpira ni WA Lucifer jamii inaangamia kw kukosa maarifa.BWana YEsu safisha njia.Ubarikiwe sana mtumishi WA mungu.

  • @rahabnkya8276
    @rahabnkya8276 16 วันที่ผ่านมา

    PASTOR MUTALEMWA MTOTO WA NABII BUSHIRI, Mafundisho anayo ya kila aina. Mpira ni fani kwa kipato cha vijana wetu ambao mungu huwapa vipaji vya soka kukimbia mwili kutumika kupigani, ngumu nk sielewi iko mbinguni. Eee mungu uko wapi basi wachezaji simba na yanga na netball waende wapi jamani. Maarifa ni nini! Akili ni ipi. Oooh jamani. 😊😊😊😊

  • @eliezerasheri
    @eliezerasheri 17 วันที่ผ่านมา

    Paschal casian uko sahihi sana

  • @DeboraNeno-s5o
    @DeboraNeno-s5o 15 วันที่ผ่านมา

    Watu tunahangaikia mipila ambayo haina hata maana tuna Muacha MUNGU tumehalibika sana

  • @fredynjige5663
    @fredynjige5663 17 วันที่ผ่านมา +1

    Mpira ni dhambi

  • @LAMECKSHEDRACK
    @LAMECKSHEDRACK 16 วันที่ผ่านมา

    Hapo naww unakosea

  • @JosephatMkwegange
    @JosephatMkwegange 17 วันที่ผ่านมา +1

    Mh pascal mbinguni ni pagumu ndo mana njia imefichama, alafu Dunia maarifa yameongezeka, yani mda wa mpinga Kristu so ask the true God to give you spiritual eyes, pia afya ya akili ifanyiwe kaz tupo mwisho, Yan ni dakika za mwisho

    • @marybugengo7357
      @marybugengo7357 17 วันที่ผ่านมา

      Yani nimesoma comment yako nimegundua una mentality ya kipepo. Yani wewe huoni ukuu wa Mungu kitu kizuri kikitoka huwezi Mpa Mungu utukufu unaona ni shetani kafanya haya endelea kumpa utukufu shetani Ndio mentality yako

    • @AmanBonifas
      @AmanBonifas 16 วันที่ผ่านมา

      Nimekubari koment yako

  • @EmmanuelMwakibete
    @EmmanuelMwakibete 17 วันที่ผ่านมา

    Cassian sasa amna kitu anatafuta kiki tu mtandaoni Mungu ni wa wote wenye mwili shetani ajawi kumuumba mtu tatizo uelewa wake ni wakichanga sana.

  • @Robert-v8f5e
    @Robert-v8f5e 16 วันที่ผ่านมา +1

    Aliye wa shetani hufanya yaliyo ya shetani hivyo wanatekeleza kazi ya baba yao shetani

  • @frankmlay-r2q
    @frankmlay-r2q 14 วันที่ผ่านมา

    Tena ukome hata
    unachokifanya ni si sahihi fanya yako unatafuta kiki tu

  • @naimahhussein8430
    @naimahhussein8430 17 วันที่ผ่านมา +1

    Mmmh hapa umepuyanga mzee
    Mpira ni kaz na nikipaji kutoka kwa Mungu
    Hivyo mchezaji kwenda kuombewa sio uchwala bn!sasa mpira ni hanasa?

  • @marybugengo7357
    @marybugengo7357 17 วันที่ผ่านมา

    Hivi wewe umekosa kazi. Huu muda unamuongelea Apotle Mtalemwa ungenda mlimani kusali kama yeye. Sasa na mdomo wote ulionao unategemea Mungu akufanye wewe utoe unabii. Kama Mungu haongei na wewe haimanishi haongei na kila Mtu

    • @JordanRichard-s2d
      @JordanRichard-s2d 17 วันที่ผ่านมา

      Nina ushuhuda mkubwa kuwa mtalemwa sio mtumishi wa kweli , nafkiri Kuna vitu vingine wengine ni vigumu kuelewa mpaka Mungu mwenyew awashuhudie binafsi ni hatari.

    • @marybugengo7357
      @marybugengo7357 17 วันที่ผ่านมา

      @@JordanRichard-s2d
      a unaweza Kuhushudia mbeya za Mungu, Malaika na Roho Mtakatifu??? Na unauhakika mbele za Mungu unacho kishudia??

    • @Pendopasilika
      @Pendopasilika 17 วันที่ผ่านมา

      Wewe umepandwa kwa pepo lake ndio maana hujielewi BWANA YESU akufungue utoke kwenye vifungo hivyo😢😢😢

    • @marybugengo7357
      @marybugengo7357 17 วันที่ผ่านมา

      @ Sawa mama utambuzi wa pepo ningekuwa wewe ningemuombea mwenye pepo vita vyetu sio vya mtandao kama wewe na pascal mnacho fanya na Ndio mana mnamsema mtumishi na Mungu Ana zidi kumuinua. Vita vyetu ni vya kirohoo. Sijui mana pata wapi Muda wa kumuongelea Mtu mtumishi mitandaoni hamuoni mnampaiza cha ajabu hata hawajibu kitu nyie mna hangaika kuwika

    • @mwlmsekekabola5661
      @mwlmsekekabola5661 16 วันที่ผ่านมา

      VITA VYENU VYATOKA WAPI. MBONA WATUMISHI MNASHAMBULIANA.?