Pastor Tony Kapola : Umuhimu wa Maombi
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 27 ส.ค. 2024
- Life Chapel International Church, Morogoro, Tanzania.
Preaching the Word of Life through Our Man Of God Pastor Tony Kapola.
Unaweza kunifutalia kwenye mitandao yangu mingine kwa kubonyeza links hapa chini:-
Facebook: / pastortonykapola
Instagram: / pastortonykapola
Subscribe My TH-cam: / @pastortonykapola
Kwa mawasiliano zaidi: +255 659 085 731 au +255 713 702 187
NAMBA YA SADAKA : +255 762 153 539 (NEEMA MASENGA)
Mwisho wa mwezi huu Mungu akushangaze sijui atakushangaza vp lkn akufanyie jambo jema lakukusha Gaza amen 🙏
Daaaah nashukuru Mungu Sana Sana kwa ajili yako pastor Antony kapola Mimi ni school mate wako Toka uko secondary, Luther junior seminary, sitaki kusema mengi Ila naomba kujua nilitaka kutoa sadaka yangu nitumie namba ipi, na Wala sitaki ujisumbue Nani katoa Ila Mungu akufunulie mafundisho mema ulete kwetu, na Mungu apitae akili zote za wanadamu na AKUBARIKI SANA, ni mm Elly Ngowo
Mutumishi wa Mungu Pastor Tony Kapola. Huyu ni Elias from USA 🇺🇸 Naomba! Ku Ku Shukuru 🙏🏻Kwa Mafundisho ya Leo. Mungu Akubariki Sana Tena. Yaani Mungu Azidi Kuwa pamoja Na weye Kwa kila kitu in Jesus name.
Amen 🙏🏻
Pastor Tony, kwa kweli Mungu akuweke uishi miaka mingi, kweli ww umetumwa na Mungu kuona watu waliopotea
Kuokoa tuliopotea,
Hekima hii ikae ndani yangu siku zote Mungu.
from the day that I started following you with your preaching and counseling has really changed my life I prayed to you that the almighty God who created heaven and earth be with you forever kwa safari Yako ya wokovu asiwai kuenda mbali nawe bali akuongoze kila siku kila dakika be blessed man of God
At the point of discomfort, no advice can satisfy man than from the above (THE WORD) 🙏. Receiving the best advice today.
Pastor Tony, barikiwa sana na huduma yako izidi kusonga kwa jina la yesu 🙏🇰🇪
Amen pastor
I have watched the sermon to the end.Imekuja wakati ule ninahitaji sana kuomba,mambo hayaendi,mambo hayasongi.Mtumishi wa mungu naomba ubarikiwe na neema zake mungu uzidishiwe
This is so touching..may God bless you man of God
Mungu amekuleta tubarikiwe nashukulu mungu kwa neno lako linabariki
This is sooooo powerful 🙏🏾 imeivusha sana through this nimevuka mwaka na kuingia 2022 na msingi mzurii ni mtaji wangu wa maisha yangu mapya.
Amen and Amen 🙏
I needed this in this new week ninalo jambo langu nataka nimkumbushe Mungu usiku na mchana
I will pray for you Apostle Tony!
Mungu azidi kukutunza na family Yako akutie nguvuu Sana uendelee kuhihubili injili yake akufanyie wepes,afanye njia pasipo na njiaa amen
Asante yesu
Mungu akubariki kwa ujumbe mzuri namna hii .huuu ujumbe ni wa kwangu ameeen ameen
Asante sana mtumishi nimejifunza kitu.. ubarikiwe sana
Mtumishi wa Mungu bubarikiwe sanaaa,mahubili ako yananibariki Sana mimi ni mwanafunzi wa chuo but mahubili ako yamenifundisha mengi snaaaa Mungu azidi kukutia ngvuuu
Asante sana mtumishi wa Mungu,umenikuza imani,umenipa ujasiri,sitaacha kuomba ht kama niko kwenye kipindi kigumu,amen
ubarikiwe mtumishi
Thank you for reminding me to pray always
Barikwa sana mtumishi wa Mungu kwa neno lenye mwenyezi Mungu amekutumia kutuhubiria kuhusu maombi na kutoa limenibariki sana na kunifungua akili zidi kubarikiwa mtumishi wa Mungu Wacha mwenyezi Mungu azidi kukutia nguvu kwa Kila hatua
Mchungaji kapola,na kubali Sana,Tena Sana.. Mungu azidi kuku Bariki,ulinzi wake uwe nawewe daima kwenye utumishi wako..nabarikiwa Sana na mafundisho yako.🙏
Amen Amen...Bwana Mungu akulinde na.familia yako.
Chochote.walichokipanga juu yenu hakita wapata...kwa jina.la Yesu
Mm ni mmoja wa kondoo wko niliekuelewa tangu cku ya kwnza niliopata ujumbe wko kwenye mtandao na tangu cku hiyo nazidi kukuelewa mtumishi wangu ubarikiwe!
Hakika Maombi ni salama kwenye Maisha yetu,,,Mda huu na wakati huu nimepata Kibali cha kusikia Elimu hii,,,Namshukuru Mungu
Mungu akakulinde pastor siwezi eleza apa nin umefungua kwenyew moyo wangu bali nitaomba mungu akupe maisha marefu na uzima mana kuna vijana wengi kama mim tunategemea nin lako 🙏🏼🙏🏼🙏🏼
Baba, Mungu akutunze mnooooo. Yaani, just lesson hili ambalo umetoa Jana nimeondoka nalo na huu mstari wa luka18:1 Mungu amenitendea maajabu. Na ameniepusha na ajali leo. Live live yaani
People!! Don't take the prayers out of your life equation
Glory to God 🖐️🙏
BWANA akupe haja za moyo wako, mtumishi wa MUNGU
Just pray 💯
I have listened to this today, July 1st 2022. But I am now praying for you pastor. Mungu si dhalimu hata aisahau kazi yako. Amen
It's very true pastor more blessing
Pastor Tony damu ya Yesu aliye hai ikufunike,
AMEN Damu ya Yesu imfunike.
My heart loves you pastor, your teachings are real and biblical.kenya Nrb
May God bless you❤️🙏
Mungu akubariki Mtumishi , tunajifunza mengi
Pastor neno lako limenigusa sana mungu awe nawe kila wakati tuko nama Pastor wengi sana lakini wengi ni waongo
Mungu anipe kiu ya kumtumikia mungu
love you so much,, May God protect you!!
Umenibariki Sanaa
Kabisa
Amen ❤
Ameni ameni🙏
Amina amen hapa najifunza kitu Mungu anifunguwe masikio ya ndani ili nikazidi.kumjuwa Mungu
Ahsante kwa neno la uzima ubarikiwe!
Good bless you partor Tony I believe God is with you
MUNGU anakutumia kwa viwango vya juu Sana pastor cjh nisemeje Ila MUNGU akuinuee zaidi karibu Mbeya 🙏🙏
Mungu akuinuwe zaidi ya.zaidi.mtumishi pastar Tony
Neno lako nizaidi ya mafuta neno unalofundisha ni zaidi ya udongo umenipa nguvu nimejiona mtakatifu sasa lolote niombalo Kwa Mungu limefika
Amen may GOD bless you oastor am too late to hear this mag but for sure i receive for the time, thank you and thankyou
God bless you kwa ujumbe huu.. Amen
Ubarikiwe Mtumishi.maoni naomba anayeitikia hatupatii usikivu wa kusikiliza kwa makini please.
Amen,
Naomba neema hii ikae ndani yangu milele na milele🙏🙏🙏
Mafundisho mazuri Sana Sana ispokuwa tu kitendo cha kumshirikisha Mungu. Mungu sio yesu. Kazi za Mungu unampa yesu.Yesu ni nabii tu na si Mungu
Amen🙏🙏
Thanks so much nimesikia iki kitu Leo tar 09 11 2023 Bado imenibariki.
Amen
Amen paster be blessed, , naomba Mungu anisaidie
Amen
Amen pastor mungu akupe kibali
Babu nakuelewa
Blessed alot
Ubarikiwe saana mutumishi wa bwana kila uhingiyapo na utokapo in Jesus name 🙏🙏🙏
Mtumishi wa mungu barikiwa sana ila nilitamani sana kutuma sadaka yangu katika madhabahu hayo but sijui nijinsi gani ya kutuma...
Thank you for this masage from today i start to pray i think ni MUNGU amekutuma unikumbushe 🙏
Thanks so much pastor for your advice.really you have touched my life.sitajisumbua kwa lolote ila ntaomba na kusali.
Hekima hii iwe ndani yangu milele Amina be blessed papaa
Amen.... very powerful, have been listening to your preachings from Kenya,you are a blessing, may God lift you higher
God bless you man of God powerful message
Thank you Lord I have been following this pastor preaching let tell my life have never been the same Iam learning alot for sure may God protect you
Asante sana kwa mafundisho mazuri🙏M/Mungu akutuze
watching again in 2024 ubarikiwe Baba.
Huyo mwenye kibwagizo cha Yes amen sioni km ni sawa labda angesikika kwa mbali ila the way inavyointefere mafundusho inachosha
Kwani u unamfatilia mchungaji au huyo mtu wa backvoice??
Amen asantemrumishibwa Mungu kwa ujumbe huu
Strong and powerful guidence in our lifetime, let our mighty bless you
GOD BLESS YOU PASTOR TONY ,MUNGU WAMBINGUNI AKUTUNZE 🙏
NIMEBARIKIWA NA NINAENDELEA KUBARIKIWA NA MAFUNDISHO YAKO
Thank you man of God for this sermon,I may have listened to it a little later but just wen I needed it
I had drifted away from God I felt filthy to approach his throne but thanks for reminding me that his mercies are new each day ..... thanks n may He keep you safe may He protect you and your family
Amen mungu akubariki sana pastor nimebarikiwa kwakweli
AMEN
Thank you so much for this message, Jehovah God bless and may He remember you when you face life challenges.
Haya mafundisho ni next level 🙌🙌🙌
So powerful and touching message be blessed man of God🙏
Nakuelewa hadi nakuelewa tena 🙏
Amen Pastor
This is powerful 👏 🙌
Mungu akubariki mchungaji neema yake ikuhifadhi ikuinue zaidi Huduma hii ikue viwango vya juu
Amen
Mungu wa mbinguni akubariki sana hii Neno liendelee kufanyika baraka
Amen
Amen 🙏
Barikiwa sana mungu akupe maisha marefu
Very powerful message,Barikiwa sana Mtumishi
Thank you Jesus, thanks Pastor
Ahsant pastor mungu akubariki saana
Surely that is God's message to me. Thank you very much pastor!
Ubarikiwe mtumishi wa Mungu kutukumbusha maombi.
Babu nakuelewa.
Amen powerful message be blessed mtumishi wa mungu 🙏
I really Thank God for you 🙏 umenibariki na kunifungua akili Uendelee kubarikiwa sana Mtumishi
Thank God for good message
Mungu akutunze mtumishi wa mungu.
Amen
Ur in my prayers sir more grace
Utukuzwe Mungu mbinguni kwajili ya huyuu🙏🙏
Thank you Jesus.
God bless you pastor 🙏🙏
Ubarikiwe mtumishi kwa kututiya moyo
Amen Amen....God bless you Man of God