SHILOLE: Watoto Wangu Siyo Wamitandaoni

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 3 ต.ค. 2024
  • SHILOLE Watoto Wangu Siyo Wamitandaoni
    Msani wa muziki wa Bongo Fleva Shilole Mohamed (Shishi Baby) amezungumza na Global TV na kusema kuwa watoto wake siyo watoto wa mitandaoni, kikubwa nikuhakikisha watoto wake wote wanakuzwa katika maadili ya Kidini na hataki maisha aliyoishi watoto wake nao waje kuishi.
    lnstal GlobalPublishersApp Android: bit.ly/2AAQe1d iOS: apple.co/2Assf4M Subscribe / uwazi FACEBOOK: / globalpublis. . TWITTER: / globalhabari Visit globalpublishe..., Subscribe / uwazi1 kupata video nyingine za aina hii, subscribe kwenye chanell yetu kwa kubofya… / uwazi1 / uwazi1 / uwazi1 WEBSITE: globalpublishe... FACEBOOK: / globalpublis. . TWITTER: / globalhabari INSTAGRAM: / globalpubli .

ความคิดเห็น • 233

  • @hopechidera
    @hopechidera 6 ปีที่แล้ว +17

    Haki nakupenda sana weee dada,kwa kweli wewe ni mama bora tena mwanamke shujaa❤,tangu kujitowa kwako kwenda nyumbani kwao marehemu Agnes na kuingiya huko jikoni kiukweli nilikupenda sana,Uchebe kaogota bila kushutama.

  • @margarethsaramaki1100
    @margarethsaramaki1100 5 ปีที่แล้ว +1

    Ni kweli hongera sana kwani wtt wenye umri mdogo sio wa kuwaonyesha mitandaoni, wengine wanaona ni maonyesho.Big up Shilole

  • @wahindiakwembe8066
    @wahindiakwembe8066 6 ปีที่แล้ว +41

    Dah! Sikutegemea km shishi unajielewq hivyo. Nilikua nakuchukulia poa sana. Hongera nimekuelewa nakupenda bureeeee.

  • @nurudovino7305
    @nurudovino7305 6 ปีที่แล้ว +38

    Asant sana shishi kumbe ndivoulivo mungu akubariki sana my

  • @tinyaanosiatha1118
    @tinyaanosiatha1118 6 ปีที่แล้ว +15

    Safi sana shishi nakupenda sana unajielewa Kama mwanamuke.

  • @mimigloria996
    @mimigloria996 6 ปีที่แล้ว

    Shilole wewe ni Maman muzuri sana tena wewe ni mwana mke mwema. Wewe ni msani ambae nina penda Afrique zima. Kiufupi mimi ni mukongo 😘

  • @yusraibrahim8218
    @yusraibrahim8218 5 ปีที่แล้ว

    Kweli kabisa mamabora hongera sana mamabora moraakurindie watotowako wote wakue vyema👏

  • @zennakailo8106
    @zennakailo8106 6 ปีที่แล้ว +10

    Ndipo ninavyo kupenda huyu yaaani Ataweka picha zake ila wanae mashallaah 🙏 haweki anajielewa San 😘😘😘kuliko mitaira mingine kila kukicha watoto wao wako kwenye mitandao 😂😂😂

  • @nuriayusuph9647
    @nuriayusuph9647 5 ปีที่แล้ว +1

    Asante sana my sister shilole nakupenda Sana mungu akufanyie wepesi kwakira jambo God bless you

  • @mwajumafundi6234
    @mwajumafundi6234 6 ปีที่แล้ว +28

    nimekupenda hongera mama bora

  • @tanzaliyaoman471
    @tanzaliyaoman471 6 ปีที่แล้ว +14

    Upo vizur sn shishi pambana mama rahma binafsi nakupenda huwa unajitambua

  • @anisalutufyo3051
    @anisalutufyo3051 6 ปีที่แล้ว

    wewe ni mama boro si boraa mama hongera sana na umeweza kutofautisha kazi na familia hongera sana mungu akubariki sanaaa

  • @kibibingao569
    @kibibingao569 6 ปีที่แล้ว +18

    Safi shishi cikujua kama upo hivo hongera yako mummy😍

  • @shadiajumaa182
    @shadiajumaa182 6 ปีที่แล้ว +12

    MAshaalla kumbe unaakili kihivyo asante sanaaa

  • @mkenyahalisi1047
    @mkenyahalisi1047 6 ปีที่แล้ว

    Ukoseawa na maisha usikubali mtoto apotee pia ...Nice shilo

  • @ruqaiyahali8055
    @ruqaiyahali8055 6 ปีที่แล้ว +1

    ALLAH atakujaalie zaidi na zaidi nakupnda ☝😘😘😘

  • @larsonniyintunze9469
    @larsonniyintunze9469 6 ปีที่แล้ว +15

    We mama mungu akubaliki sana tunakupenda sana ❤💕💕💕❤

    • @aminatwaha7736
      @aminatwaha7736 6 ปีที่แล้ว

      Shishi jipunguze kidogo unene sio dir

  • @isazonola2311
    @isazonola2311 5 ปีที่แล้ว

    Daa! huyu mwanamke anaakili aisee!

  • @paraahmwende9989
    @paraahmwende9989 6 ปีที่แล้ว

    Woooooow nimependa sana ongera sana darl SHILOLE

  • @zainabmaulidi3771
    @zainabmaulidi3771 6 ปีที่แล้ว +12

    Jmn napenda vile unaogea hongera shiloni

  • @shebankenya4913
    @shebankenya4913 6 ปีที่แล้ว +2

    Shishi nakukubali sana kwa maneno yko.

  • @ntamugabobizi4580
    @ntamugabobizi4580 4 ปีที่แล้ว

    Unahakirishishi sana mutoto mufudishe hakiri mapema

  • @wjnfridakatengezya5063
    @wjnfridakatengezya5063 4 ปีที่แล้ว

    Huwa nakupinda kwa unavojishughurisha.... wape watt elimu ndo urithi wao.... nakupenda sana na nakuombea

  • @mwanjiayassini6911
    @mwanjiayassini6911 5 ปีที่แล้ว

    Daaaa kweli da shishi we ni mama bora hongera yako

  • @fatyus9038
    @fatyus9038 6 ปีที่แล้ว +1

    So proud of u shishi ,I salute you.

  • @nuruhussein5318
    @nuruhussein5318 6 ปีที่แล้ว +1

    kweli dada sio samaki mmoja akioza wote wa oza hongera dada shishi

  • @janepopular889
    @janepopular889 6 ปีที่แล้ว +1

    Vzr Saaaaaana Dada shishi love u mingi mingi 😍

  • @kulwamkopak6190
    @kulwamkopak6190 6 ปีที่แล้ว +1

    Nimekupenda sana shishi bby ww ni malikia wa nguvu💪💪

  • @rozaikelelo3374
    @rozaikelelo3374 6 ปีที่แล้ว +1

    Wow na kupenda bure shishi b.b hipo siku nita kujaga kukuona face to face mungu akipenda

  • @nasrynasrym2765
    @nasrynasrym2765 6 ปีที่แล้ว

    Maashallah nakuombea kwa mungu nawe ubadilike

  • @msaflus2492
    @msaflus2492 6 ปีที่แล้ว

    uko vizuri shishi .... hongera kwa malezi mazuri kwa wanao

  • @rahmamrope5680
    @rahmamrope5680 6 ปีที่แล้ว +6

    Shishi umeongea yaliyo mazuri sana

  • @fatmamajuu5255
    @fatmamajuu5255 6 ปีที่แล้ว +10

    safi sana shishi na mtangazaji chinene mmetokelezea💪💪💪

    • @wandelugenzi8358
      @wandelugenzi8358 5 ปีที่แล้ว

      kweli ww mama bora nakupnda sn waige mfano wako

  • @emanuelbelato7335
    @emanuelbelato7335 6 ปีที่แล้ว +12

    umechange sana hongera

  • @kiduchualone9016
    @kiduchualone9016 6 ปีที่แล้ว

    Asante xana ongera kwa kuwa busara na kuwafundisha misingi mema watt wako nakukubali xana aswa unapo mwaga ung'ang'a

  • @chrisbrown-sb4le
    @chrisbrown-sb4le 6 ปีที่แล้ว +1

    nice words shishi god bless you and give you long life like how beautiful you're mama you're nice Mommy amazing Mommy i love you shishi Trump keep it up mama

  • @prosperhonest4767
    @prosperhonest4767 6 ปีที่แล้ว

    Uko vizuri sana Shilole big up

  • @jasminhery4923
    @jasminhery4923 5 ปีที่แล้ว

    Nakukubal xaan dadaangu big up xaana

  • @aminahussein7215
    @aminahussein7215 6 ปีที่แล้ว +17

    Unaakili Sana nimezidi kukupenda

  • @chancelinesibijali5019
    @chancelinesibijali5019 6 ปีที่แล้ว

    ongera sana chilole

  • @asimwebishanga8463
    @asimwebishanga8463 6 ปีที่แล้ว

    Siku zote nakukubali sana, Ww ni super woman forever.

  • @lukiabahat9960
    @lukiabahat9960 6 ปีที่แล้ว

    Hongera shishi mama kama ww huwezi pata hapa hapa tanzania

  • @aminamgaya7511
    @aminamgaya7511 6 ปีที่แล้ว

    Dahhh shishi unanifurahisha sana Mamy hakika nami nitamlea mwanangu kama ulivyoongea my dada

  • @aminagideon9765
    @aminagideon9765 6 ปีที่แล้ว

    Asante dada nimependa ni mfano wa kuigwa kwa hilo mungu akubariki

  • @zamzamhamisi7332
    @zamzamhamisi7332 6 ปีที่แล้ว

    Uyo ndie mama sasa,nakukubali shishi

  • @tmtmslm2697
    @tmtmslm2697 6 ปีที่แล้ว

    Swadakta shosty umenena hongera sana

  • @bintihassan3397
    @bintihassan3397 6 ปีที่แล้ว +23

    big up shishi

    • @zuwenaenock3782
      @zuwenaenock3782 6 ปีที่แล้ว

      Manshallah hongera sana wajina wangu Kwa ujumbe mzuri nazani umewafika wanawake wasiyo kuelewa kwenye family zao

  • @shamsaabdalah7038
    @shamsaabdalah7038 6 ปีที่แล้ว

    Safi sana shishi tujitahidi tuwe mama bora

  • @minabw7301
    @minabw7301 6 ปีที่แล้ว

    Very intelligent, that's why I like her. God bless you and your family

  • @saumuhassan1365
    @saumuhassan1365 6 ปีที่แล้ว +12

    English ckuizi inapanda my love *shishibaby* hongera sana and I love you forever mamy.

  • @ahabrondy2713
    @ahabrondy2713 6 ปีที่แล้ว +1

    Nakupenda sana shishi,sana sana kigori

  • @tiffahtiffah7881
    @tiffahtiffah7881 6 ปีที่แล้ว +2

    Nice shsh God bless you and your family 👪

  • @msangizainabu7243
    @msangizainabu7243 6 ปีที่แล้ว +4

    safi shishi sikujua hilo hongra sanaaaa

  • @lydiathadeous6644
    @lydiathadeous6644 6 ปีที่แล้ว +1

    True say shilole even the Bible say treat your children in the way they should go

  • @thelesiasospeter4032
    @thelesiasospeter4032 6 ปีที่แล้ว +31

    Ni kwel ukikosea ww usimuhusishe mtoto bali ni kumfundisha mema

  • @mwakahassan8742
    @mwakahassan8742 6 ปีที่แล้ว

    Umeongea kweli kabisa hongera sana kwa kuyatambua majukum km mama ila mbon umenichangaany mama Rahma na huy mwengin mbon majine tofaut mkirsto na muislam ama?

  • @neemankana8058
    @neemankana8058 6 ปีที่แล้ว

    uko nyuu my,hongera kwa marenz bora

  • @mamuomary7189
    @mamuomary7189 4 ปีที่แล้ว

    Nakukubali

  • @zuhurambonde7599
    @zuhurambonde7599 6 ปีที่แล้ว

    Huko ulikowapeleka boding wanakutana na wenzao wenye Tabia tofauti hivo wakirudi unaanza upya kuelekeza hongera kwa malezi bora.

  • @zakiaabdallah4858
    @zakiaabdallah4858 5 ปีที่แล้ว

    mi nakupenda shishi unajielewa sana dada ongera

  • @godsproperty2956
    @godsproperty2956 6 ปีที่แล้ว

    Shish nakupenda bure...from 254

  • @abcdefgger
    @abcdefgger 6 ปีที่แล้ว +7

    Nimekupenda sana shishi

  • @aminakadala1319
    @aminakadala1319 6 ปีที่แล้ว

    Nampendaga sana shilole the ,,,the,,the,,,the

  • @shamimasalim6912
    @shamimasalim6912 6 ปีที่แล้ว +1

    Safi sana shishi

  • @lucknesstenga9822
    @lucknesstenga9822 5 ปีที่แล้ว

    Nakupenda sana Dada yangu shishi.

  • @auntymother1507
    @auntymother1507 6 ปีที่แล้ว

    Mashaallah vizuri sana shish

  • @gracegody7023
    @gracegody7023 6 ปีที่แล้ว

    Nimekupenda bule kumbe unajielewa ivoo

  • @rayamagulu4102
    @rayamagulu4102 5 ปีที่แล้ว

    Hongera

  • @marriammarango7532
    @marriammarango7532 6 ปีที่แล้ว +7

    Poa sanah shish bby

  • @aishaabdj8913
    @aishaabdj8913 6 ปีที่แล้ว +1

    hongera shishi nakupenda bure

  • @jamilahkihange9391
    @jamilahkihange9391 6 ปีที่แล้ว

    Nimekupenda bure mtani wangu mnyamwezi wangu unaejielewa

  • @Purity493
    @Purity493 6 ปีที่แล้ว +4

    Wow good Shishi baby

  • @beatricenjojo1726
    @beatricenjojo1726 6 ปีที่แล้ว

    ni kweli kabisa uko sawa

  • @sitamohamd6920
    @sitamohamd6920 6 ปีที่แล้ว +1

    MashaaAllah

  • @sitamohamd6920
    @sitamohamd6920 6 ปีที่แล้ว +1

    MashaaAllah

  • @mamafatuma138
    @mamafatuma138 6 ปีที่แล้ว

    MashaAllah MAMA bora lkn sio bora mama

  • @sitamohamd6920
    @sitamohamd6920 6 ปีที่แล้ว +1

    MashaaAllah

  • @camillas.edrees6155
    @camillas.edrees6155 5 ปีที่แล้ว

    Maasha'Allah Shishi

  • @faridahsumiismail7680
    @faridahsumiismail7680 6 ปีที่แล้ว +5

    Panda we Shishi

  • @marymbithe712
    @marymbithe712 6 ปีที่แล้ว

    hardworking mum...shilole

  • @rosemkuka9153
    @rosemkuka9153 6 ปีที่แล้ว

    Safiii Sana shishi

  • @zulfatymkawa8093
    @zulfatymkawa8093 6 ปีที่แล้ว

    Safi sana shishi unajielewa

  • @fgjjgbnko4383
    @fgjjgbnko4383 6 ปีที่แล้ว

    Wao nimekupenda bure shishi

  • @tausilifestyle795
    @tausilifestyle795 6 ปีที่แล้ว

    Nampenda sana shishi

  • @aminakhamis1122
    @aminakhamis1122 6 ปีที่แล้ว

    Nakupenda Sana shishi

  • @shaniarthur4266
    @shaniarthur4266 6 ปีที่แล้ว

    Hongera mom nimekupenda bure

  • @janewendy689
    @janewendy689 6 ปีที่แล้ว

    nakupenda sana,unajitambua

  • @peninafredrick3317
    @peninafredrick3317 6 ปีที่แล้ว +2

    Shish one love

  • @veronikahau2935
    @veronikahau2935 6 ปีที่แล้ว

    uko vizuri shishi

  • @mreallashyndivyonaitwaga7513
    @mreallashyndivyonaitwaga7513 6 ปีที่แล้ว +9

    Tunataka kipindi cha mpaka hme where is Brighton

  • @amainarasheed3644
    @amainarasheed3644 6 ปีที่แล้ว

    Nmekupenda bure shishi mama bora

  • @his-queenaisha7086
    @his-queenaisha7086 6 ปีที่แล้ว

    Napenda miwani shishi iko poa sanaa

  • @marthaanton6967
    @marthaanton6967 6 ปีที่แล้ว +1

    Nimekupenda sn shilole asee Jamani nimekuamini ww nimama bora alafu sikujua kama shilole anawatoto

  • @leencastillo6220
    @leencastillo6220 6 ปีที่แล้ว

    Kweli sana dada mungu akupe imani na akili hiyooo

  • @rahmasaid3347
    @rahmasaid3347 6 ปีที่แล้ว +2

    Nakupenda buree

  • @fatumainiibra3275
    @fatumainiibra3275 5 ปีที่แล้ว

    Maneno Kuntu dada nakupenda my

  • @mariammwinjuma7610
    @mariammwinjuma7610 6 ปีที่แล้ว

    Nakupendaga we mdada

  • @revinalibenanga2235
    @revinalibenanga2235 6 ปีที่แล้ว

    kweli mama Bora anathamini watoto wake

  • @faulatafahmi7733
    @faulatafahmi7733 6 ปีที่แล้ว

    Maasha'Allah Shilole

  • @amoumpawenimana57
    @amoumpawenimana57 6 ปีที่แล้ว

    Nakupendeya bure shishi