hicho kiapo cha insta au cha kwa mungu? kwani mwanzo nani aliachwa? na kuwa chizi itakuwa ni kawaida kwa wanaume ambao hawajafikisha miaka 40, kukupa uchizi ni lazima oaneni ijulikane cyo viapo vya insta
Wema sina shida NAE lkn anapoongea ajue kuwa yuko TANZANIA na wanaomsikiliza na Watanzania. Hizo mbwembwe za Kimarekani wateja wa hizo Pedi hawazielewi. Kina Rihanna na wengine ACHANA nao. Kwa ujumla BE REAL. Please!!!!
Yaani hawa ma Star w bongo biashara wanayoiweza ni ya mshoo tu? Hawaonekani kuwa na akili ya mambo mengine ni pedi tu? Wema Pedi, mobeto Pedi, Giggy Money Peddy wenzao kina Zarry wako na GSM furniture na mambo ya akili
kwan zari hajawah tangaza pads amka ww kwa hio we waweza kataa ubaloz wa k2flan kisa kuna flan anatangaza kaangalie peps inatangazwa na mastaa wangap duniani na takriban wa tano ni wacheza mpira ie Messi nk
Kwanza hawakuwa Couple WALIKUA WAZINIFU WAWILI TUU NA YEYE ASEME BADO ANAPENDA UZINIFU SIO anampenda Diamond yeye ni Malaya wa Danguro anayependa UZINIFU nakitabu chake CHA List ya Makahaba wezie aliye zini nao Sasa hay tumuachie yeye na MUNGU WAKE
@@suzysam6002 KWA HIYO WEWE NDIO UNAPEMBEJEA WAZINIFU NA MAKAGHABA WAENDELEE KUCHAFUA ULIMWENGU KWAKUA NI WATOTO WA WATU NANI MTOTO WA MBWA KATIKA WANAADAM????WACHENI KUPENDA DUNIA MKASAHAU AHEARA UMRI WETU NI HAFIFU SANA TUMCHE MOLA
Wema sepetu I always love you and in other words you are my favorite actress from Tanzania.
I'm from Kenya we love you so so much. I'm also an actress too.
Much love wema from 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
This woman is really beautiful ❤
Nakupenda san wema sepetu
Duh jamaa anapele ya chini na muwasho
Wema penda sana wewe😘
Big up wema💕💙
Nampendaga huyu dada❤
Sema kweli mdogo wangu
Safi wema sepenga
Alichezea bahati yake kwa simba,,,,hakujua simba atakuwa tajiri hivi du,,,anajuta sana zilipendwa
I love you wema
Huyu Dogo hazeeki aiseeee! Toka 2005 na kaona kapo hv hv! 😃
Yaan kama ni maneno yk toka moyon binafsi l wish cku moja muone na Daimond🤲🏻🤲🏻
True love never dies if it's meant to be then someday it will trust the process ❤️
hv wema kwa nini aliondoa umbo aiseeee😭😭😭daaaah
Amekuwa mbaya
big up
Work hard wema
Nakubali
Ahaa Wema move on wewe mzuri Diamond ana drama nyingi
Move on
True love never die
Hey mbona hupig
Nataman San mgekuwa mke na mme jamn mgenoga atar Ilove wema nakupenda me nakutaka pia ♥️♥️♥️♥️♥️
hicho kiapo cha insta au cha kwa mungu? kwani mwanzo nani aliachwa? na kuwa chizi itakuwa ni kawaida kwa wanaume ambao hawajafikisha miaka 40, kukupa uchizi ni lazima oaneni ijulikane cyo viapo vya insta
Mxiuuuuuu
Wivu
Mapenzi yakweli hayajifichi
Wema katikisa kama wimbo wa lizo name tikisa
Nice
Hahahaha napita tu
Ila uyo manzi kazeeka jaman na hana mtoto 😂😂
Ally
Good
Huyu nayeye
Nc
Wema sina shida NAE lkn anapoongea ajue kuwa yuko TANZANIA na wanaomsikiliza na Watanzania. Hizo mbwembwe za Kimarekani wateja wa hizo Pedi hawazielewi. Kina Rihanna na wengine ACHANA nao. Kwa ujumla BE REAL. Please!!!!
Dunia imebadilika hadi makonda ni wasomi mfano mimi
Nauza mkaa nina degree
Alafu watumiaji wengi wa pads nivijana na wasomi pia na hai affect kitu
@@bravomwazyunga4641Degree ya kuuza Mkaa inapatikana chuo gani na wp
@@kassidpandu866 nina doubt na uelewa wako shame on you
Wema wewe sio msichana wewe ni mmama lazima tujikubali jamanu umri nao umeenda alifichiki hilo
Wewe umejikondesha mpaka unatisha uzuri wote kwaheri
Wema sepetu akiwa mujamuzito
Wema ongea lugha moja usichanganye lugha
Kasome wewe
See
Unadhani Hatukujui Tabia Zako?
???
Mmmh
Kama Huzijui basi ww humjui
Ongea kiswahili
🥰🥰🥰
Amblulu
Yaani hawa ma Star w bongo biashara wanayoiweza ni ya mshoo tu? Hawaonekani kuwa na akili ya mambo mengine ni pedi tu? Wema Pedi, mobeto Pedi, Giggy Money Peddy wenzao kina Zarry wako na GSM furniture na mambo ya akili
kwan zari hajawah tangaza pads amka ww kwa hio we waweza kataa ubaloz wa k2flan kisa kuna flan anatangaza kaangalie peps inatangazwa na mastaa wangap duniani na takriban wa tano ni wacheza mpira ie Messi nk
ukipenda kosoa tafuta kosa sahihi sio unakurupuka... siku ukijua hujui ndio utajua
Kama kingereza kingereza sasa mara kiswahili unatuvuruga hapa tuko bongo wangine hatukusoma tulimaliza shule tu🤕🤕
Wema anapeda kuongea kizungu na hajui si utumie kiswahili dadangu
Wema kizungu mmbaya
wabongo mnazingua sana
Nakupenda cn wema
True love always shine
Diamond Platnumz amjibu Harmonize
ANGALIA HII CONNECTION DUUUUH WABONGO HATARI: th-cam.com/video/oPe68wWtTQM/w-d-xo.html
sepenga
Kwenye pesa ukweli unakaa pembeni kbs
Siwezi kuwasapoti Mana unacho andika sicho kilichopo
Big up sisz
Hawa warudiane..
ikiwezekana ...ila hawaendani tenah
Benjamim
Wema ni mzur skatai ila tatzo lake hazai 🤔🤔
And so what if hazai are you God ???
Gea habibu
Vinzur
Nice 🙂
Kwanza hawakuwa Couple WALIKUA WAZINIFU WAWILI TUU NA YEYE ASEME BADO ANAPENDA UZINIFU SIO anampenda Diamond yeye ni Malaya wa Danguro anayependa UZINIFU nakitabu chake CHA List ya Makahaba wezie aliye zini nao Sasa hay tumuachie yeye na MUNGU WAKE
Wewe mama yako asinge zini wewe unge zaliwa usitulazimishe tuongee
@@husnajuma8193 WEWE NITAFUTE TUUU
MUNGU anakuona punguza maneno makali kwa mwana wa mwenzio huwezi jua uzao wako utakuwaje
@@suzysam6002 KWA HIYO WEWE NDIO UNAPEMBEJEA WAZINIFU NA MAKAGHABA WAENDELEE KUCHAFUA ULIMWENGU KWAKUA NI WATOTO WA WATU NANI MTOTO WA MBWA KATIKA WANAADAM????WACHENI KUPENDA DUNIA MKASAHAU AHEARA UMRI WETU NI HAFIFU SANA TUMCHE MOLA
@@suzysam6002 HAYA NI MAGENGE YA UZINIFU TUU ,HIVI NYINYI KWENYE DINI YENU MNAFUNDISHWA KUA UKAHABA NDIO UFALME WA MUNGU????
God bless your work wema 🇰🇪❤️
Mama una Mbwembwe Sana za kuongea unasahau Kama wewe ni Mtz na lugha yako ni kiswahili
Badilika
Sasa wewe kinakuwasha nini kazowea kuongea kingeleza mwacheni
Tafta pesa tujue Real voice yako shienzii
Panya buku wewe Fata biashara yako muache mwenzio
For Goodness sake Tanzania catch up. dunia ime endelea. Leo hi ata wa faransa, wa Germany 🇩🇪 na wa arabu pia wana zungumuza kingereza. Amkeni
Wema I love you Sana jamani you are my best lady and my prayers always no upate mtoto
👌
Hii English nayo 🤣🤣🤣🤣🙆🙆🙆 stick to Swahili babe 😘
Ako POA sana ....we nfio huelewi....from kenya
Ako sawa kabisa from 254 kama huelewi kizungu muache mwenzako
Wema anajua kizungu we ndio kmekuchanganya
@@saidmadizi9152 you wish
Penda sana wema mungu akubark my dear upate mtt mpnz🙏🙏🙏
Unadhani Hatukujui Tabia Zako?
Tabia gan tn Jmn anayo
Nakupenda Sana wm