Handee! Handee
Wema hande😂😂😂❤
Wemasepetu ❤
Heee Irene Uwoya amekuwa mchungaji na mtumishi. Kweli Mungu mkubwa.
Monalisa hamin kampiga jicho wema sio poa
Monalisa alikua anamuangalia Irene.. like, so umeokoka...!oky not bad let's see 😂
Amiiin
We ma kma jina lako mwaaa
Na sisi wakulima jee
C ndo hapo bc na sie tupewe ata fursa tupande ndeg mpk hapo zanzibar kuwakilisha ulimaji bora 😢
Wanajikuta wako serious kumbe upuuzi mtupi
Michaellagwen Acha roho mbaya haikusaidii kuwaonea wivu na chuki Mungu hatakusaidia hata chembe.
Nyie na minywele yenu kama mashetan
Wema❤