Hey everyone! I'm diving into your comments and getting activated! Let's keep this engagement going strong. Drop your thoughts below, I'm ready to read and connect with all of you!
Miaka mitano sasa tangu tuachane lakin bado nakuwaza na kukumbuka sana na kila nikiskia kuhus neno mapenzi picha ya kwanza hunijia wewe, naweza sema wew ndio mtu niliekupend katika hii Dunia, ila nadiriki kusema mapezi yalizidiwa na maisha ikabidi tuachane ,popote ulipo uwe na kheri katika maisha yako # bado
Jux unazidi kuwa m'bunifu Sana, naamini una malengo yako ila mimi napenda kushauri ukiachia ngoma moja subiri kidogo ili watu waipe thamani kwanza kabla ya kutoa ngoma nyingine...
You're simply the best my guy! I am playing this song from Zambia and I have always loved your songs keep it up especially with the addition of English lyrics it's milestone.
JUMA JUX, NI mwamba saana, Co cngeli, Co lege, Co bongo fleva, kwa bongo land msanii wangu wakwanza ni JUX, Cjawahi kataa Wimbo wako wowote ule, wew ni msanii bora wa muda
Hey everyone! I'm diving into your comments and getting activated! Let's keep this engagement going strong. Drop your thoughts below, I'm ready to read and connect with all of you!
Okay my G from Kenya my likes please
Aaah kali sana African boy 💥💥 saa 6 hii
Nakukubali sana kaka big up 🇰🇪🇰🇪
umetisha sana
I'm Sure That The Song Is Good before Listening
I started following you because of iyabo ojo's daughter ❤nice lyrics
Me too
Aww me too ❤
Same here
Wow our princess P Priscilla found love😊❤
His music I've watched so far is really good to the ears, though I understand the language.
No naked girls everywhere ❤
Nigeria 🇳🇬 🇳🇬 🇳🇬 🇳🇬
here for priscy and iyabo, never met them b4, but believe in one love, one naija, one africa, one world💞
Our inlaw
Our inlaw❤❤❤❤
This guy is our African Chris brown 🔥🤞🙏
Niko wa kwanza kutoka kongo 🇨🇩 RDC nipe like zangu kama unamupenda jux
D.R.C ama RDC😂😂
I come here come dey listen to jux music, all the way from Nigeria..our inlaw
Mimi hapa kama mnavyonijua maneno kidogo likes nyingi basi nipeni hata tano tuh ❤❤❤❤❤❤❤ 😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢❤😂😂😂😂😂😂😂😂
1:36 nikipendaaaa
3rd of July. Chukua like yangu all the way from Singapore. Kenya 🇰🇪 ndio mji kaka
3rd of July. Chukua like yangu all the way from Singapore. Kenya 🇰🇪 ndio mji kaka
Kwa kweli kuumizwa na mapenzi.kusahau ni ngumu.kama ulishindwa kama mm.nipe likes hta 3 pekee
Ila nimewai kutoka kenya kwaiyo naombeni like zanu ata kumi
❤
❤
Rudi kwenyu 🤣🤣
Unakula izo like 😂
😂😂😂😂@@Siasa-k7v
Mm imenigusa sana hii nyimbo nmesisimka sana nilipo isikiliza kama na wewe ume sisimka gonga like huyu jux anajua sana
Hii ndio bongo flava iliyifanya wakenya kupenda mziki wa Tanzania. Keep going 💪🏾
Kabisaa🇰🇪
kumbe tuko pamoja ❤
Kiswahili kinawapagawisha
Nigeria 🇳🇬 🇳🇬 🇳🇬 ❤❤❤❤❤❤
Mimi uku burundi🇧🇮 Niko wakwanza Kuwona video ya jux munipe like zangu
Nani njo alikudanganya eti uko wa kwanza kk🙄 ebu angaliya commente yangu pale il y a 12h nimekuwa niki ingojea
Sawa 😅
🔥🔥
😅😅😅😅@@aimableoseyaeric
India guy here
I don't understand anything but you music got my attention
Its so good
Jux the African boy, unakumbuka tabasamu na utamu wa wimbo... Wow you be my guy for life.. Kenya🇰🇪 Tanzania 🇹🇿 Uganda🇺🇬 likes Africa mzima...🔥🔥🔥
Nimeurudiq huu wimbo mara buku...❤ hii mziki ni kali jamani. Daah
Walio ngojea iyi ngoma kama mimi wagonge like hapa tujuwane ❤
Miaka mitano sasa tangu tuachane lakin bado nakuwaza na kukumbuka sana na kila nikiskia kuhus neno mapenzi picha ya kwanza hunijia wewe, naweza sema wew ndio mtu niliekupend katika hii Dunia, ila nadiriki kusema mapezi yalizidiwa na maisha ikabidi tuachane ,popote ulipo uwe na kheri katika maisha yako # bado
Dah kupenda pasipo pendeka
Polee
@@AgnessMtikaAsante nimeshapoa ila kusahau ndio kitu nashindwaa
@@adbellar338we Acha tu ndugu yangu
😢Soo touching.....take heart
Kama imekugusa gonga like tukisonga,,,,, usinipite ivo mkuu😢😢
Imenigusa
Ive Listened to this track for like 10 mins ,my new fav for sure.King of Hearts for sure
From 254 nipeni likes za Jux🔥🔥🔥🔥
Kama unamkubali AfricanBoy naomba like kutoka kwa shabiki
Dah ngoma kali Sana jux my best artist in tz God bless you
Kutoka Kenya nshakubali african boy💯nipee likes
❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
Jux unazidi kuwa m'bunifu Sana, naamini una malengo yako ila mimi napenda kushauri ukiachia ngoma moja subiri kidogo ili watu waipe thamani kwanza kabla ya kutoa ngoma nyingine...
All Kenyan lovers to Jux come 'n' lets gather here ❤❤
Yaani hii nyimbo Jux kama kaniimbia Mimi kwa kweli😭😭
😊😊😊from Kenya...lets gather here🇰🇪
Jux never disappoint keep on doing the good job👌🫶🫶🫶🫶🫶
You're simply the best my guy! I am playing this song from Zambia and I have always loved your songs keep it up especially with the addition of English lyrics it's milestone.
Like zangu kutoka Namibia 🎉🎉🎉😂🇱🇷🇱🇷🇱🇷
Jux all the way....hit after hit....we love you jux.....❤❤endelea kutupa vitu halwa halwa ...vitu milki milki kama wewe mwenyewe.....unapendwa Kenya
Team jux gonga likes hapa❤❤
From Malawi the warm heart of Africa ,together we are, let's go
Eeish ebu songeni pia nkae❤❤kenyans in the house tuchukue register
The way I'm so much in love with Swahili language 😢😢 Asante Jux for this masterpiece, from your Nigeria fan🎉🎉
Sema hii ngoma verse ya pili africanboyJUX ungempa harmonize, ndo mabeat yake aisee🙌🙌. Sema goma lamoto🔥
Bado pekee imeweza kaka🎉🎉
Sure Mwanangu.. umewaza km mimi.. verse ya pili hajaitendea haki.. angempa @KondeBoi au @Vanillah angeuwa sana humu..💪🏽🔥🙌🏽
Harmonize angefanya hii hit kuwa na views million kwa siku mojaa🔥🔥
RnB na harmonize wapi na wapi hamjui muziki
Hata beat lenyewe ni kana la atarudi ya konde
Jux bado anampenda sana vannesa mdee❤❤
kweli
Saaaana😂
Karen sio Vanessa
From Kenya guys my likes please leo nimewai
Daaah nyimbo zako zote umeniimbia mim❤
you kill it J❣️❤️We love you
Huyu sasa ndo Wewe😘Sio WA Amapiano
From Kenya. I love this song kindly nipee like ya ii song❤❤❤❤
Ma fans ambao tupo Kwa jux Bado tujuane❤❤🎉
My New Fav ,This new Jux is something else
Huyu Ndooo Yuleeeeee Juma Tuliyemjua Sisi ✊✊
Sanaaa
South Africa 🇿🇦 approved, much ❤️ from Cape Town 👏
JUMA JUX, NI mwamba saana, Co cngeli, Co lege, Co bongo fleva, kwa bongo land msanii wangu wakwanza ni JUX, Cjawahi kataa Wimbo wako wowote ule, wew ni msanii bora wa muda
Wadau...Jux did it again. 2099 kids, Jux was a magical artist of our time🔥
Huyu ndo Jux nilomjua mwanzoni ukitesa na Vanessa Mdee🎉🎉❤🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Our inlaw sings well ooo
Jux to the world 🌍 Much love from Gambia 🇬🇲🇮🇹❤️💯
Jux wewe Ni kipoko yao kwenye hiyo style huna mupinzani wallah, love from BURUNDI 🇧🇮 Bujumbura ✅
All the way from Zambia jux from Zambia let’s gang here!!
This dives deep into the heart ,, it’s a good well composed song , and a very nice voice ♥️
Jamanii natemba iii sana..mapema ndo best..hello kenyans❤❤❤
We love you so much jux I'm from kigali Rwanda 🇷🇼 💖 ❤
Wanangu wa Kenya,mpo
Tupo Ndani ya African Boy Family
Nakutambua Jux .kwako mm sio mbaya I love it bro my king bongo flavor
Hiyo bado ni moto au ndo bado kama bado
C ulisema Bora uienoy juma jux
Naisubilia bado 2min najua ni fireeeeeee🙌🙌
JUX for life. Much love from 256UG
Haujawai niangusha kaka 💪💪💪🤞🤞
Likes zangu toka Urusiiii❤❤❤
Much love from 254💖
@juma jux ,,,,the only love king ,,,,for ever be ....bad boy african boy,,,,salute👍👍
Tangu kitambo, your music flavour iko on top level,kila siku naitumia mitungo zako kwa manufaa ya afya yangu,,thanks Jux
Team jux ❤❤❤much love from kenya❤❤
Mdee alikupa nn we jamaa...... Dar imetulia sana African boy.......
Vannessa alimchanganya saana
Brother napenda nyimbo zako kama hizi sasa. naenjoy sna mziki wako huu
Anaejuwa stry ya jux from bottom to here nipe like
much love African boi❤
Love From South America🔥🔥
Mziki mzuri daah 😅 mwanangu unaimba asee🔥🔥🔥✊ Nimetupa Ndoano nimeambulia patupu 🎉
Realest RNB ❤❤❤much love from Uganda
Since the beginning the song was 🔥🔥🔥
🔥 🔥 🔥 nimeupenda wimbo huu
Wakwanza ❤😂
Jux endelea kabisa may God bless you ..to become among the top five bongo musicians in Tanzania
Wanangu nipeni like ata6 2washi2wewana kijiweni
jux wewe salute broo # from Kenya 🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Jux nakupenda❤
Juma ngoma zako ni.kali sana nimekuwa shabiki wako toka kitambo ngoma zako hunituliza kimawazo na pia motisha kila wakati ...👊👊💥💥
kijana mapenzi yanakutesa🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Never disappoint African boy 🔥🔥🔥
Kama ulishawai kuumizwa na mapenzi tujuane Hadi usingizi upati nipeni like mbili tu🎉
Mapenz yanamaumivu
Mimi hapa
Tz music wapi likes
Nduguu wewe ndio goat
Kama upo single kama jux for now likes hapa ❤❤
😂😂😂
😂😂😂
uyu ni mmoja tu Africa namkubali sana
King of hearts ❤❤❤
❤❤❤on repeat....
Jux amebadilisha mziki sana, anatupea nyimbo poa sana. Nisiulizwe na Bado niko Kenya nimelewa naenjoy.
❤❤❤sanaa aisee nmeguswa hii nyimbo inanihusu kabisa
unyamaaa saana
Huyu jamaa, ngoma zake zoote, hajawahi kosea ni 🔥 🔥🔥🔥🔥🔥🙌🙌🙌🙌💯
This lady Karen is a blessing in disguise….umekua JUX kweli!!!!
Hey toka kenya..huu wimbo nimependa pamoja ❤❤
🔥🔥🔥🙌🙌 bob maneke